Hapo Mimi Kama Shabiki Wa Bongo Hip Hop Ninaamini Mziki Utachangamka Sasa! Sababu Dizasta Yeye Alielezea Tu! Na Wala Sio Dis Kwa Maelezo Yake 😅😅😅 Sasa Tunasubiri Dis Kutoka Kwake Ili Mashabiki Tuamue Nani Mkali Kushinda Mwenzie 🙌🙌🙌🙌 Mimi Nawakubali Wote Kwakweli 😅
Dogo rapcha anaimba taarabu tu mimi naona afroo yani ngoma yake hiyo hata demu anaweza akacheza na akakatika kabisa ila Dizasta ni another level pia ni mwandishi mkali sio dogo huyo anaandika upuuzi tu
Kwny Nobody is safe 4 Disaster alisema jamii imejaa ujinga that's why he is not famous....kuptia hii analysis yko nmeamin Disaster is genius aise na yupo sahih kabsa🙌
Kaka mkubwa Sky Asante saana kwa uchambuzi,ni kwasababu tunahitaji game ichangamke lakini kiukweli kabisa ukweli unajulikana kwamba huyo dogo Rapcha hamuwezi hata kidogo DIZASTA,Dizasta ni level nyingine aisee kwa kila kitu,rhymes, content,story telling,IQ, hata freestyle,shule kichwani,hata maisha Dizasta anaishi Hip hop,huyo dogo yaani hamuwezi Dizasta kwa chochote ,,yeye rapcha ndiye anayebenifit na hii anayoiita beef / diss lakini ukweli ni kwamba there is no competition between them, hapa tutakua tuna mu underrate Na kumkosea heshima na adabu Dizasta ni 🔥 ,rapcha ana kipaji Lakini sio kama Dizasta ni GENIOUS ,,huyo dogo apambane na kina lunya,msodoki na kina young D labda ndio size yake tena rapcha amshukuru P FUNK MAJANI kwa kumleta mjini vinginevyo angeishia shinyanga na watoto wenzake wa 1999..Dogo Arudi shule coz the school fees is free kwa Dizasta.dogo ajifunze ku appreciate sio Dhambi .asante ni hayo tu 👊 🙏
Sasa Rapcha mbona kama kakurupuka kuRespond to this one🤣🤣. Tulishajua who's the best even before all these. I think 99 anahisi hii ni freestyle bado🤣. Bado best friend ndio ngoma kali zaidi .
@@stevemwachi254 dizasta kamkosea dogo then anakuja juu hakupaswa kujibu angemtafuta rapcha amuombe msamaha kwa hili nipo kwa rapcha nyu'clear kudadeq dg ka flow sana
Kama ya dizasta sio dis lakni Ina dakika 8..... Nazamani kituo kinachofata ni EP dis track 😆😆😆😆 hata ivyo hapa wanatofautiana mmoja mkali wa mashairi mwingne mkali wa mistari.... Wachache watanielewa..... 💚💚
Hapo Sky umeonesha ushabiki wako kwa Rapcha ila moyoni unajuwa kuwa Best friend ni far best than Rapcha's dis tracks, #BEST_FRIEND nomaaa! Game ipo salama mikononi mwa Dizasta_vina
kuna baadhi ya wasanii nje ya battle wanaaanza kuingia taratibu, what about consistency Motra the future, on his truck, just explain it✊, hili battle ni kubwa wafanye liisogeze hiphop ya bongo japo Africa nzima, Especial ikazungumziwa Southern and Western.
Rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu Eti sauti yangu chovu Ndugu yangu wa damu alisema vision yangu pofu Na bado tunaongea so unamind kisa like bob I wonder where your manner be Miaka 3 umeanza kushiba upuuzi wa hawa madrama kings Shukuru leo kakaako nipo so the school's free Skills ka’ Albert Mangwair ama Bruce lee....... 🔥🙌🏽 DIZASTA VINA✍️
Af dogo anapiga kelele tu ....hakajui hata maana ya Diss track ni lyrics sio style za kurap....lyrics kwanza then flow baaadae vilyrics vyake vya nuclear hata mm naviandika lisaa limoja tu mumble rappers sema dizasta akapotezee tu haka katoto anajishushia heshima.
