Uzee mapenzini hakuna..Acheni uvivu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 ปีที่แล้ว +13

    Mwanamke mnyenyekevu hapigwi na mumewe hata siku moja, mwanamke mjuaji, jeuri, mbishi, asiyejua kuomba msamaha hawa nd 'o wanaopigwa mpaka kutolewa meno. Hakuna mwanaume katili kwa mwanamke mnyenyekevu na mwenye heshima.

  • @ritamutoka7768
    @ritamutoka7768 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa ! Ndoa inashindikana kwa kuwa wengi ni dreamers na wana unrealistic expectations. Ndoa ni za mature people sio za watoto !

  • @juliuskoina6684
    @juliuskoina6684 4 ปีที่แล้ว +1

    Julius from.kenya
    Maamisa chuma ,,wasema ukweli mtupu.
    I love ur shows

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwezangu sio waleo hawo wanaume. Wazamani sawa. Hawa wa sasa. Mmm

    • @ikhlassathman8782
      @ikhlassathman8782 4 ปีที่แล้ว

      Waleo ni dotcom. Wadigital vichwa vigumu!

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 ปีที่แล้ว

    Mwanamke ukiwa mpole mnyenyekevu na unaheshima Mumeo na kuwa na sauti ya upole pia kuomba radhi hata kama huna kosa wallah huwezi pigwa kamwe,

  • @robertpangisa1353
    @robertpangisa1353 4 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi chako kizuri sana Dada. Ni kweli sisi wanaume tunataks maneno matamu hasira zote zinaisha

  • @leonardkarwani2752
    @leonardkarwani2752 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm nimwanaume mama anasema kweli

  • @MARIAAPOLNAL
    @MARIAAPOLNAL 10 หลายเดือนก่อน

    haha ss tunapgwa kila siku

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 2 ปีที่แล้ว

    Asante mama mungu akuzidishie umri

  • @Qs3557
    @Qs3557 ปีที่แล้ว

    Hamna we Kwa mkeo lazima ale kpigo labda mchepuko,Kwa wife nishamzoea hawez kunitega nishndwe kufanya nilopanga

    • @user-hy9pp5rp9i
      @user-hy9pp5rp9i หลายเดือนก่อน

      Correct mke mwenzangu ni mjuaji balaa Kila siku kipigo nashkuru sijawahi guswa yy ugomvi mkubwa kupekuwa sim ya mume mm naiyona kama kituo Cha polisi kavunjwa mkono Kwa vipigo 😂😂😂

  • @AbdulwahidAbdulla-qj8jh
    @AbdulwahidAbdulla-qj8jh ปีที่แล้ว

    Mama mesa nimependa hiyo umeomba kazi umepata kazi kwahiyo uwajibike sio kulala mika

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 ปีที่แล้ว

    Pacha wa bihindu mungu akuweke

  • @abdulabdalla8076
    @abdulabdalla8076 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mwanaume ukikaa nae ujue anakupenda sio Siri

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke kama ua hapigwi hupendwa na kuengwaengwa. Kiswahili cha pwani hichi kama hufahamu ulizia. Mwenye kujua mapenzi anajua kuwa wanawake ni vitulizo na starehe zetu kwanini kuwapiga. Hebu lipige ua halafu uone matokeo yake.

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 4 ปีที่แล้ว +3

    kungwiiii saulaaaaaa

  • @zainathcuwimigishazchelsea2113
    @zainathcuwimigishazchelsea2113 4 ปีที่แล้ว

    HahaHahaha Alhamdoulillah uyu mama Allah akuifadhi. Daah nikiolewa nakuja TZ nikutafute

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      ZCuwimigisha Zchelsea njoo nikuoe Tanzania lkn visiwani.

  • @juliusmzengaboma9892
    @juliusmzengaboma9892 4 ปีที่แล้ว

    Saafi Mama mtu mzima waambie hao vijana wabishi na wanapandisha kauli kwa Wanaume wakiwa na majeans yao wanayovaa mpaka kitandani ndio maana wanaoteshwa nundu mchana kwa kubondwa kila wakati.

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว +1

    Maana wanawake wasaiv wajeuri Kama nyoka au kenge

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว +3

    Je kama alikotoka kashakutana na nyingine kama hiyo? tena ya mwanamwali? unafikiri ataijali hiyo yako? ukiona hivi basi huyo hajakasirika.

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 4 ปีที่แล้ว +4

    Akunakupigwa nimwendo wakusaula2

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 4 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂 mapenzi ya majani uota popote😅

  • @saidiomali3324
    @saidiomali3324 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweri huyu mama ni mkwer naomba nikuoe japo umri umeenda

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 4 ปีที่แล้ว +13

    Mwanaume atakuwa na mwanamke akimpenda tu huyo mwanamke
    Hakuna lolote mwanamke atafanya ili apendwe na mwanaume
    Wapo wanawake wagomvi, wachafu, wakorofi, wana hila BADO WANAPENDWA SANA NA WANAUME ZAO
    Mwanaume hata umnyenyekee vp, akiamua kuwa msumbufu, atazidi kukusumbua tu maana unavomnyenyekea ndo anazidi kukuona mnyonge au unampenda sana na huwezi kuishi bila yeye na atakutesa km uko jela.

