USO KWA USO VUNJABEI NA KIJANA MTANZANIA WA KWANZA KUBUNI NJIA HII YA UTAJIRI/ WAFUNGUKA MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #FredVunjaBei #JeffDennis

ความคิดเห็น • 50

  • @franklwakatarevideos
    @franklwakatarevideos 3 ปีที่แล้ว +2

    Outstanding speeches Jeff & Fred 👏👏👏👏. Keep moving

  • @edgartemu8299
    @edgartemu8299 ปีที่แล้ว +1

    Fred ni kijana mwenzetu mwenye Akili Sana Mungu akubariki brother

  • @kenansyprian6954
    @kenansyprian6954 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah asante sana kaka. Mungu awabariki kwa kweliii 🔥🔥🔥🔥🔥#VISION 20250🔥🔥🔥🔥

  • @SHommymusic1
    @SHommymusic1 3 ปีที่แล้ว +2

    Jeff bezos sio tajiri namba 1 tena. Mwaka huu 2021 yupo tajiri mpya namba 1 anaitwa Bernard Arnault.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up vijana mufanye kazi msilalamike hakuna kazipo trading ipo kila siku pata elimu wekizeni hapo 360 habari mjini

  • @rashidmgaza5847
    @rashidmgaza5847 2 ปีที่แล้ว

    ujawai kukosea sir jeff nakubali unachokifanya

  • @iamnat.e
    @iamnat.e 3 ปีที่แล้ว +1

    Mad respect to Jeff✊🏽

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 3 ปีที่แล้ว +1

    Ok wekeni system then tujue namna yakuwatafuta

  • @gregorymnyika991
    @gregorymnyika991 2 ปีที่แล้ว

    This man🙌🙌

  • @nby17
    @nby17 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah system imeingia bongo!!

    • @mosessanga7534
      @mosessanga7534 3 ปีที่แล้ว

      Fraud pesa haiji kirahisi.. huyu jamaa amefanikiwa kumdanganya vunjabei..

  • @saidyemanuel8924
    @saidyemanuel8924 3 ปีที่แล้ว +1

    Kampuni iko wapi, jina lake, jinsi ya kuwapata

  • @emmanuelkiwise7217
    @emmanuelkiwise7217 3 ปีที่แล้ว +3

    Sio rahc kiasi icho am repeating again it's not simple like that

    • @amanistephano5208
      @amanistephano5208 3 ปีที่แล้ว

      Mbona hakuna ugumu wowote mzee. Kikubwa ni elimu kama unakurupukia forex bila kua na elimu nayo utalia sana

    • @stewartkiboga7352
      @stewartkiboga7352 2 ปีที่แล้ว

      @@amanistephano5208 can you be my mentor plz am 17 years old

    • @mjumbemwanda9666
      @mjumbemwanda9666 2 หลายเดือนก่อน

      Umekua sasa? 😂😂​@@stewartkiboga7352

    • @ericfelician7996
      @ericfelician7996 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndo wachawi wa kukatisha tamaa, Majitu kama huyu usiwahi yashirikisha hata mpango wako

  • @abraham329
    @abraham329 ปีที่แล้ว +1

    Hio kampuni imeishia wapi???

  • @fredyrhoida7838
    @fredyrhoida7838 2 ปีที่แล้ว

    kaka Jeff anatisha hana roho mbaya

  • @emmakifimbo1244
    @emmakifimbo1244 ปีที่แล้ว +1

    Usikulupuke kijana biashara Ina sili kubwa Sana mtaangukia pua

  • @abdallaali10
    @abdallaali10 2 ปีที่แล้ว

    Hana mpango wowte huyo jamaa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว +2

    kama vile rahisi,munataka kuwauwa watu ..

    • @fx-farm6888
      @fx-farm6888 3 ปีที่แล้ว

      We hujui kaa kimya watu tunatengeneza fedha wewe shangaa ...jifunze

    • @fememmethod8209
      @fememmethod8209 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @leonardmtutuma1738
      @leonardmtutuma1738 3 ปีที่แล้ว

      @@fx-farm6888 nawapataje

    • @stewartkiboga7352
      @stewartkiboga7352 2 ปีที่แล้ว

      @@fx-farm6888 can I get a Live mentor plz

  • @NimuFx
    @NimuFx ปีที่แล้ว

    He is an Fx Trader i guess japo sijasikiliza video yote!

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 2 ปีที่แล้ว

    Hivi vitu vyenu munavileta kuwapiga watu Kama walivyo pigwa kwenye Masterlife

  • @nzeyimanasadiki6531
    @nzeyimanasadiki6531 ปีที่แล้ว

    Aje naweza kuwasiliana na Jeff? Please nielekezeni

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwinjaku Jau

  • @tonyvany2121
    @tonyvany2121 3 ปีที่แล้ว +1

    tunampata vip au office zao zipo wap

  • @ibrahimmwendo7379
    @ibrahimmwendo7379 3 ปีที่แล้ว +2

    Vijana ndio muda huu sasa mtu akisingizia tena ajira hakuna inabidi akapimwe akili

  • @valentinenemes845
    @valentinenemes845 2 ปีที่แล้ว +1

    It's not that meen,, you need to study much and more demo account.its a shit and it's a gold at the same time.. play safe and don't be dragged .

  • @davieabsonvlog2656
    @davieabsonvlog2656 ปีที่แล้ว

    Hii project iliishia wap?

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 ปีที่แล้ว

    Imefikia wap hii

  • @allanmtuwa7471
    @allanmtuwa7471 3 ปีที่แล้ว

    Forex trading

  • @__thereal_unclechibo_7953
    @__thereal_unclechibo_7953 2 ปีที่แล้ว

    🥱🥱TMT IYO

  • @bonifacelyimo7835
    @bonifacelyimo7835 ปีที่แล้ว

    Sir jeff hamna mtu hapo, manipulator sana

  • @junkie92
    @junkie92 2 ปีที่แล้ว

    Woooooo...Correct your self. The Billionaire in the World is Elon Musk...
    I live in USA....try not to lie

  • @stephanokimbei
    @stephanokimbei ปีที่แล้ว

    UKITAKA UPIGWE JARIBU UONE HII HAINA TOFAUTI NA QNET AMBAYO IMELIZA WATU WENGI SANA DUNIANI

    • @IMANWILLIAM-bl2ui
      @IMANWILLIAM-bl2ui ปีที่แล้ว

      pole sana bro Kwa adhabu uliyopewa ya ujinga