ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Maneno mazur ila tu anayezungumza sio mzur. Siasa zake za umasikini na mbovu.
Kwenye nchi ni toomuch mzee,ccm miaka 60 mnazidi kufeli kila secta kweli,huo uchumi na elimu mbona vinazidi kudidimia!
Mimi huwa sipendagi kusoma vitabu Ila hiki kitabu naona kama kimenivutia
Nimekukubali mzee makamba ilo ni neno
asante mzee mwangu nashukuru sana kuniamsha kumbe hadua natakiwa ni sikate tamaa nimejifuza kitu kuzia leyo nitadumu na dua
Maneno yenye ladha ya kusikiliza utamu utokanao na ladha ya kuongea malengo ya mzee nikushajihisha kuvumilia sio kukusubirisha.
Maneno mazuri ya mzee mwenye hekima
JAMANI MUSIDANGANYWE, ANAYEPIGA RAMLI, HUYO SIO MUISLAM.... UKIWA MWANASIASA MPAKA DINI UNAWEZA UKAICHAMBUA KWA MTAZAMO WAKO MDOGO....
Acheni kuvamia mambo bila ya kuelewa izo ni lugha tu apo katumia kama saikolojia
Ww wacha umbea hujui unachokiongea
Maneno ya khekima sana