Hongera sana sana Joel Nanauka kwa mafundisho yako nimejifunza vitu vingi ambavyo nilikuwa sivijui na nimeyafanyia kazi mafundisho yako na nimeona mabadiliko makubwa katika maisha yangu
Kaka Asante .naomba unipe namba ya kujiunga na grop .nimegundua unaweza kunisaidia sana .tena nimepata tatizo la stress ninamwezi Sasa .unaweza kunisaidia sana .asante
Natamani kukua kimalifa na nikiwa mwanafunzi chuon ili niweze kutegeneza rasilimali watu naomba kujoin group lako ili nipate malifa zaidi na kuchukua hatua nakubadilisha maisha yangu nikiwa chuon
Hongera sana sana Joel Nanauka kwa mafundisho yako nimejifunza vitu vingi ambavyo nilikuwa sivijui na nimeyafanyia kazi mafundisho yako na nimeona mabadiliko makubwa katika maisha yangu
Kaka your the best, ninakukubali sana kwasababu unaamini katika mungu, matumaini yangu siku moja tutakutana na tutayajenga kaka, mungu akuongoze sana.
ni better kumsikiliza Joel siku nzima kuliko kuangalia umbea mtandaoni! ametumwa na mungu kufungua ufahamu wa watanzania!
Hakika @joel nanauka ❤❤❤
kweli kabisa ila wambea wakikusikia wataandamana
Sijachelewa bado 😂 na pokea like za life coach @joel nanauka 👍🏿
Kweli
We umefata like tu😢
Go where your celebrated and appreciated 👍
Unanipa madini mazuri sana tajili wangu mwenyez mungu akujalie
Mungu kakuleta duniani kwa ajili yetu,barikiwa sana.
Mungu akujalie sana kaka, wengine faraja yetu na mwalimu wetu ni wewe
Nimecheka sana broo, hujafungia kuku uuiiii
god blessing baada ya kukufatilia kaka kuna vitu nimejifunza na vimeniletea mabadiliko mungu akulinde sana kaka
Kimekuwa kipindi bora sana. Kuna mambo tunapaswa kiyafanya ili tufike mbali zaidi.
Ubarikiwe sana best
Nashukurru sana umenisaidiaa kupunguza pia msongo wa mawazo baadaa ya kuaanza kusikiliza mafundisho yako mungu akubarikii,,
Daaah,,, God bless you abundantly... you have changed my mindset completely!!!! Be blessed forever!
Ahsante brother Joel....Maarifa makubwa sana haya.
Mwalimu salaam, nahitaji sana kuwa mwanafunzi katika mafundisho yako, naomba msaada wa mawasiliano.
I like so much masomo yako,yana kuwa na mafundisho yaki nabii,nakupenda sana na mungu akubariki
Wow! Yan hili somo limechanganua kila mahali penye positive na negative 🙏🙏🙏 shukran sana lemme take notes nataka niwe najikumbusha daily
Nimekubali anachofundisha
Ubarikiwe Sana ndugu
King of life wisedom💪💪💪
Brother Joel ubarikiwe Mungu akuongeze,nimepata kitu kikubwa sana kwenye hili somo
Umeniongezea vitu kwenye maisha yangu
Ni kweli,Mimi ni mwaka tatu kumfuatilia na amenibadilisha Sana kitabia ,kiakili na kimwili.
Yeah 👍 Joel unaongea reality sanaa
Asante sana mungu azid kukufunulia maono makubwa zaid ili tupate elim zaid
Ahsante sana kakangu Joely Joely Mungu wambinguni na nchi akubarik sanaa 🙏🙏🙏
nakuelewa sasa kaka Joel napata faraja sana hata kama napitia kipindi fulani kigumu kwangu ila napata kitu ....thnx a lot
Mungu aendelee kukuongezea maarifa,uko vzr kaka🙏
faida kubwa sana .mungu akujaliye joel
Barikiwa namungu
Much appreciations kaka Joel, najifunza mengi sana kutoka kwako 🙏🙏
Kaka Joel najifunza kwa kweli be bless
Hongera sana na MUNGU aendelee kukutunza❤ naomba niunge kwenye group lako lolote Whatsapp
Kaka umeongea vitu vya maana sana. Ubarikiwe sana!!
