Rapa alivyokosa cha kuandika kwenye collabo na dizasta/Dogo janja /The verteller Album

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2022
  • Instagram: / madinidotcom
    facebook : / madinidotcom. .
    PODCAST: www.audiomack.com/madinidotcom
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 70

  • @stevemwachi254
    @stevemwachi254 2 ปีที่แล้ว +13

    Kwa kweli D uwezo wake wa kufikiri siwezi mlinganisha na yeyote..akisema yeye ni kiumbe wa mwisho wa watu aina yake namuunga mkono

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 2 ปีที่แล้ว +10

    This man is going to be the next big thing in Rap history

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 2 ปีที่แล้ว +7

    Verteller is the best album of 2021 mtaa umeipa hadhi hiyo trust me

  • @gisogiso9186
    @gisogiso9186 ปีที่แล้ว +5

    Ukiwa kwenye interviews na wasanii wazito kama uyo please hold ma vitu yamaaana sio note book. Tumia ata sim au ipads

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 2 ปีที่แล้ว +3

    ngoma zote za uyu mamba bhn, zimetungwaaa...
    he's a master.....

  • @charlesmasali9267
    @charlesmasali9267 2 ปีที่แล้ว +7

    Pale elimu inapojizihirisha

  • @hans_killz2624
    @hans_killz2624 ปีที่แล้ว +2

    Wasanii wengi hawajajua dhana ya usanii ni nini hivyo wanaenda by vibe respect to dizasta mbali na uwezo wake katika rap huyu ni kiongozi.

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 ปีที่แล้ว +2

    My man Dizasta, I love you man... You're always real in the rap game ✊

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic 2 ปีที่แล้ว +3

    Kichwaa ichoo!! “Me” nimeamuka na mskiza yeye!! Anajuwa sana!! Skiza HATIA IV and Wimbo usio bora

    • @stephenmasha8623
      @stephenmasha8623 2 ปีที่แล้ว

      Pia uku 254 Hatia na Wimbo usio bora Broo..

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 13 วันที่ผ่านมา

    Noma sana

  • @Skipa_01
    @Skipa_01 2 ปีที่แล้ว +5

    Living legend

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 2 ปีที่แล้ว +3

    My verteller of all time

  • @kisabaonesmo2343
    @kisabaonesmo2343 2 ปีที่แล้ว +3

    Dizasta vina wa moto kushinda jua

  • @officallymbonde9257
    @officallymbonde9257 2 ปีที่แล้ว +3

    kwann wanajua tz awazingatiwi daah 🥲🥲🥲 vina awakuzingatii

  • @immanuellucass6327
    @immanuellucass6327 2 หลายเดือนก่อน

    Wengi Huwa hawamuelew dizasta hii n kutokan na uwez wao wa kiakil ukiwa genius dizasta unamuelew vzur 2 mwamba anajua so poah

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko ปีที่แล้ว +2

    Nmemjua baada ya beef na rapcha ila ni mkali tribulation aliuwa sana💯🇰🇪🇰🇪🖤

    • @manchidlizabon9278
      @manchidlizabon9278 6 หลายเดือนก่อน

      Umechelewa kumjua hyo Dizasta vina

    • @leonardmhagama5828
      @leonardmhagama5828 5 หลายเดือนก่อน

      Daaaaah umechelewa sana poke but you wont regret knowing him

  • @nicksoncharles8240
    @nicksoncharles8240 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmetsha sana

  • @farajimwaipungu3200
    @farajimwaipungu3200 2 ปีที่แล้ว +1

    Htr profesa tungo, hatia Iv , kikao , siku mbaya

  • @Paplick9
    @Paplick9 2 ปีที่แล้ว +5

    Dizasta vina the brain act

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 ปีที่แล้ว +1

    MASTER MIND Blexx xana Dizasta👊👊👊

  • @Thedonrboysuper_tz
    @Thedonrboysuper_tz ปีที่แล้ว +1

    Dizasta vina noma sana kaka

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Kama mpo lecture room 😁😁madini mengi, mtahani lini?

  • @jophreymsona8849
    @jophreymsona8849 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazanji mahojiano yako umeharibu kwa kutaka kuongea zaidi ya dizasta maswali juu ya juu mpka dizasta alikuwa kama yy ndio mtangazanji daaa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +1

    Aliyo ongea vina ongeza na yakwako, maana sio vyote ni sahihi

  • @JapharyKinyanyu
    @JapharyKinyanyu 2 หลายเดือนก่อน

    Is most brroo

  • @luckylakey0613
    @luckylakey0613 ปีที่แล้ว

    Jamaa ameiva fasihi✌️🇰🇪

  • @hustlaztv2352
    @hustlaztv2352 ปีที่แล้ว +1

    👑✍️

  • @WakujaTech
    @WakujaTech 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu sio mtu ni jini 🤔

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 ปีที่แล้ว +2

    *Watu wa aina hiyo ni mimi na Dizasta Vina na tumebaki wachache yaani sisi ni ma optimist pia ma philosopher*

    • @selemanimkupe9595
      @selemanimkupe9595 ปีที่แล้ว +1

      Na mimi wa tatu kutoka mwisho wa aina yetu😂

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 24 วันที่ผ่านมา

      Kaka mkubwa umenisahau na mm..

