ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Chonde Chonde UKE huwa hivi,baada yakujifungua.,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2019

ความคิดเห็น • 265

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 4 ปีที่แล้ว +84

    Ahsante doctor kwa elimu , naimani siwezi kumuacha mke wangu kisa kajifungua .

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 4 ปีที่แล้ว +4

    Dr Isaac you real man upo muwazi full confidence Dada angu yupo makin hapo

  • @arlettedebbiezaina6247
    @arlettedebbiezaina6247 4 ปีที่แล้ว +6

    I have learnt a lot , thank you both !

  • @zeidytheislandgirl7616
    @zeidytheislandgirl7616 4 ปีที่แล้ว +23

    Awwwwww jaman doctor isaack anaongea vizur San he so cuty and humble ilove you doctor

  • @ericroy3079
    @ericroy3079 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Isaac Maro n role mode wangu 😍

  • @justinamashaur7433
    @justinamashaur7433 3 ปีที่แล้ว +34

    Naomba kuuliza doctor je kwayule alie jifungua af hakushonwa je afanye nn ili uke urudi kwenye hali yake yakawaida??

    • @MariaRemmy-nh6kc
      @MariaRemmy-nh6kc 10 หลายเดือนก่อน

      Nimeuliza swali zur sna

  • @madamehatibu9324
    @madamehatibu9324 4 ปีที่แล้ว +10

    Kwakweli dactari nimekupenda bure kwani wewe ni mwanaume mwenyehofu ya Mungu

  • @pellestianomasai1220
    @pellestianomasai1220 4 ปีที่แล้ว +9

    I am loving the progress I see in every new episode I watch about The XO... Keep it rolling, keep it up until U get hold of Ur dreams...
    #TheConfidentTira.

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Thank u sooo much 💝

    • @emiledanieli185
      @emiledanieli185 2 ปีที่แล้ว +1

      Naomba ushauri wako dada angu uke wangu kwandan kunakinyama kama kipira hiv pia siskii ham ya yendo pia kinamipa wasiwasi

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว +21

    TIRA,napenda vipindi vyako full time,nakupenda kupita maelezo.Utulivu wako na upole wako kwenye kipindi inanipa raha sana.

  • @luqmanmwinyi7953
    @luqmanmwinyi7953 4 ปีที่แล้ว +4

    Dada Tira hongera kabisa umesimamia ukweli sana

  • @rufinasamwel1457
    @rufinasamwel1457 4 ปีที่แล้ว +16

    Mwanaume kutoka nje haisababishwi na mwanamke kuzaa,tumepewa mamlaka yakuwacontrol wanaume tumia mwili wako akili yako vizuri mume hata awe Malaya hawezi kukukimbia.

  • @clospercleophace2668
    @clospercleophace2668 3 ปีที่แล้ว +1

    Doctor uko vzr sana, Tira pia uko vzr, nawapenda sana

  • @ZemaAmani-ez9nv
    @ZemaAmani-ez9nv 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanaume anakwambia hukuwa hivo before ujifungue

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 ปีที่แล้ว +12

    😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈kumbe si mimi pekee natumianga kio🙈🙈😂😂😂😂😂😂

  • @Paelimbo6649
    @Paelimbo6649 4 ปีที่แล้ว +19

    Mapenzi ni zaidi ya swala la maumbile ! Kuna mambo mengi yanachangia mwanaume kumkimbia mwanamke na kinyume chake ni kweli !Kwa mfano kutokuheshimiana, madharau,tamaa ya pesa /mali,uchafu, magonjwa, n.k .

  • @user-gg5zu7bp6z
    @user-gg5zu7bp6z ปีที่แล้ว +1

    Waaoow somo safi wala halizeeki

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 4 ปีที่แล้ว +6

    Upo viuri dk. Unatambua ukuu wa mungu.

