MEDICOUNTER: HATARI YA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ASIDI TUMBONI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2019
- Unajua kuwa unaweza kupata ugonjwa wa koo huku chanzo kikiwa ni asidi iliyopo tumboni?
Unakijua kiwango cha kawaida cha asidi kinachopaswa kuwepo tumboni?
Je, matumizi ya dawa za koo bila kujua kuwa chanzo cha ugonjwa kinaweza kuwa wingi wa asidi tumboni kuna madhara gani?
Ungana na Dafrosa Prosper ndani ya Medicounter akijadiliana na daktari bingwa wa magonjwa ya koo, sikio na pua, Goodlove Peter wa hospitali ya Mloganzila.
Asante Sana doctor nimekusikiliza kwa makini mi niko moshi.Nilikua na tatizo lakikohozi Cha mudamrefu nimetibiwa Ent nimepewa dawa Sana dawa zikiisha tatizolinajirudia nimemezeshwa kipimo kwenye Koo shida haikuonekana na maranyingi nakohowa usiku nilala mwiliukisha rest.Baadaenilikuja kupatwa na vidonda vya tumbo hadisasa nimefuata mashart ,nimetumiwa dawa nimemapata nafuu Kuna muda nacheua kitukichungu Sana.Shida kubwa ninayo ipata ninasikia vibaya mwlini Hadi kichwani hatakama siumwikokote mwili haurudi kawaida
Naomba ushauri wako doctor hii Hali imeniadhirj Sana.
This Doctor🙌🙌🙌🙌
Nimejifunza vizuri
Wapo vizuri sana kwenye maelezo ila tiba sasa😢!!? Nyie semeni tu ukweli huu ugonjwa hauna dawa ya moja kwa moja
Dr unaeleza vizuri sana hata namba tunaiona lakini nikipiga haipokelewi kila nikipiga inatumika Na tatizo hilo linanitesa naomba Msaada wako
Sasa tiba ya acid ni ipi
Up mziki unazidi sauti ya Doctor
Asante sana nimekuelewa sana mm nilikua ninayo iyo ila nilikula matunda sana ikapungua? Jeukila matunda kwasana Vp hapo
Asante Mimi tonses zimevimba Kwa ndan jaman dawa naweza kupata
In shaa Allah Huyu doctor nikirudi Tanzanian nitamtafuta maelezo yake mazuri Sana
Daktari bingwa ni bingwa tu , nimemuelewa vzr sana
Namba ulioitoa kila nikipiga majibu inatumika sasa Mimi niliomba kuhusu tatizo la acid Mimi ninalo Na kikohozi cha muda kipo natamani nikuone wewe mwenyewe
Yaani leo nimekutana na somo linalonisumbua🤔 xray nimepigwa za kutosha! Hivi karibuni nimeambiwa ninavidonda vya tumbo dawa natumia za vidonda vya tumbo lakini wapiii. Mwaka wa 2 sasa ni kukohoa tu😭😭😭 dr help me
Noted
Miito obrigado Azama tv
Doctor naomba nisaidie kwa hapa Arusha nitawapataje Hilo tatixo ni la muda mrefu nimeenda kila hospital wameshindwa
Asante sana kwa kazi inzuri. Number yako dactari. Mimi niko Kenya.
Maheka heka haya Mungu atusaidie tu sababu yy ndio mwenye spare za miili yetu. Mm hili tatizo limenitesaaa mno mara madaktari wengine waseme ni asidi mara wengine ni vidonda hata siwaelewagi Mungu tu asaidie
Vp ulipona
@@HalimajumaKhamis hivyo hivyo tu wakati mwingine vinasumbua wakati mwingine nipo sawa. Yaani hivyo ndg yangu
Mm ninashida iyooo nakupatajee
Tunaomba muwe mnatuondolea huo mziki madaktari wakiwa wanaongea
Dr.tunaomba no jamani tunaumwa
@@easherfaith6466 ulipata namba ya huyo doctor dia?
😂😂😂😂😂
Safi omeongea vzr sana doctor (Baba Chelsea
unamjua mbona simu haipatikan ana hospital yake tumfate
Tuambie basi tumfate wap
Dr mim nina shida na ww napataje namba zako?
Shukrani
Tibayake ninini?
Mnapatika wapi?
Dr. Tuandikie izo dawa tukanunue wengine tuko mbali
Namba.....
Godd
DOCTOR mbona hamutuwekei no ya ya wastApp sasa sisi ambao tuko mbali cm haingii paka wastApp ukinagalia number nyingj ni call zakawaida tufanyeje ss
Msiwe mnaweka miziki anapokuwa anaelezea dokta maana usikivu unaatofautiana Kati yetu
Naomba. Number za simu. Tafathali
Badilishen namba za simu Mnazo zitoa kwani ni zangu
Je acid ikiwa nyingi mwilini, inaweza kusababisha vichomi kwenye moyo na presha kupanda ?