@@rajabmsinzia1715 kwa mtu anayeelewa hip hop hawezi kufananisha Dizasta na Rapcha kwasababu Rapcha flow zake za kitoto sifa nyingi halafu content ndogo na umaarufu sio sababu ya kujiona unajua kila kitu
Hapa ni *HIGH IQ BRAIN VS BIG MOUTH* ALAFU NYIMBO ZIMA IMEJAA MATUSI HAKUNA CONTENT Unaliaa kwa sababu ya like inachekesha Sanaa... Acha ushuulikiwe na genius
Rapcha ali mdiss kwa sekunde 3 jama katoa wimbo wa dakika8 sasa katoa wimbo wa dakika4 jama atatoa album jezea Rapcha 🙌 adi mtu avuje dam ata jua aju Rapcha Rapcha Rapcha dg akijibu mpe tena adi afe namawazo
My brother is very nice because we make money that two guys and it's very nice because hip-hop is not same like RMB so we have to do that and we can trending we can be on trending for social media for Instagram for TH-cam Facebook so it's very nice 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Keep battling keep battling Life is battling,nimefurahi kuona rapcha hajaogopa hajaamua kukaa kimya lakini ninafurahi pia simulizi na sauti wanaendelea kufuatilia battling.rapcha,we know industry needs flow and swagga you'r 99 nigga happy to hear ulivyomchana at your Angle Hivyo tunasubiri lyrically mc the verteller akujibu usichoke kusikiliza mashairi.
Best Friend bado upo juu sana ata cjaona maajabu ya hii ngoma ya rapcha anaeelewa mziki kabisa basi atajua kuwa Best Friend ipo juu kwanza ina maneno ya akili sana
Mtangazaji unaonyesha uko upande wa wamarekani na NATO Yao si ndio?, Ila Sisi ambao tipo pamoja na PUTIN ngoja tuone na hatutokaa kimya Kwa hili, mwanzo yalikuwa ni mukhtasari kabla ya habari sasa ndio tunaleta habari yenyewe mzito. Mi Niko Kule nawacheki
Dizasta hawezi Julikana na watu ambao hip hop mmeanza kuifuatiliaa Jana..ila kubali kwamba dizasta ni nomaaa mfwatilie halfu uje umfananishe na huyo dogo anaejiita rapcha hmn anachoimba Zaid ya matusi
Before Like ya Dizasta Kuna kitu ambacho kipo behind hatukijui nenda kasklize No body is safe 4 ya Dizasta dakika ya 2:40-3:00 Kuna kitu dizaster kakisema ambacho kina onesha kwamba hii haijaanzia kWenye like ya Twitter...Let's enjoy the good vibe of hiphop
Kaka Ile kitu imetoka na bado waliendelea kuwa washikaji Af n kwel Dizasta kamu inspire rapcha in terms of Story telling and how to deliver Mfatilie vzur Vina most of his songs n Narration so dogo kawa inspired that is obviously
Rapcha amempa kiki Dizasta mwamba kumdis Rapcha tu ametrend for the first time...... Rapcha yuko vizuri na Dizasta yuko vizuri kazi iendelee mvua iendelee kunyesha
Timu dizasta wekeni like apa mwanangu
Timu rapcha hebu weka like hapa tujuane
Rapch ni noumaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rapcha hana mistari ya kushindana na dizasta vina ,,.
