JOHN MREMA APANGUA MASWALI YA SALIM KIKEKE AFAFANUA HOJA YA TUNDU LISSU KUSEMA CHADEMA SIO MAMA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 177

  • @albinusmkono5887
    @albinusmkono5887 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hongela sana Mrema kwa ukomavu wa kujibu maswali.ya mwandishi maarufu na nguli wa kimataifa.chadema Ina viongozi makini na inajua kuwapika viongozi.na mbowe ni mhimiri wa Chama.hongela zake

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 5 หลายเดือนก่อน +14

    Smart and eloquent Mrema! Hongera sana!

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 5 หลายเดือนก่อน +1

      Saaaana, huyu jamaa anatoa majibu Yaloshiba

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 5 หลายเดือนก่อน +12

    Safi sana Mr Mrema. Wewe unafaa kuwa kiongozi.

  • @latifaIdassi
    @latifaIdassi 5 หลายเดือนก่อน +16

    Chadema ina viongozi bora sana mungu awalinde vyema!!umejibu vyema sna

    • @HatibuSozi
      @HatibuSozi 5 หลายเดือนก่อน

      Kwenye kikao cha kamat kui agenda kui iwe tume huru kama hakuna time huru kinacho fuata ni kushindwa

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 5 หลายเดือนก่อน

      Yaliyosemwa na Nape ni majanga kwa chaguzi zetu na demokrasia kwa ujumla

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 5 หลายเดือนก่อน +7

    Imani kubwa na chama tunayo sanaa na tunawaombea sana viongozi wetu wa juu msichoke na msidhubutu kuchoka coz tunakuwa tumemuachia shetani nafasi na tunamtenga mungu wa kweli

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera mtema uko vizur sana hata ccm walitoka usichoshwe na maswal mrema mhe. Lisu ni mwamba wa chadema wanaofurahia CHADEMA kuanguka sii rahis .CHADEMA IKO JUU JUU ZAIDI.

  • @NGOMELE1976
    @NGOMELE1976 5 หลายเดือนก่อน +11

    Hongera Kikeke, maswali yako yanathibitisha umahiri wako katika tasnia yako.
    HONGERA Mr. Mrema, majibu yako yanathihirisha ukomavu wako na uimara wa CHADEMA na viongozi wake.

    • @rwakyenderajulius3861
      @rwakyenderajulius3861 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mrema ametulia na anajiamini,aidha Chikeke alijipanga na amekubali kwa ishara.

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 5 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana Mrema, umejibu maswali kwa utulivu mkubwa sana

  • @KanutiKinunda
    @KanutiKinunda 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana mrema kuanzia leo asilimia zote nakupa kweli chadema ina hazina ya viongozi

  • @kichungatv
    @kichungatv 5 หลายเดือนก่อน +17

    BIG UP CHADEMA TANZANIA 🇹🇿♥️💪✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @reginamwendwa6709
    @reginamwendwa6709 5 หลายเดือนก่อน +4

    Big brain sikutegemea huyu msemaji wa Chadema yuko bright kiasi hiki Big up big up

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mrema kwangu,,umekuwa chakula cha ubongo safi sana

  • @sadicksanga6034
    @sadicksanga6034 5 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera Sana mwanachadema mwenzangu unajua kujibu maswli ,hongeraaaa hongeraaaa saaaaana

  • @MawazoMofu
    @MawazoMofu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Big up John Mrema
    Umemtuliza Kikeke
    Kama mweshimiwa
    Msomi bi Fatuma Karume.
    ✌️✌️

  • @abubakariramadhani1372
    @abubakariramadhani1372 5 หลายเดือนก่อน +5

    John mrema uko vizuri sana

  • @samwelndaro-tb2fq
    @samwelndaro-tb2fq 5 หลายเดือนก่อน +7

    Well well,Mh John Mrema... utulivu wa kutosha.

