MBEYA IMEANIKA HOFU YA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Tutambue mafanikio 6 ya CHADEMA katika sakata la dola kuharibu sherehe zao Mbeya

ความคิดเห็น • 313

  • @mwakalikuhossana3942
    @mwakalikuhossana3942 29 วันที่ผ่านมา +38

    Ni kweli Raisi wetu pamoja na ccm yake waiogopa CHADEMA ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa ya polisi kujaribu kupora haki ya CHADEMA ya kufanya mikutano wasijue kuwa watu watufanya tuzidi kuipenda CHADEMA kwa wingi sana kwa mtaji huu ccm wajimaliza wenyewe bila kujua

    • @godfreynoya6670
      @godfreynoya6670 27 วันที่ผ่านมา +2

      Hakika

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 26 วันที่ผ่านมา +1

      Chadema Ni Mpango Wa MUNGU

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 24 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@qonquererqanquerer1781MWENYEZ MUNGU usihusishe na mambo ya kisiasa

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 23 วันที่ผ่านมา

      Mungu yuko upande wa kila mwenye haki
      Tunalaani kila aina ya uovu

  • @mwangajilemwangajile-hd9vj
    @mwangajilemwangajile-hd9vj 29 วันที่ผ่านมา +21

    I always admire your analysis. You are indeed the big brain this nation needs

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 29 วันที่ผ่านมา +25

    Nikweri mziki wa chadema. Ni mkubwa. Mno. Ringine. Ambro. Hawajui. Chadema. Iko kwenye mioyo ya watu. Asante sana ngurumo. Kwa. Maongezi. Yako. Ubarikiwe. Sana

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 28 วันที่ผ่านมา

      Usiseme mioyo ya watu ipo kwenye moyo wako

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 25 วันที่ผ่านมา +1

      @@Shokolokobango9385 Ndio ipo kwenye miyoyo yetu haswaaa✌️💪✊

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 29 วันที่ผ่านมา +22

    waaoooh!
    Uchambuzi mluwa kabisa.
    Ngurumo wewe ni mchambuzi kwelikweli, umeongea ukweli mtupu.
    CHADEMA tumaini ya wananchi. Mungu ibariki chadema, bariki wapenda HAKI, bariki viongozi wa CHADEMA.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 29 วันที่ผ่านมา +16

    Asante Ngurumo kwa uchambuzi mzuri, nakufuatilia na nakuelewa vizuri sana! Dhuluma inayofanywa na ccm kupitia vibaraka wao jeshi la polisi naamini kuna wakati Mungu atawajibu!

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 29 วันที่ผ่านมา +28

    Ukweli mchungu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 29 วันที่ผ่านมา +32

    Sawa kabisa Ngurumo Chadema wanaogopwa

  • @eliaschipanda2006
    @eliaschipanda2006 29 วันที่ผ่านมา +16

    Nimechukia sana vitendo hivi walivyofanyiwa Chadema

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 29 วันที่ผ่านมา +38

    SAHIHI KABISA NGURUMO ULIYOYASEMA.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 29 วันที่ผ่านมา +23