  • @moyowangu7729
    @moyowangu7729 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi nashukuru alhamdhulilah mke wangu ywaniridhisha namridhisha nimezoea nachukulia la kawaida tu

  • @user-gs7gm8ry9c
    @user-gs7gm8ry9c 8 วันที่ผ่านมา

    Nimeelewa Sana nimepnda hii mada

  • @mwanaidimusa2574
    @mwanaidimusa2574 3 ปีที่แล้ว +9

    Daktari je ikiwa ulijifungua kwa kuongezwa njia kisha hukushonwa,je unaeza kurudi swa kule kwa uke,yaani kutakuwa kudogo

  • @shimammymammy5298
    @shimammymammy5298 4 ปีที่แล้ว +29

    Kafanana na mwana fa lakini maongezi kama niki wa pili

    • @bramoajibu5058
      @bramoajibu5058 4 ปีที่แล้ว +1

      Shimammy Mamy,wee kweli mkali hata mm nlimfikir hamis mwijuma kweli Tena FA

    • @bramoajibu5058
      @bramoajibu5058 4 ปีที่แล้ว

      Kweli tena shimammy hata mm pia

    • @johnyagat973
      @johnyagat973 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli bana wanafanana

    • @edwardkadwame5816
      @edwardkadwame5816 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

  • @ami.atwaha7024
    @ami.atwaha7024 4 ปีที่แล้ว +8

    Kila mtu na jinsi Mungu alivyoumba unaweza ukazaa na ukapanuka na unaweza usizae pia ukapanuka kwhy ni jinsi Mungu alivyotuumba binadamu hatufanani

  • @klkkklkk1369
    @klkkklkk1369 4 ปีที่แล้ว +5

    hukifanya op shida lazima utakuwa na kitambi kwa sababu uwezi kulifunga na aliye zaa kwa njia ya kawaida

    • @davidimichael1150
      @davidimichael1150 4 ปีที่แล้ว

      Tira hadi kiyoo asnt kwa kuyajl mzingira yako

  • @linahgoodluck4202
    @linahgoodluck4202 4 ปีที่แล้ว +6

    Ahahahahahahahahaha eti naangalia Na kioo kama mm 🤣🤣

    • @husseinhassan3025
      @husseinhassan3025 4 ปีที่แล้ว

      Linah Goodluck lazima nijiangalie kwenye kioo hata mimi ili nijijue #immrshussein

    • @linahgoodluck4202
      @linahgoodluck4202 4 ปีที่แล้ว

      Hussein Hassan 🤣🤣🤣hiyo style nzur

  • @aminajibu6709
    @aminajibu6709 4 ปีที่แล้ว +7

    Nime pata kitu hapa Asante dct

  • @freedomwirelesssolutions1388
    @freedomwirelesssolutions1388 4 ปีที่แล้ว +15

    Duuh..hili naliskia leo...eti mwanamke ahatarishe maisha yake kisa uke mzuri???? Nadhani huu ni ushetani flani!

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว +3

      Hili swala huwaaribu sana wanawake kiakili... wako tayari kufanya chochote

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 ปีที่แล้ว +4

      Mwakio The Great unaweza ukawa umesha zaaa lakini ukawa uko vizuri kuliko ambae hajazaaa

    • @madamehatibu9324
      @madamehatibu9324 4 ปีที่แล้ว +5

      Hao ni wale wasiojitambua wamamazetu wametuzaa kumi na mbili na hadi Leo yuko na baba mi nawashangaa tu hapo

    • @paulinamwenisongole8804
      @paulinamwenisongole8804 4 ปีที่แล้ว

      @@florabaruti8032 sure kabisaa nmewah kuambiwa n mwenzangu nngemficha sin mtt asingekaa akajua usafi nakujijal pia