Rapcha mtoto mdgo sana kumfananisha na dizasta ni zambi
Motra the future kaingilia battle....team dizasta vina gonga like hap tujuane
Mwamba Dizasta vina anatisha najivunia kulala na mkeo nimevumilia sana leo nmeamua kuweka wazi siogopi km utanikata koromeo we vina anatisha..🤙🏿
Duuu kweli mmi na mkubali Rapcha kwa kizazi cha sasa ,ila mkali atabaki kuwa Dizasta vina ngoja tusubiri comeback ya Dizasta vina ✌️✌️✌️✌️✌️
Dizasta mnyama mwingine sio level za rapcha
Hapo Mimi Kama Shabiki Wa Bongo Hip Hop Ninaamini Mziki Utachangamka Sasa! Sababu Dizasta Yeye Alielezea Tu! Na Wala Sio Dis Kwa Maelezo Yake 😅😅😅 Sasa Tunasubiri Dis Kutoka Kwake Ili Mashabiki Tuamue Nani Mkali Kushinda Mwenzie 🙌🙌🙌🙌 Mimi Nawakubali Wote Kwakweli 😅
Humjui dizasta
Huwezi kusema ni ajasema diss wakati analinyoosha diss
@@Ng_muscat 😅😅😅 Wacha Moto Uwake
@@ibrahimusuphian454 Mimi Simjui Namfahamu! Na Ninawakubali Wote Sababu Kila Mtu Ana Ubunifu Tofauti Na Mwenzie
Kabisa
Hii ndo game ya music tunayoitaka more love team Rapcha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I Love The Kid Of 1999 still Hard On Dezasta Damn That's The HardCore❤️🎶🎧I love HipHop🙌🏾❤️🎧Let It Follow Guyz
Dizasta Vina bado ipo juu kwenye hii CYCLE yao sisi wazee wa kilinge tunaelewa
Still Dizasta is a BEAST 👑👑👑
Dizasta recording
Tale left
Lunya typing
Vaniskaka reacting
Best friend iko vizur,,,,Dizasta vina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dogo rapcha anaimba taarabu tu mimi naona afroo yani ngoma yake hiyo hata demu anaweza akacheza na akakatika kabisa ila Dizasta ni another level pia ni mwandishi mkali sio dogo huyo anaandika upuuzi tu
Kwny Nobody is safe 4 Disaster alisema jamii imejaa ujinga that's why he is not famous....kuptia hii analysis yko nmeamin Disaster is genius aise na yupo sahih kabsa🙌
Ila SNS unastaili kuachiwa uchambuzi wa kila inshu inayohusiana na mambo ya muziki, maana unajua kuchambua hadi unakera 🔥🙌🙌🙌
Best friend is the best till now
Mi napenda Sana uchambuzi wako brother sky upo deep sanaa
Dizasta killed it
Kaka mkubwa Sky Asante saana kwa uchambuzi,ni kwasababu tunahitaji game ichangamke lakini kiukweli kabisa ukweli unajulikana kwamba huyo dogo Rapcha hamuwezi hata kidogo DIZASTA,Dizasta ni level nyingine aisee kwa kila kitu,rhymes, content,story telling,IQ, hata freestyle,shule kichwani,hata maisha Dizasta anaishi Hip hop,huyo dogo yaani hamuwezi Dizasta kwa chochote ,,yeye rapcha ndiye anayebenifit na hii anayoiita beef / diss lakini ukweli ni kwamba there is no competition between them, hapa tutakua tuna mu underrate Na kumkosea heshima na adabu Dizasta ni 🔥 ,rapcha ana kipaji Lakini sio kama Dizasta ni GENIOUS ,,huyo dogo apambane na kina lunya,msodoki na kina young D labda ndio size yake tena rapcha amshukuru P FUNK MAJANI kwa kumleta mjini vinginevyo angeishia shinyanga na watoto wenzake wa 1999..Dogo Arudi shule coz the school fees is free kwa Dizasta.dogo ajifunze ku appreciate sio Dhambi .asante ni hayo tu 👊 🙏
Hakuna haja ya ku judge historia... Acha ngoma hizi za diss ziongee....to me mpaka sasa ngoma ni moja moja ....nasubir comeback
Twend mbele turudi nyuma rapcha is onother level
wanangu99 tisha sana👏👏
Dozaster aliuwa kwenye distrack yakee ilikuwa noma sanaaa
Sasa Rapcha mbona kama kakurupuka kuRespond to this one🤣🤣. Tulishajua who's the best even before all these. I think 99 anahisi hii ni freestyle bado🤣. Bado best friend ndio ngoma kali zaidi .
Dizasta vina 💪
Best friends was my best man...
