Ngoma zako iliuskilize kuna utulivu flan inabidi uwe nao so...nakuaaga muoga sana kila ninapoona ngoma zako maana nahofia Akili za watu wataelewa kinachoongelewa...safi sana Bro unafanya kazi kubwa sana mzee.
samewise ninja....nakaaga maskani napiga ngoma kibao ikija ngoma ya divasta nakuwa ba hofu ku play, ila utakuta kuna wahuni wawili au watatu lazima watakuuliza!!! mfano ile ngoma ya money
Rap masiah is back on earth, back to take what i had to so bow down devils// Conquer like a pirate Nigga, you don't see me coz am writting down in the quantum level// NO BODY IS SAFE✌
Watu wa media muache unafiki mnasema hamjujui duzastanatukosea sana huyu jamaa ni wq kitambo sana ninaanza kumfuatilia tangu darasa la tatu hadi leo nina miaka 30 bado nasoma ukiona hapewi airtime au show basi wanamuogopa sana hawataki aonekane atawafunika
Mara ya kwanza kumsikia ni 2013 au 14 hivii.. Niliungwa kwenye group moja la whatsapp jamaa akapost ngoma yako ya sister.. Tangu hapo nikawa shabik yako namba moja
hii ngoma ya kanisa nmeisikia hata before ya dk10,,,,tena kuna mwana tuu nlikua nae nmepanga geto moja tukiwa chuo,,alikua anamkubal saaaaaana huyu mwamba,,,,,,asse jamaa anamichano ya utofaut sana nkimsokilizaga namuonaga kama nash emcee wa mapendo na tabia😂😂
" Nazibadili DATA kuwa INFORMATION, then INFORMATION kuwa KNOWLEDGE, then KNOWLEDGE kuwa WISDOM"
- Dizasta Vina -
2022
BLACK MARADONA
Hatari
Vina 🙌
Hichi kichwa ni zawazi tumepewa
wimbo usio bora :baada ya kusikiliza ile ngoma niliamin kweli nyimbo zinatibu 🙏🏽
2023 after battle with RAPCHA 💥💥💣
Tangu namjua dizasta vina hadi leo haijawai pita siku sijasikiliza ngoma zake... Ntazunguka kote kwenye playlist yanguu nikifika kwa D natuliaaa 🙌🏾🙌🏾
😂kwanza ni kujinyima haki zako za msingi siku ikipita bila kumskiliza @dizasta
@@franciscojonja1164 😂😂 amini masta, kagusia lifestyle ya kila aina utaachaje kumskiza
Uyu jamaa ni definition ya hip hop tz yan siku ukimuelew nd unajua kun vitamin flani vya hip ulikisaga na unapata kwa uyu jamaa tuu
kibaha mile 1 kamchana maarifa
8 mile movie ya Eminem( true story )
Kuna joto Ila @dizasta ni wa Moto kuliko jua✊🏿
Daaaa Dizasta uko hai bro na unapewa respect yako God bless mzes
Ngoma zako iliuskilize kuna utulivu flan inabidi uwe nao so...nakuaaga muoga sana kila ninapoona ngoma zako maana nahofia Akili za watu wataelewa kinachoongelewa...safi sana Bro unafanya kazi kubwa sana mzee.
samewise ninja....nakaaga maskani napiga ngoma kibao ikija ngoma ya divasta nakuwa ba hofu ku play, ila utakuta kuna wahuni wawili au watatu lazima watakuuliza!!! mfano ile ngoma ya money
Jamaa ni toleo la mwisho la watu wa aina yake
🎉
🤦🏾♂️ 🎉🥂
The really artist in our country
Scorfied navuka wigo
Afu na fly far🔥🔥💪🏽
Sijawahi choka kukusikiliza,sichoki na sitochoka 🤝Tuishi humo tujifunze jinsi ya kuishi...
Ase hum ndan watu wanazngua ety utazan hawajawah kumckia Dizasta!!!anyways new move to hiphop
Rap masiah is back on earth, back to take what i had to so bow down devils//
Conquer like a pirate Nigga, you don't see me coz am writting down in the quantum level//
NO BODY IS SAFE✌
wasomi tu wanaelewa hii
dizasta vina akili kubwaaa
Tangu Dizasta alivyotoka kwenye 10 za maangamizi toka siku hiyo namfuatilia saana kupita maelezo
Dizasta vina ni mkali sana mziki wake ni wakusikiliza tunaomwelewa tunajua shughuli yake c ndogo
Watu wa media muache unafiki mnasema hamjujui duzastanatukosea sana huyu jamaa ni wq kitambo sana ninaanza kumfuatilia tangu darasa la tatu hadi leo nina miaka 30 bado nasoma ukiona hapewi airtime au show basi wanamuogopa sana hawataki aonekane atawafunika
The black maradona,Prof.tungo, sinaga Shaka n huyu mwamba, yeye ndo Toleo la mwisho kwa watu w aina yake.
Mara ya kwanza kumsikia ni 2013 au 14 hivii..
Niliungwa kwenye group moja la whatsapp jamaa akapost ngoma yako ya sister..