    • @silasmheni8683
      @silasmheni8683 4 ปีที่แล้ว

      @@thexoshowtira uko sahihi

  • @agathanyello5501
    @agathanyello5501 4 ปีที่แล้ว +5

    Nikweli KBS jmn nimeon mtoto wa pili

  • @rosesamwelitenga4648
    @rosesamwelitenga4648 4 ปีที่แล้ว +10

    Duh kumbe dokta mauki ndio handsome hivii!!mwaaah😘

    • @adelinamwakibete5467
      @adelinamwakibete5467 4 ปีที่แล้ว +1

      Jaman da Rhoda

    • @pascaldismas8982
      @pascaldismas8982 4 ปีที่แล้ว +4

      Rhoda Richard huyu ni Dr. Issack na siyo Chriss mauki dada

    • @liliandavid3428
      @liliandavid3428 4 ปีที่แล้ว +1

      Rhoda Richard sio Mauki huyu ni izak

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 4 ปีที่แล้ว +1

      @@adelinamwakibete5467 nambie dadangu ..😁akii najuaga ndo mauki ama saut zao zinafanana!

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 4 ปีที่แล้ว +1

      @@pascaldismas8982 Asante kunitoa tongotongo ,,na hyo Chris mauki hata simjui

  • @jumamsangi9593
    @jumamsangi9593 3 ปีที่แล้ว +3

    Naona maumbile2 nishakutana na ambao hawajazaa ila bora mama zao waliozaa

  • @LovelyMbise-lk5fm
    @LovelyMbise-lk5fm 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn na mmi nimejifungua njia imebadilika niliongezewa njia nika shonwa nifanyej nisaidien

  • @zinaibrahim7004
    @zinaibrahim7004 4 ปีที่แล้ว +7

    ume ongea kweli dada

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 4 ปีที่แล้ว +3

    Asantee Dr nimejifunza kitu japooo , thanks da Tirraaaa

  • @zuhurambonde6959
    @zuhurambonde6959 4 ปีที่แล้ว +17

    Watu wanakuwa na watoto 7 lkn wako vizuri jifunzeni kubana miguu na mnapopona uzazi tumia maji ya baridi maji yamoto yanatanua uke jamani hata uzae watoto 10 utakuwa poa.

    • @shaniaking7525
      @shaniaking7525 3 ปีที่แล้ว

      Shukrani dada.

    • @alicembaga9198
      @alicembaga9198 2 ปีที่แล้ว +1

      Doctor maumivu ya nyonga yanasababishwa na nini baada ya kujifungua

    • @libbemwamposhi4305
      @libbemwamposhi4305 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaaan maji ya baridi kunawa auu??

    • @meaningoflife651
      @meaningoflife651 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamani mbona watu wanatumia maji yamoto na watu wengi wanasema maji ni yamoto yan tena yamoto yametoka jikoni ndio yanasahidia uke kurudi Kama mwanzo

    • @deborahjohn9290
      @deborahjohn9290 ปีที่แล้ว

      @@libbemwamposhi4305 ndiyo tena ukiweza barafu nzur zaidi

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 4 ปีที่แล้ว +22

    Kuna wanaume wanaacha wake zao wanaenda kuoa mwanamke ana watoto kumi

  • @jauzamsuya6251
    @jauzamsuya6251 4 ปีที่แล้ว +4

    asante doctor

  • @esterkapinga8541
    @esterkapinga8541 4 ปีที่แล้ว +7

    Mbona mm ni mezaa kawaida tuu watto wa wawili na nipo vizuli tu

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Tira, naomba pia elimu kuhusu tiba asili ya kutoa michirizi

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa Pendo ntaifanyia kazi

    • @shaniaking7525
      @shaniaking7525 3 ปีที่แล้ว

      @@thexoshowtira tira kunaswali tumeliuliza wengi hatujapata majibu kwa dr je walochanika njia na hawakushonwa wafanye vp kurudi dawa.

