KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA MAALIM BAKATHIR KUTOKA UKUTANI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 มี.ค. 2022
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 14

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr ปีที่แล้ว

    Maashallah
    Ukutani ni zizi la wanachuoni ZANZIBAR. MUNGU atukhitimishe kwa nyendo njema

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah historia nzuri jazaka Allah kheri

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah Allah awalipe

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 3 หลายเดือนก่อน

    Waislam hapo panasitahiki kufanywa chuo kikuu

  • @mbarakaljabri3450
    @mbarakaljabri3450 2 ปีที่แล้ว +2

    Tusi wasahau waasisi wa Msk Baraza Maalim Himid, Abdalla Muadhini, Syd Hamad nk.
    Wao ndio walimu wa Maalim Abdalla Abubakar Abdalla Bakathir.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 ปีที่แล้ว

    Tuleteeni historia za ulamaa wetu wote,kama kina sheikh Habib Ali kombo

  • @AlawiyaMSaleh
    @AlawiyaMSaleh ปีที่แล้ว

    Dunia inamaajabu

  • @aliy3303
    @aliy3303 ปีที่แล้ว

    Ostadh Khalid nini kilimuondoa koz yupo hai

  • @al-hashimyal-qurayshy6978
    @al-hashimyal-qurayshy6978 2 ปีที่แล้ว +1

    Shauri LETU: KUNA WATU MUKAWAFUATE AMBAO wanajua historia ya hapo hao ni wageni wote..hawamjui Maalim bakathiri..
    Kamfateni Mtu Anaitwa MAALIM ABUU...huyu ndie Kipenzi cha bakathiri...Ndie Naibu wa hicho chuo..lkn Watu wanajitoa ufahamu.

  • @al-hashimyal-qurayshy6978
    @al-hashimyal-qurayshy6978 2 ปีที่แล้ว +1

    WE abrahman habshy umetok pemba Maalim Abuu Anakupokea leo umekua weye ndio Unaijua Zaidi historia ya hapo??na huyo Ndugu Hikman ndio kabisa..Ama kweli Watu hawapo..Allah atatusaidia.

  • @al-hashimyal-qurayshy6978
    @al-hashimyal-qurayshy6978 2 ปีที่แล้ว +1

    na Maalim Abuu Amewacha hicho chuo kutokana Fitna za abrahman habshy..Alikua Anamtesa Sana Bakathir huyu Habshy..JITAHIDINI MKITOA HISTORIA TOENI KWA UKWELI

  • @al-hashimyal-qurayshy6978
    @al-hashimyal-qurayshy6978 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Hataki kusema ukweli..hata ukimfata Ust khalid mrisho basi ukweli Atausema..WAELEZENI UKWELI WAISLAMU MSIJE MKAADHIRIKA...