MECHI YA KITANDANI INANOGESHWA NA HAMASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @stonetown578
    @stonetown578 ปีที่แล้ว +4

    Hapo upo na Maustadh sasa hiyo hinna tayari ni mapambo si mtihani huo 😎 dini ngumu.

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri Masha Allah

  • @JannatKuraishi
    @JannatKuraishi ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah kipindi kizuri Sana ila jamani our kungwi jaribu kuvaa hijabu mbele ya waume jamani ni mtihani na hiyo ni fitna jamani uuuh🙄tunakumhushana jamani kwaajili ya Allah eh pia punguzeni ukali wa maneno

  • @pilykingo
    @pilykingo ปีที่แล้ว

    Shaikh Rashid picha ya kwenye tangazo lako zimeambatanishwa sana kama vile nyinyi ni mtu na mkewe haipendezi shaikh wetu. Kuhusu kipindi. Tunajifunza mengi Alhamdulillah

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 ปีที่แล้ว

      Nahisi ni mke wake

    • @eid2643
      @eid2643 ปีที่แล้ว

      @@alhudhaify7810 Yule anae mpa ua bila shaka mkewe ila kungwi mtoto sina uhakika

  • @ashaothman-vz7ro
    @ashaothman-vz7ro หลายเดือนก่อน

    Wanaume wasir sana kwenye muhemko

  • @MalhatVuai
    @MalhatVuai ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 2 วันที่ผ่านมา

    Hichi kipindii haki a nizamu hasa kuweko mwanamkea kwa group

  • @mwachesaid7020
    @mwachesaid7020 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini sasa w'me hawako tayari na hilo,unaweza kufanya kila aina mpaka unachoka mechi hainogi.

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว +1

    Round nyinyi ambazo hazina moto sio ishuu bali round moja tu yenye moto mkali ndiobalaaa

  • @shadidacassim5027
    @shadidacassim5027 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha nimechaka Sana 😂Apo kama mayeleee Allah akbar

  • @ChumuMbwana
    @ChumuMbwana ปีที่แล้ว

    Nimejifunz kit shukuran

  • @aishahmd2559
    @aishahmd2559 ปีที่แล้ว

    Naona 🙈😁ila ndo elimu twapewa 😀

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmmh! Dada muogope mola wako huoni haya unadhihirisha hina mapambo mmh huo si uislaam jmn

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

    Sheikh ali rashid naona umeonesha dole hapo😂😂😂unayapenda na ww ayo mambo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ashaothman-vz7ro
    @ashaothman-vz7ro หลายเดือนก่อน

    Mume aanze mapema kukuandae

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 ปีที่แล้ว +2

    Mh hiki kipindi mtihani huu jamani,hii ndio dini kweli?

    • @AminaRajab-w4n
      @AminaRajab-w4n ปีที่แล้ว

      Wazo langu,mashekh wangekaa na wanaume wawape hayo mafunzo, na ukhti akae na wanawake mnisamehe kama nimekosea 🤔

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe kwa ushauri

  • @ChumuMbwana
    @ChumuMbwana ปีที่แล้ว

    jaman nimekipend kipind hik

  • @abdillahali836
    @abdillahali836 ปีที่แล้ว

    Dahh hiki kipindi Haya maneno naona aibu mie HHhhhh hadi huyu dada Afiche maneno kidogo anafunguka sana

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 ปีที่แล้ว

      Huyo mkavu hana aibu

    • @abdillahali836
      @abdillahali836 ปีที่แล้ว

      @@fatmamansour676 naona hahahaha hana break

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 ปีที่แล้ว

      Yaniii Binadamuu banah,dinii ya kiisalm Haina Aibuu,ukwelii usemwee na xaxa hivi talaka zimezidii sanah

  • @MEDY1616
    @MEDY1616 ปีที่แล้ว

    Dini ya kislam ndo inavo taka uislam hauna kawaida ya kubana bana maneno hongereni mashekh wetu kwa elimu

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ ปีที่แล้ว +1

    😂😂

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ ปีที่แล้ว +1

    Msitegeyane apo mambo yananoga

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ ปีที่แล้ว +1

    Nyote muwe walimu

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 ปีที่แล้ว +1

    Hichi kipindi hakina nidham

    • @AminaRajab-w4n
      @AminaRajab-w4n ปีที่แล้ว

      Ukhti mapambo hayo yako hadharani,namaanisha hina