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 ปีที่แล้ว

      @@shaniaking7525 Shania naomba nikuletee majibu hapa hapa TH-cam Subscribe kabisa.Dr Isaac yuko mkoani kikazi,amesema akirudi atajibu maswali yoteeee....Ahsante kwakufwatilia show..tarehe 30 atakuwa mjini tutakuwekea majibu

  • @agathanyello5501
    @agathanyello5501 4 ปีที่แล้ว +4

    Mm naogop op tumbo

  • @gracechalagwa9745
    @gracechalagwa9745 4 ปีที่แล้ว +17

    Tira usiwe unaongea sana wewe tunapenda kupata maneno kwa Dr

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Sawa mama

    • @SafeHaven_TV
      @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว +1

      Tira anachambua mambo ili Dr aelewe na aweze kuyajibu vizuri,aisee mwache Tira yuko vizuri sana Grace Chalagwa.Tira is a unique,golden lady.

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 4 ปีที่แล้ว

      Mh

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 4 ปีที่แล้ว +12

    Mi nadhani Ni usafi na kujiweka sawa tu kila binaadamu mabadiliko yapo.

  • @agathawenceslaus8250
    @agathawenceslaus8250 2 ปีที่แล้ว

    Duh sawa bhana

  • @user-jm9od9lu7l
    @user-jm9od9lu7l 7 หลายเดือนก่อน

    Dr nimekuelewa

  • @mercymueni8376
    @mercymueni8376 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni elastic bana uwez badilika ata liwe aji,mi nizaa watoi wanne na nipo sawa kabixaaaaaaa

  • @AshuraHamisi-wo4dz
    @AshuraHamisi-wo4dz 9 หลายเดือนก่อน

    Samahan doctor kwa mwanamke aliyetoka kujifungua akitokwa na uchafu ukeni ni dalili Ya nn naomba nijibu

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว +8

    at 04:50,aisee hicho kicheko, unajua kucheka vizuuuri Tira,in a special way, hongera sana.

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 ปีที่แล้ว

      @Amani_na_Kazi Tira mwenye ni mrembo kiukwli

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 ปีที่แล้ว +1

      @Amani_na_Kazi Tira mwenyewe ni mrembo sana kiukweli

    • @SafeHaven_TV
      @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว +1

      @@catenzeki678nakubali 100%,Tira ni hatari tupu,Mungu kweli anaumba...

    • @SafeHaven_TV
      @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว

      @@catenzeki678 Mungu kawapa wengine vitu vya ziada,ni kazi yake.

  • @neemashida6902
    @neemashida6902 4 ปีที่แล้ว +33

    watu wanazaa watoto kumi hawaachwi tupunguze imani potofu

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 4 ปีที่แล้ว

      sio kuachwa ila kucheat,,,, japo wanaume wengi wpo hvo kwamba wnpenda kutembea tembea tu nawnawake mbali mbali

    • @magrethjoseph7126
      @magrethjoseph7126 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ama IMO IMO tu hata uwe na wajukuu

    • @halimamahmudu3501
      @halimamahmudu3501 ปีที่แล้ว +1

      Umeona ee wanaogopa kujifungua kawaida eti watatanuka uchi ila kubadilisha wanaume hawaogopi kua uchi pia unaregea 😂😂

  • @salehalbasam41
    @salehalbasam41 4 ปีที่แล้ว +3

    Na ss tulie zaa na kupata nyuzi jee

  • @mariamkaaya214
    @mariamkaaya214 4 ปีที่แล้ว +7

    Nimejifungua baada ya arobaini nilipokutana ulikuwa mziki mpaka damu zilivuja uke ulikuwa mdogo km bikra jamani kuzaa hakuna madhara kabisaaa.

