Nafasi ya Kanisa Katoliki katika kuuvunja Uislamu - Sheikh Stambuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Part 1

ความคิดเห็น • 64

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 5 หลายเดือนก่อน +9

    Ma shaa allah endeleza tafadhali ni muhimu sana kujua

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 5 หลายเดือนก่อน +5

    Waalaykum sallam.
    Shukran shekhe tunatamani iendelee

  • @rojasimtui2757
    @rojasimtui2757 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimependa sana endelea kutupasha habari nzuriiiii kweli

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 5 หลายเดือนก่อน +1

    ujue dunia ni mbovu watu wote wametoa maoni yao kisa yako upande wao hutasikia tatizo nikitoa maoni yangu kisa niko opposite mm mbaya so inamaana wote tukubaliane na wanachozungumza ni tatizo kubwa mnooooo

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 5 หลายเดือนก่อน

      Mambo bado , maisha ni kutafuta haki na ukweli.

  • @Shukurukoll
    @Shukurukoll 5 หลายเดือนก่อน +3

    Makala hii iendelee

  • @Logicentric
    @Logicentric 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi mnatarajia wakatoliki waje wawajengee uislamu wenu...
    Na nyinyi fanyeni la kufanya sio mtarajie hisani kutoka kwa wakatoliki...

    • @NassibMbuguni-n1d
      @NassibMbuguni-n1d 5 หลายเดือนก่อน

      Elewa vizuri maelezo ubaya ni pale wareno walipowafanyia ubaya wenyeji wao

    • @Logicentric
      @Logicentric 5 หลายเดือนก่อน

      Sio kwamba sielewi ila waislamu tuna matatizo. Hivi umeona wanachokifanya nchi za kiarabu sasa hivi. Wanavyowakumbatia wauwaji wa Gaza na waungaji mkono wao licha ya dhulma na mateso wanayofanyiwa watu wa gaza.
      Hivi ni nani hajui kama wamagharibi wote ni maadui wa Uislam.
      Hivi dunia hii hakuna mbadala?
      Halafu tunakuja tunakaa tunalaumu....
      Nioneni mbaya lakini nitasema kwamba kuna tatizo kwetu.

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB 5 หลายเดือนก่อน

      Wacha pupa. Soma, uliza, elewa kabla ya kuanza.

  • @silimazdu1100
    @silimazdu1100 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante tufafanulie ukweli

  • @saidijuma9800
    @saidijuma9800 5 หลายเดือนก่อน +2

    Inshaallah iendelee

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 5 หลายเดือนก่อน +3

    Lafudhu ya mzee kama mwenyeji wa pwani ya Ziwa Tanganyika.
    Kwa mara ya kwanza Nyerere aliingia katika mji wa Kigoma Ujiji 1957 mji wa waswahili, waislamu watupu! akakutana na kinamama wa kiislam wanaongea kiswahili kimenyooka na hawajawahi kufundishwa sarufi wala nahau kokote akashangaa sana. Hajua kwamba mji mkongwe wa Ujiji ulikuwako miaka 300 kabla ya Mzizima (Daslam), watu wakiishi pamoja kindugu. Wazungu walikuja Ujiji akiwemo yule Explorer maarufu David Livingstone kujenga na kueneza ukristo lakini wenyeji waislamu wakagoma kuingia ukristo. Mpaka sasa, kuna makanisa wanayachomeka chomeka lakini wanaosali ni watu kutoka huko mbali, sio pale kwa wenyeji Ujiji.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 หลายเดือนก่อน

      Watu wanaongezeka duniani na maeneo yanakuwa zaidi so usitegemee mambo ya 1950 ndo yawe mpaka Leo ,ndio maana huko kwenu ujiji bado porini kumezidiwa na miji iliyokua juzi Kwa sababu hakuna mawazo chanya

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 5 หลายเดือนก่อน

      ukweli unaumiza.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​Ni kweli kabisa ujiji ndio maana bado porini,hata wao wenyewe wa ujiji hawajengi ujij bali wanaenda kujenga katika maeneo mengine ya mji kama vile kilimahewa,mwanga,mji mwema nk,kwa sababu watu wa ujiji wanaufinyu wa maono

  • @saulopanda6516
    @saulopanda6516 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makala bora..... Mwenyezi mungu akuzidishie uelewa na afya upate kutupa elim hii adimu

  • @shekhamuhham9044
    @shekhamuhham9044 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barakallah fiika sheh wetu

  • @asilclub
    @asilclub 2 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك ومشكور على المعلومات القيمة يا دكتورنا العزيز

  • @RashidAhmed-h7t
    @RashidAhmed-h7t 5 หลายเดือนก่อน +2

    Historia mzuri sana

  • @racsomutunga
    @racsomutunga หลายเดือนก่อน

    Twede nalo mzee stabuli,,, Ukambani and upper Tana river iko love

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 5 หลายเดือนก่อน +1

    Walio weng hatujui history shukraani kwa taarifa Allah akuzidishie elimu

  • @NassibMbuguni-n1d
    @NassibMbuguni-n1d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Sheikh Stambul kwa ukweli uliofichika

  • @mustafakanani6763
    @mustafakanani6763 หลายเดือนก่อน

    Endelea ilitufahme historia yetu
    ashante

  • @hamidakhamis-ir5qv
    @hamidakhamis-ir5qv 5 หลายเดือนก่อน +5

    Asante shukran Allah awajalie hao wote walokufa kwajili yake awali pe janah

  • @mohamedlalimahazi9932
    @mohamedlalimahazi9932 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi yako nipeke yako

  • @chenodigganyika297
    @chenodigganyika297 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makala iendelee insh' Alah!

