Maamisa chuma,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 83

  • @zuhurasaid2760
    @zuhurasaid2760 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani habari za hapo naomba sana no. Yake ya simu mimi nipo znz

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b ปีที่แล้ว +1

    Mashallah somo nzuri Asante hongera Sana

  • @cicihammy6976
    @cicihammy6976 4 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda Da Maamisaa😍😍
    Sauti ya zegee👌🏾

  • @muhimuziahadi7779
    @muhimuziahadi7779 3 ปีที่แล้ว +2

    Eti niko up to date nakupenda saana mama

  • @zainabally1174
    @zainabally1174 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama pambe wewe ni fire

  • @bintysaid7177
    @bintysaid7177 4 ปีที่แล้ว +4

    Sawasawa ma amissa nimependa manenoyako.

  • @bintomari6451
    @bintomari6451 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali mama tufunze atuyajui hayo ss

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 4 ปีที่แล้ว +3

    kungwi noma sana huwa nakuelewa sanaaaa

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

    Siyo wanaume wa sasa duuu utakura kama hutaki basi duuuuu kazi kabisa 😆😆😆😆😆😆😁

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mama hatariiiiiiiii uyu..

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  17 วันที่ผ่านมา

      @@witnessmarley5391 sanaaaaa

  • @blan3298
    @blan3298 ปีที่แล้ว +1

    Mom hatari wew unanifurahisha haswah

  • @shaymohd6547
    @shaymohd6547 2 ปีที่แล้ว

    Waume wa sasa mtihan sana waweza kufa njaa et wamgojea inataka somo sana hii other wise mtu atajapata ulcers 😎

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 4 ปีที่แล้ว +2

    asantee mamaaaaa tuvunzeee 👌Tiraaaa😘

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 4 ปีที่แล้ว +2

    Somo nzuri asante

  • @alassannzhass6893
    @alassannzhass6893 4 ปีที่แล้ว +2

    hahahaha maamisa kabisaaa wewe ndo mama lao hahahaha

  • @gracegayo4228
    @gracegayo4228 ปีที่แล้ว

    Hongera mamaa

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekusoma ila na huyo bwana awe mtunzaji hupewi huduma utakua smati jmn vingine muangalie

  • @TravelTheWorld0000
    @TravelTheWorld0000 4 ปีที่แล้ว +5

    Receive Love from your Kenyan fan. This is my best Swahili channel. Tira you always sound mature and lovely

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much and keep spreading the luv out there

  • @allymeme8792
    @allymeme8792 3 ปีที่แล้ว +1

    Piga Kelele kwa somo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @liliannaomi6981
    @liliannaomi6981 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakuhanya hata umshushie mbingu atatoka tu. Hayo siwezi hata kwa madawa

  • @mwandawakambi-qf9oz
    @mwandawakambi-qf9oz ปีที่แล้ว

    Nampenda huyu bibi naitaj group lake

  • @fatumahamisithumacute8996
    @fatumahamisithumacute8996 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @lovenesssamwel9316
    @lovenesssamwel9316 3 ปีที่แล้ว

    Na wapenda sana

  • @zamamuuhamisi6654
    @zamamuuhamisi6654 4 ปีที่แล้ว +2

    Nkpnda bureee MAMY!!!

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 4 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 4 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ayooo tupe mama

  • @frashiamuthonimwangi7020
    @frashiamuthonimwangi7020 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว

    Asante maa Misa kwa Somo zuru

  • @malususiri4889
    @malususiri4889 4 ปีที่แล้ว

    Maashaalaah

  • @daddydadamtabo998
    @daddydadamtabo998 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa dada

  • @teljanahmed2051
    @teljanahmed2051 4 ปีที่แล้ว +2

    I really loved this show oooh my Goodness fantabulous

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 4 ปีที่แล้ว +9

    Ivi jamani!! Mbona kila siku wanawake ndio wanafundwa!! Fundeni wanaume wawe wanatufanyia haho yote. Maana mapenzi ya kweli hutoka kwa Mme na sio kwa mke.....sio kila siku wanawake tuu...

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweliii

    • @azzaally5215
      @azzaally5215 4 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa so kila kitu wafanye wanawak tu

    • @faidavictoria
      @faidavictoria 4 ปีที่แล้ว

      Jamani sindo apo sasa mambo ni 🔥🔥🔥😁😂🤣

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mwanaume ndo anatakiwa ampende mwanamke sana

    • @teljanahmed2051
      @teljanahmed2051 4 ปีที่แล้ว

      Mwanamke akiongoka familia itaongoka pia

  • @joycemwingira3714
    @joycemwingira3714 3 ปีที่แล้ว

    Jaman tunaomba no ya somo

  • @neemafelister9584
    @neemafelister9584 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana wamama, mungu awabariki, mafunzo mazuri mmm

  • @user-tu1yc6du6m
    @user-tu1yc6du6m 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa darasa mama

  • @PendoPanclas-lt5zu
    @PendoPanclas-lt5zu ปีที่แล้ว

    Mummy ♥️🌹

  • @mebakariabdallah2317
    @mebakariabdallah2317 2 ปีที่แล้ว

    👌👌👌👌👌🔥🔥🔥

  • @wardarashidi1135
    @wardarashidi1135 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mama.

