Wadangaji na walioa wasiokuwa bikra wamepanic sana, lakini ata ww unayefurahia kwakuwa bikra usijimalize sema tu Ahsante mungu alafu kausha, maana siku hizi znatengenezwa mtaani
Ni sahihi Sasa unakuta mwanaume kaoa mke, bikra kaikosa pia mimba ya kwanza kaikosa, mtoto wa kwanza kamkosa, mechi inanza mbili bila au moja bila ndo wake wetu wa Sasa gen z😅
Ni kweli sana, Bikira ni dhamana, amepewa mwanamke, hivyo atakaye mpa akala huyo ndiyo mumewe. Utakapo muoa wewe siku ya kiama ujuwe atadai mke wake na hivyo utamlipa ndiyo uwe naye.
Hii issue sounds very real. Ndio maana ndoa nyingi hazieleweki. 😅 men tunaishi na wake za watu😂. Nafikiri shetani kafanikiwa sana eneo hili ndio maana tunakubali sote kuwa ndoa za siku hizi miyeyusho. Ukimpata mwanamke wa ujana wako na ukadumu nae, inaheshima sana maana unaujasiri kuwa wewe ndie uliefungua njia hata hisia mbovu mbovu unakuwa huna. 😂😂😂. Leo hii unakuta wapenzi hawapati ladha yenyewe kabisa mara huyu anakibamia mara huyu pana sana, kumbe size tofauti zimepita😂. Sasa men wanaanza kuruka ruka ili kukidhi haja zao, hii sio kwamba shetani kashinda kwenye eneo hili?
sasa naona wanaume wenzangu mme comment sana sasa jiulize umetoa wangapi usichana wao basi hao wote ni wake zako mungu aturehemu sana kwakua baada ya damu ya YESU kumwagika msalabani kila kitu kiliisha hiyo ndilo agano lenye nguvu sana, anacho ongea Mzee yuko sawa lakini naamini mtu akiomba Toba ya kweli na kujuta bwana ni mwenye REHEMA , unaweza toa sadaka ukamuomba mungu ukavunja hilo agano ni wazo langu tu sipingi hoja
Ni ukweli ubikira ni agano. Hilo ni kweli. Na kutairi mtoto ni agano moja hatari sana. Mungu tusaidie. Wazee wetu walitairi vijana. Sasa tunawapeleka kwa watu tusiowajua wanatairi watoto wanaingia nao maagano. Mungu tusaidie. Unashangaa mtoto anakuwa. Na tabia za ajabu.
Bro, Me ni MANGI na saiv a miaka 25,kwa sasa najiandaa kuoa lakini STAKI KABISA KUOA MWANAMKE ASIYE KUA NA BIKRA maana kwanza ntakua nachukua makombo, napia kwa sisi waktisto kuoa mwanamke ambae amesha ungana na wanaume wengine au mwingine kimwili inamadhara makubwa sana KIROHO,inakufanyA usiwe na nguvu kiroho na pia inaondoa baraka kwa watoto wako.
Ndo maana hata yusuph alitaka kumuacha mariam kwa siri, baada yakugundua mariam mjamzito,akijua bikira imetolewa na mtu nwingine,hadi malaika alipompa go ahead
Kama ni hivyo sasa mbna alimuoa..?usidanganywe hayo ni mambo ya kale kabla ya Yesu mwenyewe mfalme wa ulimwengu soma 2Wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
Upo sahihi baba sasa inabidi mch kabla hajafungisha ndoa mabint waulizwe na kuwa wakweli kua na bikra wapimwe kama wachumba wanapima hiv barikiwa mabinti wasiwe na vishawishi
Sasa Mimi nitawasaidia.. Kama umesha ingia agano na MTU njia pekee ya kulifuta Hilo agano Ni kufanya agano lingine pekee( rituals can be a powerful ways to redefine bonds). Kimsingi swala la ubikra limejengwa kijamii (social construct) Halina maana yeyote na wanawake wengi hupoteza bikra katika hali ngumu wasiyoweza kuimudu. Mwanamke anapojutia kutolewa bikra na MTU asiye mpenda basi ujue anakupenda wewe. Kuna wanawake wanazaliwa KABISA hawana hiyo Hali ya kuwa na kisiki(hymen) wengine wanakuwa nayo uliyo kamili sana Hadi inahitajika kufanyiwa operation ilinaweze kufanya mapenzi.