  • @thedon8467
    @thedon8467 4 หลายเดือนก่อน

    MAKALA HAYA YAENDELEE

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 5 หลายเดือนก่อน +1

    wanaolalamika dunia nzima ni waislamu sijawahi sikia wajesh, wahind wa budha wakilalamika duniani kote ni waislamu kuna shida kwenye hii dini

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahaaaaa hawa jamaa Bana hata wakijikwaa njiani huwa wanajua ni wakristo tu,hata wakilala njaa tu lazima wasake mchawi na utawaona mbio ni wakristo na mayahudi tu wamefanya haya

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 หลายเดือนก่อน

      Vichawani mwao kumejaa malalamishi tu ,yaani hata akishindwa kulisha familia utasika wakristo ,akiumwa hakuna hospital atalaumu wakristo

    • @husseina.sattar1434
      @husseina.sattar1434 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sababu makafiri wa kila aina kila rangi wanatupangia njama, freemason wote, wachawi wote wanatupangia njama lakini hamtaweza!

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 หลายเดือนก่อน

      @@husseina.sattar1434 nendeni shule mkasome ,tatizo lenu elimu mnaikimbia mwisho wa siku mnabaki kulalama ,hakuna anayewaonea Wala kuwapangia njama ila ujinga na upunga umewajaa sana ,Kila kitu lawama hata mkishindwa lala ma wake zenu ohhh wakristo ,kasomeni mtoe ujinga alaaaa

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 5 หลายเดือนก่อน

      @@husseina.sattar1434 Dunia nzima nyie ndio walalamishi kwahiyo watu woote wapo kupanga njama dhidi yenu tu ? Ndio tofauti Kati ya dini ya majungu na dini ya maendeleo,wakati nyie mnaendelea ku promote majungu na malalamiko wenzenu wanazidi kuwaacha mbali kimaendeleo !

  • @thedon8467
    @thedon8467 4 หลายเดือนก่อน

    YAENDELEE

  • @abdulrazaqjuma6571
    @abdulrazaqjuma6571 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Atawalipa wte inshallah

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu hongera

  • @Umlai3
    @Umlai3 5 หลายเดือนก่อน

    Ustadh Stambuli, nataka kujuwa sultan Hassan babake Sultan Yusuf , alizikwa Allidina au Rabai?

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 5 หลายเดือนก่อน

    Waalaykum asalaam warahmatullahi taala wabarakatuhu,
    Makala iendelee

  • @salimukungulilo2928
    @salimukungulilo2928 5 หลายเดือนก่อน +1

    Rabana zidna ilima

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB 5 หลายเดือนก่อน

      AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.

  • @yoliswabontsa8469
    @yoliswabontsa8469 5 หลายเดือนก่อน

    Endeleza jambo hilo nimuhimu zaidi sio tuikalie khilafu za wanawazioni pekee.

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 5 หลายเดือนก่อน

    Na hiyo ndio Hijra ya kwanza kabisa. Waislam wakihama toka Hijaz kuja Afrika.

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 5 หลายเดือนก่อน +1

    wanalalamika ulaya uchina africa kila sehemu, 75 ya vita dunia wao ni source angalia kuanzia africa, middle east. zaidi eti jamii mbili zinapigana au nchi mbili zinapigana utaisikia vita nchi a vs Uislamu hii kitu ni shida y wengine hawalalamiki ni wao tuuu

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 5 หลายเดือนก่อน

    Nakala liendelee IN SHAA ALLAH.

  • @salimkadau8257
    @salimkadau8257 5 หลายเดือนก่อน

    Makala yaendeleee

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee

  • @tariqbathawab1147
    @tariqbathawab1147 5 หลายเดือนก่อน

    HAO NI MA-ZAYONIST NDIO WAMEIVUNJA UMASIIH NA TAYARI WAMEWEKA VIONGOZI KATIKA UTAWALA ZA NCHI ZA KIARABU WENYE UASILIA WA KIYAHUDI NI WAFUASI WA KIZAYONIST MA-ZAYONIST NI MAADUI WA DINI ZA KIISLAAM NA UMASIIH NA UYAHUDI .MA-ZAYONIST NI WAFUASI WA IBLIIS .

  • @Umlai3
    @Umlai3 5 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum

  • @Abuumunzir-yz9vf
    @Abuumunzir-yz9vf 5 หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @muna1165
    @muna1165 5 หลายเดือนก่อน

    Yaendelee

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @SingoMedia
    @SingoMedia 5 หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uislam ulishavunjika zamani sana na ndio maana waislam wana-convert to Christianity kila iitwapo leo,maana wanajua kuwa Dini haimpeleki mtu mbinguni,ila Imani ndio inapeleka mtu mbinguni.

    • @sulealim6325
      @sulealim6325 5 หลายเดือนก่อน

      Pls nijuze ni nchi gan zenye waislam wengi ambayo waislam wanabadil kua wakristo?

    • @MohamedAbdallahSaid
      @MohamedAbdallahSaid 5 หลายเดือนก่อน

      Ndoto za mchana.

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 5 หลายเดือนก่อน

      Mhhh, bila dini aka njia hufiki mbinguni ndio Yesu akasema mimi ndimi njia: huendi kwa baba ila kupitia njia yng aka dini yng 😊

    • @MohamedAbdallahSaid
      @MohamedAbdallahSaid 5 หลายเดือนก่อน

      @@Zainabnoor0087-ze Bora ubadilishe jina lilingani na imani yako.Zeinab sasa ni jina la Waislamu.
      Kadhalika unahakika kila liloandikwa kwa Biblia latoka kwa Mungu.Mbona vitabu na aya zagongana.
      Yes kwetu ni Mtume wa Mungu.Sio Mungu

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe hiteshkumar ni mkristo ulio shindwa.