  • @aminahassanmashaallah8983
    @aminahassanmashaallah8983 3 ปีที่แล้ว

    Mmeskia nyie, mmeomba kazi mkafanye kazi

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 4 ปีที่แล้ว

    Maamisa natamani mwenzi wangu angekuwepo na akusikilize na apate hayo mafundisho,Kwakweli ange jiona jinsi ambavyo hajui masuala ya mapenzi

    • @mejuvigs
      @mejuvigs 2 ปีที่แล้ว

      Hahahàa

  • @subira31
    @subira31 ปีที่แล้ว

    Nitakutafuta mma kma naolewa uwe kungwi wangu mummy

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  ปีที่แล้ว

      Huyu hayupo tena.iña kuna mwingine anaitwa mama Tariq ni mzuri sana pia

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +9

    Nimeona waliofanya yote hayo na bado wakaachika khah! Alafu huo muda wa kupokea mabegi upo??? Mwanamke hufanyi kazi au?

    • @faidavictoria
      @faidavictoria 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa 👌

    • @maryemanuel6122
      @maryemanuel6122 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza wanaume wengine ukimpokea pokea anaona kero kero wajifanyisha

    • @ashatasaidi6481
      @ashatasaidi6481 4 ปีที่แล้ว +1

      Talk Designed for stay at home mums

  • @karimhakizimana5471
    @karimhakizimana5471 4 ปีที่แล้ว

    Lazim nirudi home harak sna

  • @uwimanajeannedarc4378
    @uwimanajeannedarc4378 3 ปีที่แล้ว

    Haaahaaa mama mavunzo mazuli

  • @omarymbaride3075
    @omarymbaride3075 4 ปีที่แล้ว

    Asante kungwi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Hii

  • @jenipherclement2103
    @jenipherclement2103 4 ปีที่แล้ว

    Kna wanaume hawaridhiki nifanyeje?

  • @hemediraphael9285
    @hemediraphael9285 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake wa siku hizi wathamin nywere na kucha za bandia kuliko mumewe

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mama anatumia jina gani youtube au instrgrm

  • @mapendoruhara7316
    @mapendoruhara7316 3 ปีที่แล้ว

    Jambo?mimi nahitaji dawayakumuludisha Mumu aliyekimbiya akamuacamuke

  • @user-zl3tk8jt5s
    @user-zl3tk8jt5s 3 หลายเดือนก่อน

    Me mme wangu hapendi nivae vitu vifpi anataka anikute na vitenge nifanya nini mamy?

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁😁

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว +4

    Jmn huo muda wa kukaa na night dress au kanga watoto hawapo?

  • @suzanailembo5469
    @suzanailembo5469 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ninaswali ninataka kuuliza kwa bibi hapo! Ivi kama uko nampenzi yako nayeye anakupenda sana, ata nawewe pia unampenda sana alafu hinafika atuwa anapenda kutembea nawewe kimweli. And wewe aujawai kufanya ivyo kwa mwanaume wowoteule. Nayeye ndo wakwanza kukuambia ivyo, alafu na wewe unampenda sana sasa mtu anaweza kufanyanini.

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwambie mufunge ndoa Kwanza baadae ndo mufanye maana ukifanya nae saivi hakuowe ataenda kuowa kwemgine

    • @suzanailembo5469
      @suzanailembo5469 4 ปีที่แล้ว

      Riziki Salum sasa kama yeye ndo amekuaribu wewe nabado ajakuowa naunampenda! sasa inaweza kuaje hapo.

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว +1

      @@suzanailembo5469 unajuwa wanaume kwa muda huu ni wachache wanao hitaji kuowa kwa iyo Alisha kuchezea baadae anakuacha itakuwa unamazowea ya kuwa na mwanaume asa itabidi utafute mwengine naye akikuacha utaenda kwa mwingine kwaiyo itakuwa no kuchezewa na Kila mwanaume ndoa ni muhimu kwakweli baadae ndio yafate maingiliano

    • @laylasuliman5805
      @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว

      Mpe uone kama atakuoa

    • @hastatz
      @hastatz 2 ปีที่แล้ว

      @@laylasuliman5805 haha