MEDICOUNTER: Mafua ya mzio "allergy", chanzo chake na tiba yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Umeshawahi kukutana na mtu ana mafua yanayojirudia kila anapovuta hewa yenye harufu kali? Au hewa yenye vumbi?
    Mara nyingi watu wa aina hiyo huwa na mafua ya mzio au kwa Kiingereza, allergy.
    Mafua haya huwa mepesi na yasiyokwisha haraka na yanayojirudia mara kwa mara.
    Leo daktari bingwa wa pua na masikio kutoka hospitali ya Aga Khan, Christopher Mwansasu anauelezea ugonjwa huu na namna ya kukabiliana nao.
    Ungana na Dafrosa Prosper hadi mwisho wa kipindi.
    MEDICOUNTER ni kipindi kinachoangazia masuala ya afya na huruka kila Jumatatu saa 1:30 usiku ndani ya Azam TWO.

ความคิดเห็น • 105

  • @waziribahati2182
    @waziribahati2182 3 ปีที่แล้ว +7

    Jaman sisi wengine n wagonjwa sugu😭😭😭😭plz tupen no halisi ya dr tujue tunamfikiaje hapa nilipo koo lina hio midonda pua zinawasha zinakauka macho yanauma na hapa maskio yanauma hata mate cwez kumeza unayasikia maskioni yakigonga

  • @eustelachiwanga3470
    @eustelachiwanga3470 4 ปีที่แล้ว +5

    Nashukuru sana daktari kwa maelezo mazuri

  • @nadiabakari2589
    @nadiabakari2589 3 ปีที่แล้ว +6

    Ata koo na macho pia yanawasha sana

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 3 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว +4

    Docter mm naumwa na mafua hadi kero hadi nishakata tamaa naona yashanioa haya mafua jamani nisaidie docter

  • @latifamiraji272
    @latifamiraji272 5 ปีที่แล้ว +10

    Jmn mi hya mafua had nmekata tamaa...had mackio yanazba...daktar hyu anapatkn hospital gan jmn

    • @latifamiraji272
      @latifamiraji272 5 ปีที่แล้ว

      Tena mie imeanz tngu utotoni.

    • @marylunyungu9687
      @marylunyungu9687 ปีที่แล้ว

      Tafuta ndimu mbichi au limau ,chemsha maji ya uvugu vugu kamulia limao na kinywa ,mim imanisaidia saana

    • @yohanakephawapiliboy260
      @yohanakephawapiliboy260 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@marylunyungu9687 Unakamua vipi

    • @marylunyungu9687
      @marylunyungu9687 7 หลายเดือนก่อน

      @@yohanakephawapiliboy260 maji ya moto nunua ndim mbichi zipo kama limao ,ukikosa tumia hata limao ,.au chukua kitunguu swahum na tangawizi zisange alafu huwe unalamba

  • @badriabyekwaso8792
    @badriabyekwaso8792 5 ปีที่แล้ว +8

    Jmn Dr mie nshakuwa suguuuuu napataje contact

  • @neemaeppah2992
    @neemaeppah2992 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeelezea vzr sana,mm nasumbuliwa sana mpaka macho hutoka machozi yenyewe

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 3 ปีที่แล้ว +2

    Doctor Mimi nimeacha kunisa taomba msaada wako

  • @thureiyaally5232
    @thureiyaally5232 4 ปีที่แล้ว +4

    Ata koo linawasha

  • @arkammuslekh6582
    @arkammuslekh6582 4 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 9 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru.nasumburiwa.mafua.pua.zinaba.marakwamara

  • @nelsonwilliam7578
    @nelsonwilliam7578 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe tupo wengi mm nilishakata tamaa kesho nakuja hapo pengine naweza pata ufumbuxi wa tatizo lango

  • @ajirrywega7630
    @ajirrywega7630 ปีที่แล้ว

    🥰😘😘 lakin tiba hasa ya kukomesh Dr😔

  • @nadiabakari2589
    @nadiabakari2589 3 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji msaada wako Dr. Pleaseee

  • @rosemarymsabaha5856
    @rosemarymsabaha5856 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi Dr nikikutana na marashi yaani kichwa kinauma sana hadi natokwa machozi kwenye macho sana
    Nifanyej