    Chadema 💪🏻💪🏻

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 29 วันที่ผ่านมา +15

    Kweli kabisa chadema inawanyima CCM usingizi kabisa

    • @isacklaizer6776
      @isacklaizer6776 29 วันที่ผ่านมา

      Ndio tujiulize, Mama anaupiga mwingi, miradi inakamilika, Mh. Rais anakubalika kwa asilimia kubwa, Wapinzani wanahamia CCM. KWANINI HILI LIMEFANYIKA? Wowote waliofanya hivi wanamhujumu, Mh. Rais Dr. SSH mchana kweupe. Mbeya is belong to Mh. SPIKA Dr. Tulia Spika wa Dunia, hofu yote hii ya nini? Wanaficha nini? Kuna nini nyuma ya pazia? CHADEMA inagawanyika, hawana uwezo wa kuunda dola, hawana jeshi, silaha, au uungwaji mkono mkubwa kihivyo? Kwanini nguvu kubwa kama hii imetumika? Walikua wanataka kupindua Nchi kutokea Mbeya? Kwa kutumia nini? Mabomu? Bunduki? MAANDAMANO? Ni hatari gani ya kiusalama waliyokua waisababishe ambayo ingeshindwa kudhibitiwa na Jeshi letu? 🤔 Yeyote aliendesha hili zoezi ni mhujumu mkubwa wa kazi nzuri inayojitangaza ya serikali ya CCM na Mh. Rais, maana sasa inatiliwa shaka.😅

  • @MatayoLekitonyi
    @MatayoLekitonyi 29 วันที่ผ่านมา +13

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa kukamata wanachama wa chama wa Chadem

  • @user-zg5sg1bc9b
    @user-zg5sg1bc9b 29 วันที่ผ่านมา +16

    Maneno mazuri sana anasikiliza mpinzani ,lakini yana karahisha na kubeza vyombo vilivyotumika kuzuia kongamano la chadema kufanyika Mbeya! Laiti wangejua kwamba wanakipaza chadema,wangesitisha haraka sana zile hujuma zao."Now its too late". Ukiwa na washauri dhaifu siku zote matendo yako yanaweza kuonekana yenye nguvu machoni lakini dhaifu sana katika mafanikio,kama mfano wa silaha walizoshika polisi na hivi baadaye tafiti zimeona kwamba yoote yaliyofanyika yamekitangaza chadema dunia nzima💯🙏🙏

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 29 วันที่ผ่านมา +18

    Hongera msema kweli, kuhusu ccm, kutamka itolewe fomu moja ni hofu miongoni mwao ccm na uchawa.

    • @stephenlaizer7780
      @stephenlaizer7780 29 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 29 วันที่ผ่านมา +2

      Weng ccm wanataka demokrasia ya kuchukua form kwà kila anayetaka ,😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@hamisijuma3276na ndio sahihi, actually mimi ningekuwa Raisi Samia ningeruhusu na ningeshukuru kuongoza nchi mpaka sasa na kuondoka bila kashfa.Ila akingangania atakuja kutoka kwa aibu Duniani kote .

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 29 วันที่ผ่านมา +16

    CCM wameondokana na misingi ya chama Chao wapo tayari kufanyia lolote kwa miaka yote ili wabakie madarakani kimabavu

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 28 วันที่ผ่านมา

      Ccm si chama cha siasa tena ni rogue entity

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 29 วันที่ผ่านมา +14

    Tafakuri sahihi...kwamba maadhimisho ya siku ya vijana duniani..ya BARAZA LA VIJANA CHADEMA (BAVICHA) yamefanikiwa kupita maelezo kwa msaada mkubwa wa waliojaribu kuzuia kongamano hilo!

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t 29 วันที่ผ่านมา +7

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu wakati wa Mungu umefika kuiondoa CCM kama kumsukuma mlevi

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 28 วันที่ผ่านมา

      Safar hii mgombea ni mama mkishindwa tena ndo basi ccm itaendelea

  • @fabby1181
    @fabby1181 29 วันที่ผ่านมา +3

    Very clear and loud, hakuna chenga serekali yetu nimeichukia Sana, kwa sababu kama wameona viashiria, polisi wanatakiwa watuonyeshe professionalism yao. Na waimarishe ulinzi katika tukio

  • @user-pp1cq9op5y
    @user-pp1cq9op5y 29 วันที่ผ่านมา +15

    Ccm wameingia choo cha kike kumtegemea msigwa kuwa msemaji wao kwenye mikutano chadema ni jeshi kubwa mungu ibarik Tanzania

  • @johnkasonta410
    @johnkasonta410 29 วันที่ผ่านมา +6

    Uchambuzi na maoni yako ni sahihi; Asante sana!