  • @fasalimwenzegule3599
    @fasalimwenzegule3599 5 หลายเดือนก่อน +2

    Very well spoken Mrema. Keep up the Good work.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 5 หลายเดือนก่อน +1

    UZURI CHADEMA MNA AKILI NYINGI SANA❤❤❤❤❤❤

  • @ThadeiMwacha
    @ThadeiMwacha 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Mrema nimekukubali so strong and stay strong

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 5 หลายเดือนก่อน +8

    Majibu Kuntu Mr Mrema.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera investigative journalist. Waandishi wachunguzi hata ukisililiza unapata ladha ya mahojiano.

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 5 หลายเดือนก่อน

    Daaaah chadema ina watu makini sana. Yaani interview tu darasa tosha. Salute Mr mrema

  • @ofreyking5975
    @ofreyking5975 5 หลายเดือนก่อน +2

    Akili nyingi sana hongera katibu mwenez umejibu vzr sana

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 5 หลายเดือนก่อน +2

    Safi tunawapenda wote wana chadema sisi uku tunawategemea sanaa

  • @MwanjaliBukuku
    @MwanjaliBukuku 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa kumwelewesha Kikeke Wengi wanapenda sana kudharau viongozi wa Chadema bila kujua kuwa Chadema Ina viongozi weledi sana

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mhe. Mrema uko vizuri kwenye majibu CHADEMA hongereni sana mna akili nyingi san mmew ekewa mpaka nyongeza.CHADEMA Hakuna aliyedhaif.aliyetoka na maneno ya mkosaji hayoo na akirudi msimpokee

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 5 หลายเดือนก่อน

    NIMEKUBALI MREMA NI SIMBA KAMA MBOWE❤❤❤❤❤❤ NYIE NDIO MMATUFANYA SISI WANANCHI TUONE CHADEMA NI CHAMA CHENYE MISIMAMO.❤❤

  • @jeremiahnzomuvula8419
    @jeremiahnzomuvula8419 5 หลายเดือนก่อน

    Well done Mlema nimesikiliza kwa makini sana sijakuatana na mapungufu yoyote labda wenzangu!

  • @RevocatusMugisha
    @RevocatusMugisha 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekukubali Mrema big up

  • @madenge731
    @madenge731 5 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Jamaa yuko smart sana kichwani na anajua kujibu vzr. Ndo maana naipenda chadema maisha yangu yote M4C daimaaaaaaaa ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @PeterKajana
    @PeterKajana 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mrema upo vzur sana!

  • @legacytrainingservices
    @legacytrainingservices 5 หลายเดือนก่อน

    Detailed stated, well done champ👏

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu kibarik chama chadema kinawatu wered sana wanaopenda haki sana, kama kunawatu wanapenda kuturudisha nyuma mungu aingilie kati wachomwe moto tunaianini chadema inawatu makin ,naniwatu wengi wapo chadema wanapenda sana mslai yao

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mzee mrema pia kikeke unafanya mahojiano unaonyesha ukomavu kuwa ww ni mtangazaji kinara nguli kabisa mahojiano mengine ni kama vufugu safi chadem mana sa iv wabunge wa upande ule wakienda kwenye majimbo yao hawasikilizw wanabakia piga piga piga uyoo

  • @Tunaamini
    @Tunaamini 5 หลายเดือนก่อน

    Oyeee safi sana mchungaji apate kipande

  • @renatusmutabuzi7233
    @renatusmutabuzi7233 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kikeke

  • @BabuWilly-x7j
    @BabuWilly-x7j 5 หลายเดือนก่อน

    Smart Mrema, big up!

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 5 หลายเดือนก่อน +8

    Akili kubwa sana watu M4C people's

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 5 หลายเดือนก่อน

    Ufafanuzi mzuri sana toka kwa Mrema, Afisa habari wa CHADEMA

  • @BonaventureJohn-mk6xh
    @BonaventureJohn-mk6xh 5 หลายเดือนก่อน +1

    One of the big bràins I dare to say

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 5 หลายเดือนก่อน +3

    Viongozi msituangushe,,chadema kimbilio letu,,mrema umenitoa shaka

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE SANA BWANA KIKEKE KWA MASWALI YAKO MURUA KABISA. NA HEKO MJIBU MASWALI HAKIKA CHADEMA INA VIONGOZI WALIOSHIBA SHERIA KISAWASAWA

