Je, Wajuwa?! Historia Fupi ya Uislamu na Waislamu Afrika Mashariki - Makala ya Kwanza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues.
    #mombasa #kenya #news #tanzania #uganda #trending #history #islam #global

ความคิดเห็น • 14

  • @danielarapmoi3041
    @danielarapmoi3041 ปีที่แล้ว +3

    nimefatila sana vipindi vako sheikh lakini ningeomba ueke siku maalum yakuendeleza makala mingine itatupa uhakika nilini tena makala mingine shukran jaazaka Allahu kheir

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว

      @danielarapmoi3041, nashukuru kwa maoni yako. Na, iwapo sitakuwa nimekosea, iwapo umejisajili kwenye ukurasa huu, ni lazima utapata taarifa ya makala mengine punde tu yanapotolewa. Af'wan.

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 3 วันที่ผ่านมา

    Asalamu aleykum tupe makala ya 2❤❤❤❤😂😂❤❤

  • @kalamamwachiru-vo6tm
    @kalamamwachiru-vo6tm ปีที่แล้ว +2

    Uislamu ulifika Africa Mashariki karne ya 7, from 613 - 615 AD maeneo ya Abbysinia na kuenea hadi maeneo ya "Shungwaya". By 640s AD most converts walianza kusafiri kuelekea kusini wakitafuta sehemu za kuishi ndo miji kama ngomeni, gede, mnarani, mtwapa, Mombasa (by around 900 AD)...by around 680s Wagalla ndo walifika Shungwaya na vita na "Wakashuru" (mijikenda, taita, pokomo) vikaanza. Wapokomo wakabaki maeneo ya mto tana, Mijikenda wakaenda hadi Mwangea (around 900 AD) na kuishi kwa miaka kama 300 - 500 (from 900 AD to around 1300/1400 AD)...

  • @shabanjuma2616
    @shabanjuma2616 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for your knowledge

  • @gichena5705
    @gichena5705 ปีที่แล้ว +1

    Ningependa kujuwa dini zipi walizipata huku Africa na kwanini zilififia au kutoweka. Uislamu uliathiri vipi dini zetu za kiasili na mbona huzungumzii kuhusu utumwa uliofanywa na waarabu. Angazia sehemu zote za historia. Uislamu na ukristo sio dini zetu. Ningependa kujuwa kwa undani. Asante

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +3

      @gichena5705, wacha kwanza tueleze yaliyotukia awali (utumwa uliofanywa kupitia utawala wa Portuguese), kisha tutaeleza utumwa uliofanywa na Waarabu. Kwa sababu, walioanza mambo hayo huku kwetu ni Portuguese (kina Vasco da Gama), lakini, hatuambiwi hayo shuleni! Subiri tu, utaelewa.

  • @hadidkauf2636
    @hadidkauf2636 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdhullilah najuwa Leo Kuwa Kuna mnara wa masjid behind nakumatt. Allah barik Ammuu

  • @H-moneybags
    @H-moneybags 8 หลายเดือนก่อน

    Aitwa hajaj altakafi atokea taif na ndio aliyemuua zubeir

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 ปีที่แล้ว +1

    Star shukran

  • @hajiabdul-qadir478
    @hajiabdul-qadir478 ปีที่แล้ว +1

    assalamu alaikum. shekhe naomba makala ya 2 isichelewe