Rapcha nifundi sana aisee,we need massages and midondoko ya ngoma katika hili rapcha ninampa 100%
rapcha unajua sana kazaaa
Rapcha never disappointed 🐐🤴
Mtoto wa juzi kwenye game hawezi kuwa GOAT....Sio kwamba simkubali ila kwa DIZASTA anachezea 🔥🔥 na utamuunguza..
Bro, Dizasta auwezi mziki wa king of freestyle, I know that Dizasta is legend but rapcha is another level 🤴🐐 brother.
@@fzlcomrajabu9514 Hizo anaziita freestyle but anarap vitu ameandika,kile najua free style muachie kado kitengo,chidi benz,nikki mbishi,zila,mangwea hawa wangeni wanakariri walichoandika na kwauandishi hawezi mfikia Dizasta hata afnye nini
@@stevemwachi254 dizasta kamkosea dogo then anakuja juu hakupaswa kujibu angemtafuta rapcha amuombe msamaha kwa hili nipo kwa rapcha nyu'clear kudadeq dg ka flow sana
@@allenbenard9003 unaweza kurudia tena ulicho kisema hapa nenda ukasikie bomo la dizasta sasa yaani utajua kwamba ume papara kuandika
Duuuuuh rapcha katisha
Kama ya dizasta sio dis lakni Ina dakika 8..... Nazamani kituo kinachofata ni EP dis track 😆😆😆😆 hata ivyo hapa wanatofautiana mmoja mkali wa mashairi mwingne mkali wa mistari.... Wachache watanielewa..... 💚💚
Bonge la point na hicho ndio Mimi nilichkiona but all in all nawakubali wote
Hapo Sky umeonesha ushabiki wako kwa Rapcha ila moyoni unajuwa kuwa Best friend ni far best than Rapcha's dis tracks,
#BEST_FRIEND nomaaa! Game ipo salama mikononi mwa Dizasta_vina
Team Dizasta💥
On just how you explaining this song it just sounds how tough this kid is
mennn this kid ni nomaaa
Tapcha he's like NBA youngboy, respond asap no delay, he believes in himself..bigup..rapcha..💪
NBA YoungBoy yule genius wengi wanamuogopa
Rapcha ni next level
Dizasta ni Beast kabisa....
kuna baadhi ya wasanii nje ya battle wanaaanza kuingia taratibu, what about consistency Motra the future, on his truck, just explain it✊, hili battle ni kubwa wafanye liisogeze hiphop ya bongo japo Africa nzima, Especial ikazungumziwa Southern and Western.
Montra anadandia man,namuunga mkono anahypy game but pia amejaribu kuwaingilia wote wawili ndio wakimjibu awe kwenye ring rasmi
Unajua sana kuchambua sky ni mwalimu bila shaka ww ni hip hop
Bro Sasa motraathefuture nae kaingilia vp😂😂 na sissi sio marafiki🙌 but DIZASTA MTAANI TUNAMUITA T'TCHAAAAA🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣
Motraa moshiii unampelekaa resi
Hiyo ni fursa anajaribu kuongelewa
😂😂😂montra anapenda ugomv
Ile ilikuwa warning ngoja tusubiri diss track sasa ya Dizasta
Rapcha anajua ila dizasta vina tumuache tu anaulimwengu wake kwenye rap na uandish kwaujumla🤯
Wew unaakil timam Kam mm big ap sanaaa
@@potimgodi5735noma
Sema nini! Ile beat ya Best friend Ringle kaua kinyama, beat kali kinyama
Hii Diss ya Rapcha haijatumia akili kama Diss ya Dizasta na hata mistari mingi ya Rapcha ameisha iongea Dizasta so hapo ni KELELE vs AKILI
Rapcha ametisha uyo bro bado sana
Sky akae chini atuambie ukwel anafungana na upande wa rapcha😂😂
Huyu mwamba ni team ni dizastaa kabsaaa
Best friend ni bonge la ngoma
Best friend had content, BARSSSSSS that's what that counts...