  • @user-nc2eu2ks9k
    @user-nc2eu2ks9k 27 วันที่ผ่านมา +4

    Asante,kweli mtupu

  • @shilogileshilogile4392
    @shilogileshilogile4392 29 วันที่ผ่านมา +4

    Ansbert Ngurumo ubarikiwe Sanaaaaaa! Mkiti wao hao Chama Twawala Kagoma kutupa Katiba mpya ni sababu ya Woga na hofuu Kuu ya Anguko laooo!!

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 29 วันที่ผ่านมา +8

    BAVICHA wamekuwa maarufu Sana 🎉🎉🎉

  • @LyemeMohamed
    @LyemeMohamed 29 วันที่ผ่านมา +5

    Tafakuri fafanuzi ,yenye mantiki ,inayotoa mwongozo;na namna ya kuongoza nchi .Hongera ndugu.

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 29 วันที่ผ่านมา +21

    Uko Vizuri Sana kufanya Utafiti

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 29 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu ibaliki chadema mbelembele yao jamani masela wauni mwakani tumchague lisuu tujiinueee

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 29 วันที่ผ่านมา +4

    Chadema hongera kwa ushindi. Ninyi ni shindi saaana. Tena wanahofu kubwa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 29 วันที่ผ่านมา +4

    Mwisho nawapomgeza sana Vijana wa CHADEMA na nawapa pole sana nawambea Mungu atakuwa nanyi na atawabariki sana. Atageuza mateso kuwa baraka Mungu ni mwema saba kwa sababu anawasaidia sana wanaonewa watu wabaya. Yalikuwepo huko nyuma, wakinafarao, wakina Nebkadeleza lakini waishia pa baya Mungu anaposema Neno lake litatimia kwa ajili ya Utukufu wake. Mungu atakapo ingilia mtajua tu kuwa huyu ni Mungu. Kama wakina Farao walijua hata mafarao wa leo mtajya tu Mungu atakapoingilia jati ya mateso ya waja wake.

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 29 วันที่ผ่านมา +8

    Mimi ni CCM lakini mamlaka kuwaweka ndani chadema huo ni ujinga!.

    • @JosephMvula-pf8uv
      @JosephMvula-pf8uv 29 วันที่ผ่านมา

      Na jambo la ajabu na aibu kabsa km maendeleo haya yanafanywa na ccm na serikali uoga unatoka wapi kwa nn wasijipime kwa sera za uwaz , sera za kufanya maendeleo makubwa kuwa je wananchi wanayapikeaje au n kuyaona tu ili mrad yanafanywa n njia nzir ya mwanzo kukijenga chama kuliko kuendelea kutumia dola kila siku n mbaya wanatngeneza chuki kubwa sana maana hata hawo polis czan km wanafurahia haya bali tu kutii amri

    • @augustineraphael3217
      @augustineraphael3217 27 วันที่ผ่านมา

      Optimism. Hongera

    • @YusuphMasopango
      @YusuphMasopango 27 วันที่ผ่านมา

      Maendeonimabadikoyaduniayeyoteanawezatunakakatibampwa

    • @mawingu_tv
      @mawingu_tv 26 วันที่ผ่านมา

      Nimekukubali mwamba hakki ni hakki tu muda mwingine tusiangalie vyama

    • @mawingu_tv
      @mawingu_tv 26 วันที่ผ่านมา

      Salut kwako

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 29 วันที่ผ่านมา +3

    Well said Mkuu Ngurumo and stay blessed.

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 27 วันที่ผ่านมา +3

    Naipenda chadema ❤

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 29 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana kwa uchambuzi makini nawa Haki. Be blessed Bro!!

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 29 วันที่ผ่านมา +8

    Nguli na mwandishi jabali usiyeishiwa,Hekima na maono ya haja.
    Umejaa Busara , Hekima na hoja zilizoshiba.Hoja zako ni daraja linalofaa kutumiwa,na wenye nchi wakati wote wa
    kuutafuta Uhuru wao.