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว +2

    Nitakupata wapi docter

  • @aishasaleh1448
    @aishasaleh1448 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani naomba no ya dokta

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว +4

    Naomba namba yako doctor

  • @mgangaevarist9760
    @mgangaevarist9760 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nAHANGAIKA MAFUA KIL siku

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 7 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kupumuzika hata siku moja yani natowa chapfa mala kwamala nawachwa kwemye masikio naumia yani najisikia nujikuna kwemye koromeo ndani habiwezekani

  • @ArodiaIsdory
    @ArodiaIsdory 4 หลายเดือนก่อน

    Nashikuru nimejifunza kitu, nitjitahid kuacha Vyakula sababishi

  • @BrightAntony-s8o
    @BrightAntony-s8o หลายเดือนก่อน

    Mimi nikimeka jamani yanatoka ya njano shida nn daktari

  • @mahmoudsaad4589
    @mahmoudsaad4589 ปีที่แล้ว +2

    Hi mim nahitaji hiy daw nitaipata wap

  • @poshmakeuptransformation1578
    @poshmakeuptransformation1578 3 ปีที่แล้ว +3

    Nisaidieni jamaniiiiiiiii

  • @hawamwambapa848
    @hawamwambapa848 2 ปีที่แล้ว

    Asantee doctor mim Nina mafua kwa mda wa miezi 6 ivi sipigi chafya mara kwa mara lakini mda mwingine pua zinaziba mda mwingine nakua vizuri tu shida kubwa sipati harufu ya vitu na sipati Radha ya chakula, apo cjui unanisaidiaje

    • @saudakarisa6963
      @saudakarisa6963 7 หลายเดือนก่อน

      Ukipata msaada nambie

    • @saudakarisa6963
      @saudakarisa6963 7 หลายเดือนก่อน

      Ukipata msaada nambie

    • @saudakarisa6963
      @saudakarisa6963 7 หลายเดือนก่อน

      Ukipata msaada nambie

    • @saudakarisa6963
      @saudakarisa6963 7 หลายเดือนก่อน

      Ukipata msaada nambie ❤

    • @FatuSaidijuma-yg4rk
      @FatuSaidijuma-yg4rk 5 หลายเดือนก่อน

      Ht mm ilo tatizo nnalo jmn 😢

  • @ednamsonde9032
    @ednamsonde9032 2 ปีที่แล้ว

    Anapatikana agakhan

  • @christonaogweno1671
    @christonaogweno1671 2 ปีที่แล้ว

    Hili ni tatizo kubwa Sana kwangu , ninasumbuliwa na mafua mwaka wa nane Sasa, toeno. Naomba ya Dr ili nipate msaada

    • @abdisingano
      @abdisingano ปีที่แล้ว

      Ni kama mimi kbisa yan

  • @HadijaYasini
    @HadijaYasini ปีที่แล้ว

    Jmn mm ni muanga nna miaka miwili sasa napiga chafya kama mvua nawashwa Koo na na pya adi kelo mafua ayakai mbali na mm nateseka asee tunaomba namab

  • @pendosimon1383
    @pendosimon1383 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mimi nimeenda hospital mala mbili ila mafua haya ishi kila siku ninakuwa namafua

  • @BernaldFedrick
    @BernaldFedrick 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimetimiza wiki tatu na siku Tano Sasa,,Bado hayajapona,,,,nikakaa tu kwenye vumbi tayari

  • @paulolmabu7161
    @paulolmabu7161 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba ya doctor kama inawezekana

    • @tumpemwaijande807
      @tumpemwaijande807 4 ปีที่แล้ว

      Umefanikiwa kupata kuwasiliana na doctor? Naomba msaada mimi mwenyewe ninatatizo hilo umetibiwaje?