Ndy mwaya nilipata hali kama hyo ila nikakaa sawa
@@lovederyare6756 ulitumia nn
@@annamartine9854 amoxxiline 4 na omeprazole 1 asubuh na jioni kwa cku 10..
@@annamartine9854 kama una vidonda vya tumbo lakin ndo unatumia dozy hiyo
Tunaomba no ya doct
Dr Nina tatizo Hilo na ni muda mrefu naomba namba yako tafadhal
Hiyo namba haipokelewi
Natatizo hilo
Naomba namba yako Dr
Doctor samahan Bibi yangu anasumbuliwa Sana na tatizo la tumbo kujaa gesi imesababisha Hadi koo imekuwa na vidonda na sasa hv anashindwa Kula kitu chochote je nifanye nini niweze kumsaidia aweze kupona
Bb amepona
rehema dickson kwel
Jamani naomba namba yako Dr please
Dokta naomba namba yako nikwelekeze kwa umakini Sana kuusu vidonda vyangu Mimi ya vimekisili
Dokta naomba namba nikwelekeze kwa umakini
Umeelezea vzr mnooo,lkn mbona cm hampokei jmn madaktari wanajua kuringa na fani zao.
Sas tuskiliza vinanda aw doctor vinanda vyann wakat sis tnaskikiza doctor vile anatuambia
Niko na hiyo shida kwa miyaka 16 nashindwa kupumua kila ifikapo usiku haswa naweza kuwapata wapi plz
Pole xana
Vp ulipona
Dr namba haipatikan, namm ninahili tatizo, naomba Nijue upo hospital gn
Hio namba sio ya Dakari ,ni namba MEDICAUNTA, ila ukiwacheki what's up anajibu
Mm naitwa anna nipo dar es salaam naumwa tumbo atari usiku silali nimepiga utrasaund mbili nimeambiwa ni vidonda vya tumbo pia aside nyingi dawa nimemaliza ila bado tumbo lina niuma sana naomba msaada
Umepata dawa
7
Naomba namba ya doktari tafadhali🙏
Jamani mnaporusha vipindi muhimu km hv mnatoa namba km huyu dkt wengi tunashida tunataka tumueleze matatizo yetu hatujui tutampataje namba mlio weka hapo haipatikani
Mimi koo langu linashida iv sicheuwi vzuli km vile limeziba ivi navyokula chakula maji y kunywa yawe jilani sijajua titzo nini nisaididie dr
Umepona mwenzang
Nataka namba zako
docta mimi nina tatizo hilo pia naomba no yako
Doctor naomba namba ya sim manake mie sipati amani kakiba kwa tatizo ili ninalo na pia niko huku zanzibar
Hello
Zuwena namoo . Habar ulishakwenda hospital kupimwa tatizo lko.
Dokta namshukuru na mimi kija a wangu anatatizo hilo upo dar sehemu gani
Namba dockt
Tunaomba namba yako dr, tunashukuru, ila hili ttz naona madr wengi hawalijui tiba yake.
POLE SANA NO YA DACTARI HII 0713 159133
Naomba namba tafadhali
Jamani jamani docta kwenye watu wakusaidia zaidi nimimi .yaani ukiniangalia ulimi utakimbia.sauti ilishabadilika meno yanaoza nimeshangoa meno matano .nikupate je jamani .Doctor watoto wangu ni wadogo sana
Ahsante dr tunaomba no yako ya simu
Ni miezi sita Sasa nahangaika bila mafanikio,nahisi kama kohozi kooni ,ukitoa halitoki,ukila nikama chakula kinakwama,na kupaliwa ovyo ovyo
Jaman tunaomba namba ya huyu Dr au tuelekezeni hospital aliyopo na jina lake pia
Hata ukipewa no.yake kuipokea Simi yako kaziipo
Nenda hospital ya MLOGANZILA ,sema nata kuona daktari speshalist wa Koo ,au kama unamtakq huyo anaitwa Doctor mfuko
Tumsikilize daktari au instrument
Tunna shids nying tusaidie
Doct mim Nina aliyakuwkama ninamabak kweny koo nitakuptje
Dr. Dawa yake ninini
Dokta naomba namba yako jamani me nadalilizote nisaidie mimi jamani
Sorry tunaomba namba za uy doc
Nisaidieni
Hongera sana Dr kwa kutuelimisha.