  • @catravaax7158
    @catravaax7158 4 ปีที่แล้ว

    Sasa jamani uwo mtandio utauva kweri sem zabaridi kari 😨😨

  • @elikanashega1514
    @elikanashega1514 2 ปีที่แล้ว

    Mama wanaume wasiku hizi wanapiga hadi huku chini yan shida tupu

  • @nuranzubail8134
    @nuranzubail8134 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mwanaume huyu mama ameongea ukweli kabisa

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว

      Si utakuja kukimbia uchi anakupiga uvue nguo

  • @samzuuseif
    @samzuuseif 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu aleikum madam maamisa, unaeza ukawa mnyeyekevu na ukatumia utulivu ukakaa nae na kuongea nae na asikujib au asikir kosa lake vp hapo utafanyaje au utachukua maamuz gan

  • @raheemarahman1435
    @raheemarahman1435 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 4 ปีที่แล้ว

    Waambie ukweli mtupuuuu mama hawaelewi hao

  • @damsonwillison435
    @damsonwillison435 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hahahaha mama wewe noma

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 4 ปีที่แล้ว

    maa asante kwa mafunzo yako😅😅😅

  • @ritasheriff7814
    @ritasheriff7814 4 ปีที่แล้ว +2

    Si kweli, kuna waume hata umfanyie lipi hashughuliki na wewe wala hata uke wako haumsisimui. Anakaa mwaka hakushiki wala hata busu. Je huyu naye ni wa kuvumiliwa?

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mwanaume mbabe kwa mwanamke mnyenyekevu na anaejitambua, jifanye mjuaji, jifanye jeuri,utatolewa meno, jifunzeni kubembeleza,muwe na heshima.

    • @mwanaisha522
      @mwanaisha522 4 ปีที่แล้ว

      Hakika ht akikasirika baadae atarud t

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 4 ปีที่แล้ว

    Mwanaume mwingine nyenyekea were mwisho wa picha unaomba matumizi anaanza ugomvi,huyo na aende tu

  • @salya8884
    @salya8884 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mamangu

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 4 ปีที่แล้ว +1

    Kutana na msukuma uone moto wake " tuulize sisi hakuna hapo cha kuchaura wala nini

    • @mwanjaarashidi7402
      @mwanjaarashidi7402 2 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi mungu akulaze mahalo pema shoga yangu mamisa

  • @modestarubunda4250
    @modestarubunda4250 4 ปีที่แล้ว

    Weee! Siwezi.

  • @saadaissa2234
    @saadaissa2234 4 ปีที่แล้ว

    Da mamisa hahahaha unahatari wallah

  • @akidamzinga1828
    @akidamzinga1828 3 ปีที่แล้ว

    Saw

  • @wencmbilango8622
    @wencmbilango8622 4 ปีที่แล้ว

    Yuko vizur

  • @gloriamalisa3033
    @gloriamalisa3033 4 ปีที่แล้ว +1

    thancs much

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว

    Waambie hao wanawake wasasa hawana isipokua ujeuri ndo wanachokijua

  • @alassannzhass6893
    @alassannzhass6893 4 ปีที่แล้ว +1

    hahahahahaha iyo kweli kabisa. kapatia

  • @wardarashidi1135
    @wardarashidi1135 4 ปีที่แล้ว

    Haki ntarudi jandoni ntakuja kwako somo unifunde

  • @umbilahothman4963
    @umbilahothman4963 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah

  • @reenaroy1968
    @reenaroy1968 4 ปีที่แล้ว +2

    MTT wa b Hindu maamisa chuma teeynaa

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndio wanatolewa uchi jaribuni muoneee 😂😂😂😂

  • @hamzaliganga7437
    @hamzaliganga7437 4 ปีที่แล้ว

    Mmh sio karne ihi

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 ปีที่แล้ว

    Lvyu Tira

  • @jumamnyambwa7993
    @jumamnyambwa7993 4 ปีที่แล้ว

    Wakati ajachukia adihiyo inapigwa

  • @angelngoye4910
    @angelngoye4910 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahha Aunt mamisa me nakukubali kinomaaa

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Mama mzee bado uko sawa

  • @claramkisi5268
    @claramkisi5268 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀

  • @hamisikadege5867
    @hamisikadege5867 4 ปีที่แล้ว

    Kipo kitakachokupiga

  • @malafyalemlaws3257
    @malafyalemlaws3257 3 ปีที่แล้ว

    P

  • @fikikenya1401
    @fikikenya1401 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋

  • @ameenatanzania4899
    @ameenatanzania4899 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Tira hassan

  • @zainababdallah9681
    @zainababdallah9681 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว

    Ww mama unaongea tu s ukute uko ameshapata toto moja matata ukimvulia ww anakuona km kabati la nguo

  • @sanimoclassic1917
    @sanimoclassic1917 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesikia hawezi kukupiga ila kipo kitakachokupiga gonga like