  • @leahmwakalambile1648
    @leahmwakalambile1648 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona number walizo weka hapo sio za Doctor???masada naomba number ya Doctor maana nikipiga iyo inayoonekana hapo anasema sio yeye

  • @hawamwambapa848
    @hawamwambapa848 2 ปีที่แล้ว

    Doctor me sipati harufu ya vitu mafua Hadi kero

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba yako docter please

  • @peninamnyazikatana2107
    @peninamnyazikatana2107 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sahii nimemaliza miezi Tano nahii hali

  • @elizachare2408
    @elizachare2408 ปีที่แล้ว

    Mm mweli unawasha mala navimba mdomo mala mikono

  • @ramathanabdala8122
    @ramathanabdala8122 3 ปีที่แล้ว +2

    Naombeni ushauri jamani pua zangu zinatoa uvundo kama wa mzoga tatizo nini jaman

    • @neemaeppah2992
      @neemaeppah2992 3 ปีที่แล้ว

      Ulipata huduma au bado tatizo lipo?

    • @rukyomar1955
      @rukyomar1955 ปีที่แล้ว

      Ilinikuta hiii ni allerg ukila kinachokuzur kuna daw nltumia

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@rukyomar1955dawa gani

  • @poshmakeuptransformation1578
    @poshmakeuptransformation1578 3 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji namba ya huyo daktari

  • @paulolmabu7161
    @paulolmabu7161 4 ปีที่แล้ว +2

    Nateseka sana na hili tatizo jamani na nimefika hospital ya wilaya nikaambiwa hawana bipimo hivyo kiukweli nateseka sana

  • @ezzyboyofficial3643
    @ezzyboyofficial3643 2 ปีที่แล้ว +1

    me mafua yananitesa mno

  • @everlynemghoi2284
    @everlynemghoi2284 ปีที่แล้ว

    Nko na miaka na hii hali s

  • @jimmytalenty9239
    @jimmytalenty9239 7 หลายเดือนก่อน

    Ninawashwa macho sana na pua ina mafua hayaishiu

  • @lameckjeremiah5597
    @lameckjeremiah5597 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeeleweka

  • @peninamnyazikatana2107
    @peninamnyazikatana2107 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi hata naona nitakufiya huku saudia Arabia maana hili tatizo limikuwa sugu haki naomba unisaidiye plz

    • @تيتيتؤزؤزين
      @تيتيتؤزؤزين 3 ปีที่แล้ว

      Kama mimi lkn macho kuwasha pengn ni usingizi,,mimi nilipata dawa ya macho nikajiweka lkn hayo mafua hayeshi

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa mafundisho yako ira mimi ninamatatizo naomba munisaidie

  • @MpendaNgalegale
    @MpendaNgalegale 8 หลายเดือนก่อน

    Napataje mawasiliano yadoctr

  • @BernaldFedrick
    @BernaldFedrick 6 หลายเดือนก่อน

    Jamaa amelezea kama vile nimeshamwambia

  • @annaeusebi1426
    @annaeusebi1426 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani nina makamasi toka nmezaliwa mpk sasa hayaishi nmeenda hadi Muhimbili...nmetumia dawa za mitishamba lkn wap nishakata tamaa kabisaa

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu ugonjwa unanisumbua sana

  • @fridaassenga8835
    @fridaassenga8835 4 ปีที่แล้ว +2

    Namba tunaomba

  • @mrpeter4828
    @mrpeter4828 6 ปีที่แล้ว +4

    Naweza kupata contact ya doctor?

    • @agnesgeoffrey9998
      @agnesgeoffrey9998 5 ปีที่แล้ว

      Jamani naomba namba ya doctor, maana familia yangu yote tunasumbulia namafua hayo yakila siku nimesha tafuta tiba Hadi nimechoka,

    • @dafrosaprosper7165
      @dafrosaprosper7165 5 ปีที่แล้ว

      POLENI SANA KWA MAHITAJI YA MATIBABU YA M,ASIKIO NA KOO OANANA NA DR MFUKO KWA NO HII 0713 159133

    • @emmanuelmasalu7563
      @emmanuelmasalu7563 5 ปีที่แล้ว

      @@dafrosaprosper7165 asante da dafrosa

    • @rukiamsikai2823
      @rukiamsikai2823 5 ปีที่แล้ว

      Jamani tunaomba namba yake

    • @hossanashem5608
      @hossanashem5608 4 ปีที่แล้ว

      Doct nami ninashida hio naomba unisaidie

  • @ThureyaMbarak
    @ThureyaMbarak 8 หลายเดือนก่อน

    Mpaka nasema nimerogwa jamani mafuwa kila siku nimechoka😅

    • @RuhamMamy
      @RuhamMamy 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha imani potofu

  • @irenejames2261
    @irenejames2261 ปีที่แล้ว

    Ety mbn Kun doctor w pua alinambia Ety MTU mzim han nyam za pua

  • @hasnanassoro7142
    @hasnanassoro7142 ปีที่แล้ว

    Na kikohoz jmn,sijui aregy. Nao washikwa kikohoz?

