MVUTANO WA JESHI LA POLISI NA VIJANA WA CHADEMA SINTOFAHAMU BADO NI KUBWA VIJANA WAFUNGA BARABARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 318

  • @gangan4618
    @gangan4618 2 หลายเดือนก่อน +31

    Pamoja tutashinda. Viva Makamanda viva, Viva viongozi wa chadema Viva, Viva CHADEMA VIVA.

  • @ProsperMsemwa-g8n
    @ProsperMsemwa-g8n 2 หลายเดือนก่อน +27

    Hapo police mna ua Chama cha ccm kwa sababu mnakua wana siasa mnasahahu majukumu yenu sasa mtakuja kukumbuka mda umeisha mimi nataka kusema chadema ❤❤❤❤❤

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน +4

      Wanawaogopa Chadema wana points na uzalendo wa dhati tunawapenda sana. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeees!!!

    • @benedictmrisho1800
      @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

      4R zilieleweka?

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa tumejua wananchi wanaoletaga umwagaji Damu hapa Tz ni CCM na polisi

    • @altonkanjolonga2380
      @altonkanjolonga2380 2 หลายเดือนก่อน +1

      uko sawa

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 หลายเดือนก่อน

      @@upendoeliya9329 power!!!

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mpo vizuri hongerani sana

    • @evelina9621
      @evelina9621 2 หลายเดือนก่อน

      Waombeni.ruhusa.polis

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 2 หลายเดือนก่อน

      Wanabaghi hao

  • @twiyambecommunitybasedorga4048
    @twiyambecommunitybasedorga4048 2 หลายเดือนก่อน +13

    Let peace prevail. Naomba msafara usindikizwe, Mungu awape utulivu. Ukiona magumu jua neema imefika.

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 2 หลายเดือนก่อน +39

    Mpo vizuri chadema pambanie haki yanu vijana

    • @evelina9621
      @evelina9621 2 หลายเดือนก่อน +8

      Polisi.waaichieni
      Vijana
      Ni
      Vijana.wenu.mwewe.nunu
      Mwe.na
      Huruma.polisi.wa.juu.mnawasumbua.hamogopi
      Mungu

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 หลายเดือนก่อน

      @@evelina9621 we waache tu waendeshe mambo kimazoea, WATAJUTA kuliko itakavyokuwa kwetu.

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 หลายเดือนก่อน +4

      @@hadijasufiani6167 ila nimekubali hawa jamaa akili hakuna, CHADEMA wanakomaa kuwatetea wao na wananchi dhidi ya madhira wanayoyapitia, bado wanawatesa watetezi wao na kuwalinda wanaowatesa.
      "yaani umiza mtetezi, mlimde mtesi"
      Kichwa kimejaa akili ambayo ni......

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mbona CCM wanachukua mbaka wanafunzi wao awakamatwa

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jeshi la police nila kumlinda Samia mungu akulaani wewe mama na jeshi lako

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew 2 หลายเดือนก่อน +18

    Mpaka kieleweke makamanda viva chadema✌️✌️✌️✌️✌️

    • @stevenkatani3047
      @stevenkatani3047 2 หลายเดือนก่อน

      Kinaeleweka vp ww upo nyumbn watachafuliwa

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ubaya Ubwela Hakuna Kwenda Kituo Chochote Chapolis bila Kosa Lolote😊

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 2 หลายเดือนก่อน +7

    Safiiii✌️✌️✌️mm mbona sikujua hiyo safari ningekwepo mstari wa mbele..

