Dah Fredi anaongea had unashawishika kumsikiliza yan bro anaongea kwa kupangilia maneno haswa hakurupuki kujibu pia mtangazaji yupo vizuri mno hizi ndizo kazi zinazotakiwa kufanyika na media sio mambo yakwa mpalange
Mda mwingi vunja bei anapo ongea as if anafundisha swali analo ulizwa jibu linalotoka lina madini mengi kuliko maswali ambayo yange ulizwa kwa mtu mwingine
Huyu mwijakule aliwahi kumtusi baba levyo kuwa chawa wa vunjabei akatengeneza vita ya kumshabulia mwanaume hawez kuwa nyumba ya mwanaume mwenzie kumbe ile nafasi aliitaka yy leo hii yupo kabisa kumzidi hata baunsa
Kipimo cha mafanikio si kumiliki vitu, kwa maana ya fedha na vingine vyote unavyomiliki....., Yes, you are right buddy🇹🇿🇹🇿🙏🏻🙏🏻☝🏻 Ni namna sasa watu wanaokuzunguka, watakavyokuona na kukuamini✔
Sasa Punda @mwijaku imekuja kufanya nini hapo🦐🇰🇪🇺🇸🇺🇸🤨🤨🤨🤨🤨🤨🤨🤨 kummke.. Bali Fred wewe you’re a great mentor, but avoid this guy called mwijaku, he’s very dumb and jealous and full of shit!! Good luck Fred
Huyu mtangazaji mashaallah nimempenda Sana ana sauti nzuri na anajua kufanya interview hongera Sana. Sauti yake km anatangaza BBC
Huyo ndo Tambwe,yuko vizuri sana
Salute kwa mtangazaji Yuko makini
Salute kwa Mr Fred always hua unaextra madini ktk interview
A very focused man who has his country at heart. Pongezi Mr vunja bei keep it up
Big brother umetixha xn
Mtangazaji Yuko smart sana
Mtangazaji big up xan nmependa
Soooo smart Big Bro....na mtangangazaji 🤝🤝🤝🤝Honouring is a key principle to Greatness, have seen it in you ndugu mtangazaji, kip it ril🤔
You are a really motivator and Mentor
Bro am learning a lot through dhat interview bro continue to evacuate you hv to others .keep it up bro.
What English is this!!!! Continue to evacuate!!!! Umesoma ulicho andika?
If you don't like something try to change it. If you can't change it. Try to change your attitude. Nimekupata hapo Tajiri Fred
Huyo bordigad htr ,hatikisik
Vunja bei nakuelewa sana bro
Tuko pamoja brother.. Tunakuvulia kofia brother
Mwijaku mshez et linachugulia
Jamaa akili mingi sana 👏👏👏👏
Vunjabey namwelewa snaaa
I wish huyu our president angempa uwaziri huyu Mr vunjebei ...waziri wa biashara. Daaah tungetoboa Sana vijana
Serkali inajua Sana,nje ya biashara ya nguo unajua anajihusisha na Nini!!!???? Dawa za kulevya 🤮
Dah Fredi anaongea had unashawishika kumsikiliza yan bro anaongea kwa kupangilia maneno haswa hakurupuki kujibu pia mtangazaji yupo vizuri mno hizi ndizo kazi zinazotakiwa kufanyika na media sio mambo yakwa mpalange
Chawa #MWIJAKU
Mzee unaendesha boashara kwa nguvu yamachawa ujiamini mzee unaamini sana sana machawa
Mwijaku chawa
#MWIJAKU HAKURUPUKI MAZEEEEE🙌🙌🙌🙌🙌
Vision
Focus
Pation
Desion making.
Decision making
Hongera kaka ila tunaomba na tishert za form siksi ziwepo
Noted
Vunjabei anaongeaga point
Jamani kumbuka katumbuliwa na boss vunja mbona simuoni
Vision, Focus and Passion. To be Trusted is better than to be Trusted.
Nimekuelewa kaka mkubwa
patient
Better than to be loved ***
Excellent
Yaaan mwijaku anawenga
Chawa mwijaku
Bro vunjebei ...ukifungua media ...sajili huyu jamaa anakuinterview...