  • @alfaheduwad8537
    @alfaheduwad8537 2 ปีที่แล้ว

    Jiniiiiiii

  • @KenzoVEVO
    @KenzoVEVO ปีที่แล้ว

    Nkukubal San mwalim wangu

  • @ernestmlonganyundo1139
    @ernestmlonganyundo1139 7 หลายเดือนก่อน

    dizasta ukitak kumtafsiri utaishia kiumwa kichwa . he s so gineous

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 2 ปีที่แล้ว

    Asili ya ndoa ni ...

  • @buruanisaidi2411
    @buruanisaidi2411 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU WA RAP

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 4 หลายเดือนก่อน

    #Dizasta_Vina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mchovungangari1889
    @mchovungangari1889 2 ปีที่แล้ว

    Muscular feminist... I got you vina from +254

  • @Sharifufaki
    @Sharifufaki 7 หลายเดือนก่อน

    Dakika kumi za maangamiz zimenifanya nimjuwe huyu jamaa na kumkubali na nitamkubali daima

  • @neymarkusekwa3059
    @neymarkusekwa3059 2 ปีที่แล้ว

    Lost one
    Alivaa siketi
    Unaweza than ni kident

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu apo

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 ปีที่แล้ว

    Dizasta Vina heshima

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa level yake ya elimu ni ipi? naomba jibu wadau. Vitu anavyoongea si vya level ya degree 1, kibogo bongo.

    • @danfordlaurence5194
      @danfordlaurence5194 ปีที่แล้ว +1

      Ana bacherol ya uhasibu ifm

    • @leonardmhagama5828
      @leonardmhagama5828 5 หลายเดือนก่อน

      Pia niliambiwa ana Bsc Agricultural Engineering from SUA. not sure , just herd so

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 2 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa mi ntakuja kumpa tuzo atakama ni uzeeni

  • @Edward_Simon6
    @Edward_Simon6 2 ปีที่แล้ว +2

    Wew mtafte fid q tuu ndio mnaendana hawa wengine kwa rap yako n vichwa panzi tuu mwamba #disaster wew n tatizo brooo🤣

    • @rafeageefilan5544
      @rafeageefilan5544 2 ปีที่แล้ว +1

      Fid ni mkali ila Dizasta dunia nyingine

    • @Edward_Simon6
      @Edward_Simon6 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rafeageefilan5544 fact mwana anatisha kinoma #nakubariiiii

    • @philemonambilikile839
      @philemonambilikile839 ปีที่แล้ว +1

      Fid anajua Ila dizasta vina ni zaidi

  • @mcgeemwamba9303
    @mcgeemwamba9303 ปีที่แล้ว

    Kado Kitengo vs Gee Mwamba X Nikki mbishi th-cam.com/video/txNU3kpJQ60/w-d-xo.html

  • @bigdasso2825
    @bigdasso2825 2 ปีที่แล้ว +3

    Acha kujisifu wew kaa na one the incredible tuone au Nash mc Nikki mbish nd kiboko yako

    • @johnmodekai5525
      @johnmodekai5525 2 ปีที่แล้ว +10

      Broo hat mm nilikuw shabiki mkubwa wa nikki ila swala la kufikiria dizasta hapana

    • @kisabaonesmo2343
      @kisabaonesmo2343 2 ปีที่แล้ว +2

      Wa moto sana dizasta vina wewe

    • @winstonrwegalulila4683
      @winstonrwegalulila4683 2 ปีที่แล้ว +3

      Aisee huyu jamaa kila nikiamka asubui lazima nisikilize kopo zake ka mbili

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 2 ปีที่แล้ว +2

      Huyu mwamba ni hatareeeh

    • @johannesjoseph7496
      @johannesjoseph7496 2 ปีที่แล้ว +2

      Dizasta uandishi wake ni level tofauti na hao ulowataja

  • @g-father9352
    @g-father9352 ปีที่แล้ว

    Fundi, atengeneze shule yake ,,atugaiye iyo technology.
    youtube.com/@g-father9352

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +1

    Dizasta ww zaidi ya msanii yani nyimbo zako zote in mafunzo tosha nyimbo zinafaa kuhifadhiwa makumbusho ili vizazi vijavyo vije sikiliza maneno ya chakula cha ubongo%