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 2 หลายเดือนก่อน +19

    Safi sana makamanda, people's power 💪

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 2 หลายเดือนก่อน +8

    CCM sana pelo mchafu inabidi waombee lista awatoke. Wanadanganya kuna uhuru kumbe ni waongo. Naninyi polis WA Tanzânia acheni ujinga na uchawa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +7

    Intelejensia hiyo ipo kwa upinzani tu mbona yule aliyesema tukiwapoteza msiwatafute kwenye mkutano wa CCM hii ni aibu haki ipo wapi hii nchi sio mali ya chama tawala

  • @antonykpatricj2864
    @antonykpatricj2864 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wanazunguka.nchi mzima wao sawa ila chadema iwe shida wanaogopa nn

  • @japhetmungure5912
    @japhetmungure5912 2 หลายเดือนก่อน +23

    Wana cdm Nchi nzima tusimame pamoja kupinga unyanyasaji huu.Nashauri tuanze michango ya kuwawezesha vijana wetu,wasipate njaa Wala kiu.No hate no fear.

  • @StevelabaranSeverwa
    @StevelabaranSeverwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    CHADEMA hatutaki unyanyasaji, Hawa mapolisi waache ufala

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 2 หลายเดือนก่อน +7

    MH. RAIS SAMIA INGILIA SUALA HILO LA POLISI 'WAPUMBAVU' WANAOTUMIWA BILA KUJUA WANAKARIBISHA VURUGU NCHINI....VIJANA WA CCM WALIFANYA MIKUTANO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI....LAKINI CHADEMA WANAZUIWA....CHONDE CHONDE MH. RAIS SAMIA MNAINGIZA NCHI KWENYE VURUGU.

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani ni nini hii mapolisi wasio na weledi wa kazi yao

  • @nicksonalfredy-gr6wn
    @nicksonalfredy-gr6wn 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ukweli wanachofanya sio haki

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 2 หลายเดือนก่อน +5

    Labda ninyi ni wasomali au wakimbizi kutoka Ethiopia ndio maana wamewazuia siku inakuja ndani ya nchi tutaulizwa passport ndani ya nchi yetu. Chagulanya katekwa hajaonekana mpaka leo badala ya kupambana na wahalifu wanahangaika na chadema

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tutalalamika mpakalini sisi tupo kwenye inchi yetu kwanini tunyanyaswe tufanyemaamuzi kama Kenya

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 2 หลายเดือนก่อน +4

    Vijana wa Chadema wako vizuri. Hawavunji sheria .Polisi kuwa zua ni kuwanyima HAKI.Raisi SAMIA Uwaruhusu Vijana wakutane huko MBEYA KWENYE SIKU YA VIJANA DUNIANI.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hiyo ndio wanaita nchi yenye democracy hii ni demokrasi?

    • @EsterNdalu
      @EsterNdalu 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna demokrasia ata kidogo

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna cha kumharibia anayezuia ni samia siyo.tulia. Vijana msikubali tena inatosha hii tanganyika siyo ya fisiemu

    • @PeterMwaiwambe
      @PeterMwaiwambe 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani munaenda wapi. Naomba Police Waendelee na kazi yao. Police hongereni sana chapeni kazi yenu mupo vizuri sana,

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 หลายเดือนก่อน

      @@PeterMwaiwambe hujielewi!!!

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 2 หลายเดือนก่อน +7

    Vijana mpo vizur,,ionyesheni serikali ya Tanzania kuwa vijana mpo,,

    • @EliasPaul-qs2ib
      @EliasPaul-qs2ib 2 หลายเดือนก่อน

      Ujinga wako utawaponza

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 2 หลายเดือนก่อน +4

    Upo vzr sana dada

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ingekuwa ni vijana wa CCM ungekuta askari wanawapepetea wapite njiani bila usumbufu

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 2 หลายเดือนก่อน

      Ccm wamefanya nchi niyao vijana amken

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nyie Chadema Media Kwanini Hamuwaonyeshi Hao Polisi Kwa Kamera? Je Watu Wakisema Mnafanya Maigizo... Sometimes Jifunzeni Mbinu za Kuwapasha watu habari... Mngewageuzia Kamera hata Kama ni Kwa Kisiri

    • @DullaMsanja-x9r
      @DullaMsanja-x9r 2 หลายเดือนก่อน +1

      We kipofu angalia vizuri police wanaonekana hapo mbona

    • @DullaMsanja-x9r
      @DullaMsanja-x9r 2 หลายเดือนก่อน

      Ngalia vizuri video dakika ya 11.
      Kuna maga matatu ya Nani Ayo?