Credit kwa mtangazaji kauliza maswali ya maana ... wengine apo ungesikia mara hamisa mara tessy mara naiv😅😅
Mtangazaji yupo poa sana
Mtangazaji nimependa maswali yko
This man i a whole...#bless up nigga
Mda mwingi vunja bei anapo ongea as if anafundisha swali analo ulizwa jibu linalotoka lina madini mengi kuliko maswali ambayo yange ulizwa kwa mtu mwingine
Huyu jamaa nilikuaga najua ni mchaga kumbe ni mkinga aise wakinga wenzangu tujuane hapa
Huyu jama nitajili na ana nizamu napenda kazi zako toka burundi
huyu jamaa kwanini asiwe hata waziri flani ivi yupo straight sana
alisemag hapendi kufanya kaz kwenye serikali ndug
Hakuna mwenye busara anauza dawa za kulevya 🤮🤮🤮
Mwijaku ebu geuka nyuma bc ili tulione tako lako hilo maana msenge umejaaliwa bn
😂😂😂😂😂😂huna akili ww
Wewe 🤣🤣🤣🤣😴
@@munaahmed8499 kaumbika sana
@@wazirmlogi7532 mm naonaga tumbo tu dungu za masho kumbe nyuma nako kafungashiaaaa
Unataka umpelekee Moto nni ssa Kama alienda jela so nyapala atachekelea😁😁😁😁
Hili jitu ni hazina....linatema madini.....
🤣😂sana
Vunja bei naamini wewe una ndoto kubwa Ila Kama unataka kua juu zaidi achana na hao chawa wanaojifutua asee watakuangusha hao
Huyu jamaa sikuwahi kumsikiliza akiongea. Kumbe akili kubwa namna hii! Kinachomuangusha Baadhi ya post zake za kuonesha anapenda sana mademu.
Huyu mwijakule aliwahi kumtusi baba levyo kuwa chawa wa vunjabei akatengeneza vita ya kumshabulia mwanaume hawez kuwa nyumba ya mwanaume mwenzie kumbe ile nafasi aliitaka yy leo hii yupo kabisa kumzidi hata baunsa
Fred ninakukubali napenda kujua siri ya mafanikio kila nikianzsha nafeli
Mwijaku wacha kujipendekezaa. Uchawa, shobo
Mkihoji mtu km huyu muwe mmejipanga...ni km kurudisha mpira kwa kipa
Mwijaku kutikisa kichwa kama paka wa jikoni😂😂😂😂😂
🤣🤣😃😃😃🤣🤣🏃♀️
TANGAJAZI AMETULIA SANA. ANAUKIZA MASWALI KWA MAKINI NA UTULI SANA, SIYO KULIZA UJINGA TU.. HONGERA KWAKE..
Fredy uko poa sana ntakuja kujifunza iyo kitu
we limwijaku jifunze apo nn interview co umbeaa tuuuhh
Mwijaku mchawi muangalie alivyosimama km sehemu za siri
😂😂😂
Kasubiri hata buku kwa mwanaume mwingine ili familia maisha aendelee 😬😬😬
Muwe MNAWAHOJI WATU kama Hawa..
Hahaha hamutaki kina jumaa lokole😄😄😄
Kipimo cha mafanikio si kumiliki vitu, kwa maana ya fedha na vingine vyote unavyomiliki.....,
Yes, you are right buddy🇹🇿🇹🇿🙏🏻🙏🏻☝🏻
Ni namna sasa watu wanaokuzunguka, watakavyokuona na kukuamini✔
Mwijaku kasha Tiwa mimba na vunjabei 😂😂😂😂
Ndo usubir kua mkunga wake!
😂😂😂😂
Ilo jamaa pemben linakuchafulia,mwandishi li crop basi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Nipigie tafu na mimi please.......
Sasa Punda @mwijaku imekuja kufanya nini hapo🦐🇰🇪🇺🇸🇺🇸🤨🤨🤨🤨🤨🤨🤨🤨 kummke.. Bali Fred wewe you’re a great mentor, but avoid this guy called mwijaku, he’s very dumb and jealous and full of shit!!
Good luck Fred
uyu n ginias
👍🏼👌🏿👏🏾🇹🇿🇨🇭
Kitakacho kutofautisha wewe na mwingine Katika mafanikio ni maamzi