Malaki 2:14 [14]Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako.
Ukimgonga mwanamke bikra ndiyo amekuwa mke nakataa huko ni kuzin tena ni dhambi kama dhambi zingine unatakiwa kuelewa soma 2wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
#Hii ni saa ya kuambiana UKWELI kama Kuna mwenye Hekima mmoja Asome 2Wakorintho 5:17-19. Na Yohana 3:1-7. Mtu anadanganya UMA tena kwenye Media kweli waongo wapo na wengi wanawafata nitajie andiko bas hayo Yalimalizwa na Yesu mwenyewe....By Man of God (Taifa kubwa) na waandishi na nyie mnakubali jmn poleni sana#
Umeongea ukweliofichwa kwa muda mrefu na viongozi wa dini, na ukumbuke ukweli unauma kwahyo tegemea kupata comment za waliomia na waliojifunza, kama umeumia dislike na kama umejifunza hapa chini.
Wanaume sasa leo wamepata kichwa, wasio na bikira sio mkeo khaaa hiii kali, kwahivyo wafanywe nini wasio na bikira watupwe ??? Tuta zindi kuzalauriwa 😮😮
Huyu mzee kuna kongamano liliandaliwa akakimbia harafu anasema ajibiwe hoja wakati kaalikwa ili aje natuhuma zake juu ya Ukristo akakimbia. Sasa ushauri wangu kwenu watangazaji waalikeni na wachungaji wengine waje wa mjibu hoja huyu mzee ambaye Ni mhuni tu asiyeijuwa Biblia
Huyu Mzee simkubali hata kidg lakn katika hili yuko sahihi 100% kabisaaaa
Shida mzee anajibu swali la kiroho kimwili anahitaji sana Neema ya Roho wa Mungu
Kweli kabisaaa Mzee that's why I appreciate you 🙏 umeongea ukweli mtupu yaaahni umetishaaa sanaaaa
Halafu kwenye hii post nimegundua akina dada ndo wamekuwa wakali sana sijui kwann😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Janga la wadada wengi 😂😂😂❤
Sio wakali ila Kwa kuwa hizo bikra hawajitoi wenyewe ,basi pia jamii iwafundishe vijana wakiume kujiheshimu na kuwaheshimu dada zao
Daah basi mimi sijapata mke wa ujana wangu maana wote ninaokutana nao ni ndoo😂😂😂😂
Alfu unajisifia ujinga😅
Kwann ndoo😅😅
Ndoo kubwa au ndogo 😂
SEMA Leo umeongea point 😂😂😂👏👏👏👏🙌🙌🙌
Ni kweli mm nilitafuta mke mwenye bikira nilikuwa siamini kuoa mwanamke asiye na bikira atakuwa mke sahihi. Naamini mwanamke uliembikiri hawezi kukusahau maishani kamwe hata mfanyaje
Wadangaji na walioa wasiokuwa bikra wamepanic sana, lakini ata ww unayefurahia kwakuwa bikra usijimalize sema tu Ahsante mungu alafu kausha, maana siku hizi znatengenezwa mtaani
😂😂😂😂😂
Kweli kabisa japo jamii ya sasa haitaki kusikia ukweli huu pongezi kwako na elimu hii irudishwe na iwekwe msimamo kabisa
Mmmmh jamani pastor huyo kagusa mahali patam. Nimempenda Sana huyo pastor amenikumbusha jamani tukilelewa na Mama yetu alivyokuwa anatufundisha
Mara nyingi anasema kweli nimependa sana
For sure
Ni sahihi Sasa unakuta mwanaume kaoa mke, bikra kaikosa pia mimba ya kwanza kaikosa, mtoto wa kwanza kamkosa, mechi inanza mbili bila au moja bila ndo wake wetu wa Sasa gen z😅
Ni kweli kabisa mke wa ujana ni uliyemtoa ubikra. Someni katika kisa cha Amnoni na Tamari.