dizasta naomba umlipe uyu dogo #oldskool hommies
Dizasta ni 🔥🔥🔥
Rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu
Eti sauti yangu chovu
Ndugu yangu wa damu alisema vision yangu pofu
Na bado tunaongea so unamind kisa like bob
I wonder where your manner be
Miaka 3 umeanza kushiba upuuzi wa hawa madrama kings
Shukuru leo kakaako nipo so the school's free
Skills ka’ Albert Mangwair ama Bruce lee....... 🔥🙌🏽
DIZASTA VINA✍️
Dogo hawezi moto huu
Jamaa kaua vibaya
Af dogo anapiga kelele tu ....hakajui hata maana ya Diss track ni lyrics sio style za kurap....lyrics kwanza then flow baaadae vilyrics vyake vya nuclear hata mm naviandika lisaa limoja tu mumble rappers sema dizasta akapotezee tu haka katoto anajishushia heshima.
Kwani ni siri sauti bovu ajui kuchana ni uandisha2 ndo anajua
@@yakoboesenga5754 nenda kamsikilize tena
Uyu mtoto (Rapcha) anajidanganya sn au kuna watu wanamjaza ujinga, ivi anamjua vizuri Dizasta uyu lkn? Aloo Dizasta n level zingine bro
Ni ujinga kufikiria Rapcha atamfunika Dizasta. DIZASTA atamkanyaga Rapcha vibaya sana. Nyie muambieni Rapcha awe makini kabla hajayakanyaga
Dizasta is the Beast, on this one. Dizasta never disappointed, Rapcha akasome.
Msikilize vizuri mchambuzi utapata kitu ambacho kitasifisha bongo yako
@@rajabmsinzia1715 kwa mtu anayeelewa hip hop hawezi kufananisha Dizasta na Rapcha kwasababu Rapcha flow zake za kitoto sifa nyingi halafu content ndogo na umaarufu sio sababu ya kujiona unajua kila kitu
Hapa ni *HIGH IQ BRAIN VS BIG MOUTH* ALAFU NYIMBO ZIMA IMEJAA MATUSI HAKUNA CONTENT
Unaliaa kwa sababu ya like inachekesha Sanaa... Acha ushuulikiwe na genius
Watu tunalike hadi info za misiba na siyo habar
afu ndo itakuwa hyo like kwa post ilomdiss
Atulize wenge siyo kila maji yakuchamb**
Atapata mimb*
Fact 🤯
@@cayzzertech humjui wewe
You definitely don't know the meaning of dis,
Go back to school manina
@@cayzzertech shabiki wa taarabu hawezi kuelewa hip hop
Making sense is on what you flo...dizasta killed it
Am really entertained with this battle...
Kaka mpaka sasa mnaludia ludia Sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Best Friend 🔥🔥🔥🔥
Rapcha ali mdiss kwa sekunde 3 jama katoa wimbo wa dakika8 sasa katoa wimbo wa dakika4 jama atatoa album jezea Rapcha 🙌 adi mtu avuje dam ata jua aju Rapcha Rapcha Rapcha dg akijibu mpe tena adi afe namawazo
Hana akili yule dizasta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atatoa EP
Safi sana yaani umenifurahisha sana katika uchambuzi wako nimependa yaani umekwenda vile ninavyofikiria mimi
Bongo hip hop inaenda kuwa tam jama mashabiki tunaomba hio bif isishe iendelee
Rapcha killed it, Amemkejeli saaana aisee daaaahhh😅😅😅😅99 wat's up
Rapcha ninoma sana wanangu WA Hip hop tunaerewana tuna lguga yetu tujuwane hapa
Hiphop gani hyo unayoisemea wewe
Dizasta ni master kabisa
Real hip hop huwez muelewa rapcha zaid ya dizasta
Bro yena rapcha ni mkali sana kwanza uki angalia ndo sasa dizastar ana anza kusikika amshukuru sana rapcha
Rapch ni hatari San 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@yakoboesenga5754 unaanza wewe kumsikia
🔥🔥🔥Vita ya nne ya Dunia
Am rapcha in blood
Inahitajika Rapcha kama tisaini na Tisa kupata Dizasta mmoja
Bestfriend ni noma
Rapcha ni mnoma kwenye hiz free styles. He's so damn good rapper
Dizasta usikuu yupo studio 🎙️ kesho tunakutana na majibu
Sky we brother mnoma sana...