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 29 วันที่ผ่านมา +16

    Ni kweli rais ana hofu ndo maana ya yote haya.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 29 วันที่ผ่านมา

      Ashukuru kwa Mungu kuwa Raisi bila kutegemea. Angekubali kuwa waweke mgombea mwengine CCM hata akitoka atoke kwa heshima. Akingangania atatoka kwa kashfa nyingi Duniani kote upoteaji watu utekwaji na kuminya haki kwa wapinzani. Ataaibika wakati aliheshimika mwanzoni ni maoni yangu

    • @geofreydulle1072
      @geofreydulle1072 28 วันที่ผ่านมา

      Mama hana hofu sana,wenye hofu ni machawa wake.

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 26 วันที่ผ่านมา +2

    Great Thinker Ngurumo

  • @user-hj1nk2wu1n
    @user-hj1nk2wu1n 27 วันที่ผ่านมา +3

    Chadema hoyeeeee nimewakubari sana

  • @azadinsweddy9471
    @azadinsweddy9471 29 วันที่ผ่านมา +18

    Tumerudishwa zama za giza eeeh mwenyezi mungu tupatie nguvu na ujasiri kwani wakati wa kunyanyasika umefika mwisho kama mbwai mbwai

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 29 วันที่ผ่านมา +3

      Kweli baba

  • @philibertsimon
    @philibertsimon 29 วันที่ผ่านมา +12

    CCM + Police force = zero

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 28 วันที่ผ่านมา

      C.C.M ni chama Cha Wajambazi tena Chama Cha Mauwaji kumwanga Damu ya Watu ila waikumbuke nao watakufa ti

  • @knight6757
    @knight6757 29 วันที่ผ่านมา +10

    Ukitaka kukomesha mtu yeyote..basi mkomeshaji hukoma mara kumi zaidi !!😢

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 29 วันที่ผ่านมา +2

    This is a critical analysis using Aristotelian syllogism.
    Thank you Kaka for so loving your country.

  • @sturmiusbs
    @sturmiusbs 28 วันที่ผ่านมา +4

    Uko sahihi kabisa. 100%

  • @MagdalenaMagere
    @MagdalenaMagere 29 วันที่ผ่านมา +5

    Uchambuzi mzuri sana.

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 29 วันที่ผ่านมา +19

    Ukweli mtupu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 29 วันที่ผ่านมา +8

    Watu waovu lazima wawatese watu wema ili mandiko yatimie toka enzi na enzi iko hivyo

  • @ndenengomwende4915
    @ndenengomwende4915 27 วันที่ผ่านมา +2

    Uchambuzi makin! Ubarikiwe Ngurumo!

  • @JesuinaBabili
    @JesuinaBabili 27 วันที่ผ่านมา +3

    Well said SAUTI KUBWA

  • @BonfaceMwaipaja
    @BonfaceMwaipaja 29 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana mchambuzi bora

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 29 วันที่ผ่านมา +10

    Mimi mmoja wapo sikujua kbsaaa kama vijana wa UVCCM wameadhimisha siku ya vijana duniani ila la Chadema nimeliskia baada ya kamata kamata yao ndo tumejua🙌

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 29 วันที่ผ่านมา +7

    Ila we Ngurumo ni mwamba kwelikweli

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 29 วันที่ผ่านมา +15

    Hongera sana mwamba unachosema nikweli inshaallah chadema mpo vizuri

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 29 วันที่ผ่านมา +17

    Safi sana mchambuzi

  • @IsayaWandola
    @IsayaWandola 26 วันที่ผ่านมา +2

    Umeongea ukweli , Mungu akulinde wasije wakakuteka

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sanaa

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 29 วันที่ผ่านมา +19

    Nakuelewa sana

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda sana broo kwa unavyonivumbua macho

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 29 วันที่ผ่านมา +6

    Ukweli baba hujakosea

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 26 วันที่ผ่านมา +1

    Unachambua vizuri mheshimiwa.