  • @nancynkya4462
    @nancynkya4462 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mwanamke ambae achunguli kweli

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 หลายเดือนก่อน

      Tena wanashangaa ukisema unajichungulia😁😁

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante doctor

  • @johngerrald4453
    @johngerrald4453 4 ปีที่แล้ว +4

    I love u tira

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 ปีที่แล้ว +8

    Doc hilo jicho la uchokozi kwa Tira hapo mwanzo wa kipindi

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 4 ปีที่แล้ว

      uwiiii😂😂

    • @rehemasalim513
      @rehemasalim513 4 ปีที่แล้ว

      @@julkakbar2290 au nadanganya? Si umeliona

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemasalim513 hahahah lilikua 😄,,sio uongooo

    • @ruthnyaudo5034
      @ruthnyaudo5034 4 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅 Kumbe sio mimi peke yangu nimeona

  • @aminafrancismwandu5789
    @aminafrancismwandu5789 2 ปีที่แล้ว

    Kuzaa hakumfanyi Mwanamke kukimbiwa na mwanaume ingelikua hivyo wapenzi wasinge salitiana naunakuta Binti mdogo hajazaa lkn anazidiwa na alie zaa hivyo nimaumbile yamtu mwenyewe

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 ปีที่แล้ว

    Wengine hufanya op kwa sababu ya magonjwa . Aiseee anaefanya operation ati kuofia maumbile duuu taira huyo

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  ปีที่แล้ว +1

      Wapo ndugu yangu Dunia inamengi

  • @liliansikazwe7444
    @liliansikazwe7444 4 ปีที่แล้ว +10

    mm na watoto wawili ila bado nipo tight kiukwel ad mme wang ananishangaa huenda mbelen nikizaa watat au wa 4..ila bado nipo vizur

    • @user-us9gl8jg4l
      @user-us9gl8jg4l 4 ปีที่แล้ว

      Unafanyaje

    • @mariamkiharo6345
      @mariamkiharo6345 4 ปีที่แล้ว +6

      @@user-us9gl8jg4l mazoezi ya kegel. Mi mwenyewe anashangaa kila siku rungu linataiti mpaka raha.
      Yani k unaifanyisha mazoezi ya kuibana Kama unabana mkojo hivi zen kama unatoa mkojo halafu unabana k tena kwa siku unafanya hili zoezi mara nyingi kadri uwezavyo.Nyama za k zinajikusanya nakuwa taiti.

    • @fatmakhamis1018
      @fatmakhamis1018 4 ปีที่แล้ว +1

      Mariam Kiharo asante mrembo

    • @jumamzonge1750
      @jumamzonge1750 4 ปีที่แล้ว

      mmmmmh!!!? mnamambo nyinyi

    • @veemoney5692
      @veemoney5692 2 ปีที่แล้ว

      @@mariamkiharo6345 sms yako imeishia nusu jmn niambie bas una banaje

  • @julkakbar2290
    @julkakbar2290 4 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni Sana nmekueleweni

  • @aishamtela4413
    @aishamtela4413 4 ปีที่แล้ว +12

    Kiukweli mabadiloko yapo tena makubwa

  • @lovenesreuben6179
    @lovenesreuben6179 4 ปีที่แล้ว +5

    Thanks tira umejikaza kuulza maana mmh m cwez kumuulza mwanaume Ivo😂😂 love u too much 💕💞

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @lovenesreuben6179
      @lovenesreuben6179 4 ปีที่แล้ว

      @@thexoshowtira 💞💕

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 ปีที่แล้ว

      Njoo uwe unaniuliza mimi mam....tafdhalii..

    • @lovenesreuben6179
      @lovenesreuben6179 4 ปีที่แล้ว

      @@chiefmahucha6847 😱ntaanzia Wap 😂😂

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 ปีที่แล้ว

      @@lovenesreuben6179 utaanzia ukumbini, sebleni then chumbaniiii.....!

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 3 ปีที่แล้ว

    Tirra we mzur san nakupnda san. Iv ipo sk ntakuona japo live kwel. Najuw n ngum kkupata.