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 2 หลายเดือนก่อน +5

    Polisi fuatenisheria zanchi ,piasimameni kwenye misingi ya taalumazenu

  • @RukiaSalum-n4m
    @RukiaSalum-n4m 2 หลายเดือนก่อน

    Huo ni Udikiteta Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ni ya wote sio ya CCM jamani mungu ikumbuke Tanzania🇹🇿🇹🇿❤❤❤

  • @spiderelexander9977
    @spiderelexander9977 2 หลายเดือนก่อน +3

    Iwe kama kenya

  • @jumaaabdalah
    @jumaaabdalah 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atawaongoza muwe wakweli uongo utengen

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 หลายเดือนก่อน +5

    Najiuliza hv wangekuwawa ni vijana wa ccm wangezuiliwa???? Mbona hawa viongoz wanaamsha hasira watu???? Hv hawa watawala wana shda gani 3:57

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani natamani MUNGU awashughulikie kikamilifu 😮

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheim on you police force of TANZANIA

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน +5

    That is the political party voice refiuse going to police station chadema has right to refiuse to let them know they problem

    • @JabirJabir-c9o
      @JabirJabir-c9o 2 หลายเดือนก่อน

      Andika kiswahili kiingereza hujui.

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JabirJabir-c9o j you have got sickness on your brain agui on lntanationol language you know don't just childish aguing whale you don't know anything about English even crest sentence explain single word in English
      Number 2 chadema is big political party take youth on training outside of tanzanian protect leader on political party only solution muda wa kutegemea ccm police ktk hiyo nchi ni kupoteza muda kuchukua vija Kila. Mkoa watanzania wapo tayari kuchanga vijana wakajifunze kulinda maslai ya vyana vyao hakuna wa kukataza sababu hata ccm uvcm wanafanya hayo Sasa viongozi km Kila mara viongozi kukamatwa km kuku na vijana kukamatwa Kila mara na kuvuruga shuguli za chadema ni kukiua kirahisi huu ujinga hautskia kuendelea kuvumiliwa hawezekani Kila mara vijava wa chadema kukamatwa kamatwa ingelikuwa nchi zingine sasahivi huko mtaani police ccm barabara zishafungwa tunakimbizana kimbizana huko mtaani km chadema hawezi kujiongeza hicho chama ccm wanaenda kukuwa kutumia police basi na jeshi wakati chadema ni chama kikubwa Saba nchini watanzania wamechoka kuburwa km ngombe ktk nchi yao wakati ccm lmekufa siku nyingi watanzania wanateseka na na police sio ccm hawapo ktk mfumo wa kidemokurasia genge la kitapeli wa kidemokurasia wakati hawapo wageni na viongozi wa chache kwa mgongo wa ccm vazi wakijicha nyuma ya police

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 2 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ya Samia imefeli kabisa katika hili

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 2 หลายเดือนก่อน

    Haaaaaah.........haaaaah...... mmmmmhh......... kazi kweli

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน +1

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeees!! Viva CHADEMA Vivaaaaaaa!!

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hapa Tathmini yangu Inaniambia... Wala Msimlaumu Sami, Ni Tulia, Tulia Kampigia IGP, Akamwomba Atumie Polisi Kuwafrustrate hao Vijana Kila Mahali ili wasiende Mbeya... Alishawahi Mfanyia Sugu Uhuni wa aina hii 2020. Ajue Tu Anamharibia Rais na Aache Mara Moja.

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa kabisa kamanda Marandu, lazima tusimame kuhesaniwa.
      Binafsi na wenzangu, tuko njiani tunakuja kwenye tukio hili muhimu sana na la amani.