  • @raphaelkorio2435
    @raphaelkorio2435 5 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wa Chadema wako competences san

  • @dreamdream9973
    @dreamdream9973 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ila lissu hakutangaza kugombea alisema2 Yuko sawasawa Kama atapewa Hilo jukum

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 5 หลายเดือนก่อน

    Chadema chama kikubwa na ndio maana kinafatiliwa kuliko vyama vingine, kama cuf nccr nk.
    Maswali pia niya kuwaondolea matumaini wanachadema ,ila Mh mrema Yuko full majibu.
    Good Brain mrema🙏🙏🙏

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 หลายเดือนก่อน +2

    Lisu alilizwa swali akajibu swali kwamba ndio niko tayari kugombania uraisi

  • @godwintenesi3307
    @godwintenesi3307 5 หลายเดือนก่อน

    Good Interview Kikeke na Mrema😂😂😂

  • @ThadeiMwacha
    @ThadeiMwacha 5 หลายเดือนก่อน

    Kikeke uko vizuri

  • @abelmghana2843
    @abelmghana2843 5 หลายเดือนก่อน

    mungu ampe guvu mbowe ili chama kiwe na nguvu

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tegemeo letu tz ni chadema kututoa kwenye shida za mikodi mingi sana tunateseka jamaniiiii

  • @FrankNgoti
    @FrankNgoti 4 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @pyeledensele1988
    @pyeledensele1988 5 หลายเดือนก่อน

    Brilliant

  • @EmmanuelMwakisu-uu5gu
    @EmmanuelMwakisu-uu5gu 5 หลายเดือนก่อน

    Mrema ni smart

  • @FrankNgoti
    @FrankNgoti 4 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru Kirusi Msigwa Ameondoka 😂😂😂

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwananchi kajiandikishe ktk daftari la kudumu ili uwe na uwezo wa kumchagua kiongozi unaemtaka.

  • @KwiniJoel
    @KwiniJoel 5 หลายเดือนก่อน +2

    Matumaini makubwa Kwa sasa ni Kwa Chadema

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 5 หลายเดือนก่อน

    CDM tegemeo letu tz, Leo nalipia Kadi ya CDM online❤

  • @giztony2009
    @giztony2009 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi huwa nashangaa chadema wanatumia nn kuwapata watu wao just imagine huyu hana jina kivile ila ana akili nyingi zaidi ya ccm wengii sana ametulia hana mihemuko

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d 5 หลายเดือนก่อน +5

    Waandishi wa Habari wa Tanzania ni uchwara sana na wengi wametumwa na ccm. Alichoongea Lissu ni kitu kingine kabisa, sasa wanakuza mambo na kuleta tafsiri mbovu. Kikeke naye anaiga waaandishi wa habari wa Tanzania wasio na weredi. Yaani ni waandishi uchwara makanjanja tu. Mwandishi aliuliza swali na Lisu akajibu kwa ufasaha KABISA sasa wanaruka na habari nyingine kabisa.

    • @charlesmbaga6088
      @charlesmbaga6088 5 หลายเดือนก่อน

      Kikeke ameshatiwa ndimu Tanzania kuna lana Bruh nipo California inasikitisha sana

  • @jumamchungu2326
    @jumamchungu2326 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mrema yupo vzr sana, fafanua la mwisho kuhusu mnyika kutofanyia kazi zake ofisi ya chama na makundi yaliyopo ndani ya chama km alivyosema huyo msigwa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sema mrema umekaa kwenye kiti mda mrefuuu😎

    • @jeremiahngoka4980
      @jeremiahngoka4980 5 หลายเดือนก่อน

      Njoo ukae wewe fala mkubwa

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona wewe umekaa muda mrefu hugombei nenda Katie Nia ugombee ukishinda na wewe utakaa muda mrefu!

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@jeremiahngoka4980Anatakiwa akagomber ili na yeye akakae muda mrefu Kuna watu hawataki kugombea utafikiri wamekatazwa Kazi yao ni majungu ti!

