SHUHUDIA DULVAN ALIVYOTAKA KUKIMBIA STUDIO / KISA KIZIMA HIKI HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1K

  • @lilymammpayo8299
    @lilymammpayo8299 3 ปีที่แล้ว +194

    Big up Kwa EFM 👏👏👏
    Huwezi kuona huu ujinga🤔
    Dondosha like twende pamoja

    • @mwinjanavil
      @mwinjanavil 3 ปีที่แล้ว +2

      huyo diva ndo kapeleka maupumbavu hapo

    • @cuthbertsafari3999
      @cuthbertsafari3999 3 ปีที่แล้ว +2

      Redio vipindi ovyo sana

    • @haarunsaidabdillahi4082
      @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว +2

      Wasafi hamna dressing code? Dulvan anafanya interview akiwa amevaa nguo ya kulala..pyjama ! Hovyooo
      Mtangazaji pia hovyooo.Ongea Kiswahili tu.

    • @rubniyi3551
      @rubniyi3551 2 ปีที่แล้ว

      @@haarunsaidabdillahi4082 nimeshangaa

    • @fadymoses4994
      @fadymoses4994 2 ปีที่แล้ว

      👏

  • @avitydamian1994
    @avitydamian1994 3 ปีที่แล้ว +346

    Kama nawewe unaamini kuwa hizo ni kiki nipe like

  • @chanzehabib4243
    @chanzehabib4243 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona mahojiano wasafi radio jua kiki kama unamini nipe likes zangu

  • @nyabaplussheila6541
    @nyabaplussheila6541 3 ปีที่แล้ว +66

    Sasa kwanini kuja ku tangaza mimba kwenye television kama radio!? Kwani wasafi ni familia ya Dulvani wala Diva mama yake ao Dada yake... tz mupo ajabu! Pole sana Dulvani

    • @fettysalumu7850
      @fettysalumu7850 3 ปีที่แล้ว

      Uyu dada tu awezi

    • @uwinezajohara8362
      @uwinezajohara8362 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kiki

    • @suzanaemanuely8788
      @suzanaemanuely8788 3 ปีที่แล้ว

      Dah

    • @mdasad2148
      @mdasad2148 3 ปีที่แล้ว

      Diva huyo Dada angaria sms kwa hiyo Dada ushuhunda upo kwenye sm zao diva

    • @msalikemedia
      @msalikemedia 3 ปีที่แล้ว

      Hii TV ni ya kiki tu dada hio sio kweli ni kiki hizi

  • @carolabel7972
    @carolabel7972 3 ปีที่แล้ว +85

    Unakuja wasafi kucharge simu😂😂😂 Dullvani hapo amewezaa

    • @juliethjosephkavishe1872
      @juliethjosephkavishe1872 3 ปีที่แล้ว +2

      Ahahahaha!! Anajickia kudondoka dullvan

    • @jestinabenedict4620
      @jestinabenedict4620 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe nikuwa hodin namgonjwa nimecheka kwasauti mbaka nes kanifuata akaju mgonjwa kakata roho

    • @angeliqueangelique9279
      @angeliqueangelique9279 3 ปีที่แล้ว

      Ni Africa ulaya huyo dada wangemunyoosha vizuri kusingizia mtu ni kesi kubwa sana

    • @marymutwoki3561
      @marymutwoki3561 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @dandelion2644
      @dandelion2644 2 ปีที่แล้ว

      Daaah amekweli Demu kauuzi

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil 3 ปีที่แล้ว +70

    anayeamini hii kiki ni moja kati ya kiki mbovu sana zaid ya zote anyooshe kidole...
    na aliyeona dulvan kavaa night dress nani

  • @Ajneb.
    @Ajneb. 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dada amechizi labda, unakuja kucharge wasafi kweli💔💔💔

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 3 ปีที่แล้ว +8

    Uyu dada nimemuonea huruma,wadada muwe munaangalia na watu wa kudate nao .Na hii tabia ya kulia kisa mimba sielewi.Mjitaidi kujitegemea jamani.Subiri mtoto azaliwe,sasa mimba tu jamani kelele.!!wadada mnatuangusha..mimba sio ugonjwa.ukipata kisa kama hiki tulia kwanza uzae,sio mimba tu unaanza kelele.sio nzuri.