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 2 หลายเดือนก่อน +4

      Rais ndiye tafsiri ya Taifa kama haya yanatokea bhasi inatafsiri Samia anahusika

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 2 หลายเดือนก่อน +2

      Haswaaa, you are right.

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wanamharibia Samia.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mko vizur vijana pambaneni tuko NYUMA. YENU.mpaka wajulikane wajulikane waliko. Msiohope MUNGU yupo atawapigania.Haki lazima ipatikane.

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hzo inteligensia mbona hazitimiki kwa watekaji wanaoteka watu????? Polis tatizo wako kwa ajili yakuilinda serekali

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      Ajabu sana ni uonevu mkubwa kwa hao Polisi kazi yao kuingilia Siasa. Bora wabakie peke yao sio wadanganye Wazungu kwa kutaka fedha lakini ukweli ni kwamba hakuna haki kwa vyama kinzani.Giza nene tumerudi enzi zile

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 2 หลายเดือนก่อน +3

    Vijana wachadema kitu ambacho viongozi wenu wa ngazi za juu kuthubutu kutoa kauli kuwa mnataka mfanye kama yale ya Kenya ni utarishaji wa amani Tanzania .Mnyielewe kenya ni nini kimetokea .Tanzania hatutaki kuwa uwanja wa ukorofi .mjue kenya bambo mengi yamearibika ndio maana usemi wa viongozi wenu.Hatutaki vurugu

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 2 หลายเดือนก่อน

      Unauhakika kuna kauli zilizo tolewa? Unaweza kuthibitisha?

    • @HulumaKisakali
      @HulumaKisakali 2 หลายเดือนก่อน

      Hujui ulitendalo kwanini wasimkamate aliye sema huko nikujidhalilisha

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wameanza udictator wameshaona dalili za kushindwa uchaguzi mwaka 2025

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 หลายเดือนก่อน

      Unaumwa mavi wewe CHADEMA ya wahuni aina ya msigwa washinde 2025, duuh kichwani mavi

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 2 หลายเดือนก่อน

      Fala ww ​@@laninjeje8290

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 2 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu kwa anguko la Babeli Tanzania.

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki serikali inakifanya sio jambo jema Kwani hofu yao Nini inchi niyetu sote mbn jmn 😢😢

  • @dankimambo1871
    @dankimambo1871 2 หลายเดือนก่อน

    Pole dada yangu kipenz

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tangu nizaliwe sijawahi sikia babu yangu akinisimulia au mimi mwenyewe kushuudia police wakizuia msafala au mkutano wowote ule wa chama cha CCM isipo kuwa upinzani tu hasa CDM, Hii inamaana ya kuwa chadema ni chama huru ambacho akina mfungamano wowote na chama cha CCM, na ivyo ccm wanaiogopa chadema ni tishio kubwa kwao❤

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kukiukwa Kwa haki ndio chanzo vurugu na kutoweka Kwa amani.Tafadhali jeshi la polisi tumieni hekima na busara kuepuka kuitumbukiza nchi hii kwenye matatizo makubwa Kwa maslahi ya kundu la watu Wachache.Mbaya sana.

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shida polisi ni wahoga fanyeni mazoezi ni kula Nyama tu 😃😃 kitu kidogo wamesha ingia upepo

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 หลายเดือนก่อน

    Mdogomdogo mtafika, asante sana

  • @thomasmsuya-ui5kh
    @thomasmsuya-ui5kh 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @BillingsXaveryNshullo
    @BillingsXaveryNshullo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi ccm wanajikuta nani katika nchi hii imagine nani atalipa gharama za vijana hao masikini wanaenda kuazimisha siku yao mbona wao walisheherekea lakini acha nikae kimya au baas

  • @Majiifande
    @Majiifande 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nadhani serikali ya CCM iwe makini na haya , inajiondolea uhalali kwa wananchi

