MAUMIVU YA MGONGO, CHANZO ,DALILI NA TIBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2022

ความคิดเห็น • 32

  • @user-ky5dm6kb3w
    @user-ky5dm6kb3w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba no zako docter

  • @mausseinsheith2235
    @mausseinsheith2235 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana Dr.Laurent Mchome kwa Elimu kubwa hii unayotupatia,ni Vizuri sana na tunawafuatilia kupitia MOI TV!

  • @saidkundya9087
    @saidkundya9087 ปีที่แล้ว

    Ni elimu nzuri sana, tupatie mawasiliano dokta wa viungo

  • @mohameditwahili723
    @mohameditwahili723 ปีที่แล้ว +1

    mnapatikana wap doctor mm nna tatizo la mishipa ya mgongo .

  • @user-dj2wk2hu7i
    @user-dj2wk2hu7i 6 หลายเดือนก่อน

    Daah namimi naumwa nimepiga x ray naambiwa mifupa imekakamaa nifanye mazoez hivi nitakua sawaa

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 ปีที่แล้ว

    Asante Sana doctor... Umetuelewesha vizuri Sana. Mungu akubariki Sana

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 ปีที่แล้ว

    Asant sana doctor MUNGU AKULINDE

  • @LuciaMasalu
    @LuciaMasalu 8 หลายเดือนก่อน

    Hat mm napata maumiv sana

  • @user-om5ho5tx4x
    @user-om5ho5tx4x 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeambiwa disc aitibiki lakini Asante doctor Kwa elimu uliotoa matibabu disc Kwa ujumla yote yanafanyika apakwetu moi.

  • @melkiorimagesamh6449
    @melkiorimagesamh6449 หลายเดือนก่อน

    halooo, naitwa maria npo mwanza nina xhda ya uti wa mgongo, nina maswal mawil naomba kuuliza, kama uti wa mgongo umepinda ni zoezi gan la kufanya ili uti unyooke?, pili je mtu mwenye maumivu ya uti wa mgongo anaweza kubeba mimba?

  • @user-ef5qt8wr8i
    @user-ef5qt8wr8i 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

  • @aishajumbe7964
    @aishajumbe7964 ปีที่แล้ว

    naomba namba ya simu

  • @user-oy5wh1hh1e
    @user-oy5wh1hh1e 9 หลายเดือนก่อน +1

    Docter Mimi naumwa kiuno sana kinakuja mpk mgongo

  • @zaharamsuya3749
    @zaharamsuya3749 ปีที่แล้ว

    Dokta naomba no Nina mgonjwa wangu anaumwaa

  • @PaulJuma-rj7ux
    @PaulJuma-rj7ux ปีที่แล้ว

    Doctor mamba zako

  • @nahnaally6932
    @nahnaally6932 ปีที่แล้ว

    Mm nmefika hyo hatua ya ganzi kwenye miguu doctor

  • @riyamahassan821
    @riyamahassan821 7 หลายเดือนก่อน

    Dokta nomba namba zako

  • @aishajumbe7964
    @aishajumbe7964 ปีที่แล้ว

    doctor unaptikana wapi

  • @hildarajab2891
    @hildarajab2891 ปีที่แล้ว

    Mimi naumwa sana mgogo naomb tu nisaidie dkt,

    • @user-by7ie6yy5n
      @user-by7ie6yy5n ปีที่แล้ว

      Vipi ulipata tiba ya mgongo

    • @sebastianjameskapala3243
      @sebastianjameskapala3243 9 หลายเดือนก่อน

      Doctor me nasumbiliwa na mgongo nimepimwa nimeambiwa mgongo umenyooka hivyo nimepewa dawa natumia lakini bado unasumbua ? Nomba maraschino doctor nipate kuwasiliana

  • @marthakimari9560
    @marthakimari9560 หลายเดือนก่อน

    Pls doc your numbers

  • @hildarajab2891
    @hildarajab2891 ปีที่แล้ว +2

    Napia nikibeba tu mimba mgongo unauma mpka inatoka

    • @consolatashayo616
      @consolatashayo616 ปีที่แล้ว

      Habari Hilda, pole kwa tatizo hili... Ninakushauri ungetembelea Hospitali ya MOI, Clinic., ili vipimo kadhaa vya mgongo vifanyike kuona shida haswa iko wapi uweze kupata matibabu stahiki kwa shida hii...
      Kama unalipia cash,clinic ni Jumatano mchana au Ijumaa asubuhi... Kama unabima ya afya, Clinic zipo kila siku.

    • @hildarajab2891
      @hildarajab2891 ปีที่แล้ว

      @@consolatashayo616 asante sana kwasasa yenyewe naumwa sana laba ukikaa sawa nifanye kuja huko Dr au Arusha mna kituo chochote, na je sidano za mgongo huwa nisababu ya haya maumivu.

    • @godfreylukas6305
      @godfreylukas6305 ปีที่แล้ว

      Ninaumwa mgongo tokea2018 nilifanyiwa cityscan wakaniambia pingili imebend mwishoe walinipa dawa ya maumivu mpaka Leo bado maumivu yanazidi

    • @user-xb2qd6ik6d
      @user-xb2qd6ik6d 7 หลายเดือนก่อน

      Poleni sana ndugu zangu kwa changamoto mnazopitia

    • @user-xb2qd6ik6d
      @user-xb2qd6ik6d 7 หลายเดือนก่อน

      Nawashauri mzingatie hii elimu inayotolewa na wataalam wetu

  • @jackobjoel103
    @jackobjoel103 ปีที่แล้ว

    Nasumbuliwa na tatizo a kiuno lumber four na five nimehudhuria vipimo vya MRI na ninapewa dawa ya ligaba Mara nyingi tu na dawa za maumivu maumivu makali yamepungua nahudhuria mazoezi mwaka sasa bado sijapona naomba ushauri hakuna pingili iliyosagika kama kuna dawa itakayonisaidia naomba msaada kazi zangu ni mwl