FRED VUNJABEI AMFUNGUKIA WHOZU WALIVYOANZA KUWA MATAJIRI MTAJI WA SAA MIL7/ASINGETOBOA/FRANK KNOWS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • VUNJA BEI AMPA ONYO WHOZU BILA FRANK KNOWS USINGETOBOA/NIMPA MTAJI NA KUNIRUDISHIA/MWANZO MGUMU #whozu #carrymastorytv #VUNJABEI #FRANKKNOWS

ความคิดเห็น • 42

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 2 หลายเดือนก่อน

    nakubali sana mchaga na mkinga hapo kiukweli fred na frenk wanapendana sana adi raha

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ila vunja bei ni akili kubwa sana yaani mm natamami hata siku moja tu niweze kuongea naye anipe ushauri,akiwa anaelezea kitu huwa nakuwa makini sana sana kumsikiliza he is genous vunja bei🎉

  • @abisalomwasike8280
    @abisalomwasike8280 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fred mwakili sna kindly need to meet him sulubu from nrb kenya 🇰🇪

  • @franklinisaya4796
    @franklinisaya4796 2 หลายเดือนก่อน +3

    Akili kubwa salute kwako the mnyalu

  • @MUVIS-b3m
    @MUVIS-b3m 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu vunjabei Mumu tunze vizuri huko tz, nime maliza im in 🇨🇩

  • @KarobosaKhan-dt9qj
    @KarobosaKhan-dt9qj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila huyu jamaaa ana AKILI sana duuuuuh

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 2 หลายเดือนก่อน

    thanks kaka vunja bei

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana vunja bei

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera zake

  • @suwedinamga581
    @suwedinamga581 2 หลายเดือนก่อน +9

    Fred usije toa mfano wa mafanikio kuhusisha biashara za magendo Haina afya

  • @machariagilbert3475
    @machariagilbert3475 2 หลายเดือนก่อน

    Amazing big brother

  • @AmaniHarubu
    @AmaniHarubu 2 หลายเดือนก่อน

    Mr Fred is genius

  • @KeisiMwasanyika
    @KeisiMwasanyika 2 หลายเดือนก่อน

    Vunja bei atariiiii

  • @MrG-n2b
    @MrG-n2b 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Fred nakukubali sana

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 2 หลายเดือนก่อน

    Big.Up!

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

    Vunja bei mtu wa maana kabisa

  • @CHYULLUKENYA
    @CHYULLUKENYA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vunjabei ni noma sana

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Broo una akili nyingi sana ndo chanzo Cha kua tajiri Broo mungu akulinde na akusimamie nmejifunza kitu kikubwa sana.

  • @Smart_FundamentalFx
    @Smart_FundamentalFx 2 หลายเดือนก่อน +4

    4:30 saa za Milioni 7 zikazaa Milioni 35📌👊🏾

    • @MrRumaya
      @MrRumaya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukinnua mzigo china faida ni kubwa mkuu

    • @josephdionizy2868
      @josephdionizy2868 2 หลายเดือนก่อน

      Eeeh hutaki au

  • @SuperWababa
    @SuperWababa 2 หลายเดือนก่อน +15

    Mimi naitwa Kazungu Samuel na natokea Kenya katika jiji la Mombasa ukanda wa Pwani. Kwanza mimi ni shabiki mkubwa sana wa Chanel hii ya Carrymastory na napenda sana kwa jinsi munavyo package ripoti zenu, aisei ni kizazi Sana. Ila vile vile mimi ni shabiki mkubwa sana wa Fred Vunja bei na napenda sana akili yake nyingi katika biashara. Niko na hamu kubwa sana nionane naye siku moja anipe maarifa yake ya kufaulu. Nilijaribu biashara ya kuuza nguo kuukuu lakini ikasambaratika. Tafadhali niunganisheni naye nitafurahi sana kuonana naye. Nasoma ripoti zake kila anapofanya jambo

    • @afiahsalmin7508
      @afiahsalmin7508 2 หลายเดือนก่อน

      Kazungu ukunda wa fanya nn na kwenu ni Malindi😊

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 2 หลายเดือนก่อน

      Migogoro ikiisha huko Kenya utamtafuta utampata

    • @LevinaMiteo
      @LevinaMiteo 2 หลายเดือนก่อน

      Subiri zakayi arudi nyumbani Kisha uumtafute vunja bei😂😂

    • @stephenmasha8623
      @stephenmasha8623 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😄😄🤣 ​@@afiahsalmin7508

  • @SomoKidawa
    @SomoKidawa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kua na akili kama Fred kwanza amua kua mkinga au mbena

  • @NoraskoYobotz
    @NoraskoYobotz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vunjabei noma sana

  • @AbdulyChahe
    @AbdulyChahe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brother unazd kunijenga congratulations bro

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vunja kama vunja bei

  • @michongopodcast
    @michongopodcast 2 หลายเดือนก่อน

    👏👏

  • @mudrickbarton8911
    @mudrickbarton8911 2 หลายเดือนก่อน +2

    Fred vunja bei jamaa ni madini tuu

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Matajiri someni zile kulasa mnazo somaga kmy kmy

  • @oshenifrank614
    @oshenifrank614 2 หลายเดือนก่อน

    Akili hzo nyingi mno zinahitaji A ya physics

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 หลายเดือนก่อน

    Ila nampenda fred jaman8 alafu hana kujigamba

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 2 หลายเดือนก่อน

    Duu huyu vunja bei akili kubwa

  • @JosephMchaki-fy5te
    @JosephMchaki-fy5te 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kamwe usisikilize ushauri wa m2 aliye tobowa ukiwa na maarifa utangunduwa Kila m2,ananjia yake

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 2 หลายเดือนก่อน +1

      Aliyefanikiwa hakupi mtaji wa njia za kupita isipokuwa anakuhamasisha upite njia zako, upambanue na ufanye KAZI Kwa BIDII!!! Na
      Si vinginevyo!!!
      Ni muhimu kusikiliza stories za waliofanikiwa husaidia sana

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂❤

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @lesikalemunaya
    @lesikalemunaya 2 หลายเดือนก่อน

    jman uyu vunja bei ni kichwa

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