    • @dianamuniro8129
      @dianamuniro8129 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa yaaani nikuvumilia tu mambo mengine kujidhalilisha

    • @rawhiyarajabu7324
      @rawhiyarajabu7324 3 ปีที่แล้ว

      Huyo dada n muongoo bhana

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 3 ปีที่แล้ว +36

    Msicho elewa Ni kwamba Sisi WASANII atushindwi kumuomba dada Fulani atusingizie Jambo alafu tujiandae namna ya kujitetea mwisho wa siku Kiki napata dada anapata Kiki mtangazaji anapata kontent mjinga shabiki ninae kuja kuona na kukoment hapa

    • @arnhemzuid8885
      @arnhemzuid8885 3 ปีที่แล้ว

      Mmh basi hapo wamechemsha maana uhalisia haupo.

    • @homan_nkwama
      @homan_nkwama 3 ปีที่แล้ว +2

      Arnhem Zuid Awawezi kuchemsha mana wao wanafanya biashara katika WIN WIN situation Yani hawana cha kupoteza ndio mana bado tunawajazia comments hapa DUNIA aitaki uwe silias utazeeka haraka just enjoy ila Raha ujue unachofanya mfano mm naangalia maigizo ya staa wangu diva na wahusika wake😄

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

      @@homan_nkwama Duuh!!!! Umenifungua Macho kweli. Nimejiona mjinga kupita kiasi kuingizwa BUSH nikiwa mjini🙄🙄🙄🙄

    • @collihmushi5944
      @collihmushi5944 3 ปีที่แล้ว

      😂😂💔

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii coment yko kwa uwezo wa mungu nmefunguka akili cendelei tena kupotez mb zangu kizembe

  • @mariammwanzalila9010
    @mariammwanzalila9010 3 ปีที่แล้ว +21

    Huyu mdada muongo hivi uwende sehemu bila simu like serious😁

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 3 ปีที่แล้ว +19

    Wewe mtangazaji "careful" unaweza kuharibu destiny ya mtu. Hayo maswali unayomdadisi huyo binti mlipaswa kuhakiki kabla ya ku face microphone na kuongea na dunia mambo ambayo wewe mwenyewe umesema kuwa watu wanaweza kutunga story kupata kiki. Zaidi ya maneno aliyokuambia huyo binti, bila kuyahakiki umeamua kumwita huyo kijana na kumpambanisha na public interview. Ni uchanga wa utangazaji hadi unaharibu brand ya mtu bila sababu. Kituo kimwombe radii huyo kijana kama huyo binti atashindwa kutoa ushahidi

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว +1

      Alafu alivyo shoga uyo diva kuma mbona yy akiulizwa kuhusu kulala na patric anakuja juu

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 3 ปีที่แล้ว +14

    I'm a woman but something is not adding up, Diva this lady is lying, PERIOD!

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +4

    Mi nataka kuwa judge....Nahisi Dulvan a take responsibility mpaka atakapojifungua...Then waende DNA..ikipatikana Huyu Mdada Kazengua basi na amlipe Dulvani Hela yake yote na kumchafulia jina na ikawai kuwa Matokeo ya DNA yanamtambua Dulvani kama baba then waendelee kulea. .Basi ..Love from Kenya 🇰🇪

  • @patrickvove
    @patrickvove 3 ปีที่แล้ว +30

    Dulvani kajibu smart mission passed and respect ila chini kunamambo 🥵🥵🥵🥵

  • @allymkamba1054
    @allymkamba1054 3 ปีที่แล้ว +2

    Utopolo mtupu, kazi ya vyombo vya habari ni kubwa sana kwenye jamii kuliko kufanya huu upuuzi.

  • @luttertv1656
    @luttertv1656 3 ปีที่แล้ว +1

    Ushaona wap unaenda mahakamani bila Usha idi et simu ipo charg khaaa we gonga like tusonge

  • @jackson742
    @jackson742 3 ปีที่แล้ว +5

    This guy seem very humble.