  • @asmamajuto2639
    @asmamajuto2639 3 ปีที่แล้ว +4

    Naomba kuliza jaman
    Ukijifungua unaitjika kukaa mda gani ndo ufanye yendo
    Maana nilipokata damu tu siku kumi na nne niliingiliwa kwa fosi
    Je naweza pata madhala hapo
    Maana nawaza sana

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว

      Duhhhh huyo jamaa ako Hana akili,unatakiwa ukae walau Siku 30 Kama syo siku 60 ndo usex,ukifanya kabla ya hapo uke utaendelea kulegea na kushndwa kujibana

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

      Si mbaya hata kuingiliwa cku y 14,Wala usiwaze dada

  • @pendomgeni6084
    @pendomgeni6084 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana doctor kwa mafunzo mazur

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 4 ปีที่แล้ว +3

    Nazile zenye maji mbona hamzungumzii😁😁

    • @anethmahera4453
      @anethmahera4453 4 ปีที่แล้ว

      wasafi media inasababishwa na nn

  • @mohamedghasia95
    @mohamedghasia95 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkiwaza hayo mabadiliko ndio mnakuwa na hali mbaya....

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

    Nakupend wew dada

  • @saadaissa2234
    @saadaissa2234 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr isac jmn yaan anaongea vzr hadi raha jmn

  • @sumayfunga3416
    @sumayfunga3416 4 ปีที่แล้ว

    Jamaniiii tira ni mzuri mpaka tumbo linaniuma

  • @lovenessbahati474
    @lovenessbahati474 4 ปีที่แล้ว +4

    Cyo kwel kama mungu kakuumba ulivyo hakuna kinacho badilika kwel nakwambia kwenye maumbile yako

    • @peterfrancis8944
      @peterfrancis8944 4 ปีที่แล้ว +2

      Kama mwanamke unaejiheshimu kwenye ndoa Yako hupaswi kuanika hii ni Yako na mme wako,..unaweza kuchangia mada bila kuanika haya Mambo ya chumbani, hakuna ulazima mwanamke , heshima ni pamoja na kutokujianika ya ndani

  • @bujsaudaselemani5562
    @bujsaudaselemani5562 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa kipindi

  • @emiledanieli185
    @emiledanieli185 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi uke wangu kwa ndani kuna kinyama kama kipira

    • @happykoteihappy-vd7ce
      @happykoteihappy-vd7ce ปีที่แล้ว

      Hata mimi

    • @rukxbby
      @rukxbby 11 หลายเดือนก่อน

      Hio n kawaida inatokea baada ya kuzaa

  • @filbertleonoratv1304
    @filbertleonoratv1304 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali dr

  • @philimonmbota6293
    @philimonmbota6293 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi s

  • @eustelachiwanga3470
    @eustelachiwanga3470 2 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa kujiangalia

  • @edmundedgar7029
    @edmundedgar7029 3 ปีที่แล้ว

    Naomba no yako doctor nashida

  • @VeronicasElias-jf5tr
    @VeronicasElias-jf5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman nam natak kujifuza bd sjaolewa

  • @magecharles446
    @magecharles446 4 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga Dada kujifungua akubadilishi maumbile ni uongo mkubwa

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Mage Charles mdogo wangu,,ungemsikiliza Dr Vizuri.Usipanic

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 4 ปีที่แล้ว +1

    apa kazi ipo

  • @zulekhazuu1955
    @zulekhazuu1955 4 ปีที่แล้ว +1

    Hujiamini

  • @liliansikazwe7444
    @liliansikazwe7444 4 ปีที่แล้ว +6

    ila pia mazoez ya kegel yananisaidia pia kujiweka vizr

  • @zahoromzee5417
    @zahoromzee5417 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna njia nyingine yakuoima mmama anaejifungua? Zaid yakuingiza mkono?