  • @JacoboNaftari
    @JacoboNaftari 29 วันที่ผ่านมา +12

    Mzee ukosawa CCM hofu imetanda ,tayari chadema ni washindi ujumbe ulishafika na Dunia yote inajua acha wajimalize mwisho wao ilumefika

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 29 วันที่ผ่านมา +7

    Kiukweli Chadema iko ndani ya moyo wangu naipenda chadema nawapenda viongozi wake, naamini hakuna chama kingine Tanzania kama Chadema.

  • @amanishija-m1i
    @amanishija-m1i 26 วันที่ผ่านมา

    Tafakuri yako ni ukweli MATUPU imenibariki sana,Barikiwa.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 28 วันที่ผ่านมา

    Tafakuri yako nzuri sana. Hongera.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 27 วันที่ผ่านมา +2

    Aibu kwa Raisi

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 27 วันที่ผ่านมา

    I wish there was a periodical you would be contributing regularly. Years back I was not missing a copy of Kenya's Sunday Nation just mainly for articles by Phillip Ochieng and the like. To me you are of their caliber.Bravo

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 29 วันที่ผ่านมา +3

    CCM yenyewe Ina Vita ya kisiasa ya ndani kwa ndani,badala ya kuzima Moto wa ndani mnakimbilia kuanzisha vita nyingine na wapinzani,Nyoka akitaka kufa hukimbilia barabarani!!,Msijisifu kuwa na maadui wengi,siasa za ubabe Zina mwisho mbaya!!

  • @user-pf5zs6nm4n
    @user-pf5zs6nm4n 24 วันที่ผ่านมา

    Ahsante saana umeeleweka vizuli saana

  • @mawingu_tv
    @mawingu_tv 26 วันที่ผ่านมา +1

    Namkubaligi sana huyu jamaa ni kichwa sana na ni mchambuzi bingwa

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 29 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli kabisaa.Wasingewazuia nisingejua kuwa Kuna hiyo siku ya vijana Dunia.

  • @evancemosha7862
    @evancemosha7862 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi ndiyo habari za uchunguzi, asante sana kwa uchambuzi wako.

  • @SufianiYusuph
    @SufianiYusuph 29 วันที่ผ่านมา +4

    Vyombo vya usalama vitafakari sna maana wanafanya vitu kinyume na sheria

  • @JERRYTEMBO-ik4zk
    @JERRYTEMBO-ik4zk 29 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli nimeona hapa kenya vile alivyo kuwa ana nyanyaswa odinga ndio nguvu ya G z ika amka na government kushindwa kuzuia hisia za watu

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 29 วันที่ผ่านมา +1

    CCM waoga sana

  • @rizikikyando3289
    @rizikikyando3289 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hata Mimi sikujua kwamba ccm waliazimisha sikukuu ya VIJANA duniani

  • @georgendibalema9062
    @georgendibalema9062 29 วันที่ผ่านมา +2

    Si CCM,Si Msajili,si Polisi na wala si Chadema wameshinda isipokuwa mahakimu ni wananchi.
    We are watching.

  • @mountoftransfigurationchur2879
    @mountoftransfigurationchur2879 28 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa nakusubiria sanaaa❤❤

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e 27 วันที่ผ่านมา +1

    Unacho sema saiii kabiisa ccm ibadilike wananch washaji tambua

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 29 วันที่ผ่านมา +2

    Yaaniii umegonga palepale. Nilisema wanatafuta chanzo, mwisho wanaujua wao. Hofu ya kunyang'anwa madaraka.