Tangu hapo nikawa shabik yako namba moja
Dizasta sisi ambao tunamjua hatushaingai...ila nyie wa mainstream ndo mnamshangaa leo aisee duuh kweli dunia sio fair.
Tumeanza kuappreciate good work kabla watendaji hawajafa? Basi tumekua sana kifikra
Dizasta anjuwa sanaa 💪🏽💪🏽💪🏽love him very much
Next legend of the whole generation
Dah mmetisha sana
Tunaomba review ya mbeya Boy please
Wa moto kushinda jua
Naomba dakika 10 pia
Daah!! Eh Bana wee Dizasta Madini mengi sana nakubali brother
Xana 2 mwanang xjawahi kukupinga na unajua dam yang
Jamaa ni genius kma mimi vile
Tunakuhitaji kwenye challenge ya Mr 2,deiwaka hakuna kuacha lolote tukipata nafasi
A living Genious
Kibabu na binti season 2 is coming DIZASTA VINA MUNGU NI MWEMA
Huyu jamaa ni fundi sana, yaani uwezo wake inahitaji uwe umetulia ili uelewa anachokitoa.
dizasta vina ndoa ni ........Fumbo nakubali mwanangu
Sahihi kabisa
Peace kwa one the incredible ,dizasta vina peace kwako
🔥🔥🔥🔥🔥🔥best rhythm
Panorama Moja🔥🔥🔥
Nakubali brother
Uliuwaga sana
God keep alive prof Tungo
that man is danger🔥🔥
Kwamba Dj Dea hukumjua Dizasta before? Nakumbuka walikuwa wanaitwa Panorama kipindi hicho cha Tamadun Music. Kuna jamaa alikuwa anaitwa Dubo Dyballa.
Dubo anafanya kazi tanesco ni engineer
Nakubaree xana aitwe tena aje achane hapy birth day ni ngoma Kali xana ame itoa
he's so genius....
Am a fan of him,Dizasta.
ni mmoja kati ya wachache wazuri..kichwa kama hichi kingekuwa USA ni bonge la tajir mpk sasa.. Hip Hop inalipa kwa wenzetu
siku zote wakipekeyake
Mm nilimjua dizasta kwa mala ya Kwanza kwenye dakika 10 uyo jamaa ni noma
Dizasta vina 1 nikina joh 70 😍😍😍😍😂😂😂
Noma sana huyu jamaa
Professor tungo👊🏿
🔥🔥🔥🔥🔥
Mtaalamu wa vina na tungo
Jasiri john 🔥🔥🔥
Wen janga kwel unakubarika sana karibu bukoba.
Disasta vina ndio future Yako, ni kijogoo uliemkwepa mtaan alaf ukamkuta kwako
🔥genious
Mtu Mwenye Balaa
👌
SAFI SANA ✊🏿
#Rapcha kachagua kidole cha kati Chimakeke
🙌
>>>Noma Sana 10 za maangamizi
Huyu jamaa huwa nashangaa vijana kama wakina rapcha wanavyo penda kujifananisha nae, huwa wananikera sanaaa☠️☠️☠️☠️☠️
💯✅
FUNdi dizasta Vina🔥🔥🔥
🙌🏽🙌🏽🎵
Dizasta vina niwamoto Africa mashariki na kati
Kisu Kikali Egesha govi mbalii.....😊😊😊
Fundi wa hatiaaa huyo ni nomaaaaaa
Hakuna km Dizasta vina Tz ukwel ndo huo
New dawn is here....dizasta is the new thing in hip-hop....then madebe lidai Kwa bongo movie
Uyo ndo Mungu wa Rap
Namkubali san huyo mwamba dizasta vina
🔥🔥
Genius
Wazi
unajua mpaka unakela
Mbona sioni hii kumi yake!?
huyu mwamba anajua adi anakera 🪒
Kiukweli na kukubali sana na wewe ni bora sana kwa hip hap zote....ni star unae kuja....nakutabilia kaka
Tunakumbuka
Movie. ..👊
Dizasta ni Dizasta more fire
dizasta namfaham miaka zaid ya 6 nyuma, mfuatilie mutamuelewa huyu jamaa..
Dah HIVI Yule #RAPCHA alikusudia nini kwani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Teacher Wangu
Safiiiiiiii
✍️✍️✍️✍️✍️💯♥️🔥
Na me ndo nilipoanza kumjulia hapo
Unyama
DIZASTA
Vinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Fundiiii sana huyu anarudi tena
Dizasta nikina jooh 70
hii ngoma ya kanisa nmeisikia hata before ya dk10,,,,tena kuna mwana tuu nlikua nae nmepanga geto moja tukiwa chuo,,alikua anamkubal saaaaaana huyu mwamba,,,,,,asse jamaa anamichano ya utofaut sana nkimsokilizaga namuonaga kama nash emcee wa mapendo na tabia😂😂
Makn xana dizasta Vina nakuelewa daima rap wa tz akuna kam ww sina hatia
Vina
Aa
Aa
Dizasta vina 🔥🔥