  • @donhussle948
    @donhussle948 3 ปีที่แล้ว +11

    Nenda guide and cancelling ufanye hayo Ila usifanye hapo Kwa studio kama ur doing ur work ya studio ni mengine Ila c hayooo

  • @munibullahmarunda7051
    @munibullahmarunda7051 3 ปีที่แล้ว +1

    Angalia mikono ya huyo dada anaposema "SIMU NIMEIACHA KWA CHAJI" inaonesha kabisa amepoteza confidence.

  • @BuraK-bk9iw
    @BuraK-bk9iw 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila dullavan khaa jaman kama mwanamke wanaume hatukog ivyo… Ila upande mwingine huyu mwanamke kwangu mm naona anadanganya maana kama ni kwel kwann cm isiwepo tuone Dm ambazo dullavan kama Dm …. Maana dullavan kajiamin kabisa kamwambia nioneshe Dm lakin dem mala nimeacha cm chaj mala nn. .. dem muongo huyo

  • @nissamwapoladi7345
    @nissamwapoladi7345 3 ปีที่แล้ว +45

    Huyu dada muongo.aonyeshe hzo sms kwann hana ushahidi

    • @fadhilmtunha4070
      @fadhilmtunha4070 3 ปีที่แล้ว

      Liongo

    • @salumseif1328
      @salumseif1328 3 ปีที่แล้ว

      wasafi wanayumba sasa wameanza kumpa kiki lava lava wanakuja kwauyo dulvani mnakela one time

    • @rehemamshele1417
      @rehemamshele1417 3 ปีที่แล้ว

      Uyo dada wanakaa mtaa moja na dul

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 3 ปีที่แล้ว +57

    Oneshe ushahid asimzalilishe Kaka Wa watu

  • @Fahadi2023
    @Fahadi2023 ปีที่แล้ว

    2023 mmhh😂😂 kumbe alikuwa Sophie wa amelowa.jmn naomben ata like moja

  • @husseinalibhai7311
    @husseinalibhai7311 3 ปีที่แล้ว +2

    Divaa usiangaikee kama dulvan atakii nipee mtotoo mm ntalea Baba Wawa totoo wotee wanao kataliwaa

  • @justfun-gb6fn
    @justfun-gb6fn 3 ปีที่แล้ว +7

    TODAY I'VE SEEN
    .....DULLIVANI IS A.... REAL MAN

  • @RamadhanAli
    @RamadhanAli 3 ปีที่แล้ว +13

    Body language ya Dulvani, says more than meets the eye. Huyu jamaa atakuwa anaufahamu na huyu dada, ama their is something fishy.

    • @alireje6806
      @alireje6806 3 ปีที่แล้ว +1

      Ya I feel the same...but hongera hakuondoka

  • @kijakazinyalinga7003
    @kijakazinyalinga7003 ปีที่แล้ว +1

    kiki ndio yale ya lulu diva na lava lava👍

  • @silvatv8294
    @silvatv8294 2 ปีที่แล้ว

    HUYU DADA MUONGO KIURAHISI TU KWANN SIMU IKO OFF NA HAINA CHAJII HAWA WANALAO KIKI OR HUYOO DADA KACHONGA NA DIVA APATE UMAARUFU
    KAMA UNAKUBALI GONGA LIKE HAPA

  • @georgemajani6600
    @georgemajani6600 3 ปีที่แล้ว +11

    Love from 🇰🇪🇰🇪

  • @kinakovusanyuprestige6040
    @kinakovusanyuprestige6040 3 ปีที่แล้ว +8

    Hivi unaezajee ita mtu kwenye interview bila ya kuniuliza,,,,mmi ukinijaribu na hii ujinga naweza onyesha drama apo kwa studio mpaka diva utaniitia security

  • @aishaabdallah2088
    @aishaabdallah2088 2 ปีที่แล้ว

    Wewe dada ni fala Sana unalazimsha kuzaa na mtu bwege we tafuta pa kwenda rizki ailazimishwii

  • @leahmagaiwa9099
    @leahmagaiwa9099 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Dada ni Muongo,,, muongo Sana hakuna hicho kitu hapa kwa kuongea tu hakuna ukweli hapa!

