MEDICOUNTER: Unafahamu ni kwanini kuna wakati unakaukiwa na sauti? Sikiliza chanzo na matibabu...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2019
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 33

  • @user-gr9cc9li2k
    @user-gr9cc9li2k 3 หลายเดือนก่อน

    Dr hongera sana kwa kweli unajua kazi yako,sababu umeeleza sababu nyingi kiasi kwamba ni rahisi kwa mgonjwa kujitathimini,binafsi nilifnyiwa operation ya tonsil but sasa hivi nasumbuliwa sana na allergy pia pumzi nahisi kitu kinanikaba kooni,msaada please

  • @NGOLOMASUNGAMASANJA-wx7hz
    @NGOLOMASUNGAMASANJA-wx7hz 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana doctor nimejifunza mengi sana

  • @alodiahgelad5832
    @alodiahgelad5832 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante doctor

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Dokt nimwjifunza kitu amina nimekupenda sn sn na ns na ns barikiwa

  • @estelinandeme8481
    @estelinandeme8481 21 วันที่ผ่านมา

    Kweli mm nasumbuliwa na acid kwenye Koo nifanyeje

  • @EmiyIssa-yt6jy
    @EmiyIssa-yt6jy 18 วันที่ผ่านมา

    Mm nasumbuliwa na koo yan linakwaruza ht kula nakula kwa shd pia linakauka San naomb nisaidie

  • @user-kw8fc4nu3w
    @user-kw8fc4nu3w 3 หลายเดือนก่อน

    Docter unapatikana wapi naomba namba namba kwa mawasiliano zaid hilo tatizo la kooo nalo

  • @user-ku4jh3pr3u
    @user-ku4jh3pr3u 11 หลายเดือนก่อน

    😢 doctor habari na m natatizo kama Hilo nilianza kukata saut na Sasa mais maumivu kwa Koo na ata kukauka

  • @zainabumussa5960
    @zainabumussa5960 ปีที่แล้ว

    Hata mm ni nailo tatzo la koo kukukaa nkinywa maji na kuwa sawa na makohoz yana toka muda mwingi yanakuwa na damu

  • @Layla_Sulaiman88
    @Layla_Sulaiman88 ปีที่แล้ว

    Naomba namba kaka

  • @AminaJacob-vu9fe
    @AminaJacob-vu9fe ปีที่แล้ว +1

    Mimi kaka Koo linakauka nashindwa kumeza mate na pumzi zinakata

    • @lrene4442
      @lrene4442 9 หลายเดือนก่อน

      Unamda gani jamani ilo tatizo me

  • @husinahalidi4913
    @husinahalidi4913 ปีที่แล้ว

    Dokta ninaweza kupata namba zako tukawasiliana

  • @user-dt2kd7ri8u
    @user-dt2kd7ri8u 10 หลายเดือนก่อน

    Mwez wa tatu huu koo linanisumbu😢

  • @careensam9245
    @careensam9245 3 ปีที่แล้ว

    Samahani docta Mimi nipomeza chochote nahisi kama Nina kidonda inaweza kuwA tatizo gani?

    • @manaseyona9260
      @manaseyona9260 2 ปีที่แล้ว

      Infection s .caused by bacteria . nashaur ufike Hosp kuchunguzwa

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@manaseyona9260number zako sasa tutazipata vp

  • @lovenesssamweli8426
    @lovenesssamweli8426 2 ปีที่แล้ว

    Naombeni namba zasimu nimutafute

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 ปีที่แล้ว +2

    Doctor ulivoeleza mim nina tatizo la koo la hewa maan hata wakati mwingine napumua kwa shida na haruf ya pafyum nikinusa tu basi kwenye koo naumia mpk ile haruf ya pafyum iishe na mdom wa juu karibu na klim kuna viupele haviish vinawasha kweli kweli nakun mpk natoa damu

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mimi sinywi maji

  • @irenekatumwa5963
    @irenekatumwa5963 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi sauti ilikata afu ikarudi lkn koo linauma sana

  • @user-nr3cg6kb5d
    @user-nr3cg6kb5d 6 หลายเดือนก่อน

    Mm mefanyiwa oppression ya koo lkn ndo sauti aitoki sijui shida ni nn

  • @husnanyundo110
    @husnanyundo110 ปีที่แล้ว

    Mm niko na tatizo nahisi kunyogwa kwa koo hadi kifuwa kujaa je nitasaidika vipi na kuteuka sana

  • @sharifumanili8627
    @sharifumanili8627 3 ปีที่แล้ว

    Badilisha namba za simu Mnazo zitoa kwani ni zangu namba hizo ni 0744243577

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

      He kwanini Sasa wadanganye kutoa namba zao kumbe si zao

    • @leilasaid3623
      @leilasaid3623 ปีที่แล้ว

      @@hanifatanzania7258 ni kweli watu wanao toa no zao qakat sio doctor matapeli hao

  • @sharifumanili8627
    @sharifumanili8627 3 ปีที่แล้ว

    Badilishen namba za simu Mnazo zitoa kwani ni zangu ni 0744243577

  • @johnchimaguli7501
    @johnchimaguli7501 3 ปีที่แล้ว

    Huyu doctor anajua Sana kazi take.

    • @mussarupia159
      @mussarupia159 3 ปีที่แล้ว

      Dr nakupataje ninashida na wewe no zako yafadhar

    • @mussarupia159
      @mussarupia159 3 ปีที่แล้ว

      Dr naomba namba zako nasikitika uko kimya juu ya mawasliano

    • @leoniaoswardleonia5513
      @leoniaoswardleonia5513 2 ปีที่แล้ว

      @@mussarupia159 tunahitaji msaada Dr ninayi hiyo shida ya kupata sauti namaumivi wakati wa kumeza