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 7 หลายเดือนก่อน

    Munisaidie mimi nateseka

  • @lameckjeremiah5597
    @lameckjeremiah5597 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunataka utupatie namba zako

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 7 หลายเดือนก่อน

    Kunamuda nakuwa namadonda kwemye puwa

  • @ezekianywapi5850
    @ezekianywapi5850 ปีที่แล้ว

    aisee me mwezenu sija wahi pona kabisa yan pua ikiwasha tu mafua tayali yan sitakiwa kuweka kitu chochote kwenye pua nateseka sana na hata kwenye sikio kuna washa sana

  • @nadiabakari2589
    @nadiabakari2589 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani uyu dokta nimzuri sana wallahi mie ninamiaka miwili now sikio langu linalia lia tuuu na mafua kubana mpk nisisikie uzuri sometime

  • @husenially3546
    @husenially3546 ปีที่แล้ว

    Je ipo dawa ya kuondosha allegy

    • @Abla_habiba02
      @Abla_habiba02 ปีที่แล้ว

      Wao wanasema haina dawa ni kuweka miko tu sijui mtu ataweka miko mingap maana hapa nilipo hivi sasa ivi taaban kwa mafua na chafya mpaka nalegea saivi sina ninachokula kila kitu kinanizuru saivi kuna wakati nakula kidogo tu angalau nipate uhai lakini mwisho wake ni kuumia tu allergie yangu saiv ina miaka 5.

    • @Abla_habiba02
      @Abla_habiba02 ปีที่แล้ว

      Me hutumia sana cetrizin, Puriton na amoxllin hiyo piriton sili sana maana inanilaza balaa na dawa za kinyumbani hutumia pia. Kwa ufupi napambana tu kumuomba mungu.

  • @juniorhassan4311
    @juniorhassan4311 4 ปีที่แล้ว

    Jamanii mwanangu anamafua hayaishi...na uskivu wake umepungua

  • @josephinanasomi7789
    @josephinanasomi7789 4 ปีที่แล้ว

    Jamani nateseka mimi

    • @tumpemwaijande807
      @tumpemwaijande807 4 ปีที่แล้ว

      Pole wangu vp umepata suluhisho mimi mwenyewe ninashida hiyo nateseka sana km umefanikiwa tujuzane

    • @ramathanabdala8122
      @ramathanabdala8122 3 ปีที่แล้ว

      Sijapata nasubir dactar ajibu

    • @fematamedia
      @fematamedia ปีที่แล้ว

      jamani menaombeni tu namba yake maana mateso nayopata najua mwenyewe sio poa yaani

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani daktari nihivyo hivyo inavyoelezea mm ndoinavyonitokea km ulikuwepo au km uliniona vile dah nihatari yaani mm kila siku nnamafua sipimui hadi pua inafanya vidonda nisaidie docter

    • @amirikijangwa4195
      @amirikijangwa4195 4 ปีที่แล้ว

      Mm dalili zote hizo ninanazo mafua yananisumbua sana sana chafya napiga kila mda bua zinawasha, macho yanawasha pia koo linawasha doctor tusaidie tunateseka xana.

    • @tumpemwaijande807
      @tumpemwaijande807 4 ปีที่แล้ว

      @@amirikijangwa4195 vp ulishafanikiwa wangu mimi mwenyewe ninatatizo hilo napata shida miez sita sasa tujuzane mpendwa km umefanikiwa ili nami nitibiwe

    • @تيتيتؤزؤزين
      @تيتيتؤزؤزين 3 ปีที่แล้ว

      Nakwambia weee ni wengi

    • @HadijaYasini
      @HadijaYasini ปีที่แล้ว

      Mm ni muanga wa miaka miwili sasa Yani adi Leo imebidi nitafute uhu ugonjwa ndo nimekutana na aya maelezo