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Polis haya mambo itazameni Kenya na sudani Afrika lmebadilika kuweni wastaalabu mambo ya ubabaishaji acheni

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli hii nchi haki haipo

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 2 หลายเดือนก่อน

    God is good

  • @AnzamenMariki-y9t
    @AnzamenMariki-y9t 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi ngum sana,poleni sana mungu aqatangulie

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 2 หลายเดือนก่อน +1

    ni vigumu kuelewa kama Polisi wanafanya hivi ili kumlinda/kumfurahisha Samia, au ni mbinu za maadui wa Samia kumharibia ili aonekane ni mbaya.Samia...angalia sana ; kikulacho ki nguoni mwako😂

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Moto huu hawata weza kuizima kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho ccma imekwisha chakaa imepitwa na wakati inaespai date

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumenyanyaswa,tumedhulumiwa,tumeonewa kiasi cha kutosha sasa basi tuambiwe tuwachangie vijana wetu.Lengo ni kuidhoofisha chadema vijana wakate tamaa ccm waendelee kunawiri wameshindwa kwa JinaYesu

  • @HenryMBwaga
    @HenryMBwaga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna amani bila haki

  • @kadlovetv
    @kadlovetv 2 หลายเดือนก่อน

    Kama mna njaa kuleni nyasi

  • @saidikindole6914
    @saidikindole6914 2 หลายเดือนก่อน +1

    msigwa kawa shetani

  • @StephanoMbwambo
    @StephanoMbwambo 2 หลายเดือนก่อน +1

    kumbukeni mnachokipanda leo ni matokeo mabaya ya kesho kitaifa.( police) inabidi mtafakari kwa upya .

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 2 หลายเดือนก่อน +3

    Linatia aibu

  • @ChazJulias
    @ChazJulias 2 หลายเดือนก่อน

    tuandamane wanasahau kazi yao

  • @JeshiAbdala
    @JeshiAbdala 2 หลายเดือนก่อน

    Duuh hii mchi jamani, bora watutangazie2 kwamba vyama pinzani hawataki maana

  • @HenokoMwaipopo
    @HenokoMwaipopo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Peoples,,,,,,,,,,powerrrrr

  • @JuliusKileo-c3h
    @JuliusKileo-c3h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa polisi wanaibeba ccm. Ingekuwa ni uvccm wangewaruhusu wasinge wazuia.Nchi hii ni yetu na siyo nchi ya Polisi.Polisi tuacheni tufanye siasa kwa uhuru na kwa kufuwata sheria.

  • @PaulKaisi
    @PaulKaisi 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Mungu tuendelee kuomba kwa ajili ya Taifa letu na amani ya Taifa letu

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 2 หลายเดือนก่อน

    Namuona mdogo wangu hapo toka mara wasizani hatuwafatilii wasiwazengue maana ccm wanawatoto wanawalipa mishahala ambayo nikodi zawatanzania

  • @SilahMasima-pi7bn
    @SilahMasima-pi7bn 2 หลายเดือนก่อน

    That's our Tanzanian. Poli tics

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali inawatumia polis vibaya badla ya kulinda mali na Raia wanafutilia watu cheo ni dhamana jamani 😢

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 2 หลายเดือนก่อน

    kweli kabisa dada umesema,kazi yao ni kulinda usalama wa raia,lakini wamegeuzwa kuwa chombo Cha siasa,Tena police kwasasa ndio hatari Kwa usalama wa raia.

  • @FestoKalenga
    @FestoKalenga 2 หลายเดือนก่อน

    Nch hii

  • @alenimgaya3889
    @alenimgaya3889 2 หลายเดือนก่อน

    Mm naamini hakuna marefu yasiyokuwa nancha ipo cku tu

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 2 หลายเดือนก่อน

    Kisheria mtu ukishakuwa raisi utakiwi uwe na chama

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 2 หลายเดือนก่อน

    Dah hao polisi wanaishi ndani ya siasa za viongozi onevu.

