Kuhusiana na boshoo mkali anajua ila hzo kiki za kumdiss vina kaka unaenda mbali mpk green cty kaka unaharibu muulize rapcha kilichomkuta mwezenu vina ni mc so nyie rappers mnarukaruka kama kuku mwenye mzuka 😂😂😂
Kama anatafuta kiki sawa. Ila mdogo wangu Boshoo, tunaongea mengi sana ila achana na vita na Dizasta. Huyu jamaa ni kisanga, utapotea bure. Simama na kazi zako achana na mtu ambaye unajua kabisa humuwezi
Asee we ni atari Lakin disaster ni danger zaid
nakukubali lakin Koma kabisa kum mention DIZASTA, he's not from this planet. Fundi wa milele Ni vina🔥
mtot kapewa maiki anajisahau... Dizasta kama babaake atambue
Vina🔥🔥
Dzstvn 🔥🔥🔥
Oyaaah huwa nimekubali sana mwana 👍👊 ila hapo kwa dasister umeguza 🔥🔥 yaani umetupa mawe kwa police 😅
😅😅Bosho (Kibaka) Kaenda Kuiba Kota za FeedForceUnit(FFU) Dizasta
Dizasta ni sayari nyingine an ni wa moto kushinda jua
Achana na dizasta vina kaa mbali utapotea kama ndui serikali haikujui
Kaka umekaanga soda kwa dizasta labda uzaliwe tena mamal
Oyaaah Dizasta siyo level yako jomba langu yule ni another level
Akae mbal na dizasta vina..apambanie ugal wake kimpango wake
Anatafuta kiki?
Unafanya kiasi chako ila kwa dizasta mhhHhh Kaa mbali
Unafosi ushindi pasipo na ushindi dizasta moto
Boshoo nakukubali ila dizasta vina kaa mbali nae kaka uyo mtu ni jini hafai
Boshoo mshamba tu an kumtaja dizasta umefanya nkuone bdo hujui
Dizasta ni Alien bro!!!! sahau hiyo comparison!
😆😆😆
Mnomaaa sanaaa 🔥
Sa booshooo kwa dizasta mbona parefu sanaa.mtakaza sana ndonga ila dizasta next level
Umeongea vzr kuhusu TAMADUNI Utafika mbali mdogo angu
Boshoo una wimbo gani mkali, yenye views angalau buku 5
Jamaa anafosi Bifu na Dzasta kinoma. Atakuja kukufilimba shauri yako
Unapenda kumtaja Dizasta vina ila huyo jamaa humuezi bro yuko on another level
Huyo dizasta ndio nani anachana anaongea huyo ni mwandishi wa mashairi sio raper me nakataaa
@@untouchablepro8943Dogo acha utoto basi
Dizasta ndo aliyeanza
@@untouchablepro8943 unajua maana ya rap? Au unafanya tu music bila kujua unafanya nini.
@@untouchablepro8943 wewe ni producer kweli? Au ni producer wa nyimbo za injili
Nakuku bal boshooo mwanza mwanza
Boshoo you are trying to insult the devil(Dizasta) while you are in hell......usiseme hatukukwambia
Boshoo anasema kweli, miaka hiyo naenda Kilingeni.
Ilikuwa hivyo walikuwa wote hawana ngoma,wana rap na ku battle.
Wanarekebishwa na kina Unju n.k
Dogo kapewa maiki anaropoka tu, sijui hamuogopi The Verteller Dizasta Vina
🎉🎉🔥🔥🔥
Dizasta sio level zako mzee
Tanga boy🔥🔥🔥
Hyo presenter anaitwa nani
Huez kitu brow dizasta ni hatari una vijimbo vifupi kama vipisi vya sigara hauna uwezo wa kufikri
🎆
Dizasta vina ni level nyingine bab
Nimecoment kwasababu katajwa dizasta aisee achana na huyu mwamba kwanza ndo msanii nambamoja kwangu (black maradona)
#kwer boshoo
Kwelii Dizasta mkalii anakuzid palefu sana
dizasta PhD anae gongewa na shamba boy
Nikuwekana wazi tu na kupishana kauli na sio bifu we shabiki sijui umenipata vzur
ww usimtaje dizasta kaka hayupo uku kwenye ngonjera
Kuhusiana na boshoo mkali anajua ila hzo kiki za kumdiss vina kaka unaenda mbali mpk green cty kaka unaharibu muulize rapcha kilichomkuta mwezenu vina ni mc so nyie rappers mnarukaruka kama kuku mwenye mzuka 😂😂😂
Mhhh dizastar atakuua wwe
Boxhoo mbona unacheza na mamba kwenye maji,,,upandewako uko pw ila xoww kumuguxa vina
Ww mtoto shoga kwel ongelea rapper mwngne siyo dizasta mshambaa ww
Acha kumlinganisha dizasta na vitu vya ujinga.. utarudi tiktok kama rapcha
Kama anatafuta kiki sawa. Ila mdogo wangu Boshoo, tunaongea mengi sana ila achana na vita na Dizasta. Huyu jamaa ni kisanga, utapotea bure. Simama na kazi zako achana na mtu ambaye unajua kabisa humuwezi
Umefanya kitu kizur kutokumskiliza wajob
Hakuna ulicho imba dizasta hawezi kuku jibu upumbambu mtupu utapotea kalia yako itadondoka utapoteza mpaka mashabiki
Oya we mpiga kelele achana na dizasta mwehu wewe
Alishasema kitendo Cha kumtaja tu hiyo ni suicide😂
😂😂
Au ndo mwanetu nae anajiweza apande ulingoni?😂
Black Maradona huyu siyo level zake😂 Amuulize Rapcha
aff ndo kuna jinga moja linasema linawaweza marapper wa bongo...maaffii nn
Tanga boy🔥🔥🔥