  • @yusufumajid9168
    @yusufumajid9168 3 ปีที่แล้ว +10

    Leo mm nimekua wa kwanza 😳

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo no ndrama kweli durvan anashangaa umri wa Dada na yeye tofauti kabisa

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 ปีที่แล้ว +1

    *Madada wawili wamekutana kitandani mmoja akapata mimba sasa wanageukana*

  • @kikofia.007
    @kikofia.007 3 ปีที่แล้ว +6

    From the first appearance of the girl dullvany amepanic.he is responsible

  • @rahmahassan7293
    @rahmahassan7293 3 ปีที่แล้ว +23

    Sister fatiliaa kama massage zipo huyo dada anaonekana ni Dramaa yaan

    • @rachelmbeyu4385
      @rachelmbeyu4385 3 ปีที่แล้ว

      Siameambiwa aonyeshe evidence ati hana simu

  • @alexanderkibona8478
    @alexanderkibona8478 2 ปีที่แล้ว

    Yani mungu atutie ufaham jaman alaf icho kiengerza chanini jaman wote apo wabongo

  • @florajames7558
    @florajames7558 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizo nguo za dulvan sijazielewa 😀😀😀😀😀

    • @lucyalto8751
      @lucyalto8751 3 ปีที่แล้ว

      Ni usiku alishavaa nguo za kulalia

    • @florajames7558
      @florajames7558 3 ปีที่แล้ว

      @@lucyalto8751 🙌🙌 katisha

  • @jokhaelsienna6946
    @jokhaelsienna6946 3 ปีที่แล้ว +8

    Kitendo Cha kupanic dully unapoteza point😂umeamua kukaza kaza kwel🤣

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +4

    Dulvan na nguo zake za kulalia ni noma

  • @ramadhanmgandi7346
    @ramadhanmgandi7346 3 ปีที่แล้ว

    Diva umefanya mbaya haukupaswa,kufanya hivo umemkosea sana dull vanny

  • @neemaedwad7476
    @neemaedwad7476 3 ปีที่แล้ว

    Ataww mtangazaji umemkosea dulvan kwann usingemuuliza kwanza dulvan

  • @annemwande6807
    @annemwande6807 3 ปีที่แล้ว +7

    Aki nmecheka 😂😂😂😂😂😂ANAKUJA WASAFI KUCHAJ SIMU😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

    • @samzuuseif
      @samzuuseif 2 ปีที่แล้ว

      Yan anafrahisha huyo dada 😆😆

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji hujafanya kazi yako sawa sawa ! Huyu mwanamke kwa sura tu anaonekana mwongo anatafuta wa kulea mtoto ambaye hajui mhusika.
    Umeiangusha ofisi yako ukiwa na gender mindset ya kumtetea huyo tapeli kwa 7bb t3 ni mwanamke

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +2

    Makubwa haya Suzy acha nipite zangu Mimi sioni ya dulvani

  • @habibamrisho6337
    @habibamrisho6337 3 ปีที่แล้ว +5

    Kama ni kweli ww dada ungeonyesha sms kuna uongo ndani yake,ushahidi ni kitu cha muhimu,onyesha ushahidi ili watu wakuamin

  • @kingsleykavu5953
    @kingsleykavu5953 3 ปีที่แล้ว +5

    Some men are really jokeing wewe Duly simama kama baba ulee mtoto.. kumbuka mtoto atakua kesho na keshokutwa utamjibu nini

  • @sabraniaikenda3751
    @sabraniaikenda3751 2 ปีที่แล้ว

    Ainde akaleee huko anataka Kiki huyo dada katuma wangapi wakikataliwa wanalea wenyewe au anataka aishi maisha ya kifahali

  • @bettyobedy8938
    @bettyobedy8938 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman naomben kiuliza hyo nguo aliyo vaa dullvan ni nguo ya kulalia au ndo fashion ya saiv nauliza tu jamanii