Umetoa bikira bint wa mtu kwa ridhaa ya nani? Ninyi wakilisto hamjui nini ZINAA
Kwahiy waliobakwa na baba zao waolewe nao
Da a nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu baada ya kusikilza habar za Nikita Yan nmevurugwa ngoja npambane mpaka npate Nikita wake Zang wore na wabwaga
Kwani unadhani walioana??
@blessingcharles-lc1rr 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Oscar anasema huwenda sisi wengine. Hatujawahi kukutana na watu wenye ujana mnaujua ujana nyie😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila oscar😂😂😂😂
Kasem kwl lakn
Tulio oa wake za watu hebu tu like hapa 😢😅
Ni kweli sana, Bikira ni dhamana, amepewa mwanamke, hivyo atakaye mpa akala huyo ndiyo mumewe.
Utakapo muoa wewe siku ya kiama ujuwe atadai mke wake na hivyo utamlipa ndiyo uwe naye.
Nakubali baba , iyo ni kwel kabisa🎉😂
😂Aisee ambao mtaoa wasio na Bikira Mungu awarehemu!!
Ukimkera tu anamuwaza mwamba day one alivyomkula
Ni sahihi kabisa mzee wa upako
Ndiyo maana king's wote wanaowa bikra😅😅😅
Duh! fact sana hii.!! Umetisha sana Yan mafundusho yako yote haya nmeyaelewa
Chief Mwantebe leo kasema iliyo kweli
Hii issue sounds very real. Ndio maana ndoa nyingi hazieleweki. 😅 men tunaishi na wake za watu😂. Nafikiri shetani kafanikiwa sana eneo hili ndio maana tunakubali sote kuwa ndoa za siku hizi miyeyusho. Ukimpata mwanamke wa ujana wako na ukadumu nae, inaheshima sana maana unaujasiri kuwa wewe ndie uliefungua njia hata hisia mbovu mbovu unakuwa huna. 😂😂😂. Leo hii unakuta wapenzi hawapati ladha yenyewe kabisa mara huyu anakibamia mara huyu pana sana, kumbe size tofauti zimepita😂. Sasa men wanaanza kuruka ruka ili kukidhi haja zao, hii sio kwamba shetani kashinda kwenye eneo hili?
Ikiwa wewe ( men) sio bikra ,unataka upate mke bikra kutoka wapi?
Nyie bikra zenu mnazitolea wapi ? Kama ni Kwa hao mabinti basi sahau kupata mke bikra
@@emmadora7848 niipate kwako
@@emmadora7848 fafanua vizuri bikra ya mwanaume iko vp wakati akibarehe tu na akiota ndoto nyevu anamaliza.!! Bikra inapatikana kwa jinsia ya kike
@@emmadora7848ikiwa baba yako alikuonya usifanye ujinga mpaka pale utakapo olewa harafu wewe ukapuuza na ukadanganywa kosa nilanani?
Mm huyu mzee waupako naanza kumuelewa kidog kidog😂
Kweli kabisa umeongea mie nashindwa kumsahau mume wangu wa agano keo miaka ishilini ,siko nae lkn namkumbuka mno nitafanya mpango nirusi kwa mume wangu inshallah
Kama huyo aliye kuwa wa kwanza kwako na akaoa Alie bikra ndo anaeishi nae unarudije kwamfano?