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 26 วันที่ผ่านมา +1

    Dah!brow roho imeniuma sana adi nawachukia polisi wote na serikali yao kwani hii sio serikali ya wananchi hii,mtu hanakosa unampiga kama mnyama!kweli brow!dah!.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 29 วันที่ผ่านมา +3

    Kabisa

  • @msafirisaidiest
    @msafirisaidiest 29 วันที่ผ่านมา +2

    bila katiba mpya kila baada miaka 5 tanzania ufukara na umaskini fikra tatizo watanzani awajitambuwe kuoinga kelele ulngoza kikteta wanatumia mbavu kuendesha taifa kila baada miaka 5 kuiba changuzi watanza wapo kimia wakati kuna umoja kimataifa

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema,shetani ni muongo na atabakia kuwa muongo tuu

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu ndo mwandishi nguli na nionavyo 'wa karne' kwa tanzania kwa anavyochanganua na kudadavua mambo

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 29 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tutapata shida sana,kitendo cha kukanyaga bibilia na msahafu,tukadha rau agizo la Mungu tujiandae kuadhibiwa na Mungu,viongozi wetu was dini zetu wameamua kufumba macho,na kudharau maagizo Mungu.

  • @claudiombena243
    @claudiombena243 29 วันที่ผ่านมา +1

    God Bless You

  • @user-pf2qk8fz9o
    @user-pf2qk8fz9o 29 วันที่ผ่านมา

    Kweli mzee nimewaza na wewe nimekubaliana na wewe na nimekuelewa Niko upande wako kati hizo hoja zako Asante 😊😊

  • @calistassenga6489
    @calistassenga6489 28 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni msemaji wa wanyonge baba. Ubarikiwe xana xana

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 29 วันที่ผ่านมา +1

    Umegonga pale pale kaka.
    Upinzani umepandishwa cheo na kuiimatishwa zaidi. Pia imetangazwa zaidi kimataifa.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 21 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni wa CCM lkn Chadema Mahakamani mtachemsha waliowadhulumu walitumwa na watalindwa kaeni chini, fikirini namna ya kujilinda

  • @zat6311
    @zat6311 28 วันที่ผ่านมา

    Facts talk, deep observation

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 28 วันที่ผ่านมา +1

    Sikujua Chadema ni tishio kwa level hii...kisiasa hofu ndo sababu...uzoefu kuwa chadema ni wavunjifu wa amani au hapana tuliuona majuzi ktk maandamamo yao.....mmh! Tupatane jmn,ila uchaguzi ukikaribia ntakuchenchia kidogo ila tuko pamoja ...

  • @josephkamatha407
    @josephkamatha407 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ipo siku yatakwisha chadema nguvu moja

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 29 วันที่ผ่านมา +1

    Unasema kweri kbs ccm yaitanga duniani kote chadema chadema hoyeeeeeeee ushindi wakaribia

  • @RichardJosse
    @RichardJosse 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ni kweli

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 29 วันที่ผ่านมา

    Kabisa yamefana saaaana. Sio mchezo. Mungu mwaminifu sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ngurumo nakuaminia, mchambuzi mahiri.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 29 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kama nchi na waupinzani wanafanyiwa hiv mchana kweupe je hawajamaa kwa raia inakuaje😢😢

  • @aphonceedward6784
    @aphonceedward6784 27 วันที่ผ่านมา

    Sawa kabisa nimekuelewa sana kaka.

  • @pastorloserianmollel7923
    @pastorloserianmollel7923 29 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahihi

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu 29 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupa ongera sana mchambuzi wa haya.maana kama wanakusikia.kwanza wanaona aibu na wanajizalaulisha kwa matumbo yao pasipo kuagalia mbele yao.wakiwa welewa kwa haya wanalakufanya ili wajisafishe.polisi manatumia mafuta kuwasindikiza ambayo ni mali ya walipa kodi hii mnatuumiza watanzania

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 29 วันที่ผ่านมา +1

    HALAFU WASUBIRI KIPIGO TOKA KWA MUNGU KWA KITENDO HIKI🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu yuko na chadema daima