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 5 หลายเดือนก่อน

      @@IsayaSosolo-nx8zk majina yenu tu kaa vile mashoga sibishanagi na nyie watu

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 5 หลายเดือนก่อน

      Hapo hujabishana na sisi mashoga? Kumbe na wewe umo kwenye kubishana na mashoga wenzako!​@@PrinceHendry-hp8vv

  • @melch3097
    @melch3097 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Salim na wewe, bado kabisa. Kipi kibaya alichosema lisu

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 5 หลายเดือนก่อน

    Chadema naipenda kwa7bu ina viongozi ambao wanaweza kujibu na kutoa hoja, John Mrema nimekusikia na nimekuelewa una hekima na busara, wewe unaweza uongozi.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Tuwe wakweli Chadema mnayumba sana,ni muda na wakati mzuri kukijenga chama.Huku chini ambako ndo wanachama walipo mmepasahau.

  • @mrmadebwesanga4971
    @mrmadebwesanga4971 5 หลายเดือนก่อน

    Sahihi kabisa

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 5 หลายเดือนก่อน

    JAMAA Nilikuwa Namchukulia POA. Kumbe yupo Makini Ivi

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 หลายเดือนก่อน

    Shughulika na mchungaji kondoo watatawanyika. Kondoo Tanzania tulinde wachungaji wetu hasa mchungaji Mkuu.

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 5 หลายเดือนก่อน

    Tunakupata kikeke mahijiano ni mazuli sana majibu mazuli maswali mazuli

  • @ebenezermushi957
    @ebenezermushi957 5 หลายเดือนก่อน

    Kikeke BBC ulifanya vizuri hapa sijui upo mlengo gani!

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kikeke usijiingize kwenye uchawa au kutumika mbona huchokonoi yanayojili ndani ya ccm unajitoa ufahamu !

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 หลายเดือนก่อน

    Mtu yoyote akishindwa uchaguzi hakosi wa kumsingizia kwaiyo na chadema mnamsingiziaga ccm😉

  • @aliharoun8659
    @aliharoun8659 5 หลายเดือนก่อน

    Nimemuelewa sana huyu mwamba yani kuanzia sasa profile yangu ya whattsap ni chadema only

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 5 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi Kasema Apa Kwamba Mtu Yeyote Akishindwa Kwenye Uchaguzi Akosi Cha Kusingizia Kwaivo Chadema Uchaguzi Ujao Ikiwa Mtashindwa Basi Msitafute Vya Kisingizio Itabidi Mkubali Matokeo Mana Chaguzi Aziwezi Kuwa Na Mwisho Mpaka Dunia Ikumbwe Na Kihama Cha Dunia

  • @abelmghana2843
    @abelmghana2843 5 หลายเดือนก่อน

    mrema uko vzr wanaoleta haya maneno ya kwamba mbowe hafai kuwa mwenyekiti wana ccm ili waweka mtu zaifu chama kife ili washangilie kwa hiyo mbowe ndio nwamba hakuna mwamba kama mbowe

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani agenda za waandishi ni kudadavua ya huko CHADEMA tuuu! Mbona sio CUF au NCCR??
    Mti wenye embe ndio unatupiliwa mawe!!!

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani uache kuhoji chama kilichobeba matarajio ya watanzania ,ukahoji vyama vinavyohongwa ubwabwa!?Wewe vipi?!

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mbowe wenyekiti Apumzike kwa maslahi ya chama Tundulisu kanyoka sana

  • @andreahongole9332
    @andreahongole9332 5 หลายเดือนก่อน

    Mrema unajua broo..... But toen migongano kama kweli ipo na mfanye siasa zenye tija Kwa taifa. Vurgu na hama hama cyo hitaji letu wananchi. Hivyo mshikamane n mpige siasa za matokeo Kwa wananch. Kwa kifupi mpo vzuri

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 5 หลายเดือนก่อน

    Bado maji na mafuta yatajitenga tu....haya mambo yapoo...mnatetea tuu...😂😂😂😂

  • @emmanuelmshana2217
    @emmanuelmshana2217 4 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mtakapo Chagua Mwenyekiti mpya chadema Ndio mtaweza kunishawish

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 5 หลายเดือนก่อน

    MREMA UNANISHAWISHI SANA KUPIGA KURA TENA IJAPOKUA TUME YA UCHAGUZI NI ILE ILE WASIMAMIZI NI WALEWALE MTEUA TUME NI YULEYULE TUNATEGEMEA YATAKAYOTOKEA NI YALEYALE HII INAKATISHA TAMAA SANA KWAKWELI.