My brother is very nice because we make money that two guys and it's very nice because hip-hop is not same like RMB so we have to do that and we can trending we can be on trending for social media for Instagram for TH-cam Facebook so it's very nice 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
We msimuliaji boya, unaonyesha kabisa upo upande wa Rapucha, hiyo haitakiwi ilibidi ubaki nalo moyoni
Sywalker ukiwa unaelezea hii habar yaonesha kwamba kweli unapena hip-hop
Dizasta ni nouma Sana,,,Rapcha akasome upya then arudi kumface ✊
uyu rapcha ni mkate ila DISASTER ni jiweeee
Keep battling keep battling
Life is battling,nimefurahi kuona rapcha hajaogopa hajaamua kukaa kimya lakini ninafurahi pia simulizi na sauti wanaendelea kufuatilia battling.rapcha,we know industry needs flow and swagga you'r 99 nigga happy to hear ulivyomchana at your Angle Hivyo tunasubiri lyrically mc the verteller akujibu usichoke kusikiliza mashairi.
Msimuliaji simulia fafanua pita hivi... Mambo yakusema umependa hivi mara umependa vile unazingua
Rapcha is fire 🔥
Game on🔥🔥🔥🔥
Tribulation mwamba kajibu mashambulizi yooooote kafunga na kutia doti. Yani kiplooo❤️❤️❤️❤️ disaster remains master
Best Friend bado upo juu sana ata cjaona maajabu ya hii ngoma ya rapcha anaeelewa mziki kabisa basi atajua kuwa Best Friend ipo juu kwanza ina maneno ya akili sana
99 on top
Mtangazaji unaonyesha uko upande wa wamarekani na NATO Yao si ndio?, Ila Sisi ambao tipo pamoja na PUTIN ngoja tuone na hatutokaa kimya Kwa hili, mwanzo yalikuwa ni mukhtasari kabla ya habari sasa ndio tunaleta habari yenyewe mzito. Mi Niko Kule nawacheki
Yes apo djo Safi sasa kazi ipo wa pambane visuri tu !!!!
Na kweli mimi sikuwa na mjuwa kabisa Dizastha
Dizasta hawezi Julikana na watu ambao hip hop mmeanza kuifuatiliaa Jana..ila kubali kwamba dizasta ni nomaaa mfwatilie halfu uje umfananishe na huyo dogo anaejiita rapcha hmn anachoimba Zaid ya matusi
Radio mbao frequency inasomeka 99 now on air #rapcha 🙌🙌🙌
Before Like ya Dizasta Kuna kitu ambacho kipo behind hatukijui nenda kasklize No body is safe 4 ya Dizasta dakika ya 2:40-3:00 Kuna kitu dizaster kakisema ambacho kina onesha kwamba hii haijaanzia kWenye like ya Twitter...Let's enjoy the good vibe of hiphop
Kaka Ile kitu imetoka na bado waliendelea kuwa washikaji
Af n kwel Dizasta kamu inspire rapcha in terms of Story telling and how to deliver
Mfatilie vzur Vina most of his songs n Narration so dogo kawa inspired that is obviously
@@amAlexGeorge skupingi mzazi
Tribulishen
🔥🔥🔥🔥 rapch
MSD ni medica store department.. hawa wanazalisha madawa, wanatunza madawa na ndo wanahusika na usambazaji wa madawa mahospitalini
Mkuu kuna #motrathefuture huko 🔥🔥
Mr Simulizi Aiseeee Ile ya Motra The Future, Sisi sio marafiki naona amekaa kati emu ipitie na ile aiseeee
Bro! Dizasta Vina ni mnoma sana duh! Ata lala tu uyo Rapcha
Rapcha amempa kiki Dizasta mwamba kumdis Rapcha tu ametrend for the first time...... Rapcha yuko vizuri na Dizasta yuko vizuri kazi iendelee mvua iendelee kunyesha
Dizasta🙌🙌🙌✅
Hii ya Rapcha imekua zaidi mzee
Dizasta ni Zaid ya DNA ata akifa tunaona madogo rapcha wakitumia style ake
Dizaster ni king
#Like za Team #DizastaVina🔥💪