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 3 ปีที่แล้ว +4

    Leo ndo nimejua huyu ni rijali kama kapiga mimba kweli

  • @stamuboniphace5358
    @stamuboniphace5358 3 ปีที่แล้ว +20

    Huyo mwanamke nimuongo

  • @haithamahmed72
    @haithamahmed72 2 ปีที่แล้ว +1

    The studio lady is an apropriate to take this studio.ni bora uzugumzee kiswahili ama kingereza na miwani zajuwa ytowe kama heshima😎

  • @jbm6309
    @jbm6309 3 ปีที่แล้ว +1

    Diva fanya kazi yako Acha utoto unaharibu kazi

  • @cecyxtive4410
    @cecyxtive4410 3 ปีที่แล้ว +4

    Serikali iwapee kazi😋😋

  • @mwiruhabibu2060
    @mwiruhabibu2060 3 ปีที่แล้ว +3

    tuliona dulvan kavaa blauzi tujuane🙊🙊🙊🙊

  • @sophyleenpj4312
    @sophyleenpj4312 3 ปีที่แล้ว

    Sofia kama Sofia ameharibu jina letu sana sisi kina Sofia hatuforce issues ukiona mwanaume nikama anakwepa majukumu inabidii uache tuu🙌🙌🙌🙌

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi mnafeli
    Mnajiharibia

  • @paulmagige1391
    @paulmagige1391 2 ปีที่แล้ว +3

    next time lulu diva you have such an interview,kindly ask the complainant to come over with full evidence on the basis of his/her complains.
    Hii ndo interview immature have ever seen you doing.

  • @hildaminja6296
    @hildaminja6296 3 ปีที่แล้ว +7

    Aonyeshe ushahidi jmn mbn anamfanya dulla kama kuku ivo

  • @salmagungurugwa6854
    @salmagungurugwa6854 3 ปีที่แล้ว +2

    Da zuu Leo kapatikana yupo km kuku mdondo Na hizo nywele zake😂😂😂

  • @asmahiddy6994
    @asmahiddy6994 3 ปีที่แล้ว

    Hiki kipindi hakiendan kabisa na haya mambo na kumbuka diva unamuharibia dullivan brand yake aiseeee msimfanyie hivo kaka wa watu tutaacha kufatilia likipindi lako

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani? huyu Dada ni mtu mzima kwa nini hakujikinga na ubebaji mimba usiotarajiwa?Kinga zote hizo serikali inahamasisha wanawake kuzitumia yeye akajibebesha mimba kisa katembea na msanii, fedhea zingine sisi wanawake tunazitaka wenyewe na shida tunazitengeneza na mikono yetu, kwa hiyo huyo Dada alivyokuwa kikikutana na dull alihisi anachokifanya matokeo yake ni nini? Na jukum la kujikinga ni la Nani? Tena huyo Dem aache kiranga alichokitaka kashakipata akalee mtoto wake mwenyewe kwasababu walipokuwa kwenye tendo makubaliano sidhani yalikuwa ya kubeba mimba na Kama yalikuwa yakubeba mimba dull ahusike kulea.la! Huyo Dada alishachukua chake ck nyingi.

  • @josemsafimusic3389
    @josemsafimusic3389 3 ปีที่แล้ว +16

    UNAKUJA WASAFI KUCHAJI SIMU 😂😂😂 DAAH DULVAN

    • @CaroleBosco
      @CaroleBosco 3 ปีที่แล้ว

      Nice one

    • @judymangi9557
      @judymangi9557 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀

    • @yumnasuleiman
      @yumnasuleiman 3 ปีที่แล้ว

      Jose Msafi:😂😂

    • @rahmaramadhan9773
      @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇴🇲

  • @suzanaemanuely8788
    @suzanaemanuely8788 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman wasichana tuachen drama za kutaka u super staa kwa kutumia wasanii dah jaman tunatia aibu tubadilike,,,, kama huna nyota ya kuwa star tuache t sa kama kwel una hakika na umezamilia kutaka kumuumbua mtu kwanin aache sim si ujinga huu wew dada mmmh kiboko