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 5 หลายเดือนก่อน

    ✌️

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa majibu ya mrema

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani Nyerere alivyosema alitoka ccm?

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 5 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa kama Mwambe ni wachumia tumbo na ccm mnahangaika sana kuibomoa cdm kwa kuwatumia hao vibaraka . Madudu mangapi yanayotokea ndani ya ccm mbona Makamba Nape na Kinana hujawafatilia !?

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kikeke umefeli Kama umetumwa kawambie

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 5 หลายเดือนก่อน

    Ni suala la muda. CCM mkimtaka Msigwa mpeni cheo Cha Kinana kama mtabaki salama.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kodi ya jengo tunalipa wenye umemetu sisi tunajuama uku mitaani

  • @josephmbeya5973
    @josephmbeya5973 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Mh.Mrema

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 5 หลายเดือนก่อน

      Hilo Swali ilikuwa lazima aulize aone anajibiwaje?

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 5 หลายเดือนก่อน

    Chadema tunaipenda sana

  • @hamzasadik7675
    @hamzasadik7675 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi doctor mashinji alifia wapi.simsikiagi tena

  • @emmanuelikombe5959
    @emmanuelikombe5959 5 หลายเดือนก่อน

    Chadema moto wa kupotea mbali

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 5 หลายเดือนก่อน

    Nataka nimshauri Tundu kwamba pamoja umarufu wake akitoka Chadema hatakuwa na umarufu ulele

  • @yaredamos7664
    @yaredamos7664 5 หลายเดือนก่อน

    Mrema ni mtaalam wa kujibu maswali.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 5 หลายเดือนก่อน

    Hii Chadema wanaikweza sana! Hebu wapeni nafasi TLP na UDP pia, pamoja na wale wa Ubwabwa! Na ACT na NCCR Mageuzi !

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 5 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kututajia safu ya uongozi wa juu wa TLP au UDP? CHADEMA hakijikwezi bali kinathaminiwa, kinapendwa na kuaminiwa!

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 5 หลายเดือนก่อน

      Ivi humo Kichwani Kuna Akili kweli? Unavizungumzia vyama vilishajifia nakuwa sehem ya Ccm? Apo vitafufuka tu Kwenye Uchaguzi basi

    • @BabuWilly-x7j
      @BabuWilly-x7j 5 หลายเดือนก่อน

      akili mfu hii

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 5 หลายเดือนก่อน

      @@sylvestercameo6263 nimesema waandishi wa habari ndio wanaikweza. Kwamba wangetusaidia sana kama wangewaita viongozi wa Vyama hivyo vingine pia!

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 5 หลายเดือนก่อน

    Ila tunaomba makamanda tunamamluki wengi ndowanao tuludisha nyuma tunazid kupiga maktaim

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 หลายเดือนก่อน

    USIPOMSIKILIZA KWA UMAKINI NA KWA BUSARA HUTAMWEELEWA LISSU MAANA YEYE LISSU ANAONGEAGA KISHERIA NA KIMUNGU YAANI ""HAKI"

  • @antonykpatricj2864
    @antonykpatricj2864 5 หลายเดือนก่อน

    Akitoka chadema kwenda ccm shelehe akitoka ccm kwenda chadema anakua mstakiwa na kupigwa kila media hii tz

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Mnyika yuko wapi?

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 หลายเดือนก่อน

    Yani chadema iko kwenye moyo walaa hatuwezi kukata tama kwa sababu ya msigwa tuko imala

  • @JAPHETJOHN-g4n
    @JAPHETJOHN-g4n 5 หลายเดือนก่อน

    Kamanda Niko na nyinyi