Mimi nina shida hiyo naombA niandikie da
Dr naww basi upoke simu watu wanamatatizo umeweka namba lakini upokei kaah😢
Mxiki wa nini tena jaman..tunataka kumsikilizs dokta sio kelele za mziki....
Huyu dr anapatikana kwa no ipi
Je vinaweza sababisha vidondo mdomoni
Tuna pataje namba za simu
Madoctor wengi awajui
Niko na hili tatizo miaka mingi sana naomba msaada.
Ulipona ww
Sasa ndugu yangu bibi yangu ana tubu kubwa dawangani
Venye unaelezea ndivyo nahisi,,,,nielezee niwapi nitakupata
Jena nikila mbonga mbonga kwa wingi Vp hapo
Doctor naomba namba yako tafadhali
Mimi pia nateseka Sana na hii shida,Aisee Dr.nakupataje?
Raymond budodi . Vip umeenda hospital kuchek
@@mahmoudsaleh230 MLOGANZILA mi nimeenda leo
@@halimamvungi1 vp umepata huduma?
Dr mi koo linanikauka sana na matonsi pia
Kama mm
Mimi piah
Huyu Dr yupo.mluganzila hosp nenda hapo muulizie😂😂 pole
Ezeboy
Huo mziki uatupotezea kumsikiliza vizur doctor
Dr tunaomba namba zako weng tuko na shida hiyo
POLE SANA NO YA DACTARI HII 0713 159133
POLE SANA NO YA DACTARI HII 0713 159133
Hii namba haipo hewani tunaomba namba nyingine
Daaa
Hogereni tunaomba huduma yenu kuwapata kukoje.
Huyu Dr.uhakika anchokielezea ni vitu vya kwel kabisa
Dr. Tusaidie namba tunaumwa yaani hadi 😭😭😭 nipo Oman
Unafanya kazi Oman sehem ngani
Mm kidg nafuu mana ilikuwa hatali wamenitowa mpk matonses vidonda vya tumbo shikamoo
Ukitumia dawa gani jamani
Tusaidiane
Tusaidie jamani na sisi
Docta naomba unisaidie niandikie dawa mipo mwanza
Mambo ulifanikiwa kumpata doctor ?
Tumia homa prozo
Loo! Nina miezi 8 kooni kama kuna kitu limekwama makohozi alafu hayatoki koo Kukauka mwili unaisha nguvu joint zinaregea
Matibabu yake ya ges sijayaelewa
Doctor iko kipimo huwa ni shingapi ukipiga cm hupokei
No iko wap sas
Mimi nilifanyiwa kipimo cha endoscopy niliambiwa ninamichubuko kwenye koo la chakula na njia ya chakula imesababishwa na asidi nyingi tumboni nikapewa dawa lakini hakuna mafanikio naomba msaada nateseka kwani mpk sasa meno yote yanauma na masikio yanaziba
Na mm pia nna hilo ttzo hata cjui nifanyeje
Ulifanyiwa wapi mm muhanga
@@neemaeppah2992 nilifanyiwa hospital ya ikonda
Pole sana
@@neemaeppah2992 vp wangu ulipata shuruhisho la tatizo lako my dear?
Doctor mm na sikia kitu ikipada na kuteremka.alafu kwa koo na sikia kama kitu imekwama kwa koo.naeza Tumia dawa gani niko mbali
Nicheck mamy
Mawasilano
Ulipata s
Dawa
@@sakinahamza5325 mambo
Habari doctor. Mimi ninalo Hilo tatizo na pia Niko Oman unaweza kunisaidiaje angalau nipate advice. Kwa kweli madoctor wengi hawayajuwi hayo.
Kabisa wengi hawaelewi ,wanaishia kutupa midawa tuuu mpaka nimechoka
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh VP ruqaya ulipata ushauri kuhusu acid unisaidie na mm please
Nishada
Nilikuwa naizo dalili zote nashukulu nimepona kabis asante doctar kwaelimu.
uliweza kutumia kitu gani tafadhali
Ulitumia nn jamani
Ulifanya nn mpka ukapona
Ulitumia dawa gani tusaidie plz tuna shida sana
@@tumpemwaijande807 ok inatakiwa kwanza uende hosp kwasababu shid zimetofautian,ili kuangalia ukubwa watatizo lako lipo kiasi gani ndi unapewa dawa kulingan natatizo lako.waone madoct kinywa na masiki na pua tatizo lako litakwisha.
Mimi nina hiyo shida ya acd inaninyima raha
Pole
Ni dawa zipi tunapasa kutumia
tunashukuru saana wengine tumehangaika mpaka basi
Mwenyewe hapa nimesumbuka daah itabidi nimfuate😭
Vp ulishatibiwa
Kaka ulitibiwa
Umepata tiba?