  • @levinamwessa7679
    @levinamwessa7679 3 ปีที่แล้ว

    Wasafi wanapenda kiki wamekutana nampenda kiki mwenzao

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 3 ปีที่แล้ว +6

    Naww mdada kulala nauyo mh hukuona wanaume

  • @peragiaisdor6315
    @peragiaisdor6315 3 ปีที่แล้ว +3

    We mdada vipi😳 ushahidi👌kwendraaaaaaaaaaa

  • @kingsleykavu5953
    @kingsleykavu5953 3 ปีที่แล้ว +1

    Isije kua kama ya baba simba mama kaangaika naesaizi nitajiri anajileta..ooh sisaidiwi wakati kamtupa mtoto kijana handsome Nasib Abdul..wakati anamtongoza mwanamke utegrmea nini?wewe jikazetu kakaangu umlee mtoto kesho na keshokutwa atakusaidia uzeeni

  • @p-flovours8151
    @p-flovours8151 2 ปีที่แล้ว

    Duh dulvan kime umana mzeee baba 💪😄👉😄😄😄😄😄😄😅😅

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +3

    Hata huyo duluvan na huyo Dem Kuna kitu kitatoke tupo hapa🙄

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 3 ปีที่แล้ว +29

    Unakuja wasafi kuchaji cm 😂😂

    • @rahmanassor2652
      @rahmanassor2652 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @mossianahassan9883
      @mossianahassan9883 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @bernahappy2450
      @bernahappy2450 3 ปีที่แล้ว

      Tobaaaaa roho yangu nimecheka hadi mkojo lakini ni kweli kwani amekuja wasafi kuchaji cm😂😂😂😂😂😂

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 2 ปีที่แล้ว

    Wanawake wa bongo wanapenda sana mtelemko

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 3 ปีที่แล้ว +1

    Bac we Dada usipaniki ww nenda kalete cm uwongo na ukweli utajulikana tofauti na hapo hapatakua na ushaidi

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 3 ปีที่แล้ว +4

    Diva nakupenda sana ila please kuwa makini na izi interview manake tangu umeanza kipindi cha lavidavi sjawahi kuona content ambayo imenivutia kuangalia mara yapili.
    Hapo mnaonekana mmesuprise dulvan afu sio sawa kwasababu uyo ni star sasa so sio mtu wakumuita tu kihuni kuja kumvamia namna iyo,pili uyo dada ushahidi hana kwanini mnamuonea kijana wawatu???.
    Sjapenda mimi.

  • @modriface
    @modriface 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwann usingizie yeye mbna jibu rahisi sana.....kwasababu maarufu (star)

  • @hamidugawaza4858
    @hamidugawaza4858 3 ปีที่แล้ว

    Huyo dem muongo mpaka apo kwa utaram wangu arafu swara nimeacha watu wangapi mpaka kumfwata yy hayo maamuzi nakingine hawezi kudeti huyodogo nadem yoyote arafu asijue mshakaji atammoja sokweri ringine mmesahau kua kasema kaacha mausiano yake bira tatzo kamfwata mshikaji uoni mchezo huo kwanza mkavu arafu anarazimisha hisia ira dogo huo ndio ukubwa nahuo ndy umaarufu nahizo ndy changamoto ktk maisha huyo njaaa

  • @stevenmwakitalu9992
    @stevenmwakitalu9992 2 ปีที่แล้ว

    Duuh!! myself I connect understand this stution,

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 ปีที่แล้ว +12

    Dullan ushakata mauno kwa dada wawatu sahi wakata 😂😂😂😂

  • @glorylema
    @glorylema 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani .....dullyvan hii ni mala ya pili wasafi kumzingua 😂

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh mjini jua Kali....ubongo unayeyuka mdogo

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri DIVA..waoshe

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 3 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂 siku izi WCB wanatengeneza KIKI zenye akili

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkisha zaa mje mtupe mrejesho ili mtuaminishe msituletee Kiki tunaumiza vichwa sie kuwa onea huruma 🤔