  • @nickkuntalukule2742
    @nickkuntalukule2742 2 หลายเดือนก่อน

    Gen Z inaogopwa kiasi hiki! Basi wanaitia nguvu sana.

  • @jacksonmwakasege6210
    @jacksonmwakasege6210 2 หลายเดือนก่อน

    Toka juu !!!!!Vs Toka chini!!!!

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm waoga hao hawajiamini kwa madudu Yao hayo

  • @JamaryHD5-ce6dw
    @JamaryHD5-ce6dw 2 หลายเดือนก่อน

    dar, poleni sana mimi ni dereva naendesha gari mmiliki wake ni mwanachama wa chadema na nilikuwa natoka maara furani nakwenda maara furani ivi na nimebeba wanachama wa chadema, nilipofika check point au kituo cha askali nilisimamisha na nikakamatawa nikanyang'anywa lesen ilikuwa saa nne ya asubuhi na nika andikiwa faini za kutosha, nikakaja ruhusia kutoa gari saa kumi na moja jioni na safari ikaishia hapo yani acha namenyi ya kusema lakini sina pakusemea.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani kiazisha watawafanya nini kenge hao

  • @MosesCheketela
    @MosesCheketela 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm ni wabaya kuliko hata wakoloni, Kila mpenda haki anatakiwa kuchukua ccm

  • @moseslokol5517
    @moseslokol5517 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona vijana tunanyimwa haki yetu kuna maswali ya kujiuliza

  • @nellylaroi1150
    @nellylaroi1150 2 หลายเดือนก่อน

    Arusha hatuna watu wanaitwa KIMAMBO Tapeli huyo

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 หลายเดือนก่อน

    WatanZania tuombe. Tufanye maombi nchi hii niyaccm au niwatanzania

  • @Paulomollel-n3n
    @Paulomollel-n3n 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 chuma imelia ubaya ubwala man

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 หลายเดือนก่อน

    Movement for change

  • @RashidiAlly-et1sg
    @RashidiAlly-et1sg 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie police mnazingua sana na hii nch ndio tayali imeshawashinda ccm wakipita mbona hamuwazui

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 2 หลายเดือนก่อน

    Polis polisi mimi naona kama hii nchi mnaona kama mali ya CCM ila mali yetu sote mjue mnavyo fanya hivi mnajenga uhasama baina yetu wananchi pia hayo maagizo kutoka juu wakati mwingine si mazuri kwa ustawi wa nchi yetu ila kwa CCM tu

  • @StephanoMbwambo
    @StephanoMbwambo 2 หลายเดือนก่อน +1

    mbona police wetu wa tanzania wanapenda kufanya mambo yao maranyingi kwakukurupuka lini mtaelimika? kwakweli sisi kama wananchi wafuatiliaji kwa karibu police tunawashauri mujirekebishi nchi sio yenu wenyewe nchi ni yawatanzania wote kwa mujibu wa sheria kikatiba.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน +3

    Komeane wold is worching you there in Tanzania police blocking chadema activity whale ccm have been done they activity in Zanzibar why they did not harassing c cm youth in Zanzibar yesterday don't agree such move

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa vijana wote ni wahitimu wa vyuo na ajira hakuna

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 2 หลายเดือนก่อน

    Makamanda wanasikia njaa na wanakiu wanalalamika kuchomeka jua,,

  • @faridamapogolo2892
    @faridamapogolo2892 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @ramadhanimzumbe7378
    @ramadhanimzumbe7378 2 หลายเดือนก่อน

    Angalieni Gaza, Amani ni muhimu

  • @AlexPetro-z1e
    @AlexPetro-z1e 2 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja,,, people's power

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 2 หลายเดือนก่อน

    Mapolis nimakada wa ccm lazima wafanye ujinga

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 2 หลายเดือนก่อน

    Halafu haya mapolisi majinga, ivi hawa watakuja kuelewa lini sijui.