Upo sahihi sana %90 ya wanawake wanaolewa wanakuwa wanawake wa watu kwakuwa wanaolewa wakiwa tayali washatumika😅😅😅
Mzee hapa hekima imajaaa chief
sasa naona wanaume wenzangu mme comment sana sasa jiulize umetoa wangapi usichana wao basi hao wote ni wake zako mungu aturehemu sana kwakua baada ya damu ya YESU kumwagika msalabani kila kitu kiliisha hiyo ndilo agano lenye nguvu sana, anacho ongea Mzee yuko sawa lakini naamini mtu akiomba Toba ya kweli na kujuta bwana ni mwenye REHEMA , unaweza toa sadaka ukamuomba mungu ukavunja hilo agano ni wazo langu tu sipingi hoja
Ni ukweli ubikira ni agano. Hilo ni kweli. Na kutairi mtoto ni agano moja hatari sana. Mungu tusaidie.
Wazee wetu walitairi vijana. Sasa tunawapeleka kwa watu tusiowajua wanatairi watoto wanaingia nao maagano. Mungu tusaidie.
Unashangaa mtoto anakuwa. Na tabia za ajabu.
Wasichana wajichunge Bikra zao, ni muhimu.
Na wanaume pia ,kwani hao wadada wanajitoa wenyewe hizo bikra?
@@emmadora7848 point
Baba mwongo huyo😂😂😂😂😂
Bro, Me ni MANGI na saiv a miaka 25,kwa sasa najiandaa kuoa lakini STAKI KABISA KUOA MWANAMKE ASIYE KUA NA BIKRA maana kwanza ntakua nachukua makombo, napia kwa sisi waktisto kuoa mwanamke ambae amesha ungana na wanaume wengine au mwingine kimwili inamadhara makubwa sana KIROHO,inakufanyA usiwe na nguvu kiroho na pia inaondoa baraka kwa watoto wako.
Kwahiyo mzee ameongea ukweli 100%
Upo sawa hizo takataka ambazo hazina bikra weka kushoto Mimi mwenyewe naoa bikra Bora nilipe mahali kubwa lakini nioe bikra
Basi hakikisha na wewe hufanyi kabla ya ndoa ,Kwa sababu pia ukristo haujaruhusu mwanaume kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
Me ni mkweli kaka, maana ukristo hauturuhusu kusema uongo
Amen kaka
Oscar cha kufanya tafuta mke sasa. Pambane na ww ubikiri, ubaya ubwela maana mwisho wa siku Oscar kumbe hukuwahi kuwa na mke😁😆😂🤣
Ndio baba uo ndio uungu na baraka na nuru ndani ya mwanamke kutoka kwa Mungu
Bwana aliye nitoa bikira sijui yuko wapi ??? Hata siku hiyo ni kama alinibaka maana nilikua sielewi kitu 😂😂😂
Ndio mumeo ata kama amekufa
😂😂😂😂😂😂😂pole ❤
😊
kamtafute ndo mme wako huyo
Mkiolewa na bikra wanawake wawili mama Yako anapata Pepo takbiiiir! Allah Akbar.
Kiukweli alie towa Bikra nikweli ndo mme wake Ila changamoto
Wanawake acheni makasiriko bikra haipo hujawahi kuolewa kwan ulibakwa ???
Uko sahihi kabisa
Huyo dada mtangazaji alivyo dakia juu kwa juu na kuseama"Basi yabidi turudiane na ma X wetu"yaelekea bado unamfikiria X wake
Oscar na baba levo hao wote mliowaowa sio wake zenu, nendeni mkatafute wake zenu😅
Leo navunja ndoa naenda kutafta bikra
Imeenda hiyo na wale madada waliojivuavua ndiyo maana ni wakali kwa comment maana mmepigwa na kitu kizito
Hii issue ya agano . Hasa kutairi. Siku namtairi mtoto nilizimia. Kutairi ni agano la damu. Sasa wakristo tunatakiwa kufanyaje. Haya mambo magumu
Mzee umeongea hekima sana, lakini, umechelewa tumeshakosea, hatujui tufanyaje, maana hawa wanawake hawatuheshimu kabisa, nao ni vichwa vya familia.
Ndo mana tumeambiwa tuowane kabla ya kuingiliana.ndo mana dharau nyingi.