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 ปีที่แล้ว

      Naomba hili swali niliwasilishe kwa dr Isaac hapahapa ntakuletea jibu

  • @allykango9440
    @allykango9440 4 ปีที่แล้ว +2

    Dct naomba ufafanuzi kwa wale walio chanika wakat wa kujifungua atafanyann ili awe sawa🙏

    • @samsonisanga7272
      @samsonisanga7272 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan c uwa wanashona me uwa nachanika kila nkijifungua nashonwa na nnakuwa sawa

    • @lvanabaraka6542
      @lvanabaraka6542 2 ปีที่แล้ว +4

      Mm nimeshonwa lakin napata maumivu kwenywe kinena

  • @salimbabz3070
    @salimbabz3070 4 ปีที่แล้ว +5

    Si useme shimo limekua kubwa

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว

    Ah doctor

  • @alenyema
    @alenyema ปีที่แล้ว

    Dada nimekupenda uko free kutueleza

  • @nyasigematete3091
    @nyasigematete3091 4 ปีที่แล้ว

    Okayiiii 👍

  • @estermasawe3799
    @estermasawe3799 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 4 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimejifungua kawaida na nimekaa one year na nusu without sex,na nimekuja kuonana na mumewangu tena na niko bumbum,kama sijazaa,kwangu mimi sijui wenzangu

  • @michaelmuchomerson2658
    @michaelmuchomerson2658 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kama naruhusiwa kuangalia naomba unipanulie niangalie

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr maro, fundi sana wakuchambua

  • @christinahillary3417
    @christinahillary3417 4 ปีที่แล้ว +3

    Na shida na Dr issac maro nisaidieni jinsi ya kumpata

  • @danielmoringe1462
    @danielmoringe1462 4 ปีที่แล้ว

    Doctor huyooooooooooo

  • @ganchu7
    @ganchu7 4 ปีที่แล้ว +6

    Akizaa huwa ni smart zaid kuliko hasipo zaa

  • @irenecleverly2563
    @irenecleverly2563 3 ปีที่แล้ว

    jee kama ninavojifungua niliongezewa njia na sikushonwa vip nikizaa mtoto mwingine naweza kushonwa ile sehemu?

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว

      mhhhh ni ngumu. c tayar pashapona rabda pakwanguliwe mm mwenzako nina pengo adi leo sikishonwa

    • @shaniaking7525
      @shaniaking7525 3 ปีที่แล้ว

      Hata bila kuzaa tena hata sasa ukienda wanakwangua mpaka kitoke kidonda Halafu wanashona

  • @gressimion9068
    @gressimion9068 ปีที่แล้ว

    Hayomaji balidi unatumiaje

  • @mamayake2994
    @mamayake2994 3 ปีที่แล้ว

    Yani wanawake tunapata shinda

  • @shukurumustafa478
    @shukurumustafa478 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh

  • @rebbyalex7779
    @rebbyalex7779 3 ปีที่แล้ว

    Mbn mie nimerudi kuwa km bikraa tenaa

  • @ramadanabdallah9694
    @ramadanabdallah9694 ปีที่แล้ว

    Tira vipi haliyako

  • @julianaabdallah1193
    @julianaabdallah1193 ปีที่แล้ว

    Samahani doctor mtu kama amejifungua alafu mtoto kamchana ameshonwa je uke utaludi katia hali yake?

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว

    Doctor unafaa sana ww❤️❤️

    • @rehemasalim513
      @rehemasalim513 4 ปีที่แล้ว +1

      Anafaa kivipi jamani na makopa kopa hayo Mpnz

    • @tausingomeni2568
      @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rehemasalim513 😂😂😂Ww wifi etu nn, anafaa kulezea yan nimepend san nilimaanisha😂kwan ikiwek makopa yanamaanisha nn mpnz, halfu simjui wal nn namuonag tu inst na clouds,

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 4 ปีที่แล้ว +1

    mwanamke aliyekeketwa ukifanya naye mapenzi anajisikia utamu ? au hajisikii chochote

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Hali ni tofauti,kwakwe,ila hiyo ni moja ya Topic zetu zijazo,utapata ufafanuzi vizuri