  • @sharrifidris3422
    @sharrifidris3422 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh!hapana huyu binti tapeli.mbona ikiwa ni mwanamke mnampea attention Sana? Yaani anakuja studio Bila hata ushahidi mmoja kisha tuamwamini

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 3 ปีที่แล้ว +1

    ukwel kuugundua ni kaz sana, binafsi siwaamini wasanii ni waongo sana kwenye interview

  • @yahyahaji4198
    @yahyahaji4198 3 ปีที่แล้ว +6

    Kizungu cha nn ongeeni kiswahili wee dada

    • @qwqw1665
      @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว

      Muongo huyoooo fafa kapewa mimba namtumwingine alafu aongea sana huyo dada hutakiwi

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +14

    Ni kkkkkk kama ya loloviva na Lava Lava. Wabongo kkkkkk

  • @agneshalid1057
    @agneshalid1057 3 ปีที่แล้ว

    Ila tuseme ukweli dulvan ana macho mazur,

  • @ibrahimmohamed8845
    @ibrahimmohamed8845 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Dulvan aendeakabadilishe jinsia awe mwanamke tu.

  • @hamidugawaza4858
    @hamidugawaza4858 3 ปีที่แล้ว +5

    Ivi kwer angekua anampenda ange sema anguka tu arafu apoapo anauriza kosarangu nini kwako anajierewa kweri huyo dem

    • @mjy353
      @mjy353 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

  • @Bongovillagevlogs
    @Bongovillagevlogs 3 ปีที่แล้ว +18

    Hivi dullvan wakiume kwl mana lipstick

    • @duncanmwanzi808
      @duncanmwanzi808 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah, sio lipstick jamania ni maumbele tuu , ila huuuhh namshangaaa

    • @duncanmwanzi808
      @duncanmwanzi808 3 ปีที่แล้ว

      Hahahah, sio lipstick jamania ni maumbele tuu , ila huuuhh namshangaaa

    • @alluminiumexperttz.12mview13
      @alluminiumexperttz.12mview13 3 ปีที่แล้ว +2

      Unauliza wakati Mimba hiyo hapo

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว

      Sio lipstick hata kaka yng yupo hivyo

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyo atakuwa anapumuliwa tu si bure 😀

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 3 ปีที่แล้ว +2

    Suluhisho n atafutwe Dullyvany halisi, huyo n mama chago kwa hiyo msimsingizie mwenyewe kaja Na Night dress 😂😂😂

  • @munaqtr8985
    @munaqtr8985 2 ปีที่แล้ว

    Dull kanyeshewa kama kitoto hili jambo inamaanisha n kweli na kinadharau na kujiona kama yy n mzuri bt dulvani unavyofanya c poa huyu n mtoto ujue na mtoto huwezi muekea chuki ni malaika plz jaribu kuwa mkweli

  • @christopheraine6446
    @christopheraine6446 3 ปีที่แล้ว +7

    Wakwanza leo like zangu jamani

  • @johnnabie5445
    @johnnabie5445 3 ปีที่แล้ว +8

    Haya so mambo yakuleta redioni nanyi,, mbona hangemwita bembeni?, Lazima redioni.? Watanzania na Kiki jamani 😂😂😂😂😂😂

  • @halimarehani2961
    @halimarehani2961 3 ปีที่แล้ว +2

    Muongo huyo dada hata sim kaaacha duh! Kaona aseme hana sim ili kusiwepo na ushahidi mana sim ingeonyesha ushahid wa sma zao

  • @chunagirl5744
    @chunagirl5744 3 ปีที่แล้ว +1

    Xax kama ni kweli xiaoneshe chating zao uyo dad jmn na Kwann aliacha mahusiano yake uyo dad ni malaya

  • @gracemwaura18
    @gracemwaura18 3 ปีที่แล้ว +9

    What's with this lady with am doing my job while interfering with people's private life without their consent 🚮🚮🚮🤮🤮🤮

  • @adventurewithsaddam617
    @adventurewithsaddam617 3 ปีที่แล้ว +34

    You people got jokes. Such serious allegations can lead to a serious lawsuit