Mzee uko sawa kwaushahidi huu ndomana vitabu vya M/MUNGU vimekaza kuzini tabia ya kuzini ndoimeleta watu kuowa wasichana wasio bikra
Ndo maana hata yusuph alitaka kumuacha mariam kwa siri, baada yakugundua mariam mjamzito,akijua bikira imetolewa na mtu nwingine,hadi malaika alipompa go ahead
Kama ni hivyo sasa mbna alimuoa..?usidanganywe hayo ni mambo ya kale kabla ya Yesu mwenyewe mfalme wa ulimwengu soma 2Wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
Upo sahihi baba sasa inabidi mch kabla hajafungisha ndoa mabint waulizwe na kuwa wakweli kua na bikra wapimwe kama wachumba wanapima hiv barikiwa mabinti wasiwe na vishawishi
True
Mbona mnasema tu wanawake je wanaume ambao sio bikra hapo imekaje?😅
Mzee ametusha 🎉
Mfalme daudi alioa mke wa hulia Kwa hiyo hakua mke
Kumbe hujui chanzo cha daudi kukimbia na kuanza kulala mapangoni kisa mojawapo kilikua ni nin??
Kwahiyo kunawajanja kutoa bikra ndio jazi yao nasisi wengine hatujawahi kktana nabikra basi shida
Kama kakutoa kaingia mitini unampatàje Ili uombe Ndoa uwiii wangu Tyr ànàwake ssa,
Na ndo maana ndoa hazidumu
Oscar amehuzunika sana..inaonyesha hajawahi kupata mke Bikra
Sasa Mimi nitawasaidia.. Kama umesha ingia agano na MTU njia pekee ya kulifuta Hilo agano Ni kufanya agano lingine pekee( rituals can be a powerful ways to redefine bonds).
Kimsingi swala la ubikra limejengwa kijamii (social construct) Halina maana yeyote na wanawake wengi hupoteza bikra katika hali ngumu wasiyoweza kuimudu. Mwanamke anapojutia kutolewa bikra na MTU asiye mpenda basi ujue anakupenda wewe. Kuna wanawake wanazaliwa KABISA hawana hiyo Hali ya kuwa na kisiki(hymen) wengine wanakuwa nayo uliyo kamili sana Hadi inahitajika kufanyiwa operation ilinaweze kufanya mapenzi.
Wengi hawana wake kwa kweli😂😂😂😂
Basi hatutaoa, maana ni hatari tupu 😮😮😮
Oscar Oscar unapenda story kama izi
Hupaswi kumunea wivu mwanamke ambaye hujamtoa bikra ishi nae kihuni ....
Ndo maana kwenye WOKOVU hakuna upenzi/ugirlfriend/uboyfriend...ni uchumba kisha ndoa
duh !!
Kwasasa bikra inatoka kwa namna nyingi so haijakaa poa
Ni kitabu kipi kinasema ivo!!!!!????
Ila uko sahihi kabisa mchungaji!
Kwahili nimekukubali sana
Ni ukwl anaosema
Katika nchi za KIARABU au za kiislam kama Iran Afghanistan,nk binti ni lazima aolewe akiwa na bikira
Kwel kbsa
Baba mchungaji kwa mafundisho unayotoa, hiki kituo inabd kifanye arrangement na wewe atleast kila week uwe na dk zako 15-20 kwa ajili ya mafundisho
Mtumishi yupo sahih kabisa tunaingiliana tuu kaa wanyama..... Tuoe kihalari bikra
Nisawa shida nikupita gari kubwa halafu wewe upite na bajaji au na pikpiki ndio migogoro inaanzia hapo
Pwaku pwaku
Weweeeee mzeeer usituvurugee hapa bwanaa😮
NA NYIE WANAUME JEE??? BIKIRA?????? PANDE MBILI HAPO TUNAOGELEA?????😂😂
Kuna wengine tangia awe kijana mpaka amezeeka hajawahi kubahatika bikra hata Moja
😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kosa la nani ? Anayetangatanga kuhatibu mabinti za watu au hao mabinti?😂😂😂😂
@@ELIZABETH-uz6dv😂😂😂😂😂😂😂
@@ELIZABETH-uz6dv Eliza wewe
@@emmadora7848 hakuna mwenye kosa hapo
Walio wengi tunaukataa ukweli baada yakujikuta tumekosea ila mzee anaongea ukweli
Malaki 2:14
[14]Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako.