The way you're explaining kwa kwseli hii ni ya daraja nyingine
Perfect my coach ❤
Kiukweli unajenga mnoo MUNGU AKUBARIKI MNOO
One man army 💪
Mimi nimekuelewa kaka mungu akubariki akuzidishie marifa usaide watu wengi
Mungu akubariki
Somo zuri Sana hili.ubarikiwe kaka joe
Congratulations sir,this is for another level.
I appreciate you..
@kenya
Asante kwa SoMo zuri kiongozi
Connection people/value
Financial value
Knowledge value
Wisdom value
Power of Authority
Reputation people.
Motivation people
Physical Presence
Eti umefungia kuku😁😁😁🤣🤣🤣umenikumbusha mbali sn kaka ang
Uko vizuri Sana
Mungu akubaliki sana
Kaka mungu akubariki
Kaka joeli hongera
Ahsante sana kwa maarifa
📌🔨
🙏🙏
God bless you brother
Asante Sana
nahitaj vitabu vyako navipataje hasa kitabu cha elimu ya fedha isyofundishwa shulen
Nakupenda kaka
Fact speech it always makes me to be invester
Da! Kwakwel Mungu akupe Maisha marefu ya Baraka tele maana wewe Ni Hazina kubwa kwa taifa letu
Kaka JOEL ni muda mrefu nakufuatilia kwa jinsi naweza kusema wewe ni mwalimu mkombozi wa fikra
Good work
Thanks more than that brother
See you at the top #JAN Financial, Physical, Mental and Social Wealth...Tunaongeza knowledge.💪✊
Ubarikiwe sana kaka
Big up 🎉🎉🎉
Asante Sana kiongozi.
😂😂 kumbe empty hongera sana mtumishi wa Mungu
How is everything Brother Joel,❤, naomba nijiunge group lako lolote hata Whatsapp.
Asante nimejifunza
Kaka joel unafundisha vizur..ila ukiwa unaongea kwa kingereza tafsiri kaka ili twende pamoja
Kaka Asante .naomba unipe namba ya kujiunga na grop .nimegundua unaweza kunisaidia sana .tena nimepata tatizo la stress ninamwezi Sasa .unaweza kunisaidia sana .asante
kaka hili group la kujoin lina utaratibu gan ..nataman sana niwemo kaka
Thank brother
Bro nashukuru sana kukufahamu nimekuwa na mwanga wa maisha
Jmn nataman namimi ningepata ili group la kujifunza jmn
Asate kaka joeli kwa elimu nzuli naomba uniunge kwenye gluop lako la watsap enesi wa mbeya mjini😊
AHSANTE
Aaaaah nikweli kabis
Nimechelewa kufika ila lakini sintachelewa kupata maarifa....
Kabisa. Better late than never
Hivi kitabu Cha timiza malengo yako,naweza kukipataje??
Thank you
Natamani kukua kimalifa na nikiwa mwanafunzi chuon ili niweze kutegeneza rasilimali watu naomba kujoin group lako ili nipate malifa zaidi na kuchukua hatua nakubadilisha maisha yangu nikiwa chuon
Nimecheka apo eti hujafungia kuku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wanajua uyu kavamia uyu
Naomba ku join group niongezee maarifa. Nitumie namba zipi kaka?
Big up bro
I need that group plz how can I get
Brother j naomba link ya group
Kaka naomba unisadiee link ya group
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bro naomba link ya group
KUMBE KUNA CONTACT NA NETWORK
ASANTE
Kaka naomba na mm link ya group
Naomba namba ya group kaka
kuku😂😂😂😂😊
😂😂😂😂😂Yeah 😂😂i know 😂😂
faida kubwa sana .mungu akujaliye joel
Eti umefungia kuku😁😁😁🤣🤣🤣umenikumbusha mbali sn kaka ang
Thanks brother
faida kubwa sana .mungu akujaliye joel