EXCLUSIVE-Dizasta vina"kanisani" kuna viongozi wanatumia vibaya../Inahitaji akili nyingi kuandika.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2019
- Mfahamu msanii mkali wa Hip hop anayekuja kwa kasi na Idea za hisia kali,Dizasta vina anachambua hapa maudhui ya nyimbo yake ya "kanisa"
- บันเทิง
nimeiskiza hip hop kwa muda sasa hila sijawai mpata wa kulinganisha na dizasta .... kutoka meru kenya RESPECT bro
Huyu jamaaaaa kashushwa sijui ni mtu wa mkoa gani aseeeeeo
Huyu Jamaa anaandika Sana,, Respect Sana D.. Zastavas Vina nimeongezea vas jamaa nyimbo zake zinahakisi Real life.
Bongo nzima akuna kama wewe mwanao amebalee nimemfunza kunjoa nomaaah🔨
Bro naumia sana kuona bongo hawasapoti kichwa km ww.....ur so big enough bro goriath vina dizasta
Mimi binafsi nakukubali sana pia nasikiliza sana nyimbo zako na ikitokea mtu atasema eti haujui basi huyo ana matatizo ya kiakili big up brother
Hatia 3 babu ni motoooo keep on doing good work!!!! Much support mzee.....
Moja ya waandishi wakubwa wa hip-hop big up bro
Big Mc bongo nzima huyu jamaa nimnoma sana sijui kwann hawampi support
Tatizo BBM Industry miyeyusho mingi wanataka kupigiwa magoti na haohao wanaokuja na kusema Hiphop hatutoboi
No body is safe 4 Ameeleza tumezid ujinga ndio maan he is not famous na ni really kwelii icho kitu hajawai kosea maan weng wanashangilia nyimbo zilizo loose sana na hazin maan
so talented
The best hiphop mc dizasta vina
Namuelewa sana dizasta vina
Daaaaaah dizasta hakuna MC bongo anaeandika punch line kama wew mzeee
Haujawai niangusha tangu harder _kikaoni big up
Umeeleweka big philosophical questions about life
Daaaah huyu Jamaaa ni nyoko,anajua mpaka anaboa,nakukubali sana mzazi ,nitasikiliza nyimbo zako mpaka cku yamwisho yauhai wangu
Big tqllent, Dizasta Vina
yaan we jamaa ujui ata kufanya mahojiano na mamaster kama hawa
Huyu mwamba hawezekaniki kwa lugha rahic kashindikana
dizastar wewe tz raper
Under ground hip-hop no mainstream content..🎶🎵🎶
Nakukubali kaka
Jamaa yuko makini Sana,,Hip Hop makini.
Respect mamen ni kwereeeee kweche
dizasta ngoma ya hatia nouma
Pure talent
Dizasta is the Best rapper in Tanzania
Mwandishi deeply 💪
kwangu wewe Ni rapa Bora sana
Hio sio kweli kua plan ya underground ni kwenda mainstream
Nakukubali dizasita
mbna mnaongea kanisa tuu angalieni na hatia
Like Mos def
Dizaster vina anakwmbia ulianza vip kumtamani wife mana ile siku na muoa ushirikiano ilikuwa ishu kutoa
Dizasta wa thiong'o
We mkalii kaka
hakuna rapa mwenye vision kali kama huyu
Kioo chenyew ni kichafuu
Uyu ni kochwa
daaah uyu m2 balaaa mnoo
Mtangazaji hujaweza kumhoji uyu mtu ..
why,??
Mtangazaj timamu msanii timamu
Dizasta mwenye vina vyake
TUSHA IPATA HIYO
VIPI KUHUSU VIDEO
natamani angeni tiching