Ukimgonga mwanamke bikra ndiyo amekuwa mke nakataa huko ni kuzin tena ni dhambi kama dhambi zingine unatakiwa kuelewa soma 2wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
@@danieljohn6904Huwezi bishia biblia ndugu....
Kama umewahi kuwatoà bikra watano wote wake zako
😂😂😂😂😂 dadeki
Na alietoa bikira zaidi ya 1 wote wakezake😅
Hiyo itakuwa kweli
@@Elybwayz eee wote n wake zake
😂
Yes wote
Ndiyo akawachukue
Zitatengenezwa sana
Au ndo maana ndoa nyingi za leo zina migogoro sana
Yeah
Haswaaaaa
Leo umesema kweli
Na wale ziliotoka kwa baiskel vipi?
Baiskeli ndio mmewe
😂@@emanueljoshua6228
😂😂😂😂
Uwiiiii kweli baiskel cyo
#Hii ni saa ya kuambiana UKWELI kama Kuna mwenye Hekima mmoja Asome
2Wakorintho 5:17-19. Na
Yohana 3:1-7.
Mtu anadanganya UMA tena kwenye Media kweli waongo wapo na wengi wanawafata nitajie andiko bas hayo Yalimalizwa na Yesu mwenyewe....By Man of God (Taifa kubwa) na waandishi na nyie mnakubali jmn poleni sana#
Huu ni uongo YESU alitukomboa kwenye dhambi, hakuna kubadilisha agano la ndoa. Kama ingekuwa hivyo mabinti wasingekuwa wanazaliwa na bikra.
Hakuja kubadilili agano la ndoa, alikuja kutukomboa na dhambi.
Mjane na mtalaka ndo hawapaswi kuulizwa
Mzee anaongea ukweli mtupu
The spirit of confusion is loading.
Now days kunamatukio mengi wengine utolew bikla kwa kulazimishwa yan kubakwa achen kashifa nyinyi
Oscar mbona kama kazuubaa hajawahi kukutana na kisiki nini? Kisiki ni BIKRA
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😊
IMEEENDAAAA HIYO TAYARI!!!!, BONGE LA SOMO !!!
Hhh,,hili zee kwel somi
Alafu mazee yasikuhuzi bila aibu yanatutoza mahali kuuuubwaa bila kuwaza kuwa yanatupatia chocolate kwenye gazeti shame on them and they are daughters
Umeongea ukweliofichwa kwa muda mrefu na viongozi wa dini, na ukumbuke ukweli unauma kwahyo tegemea kupata comment za waliomia na waliojifunza, kama umeumia dislike na kama umejifunza hapa chini.
KWA KWELI MI NISHAKUTANAGA NA BIKRA MMOJA TUU
Wanaume sasa leo wamepata kichwa, wasio na bikira sio mkeo khaaa hiii kali, kwahivyo wafanywe nini wasio na bikira watupwe ??? Tuta zindi kuzalauriwa 😮😮
Utaenda kwa alie kutoa
Njoo upose ....zipi nyingiiiiiii
Huyo mwanaume yeye ni bikra,
Huyu mzee kuna kongamano liliandaliwa akakimbia harafu anasema ajibiwe hoja wakati kaalikwa ili aje natuhuma zake juu ya Ukristo akakimbia.
Sasa ushauri wangu kwenu watangazaji waalikeni na wachungaji wengine waje wa mjibu hoja huyu mzee ambaye Ni mhuni tu asiyeijuwa Biblia
Mmmh