MAOMBI YA KURUDISHA VILIVYOIBIWA NA ADUI YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • #biblia #maombi #rudisha #okoa
    Isaya 42:22
    Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.
    Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
    Habakuki 2:14
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 207

  • @aminakesi3740
    @aminakesi3740 2 ปีที่แล้ว +10

    Virudishwe katika jina la yesu kristo , amen amen🙏

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @silviawillilo9652
    @silviawillilo9652 9 วันที่ผ่านมา

    Tunarudisha vya kwetu kwa jina la Yesu Kristo.Amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    I receive I receive I receive I receive I receive I receive

  • @JuliaMilanz-df5pr
    @JuliaMilanz-df5pr ปีที่แล้ว +1

    Yesu tukomboe

  • @CalistaShayo-sy7pg
    @CalistaShayo-sy7pg 13 วันที่ผ่านมา

    Amina napokea kwa jina la yesu

  • @cliffe1037
    @cliffe1037 ปีที่แล้ว +1

    nina imani zitarudi amen na ubarikiwe

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 warudishe kila walichokiiba kwangu kwajina la yesu christo wanazaret amen 🙏🙏🙏

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 2 หลายเดือนก่อน

    Amen narudisha vyote nilivyoibiwa na adui

  • @MaingwaInvestment
    @MaingwaInvestment หลายเดือนก่อน +1

    Narudisha nguvu,uweza na mamlaka,vipawa,karama na kiu yakumtumikia mungu nashauku kwaajili ya bwana mungu nitie nguvu kwajina layesu napokea kwaimani😢

  • @HanceKyomo
    @HanceKyomo 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mung afany miujiza waludishi vitu walivyo nibia amen

  • @NasraAthumani-mz9ln
    @NasraAthumani-mz9ln 9 หลายเดือนก่อน

    Amen narudisha kila kitu changu kwa jina la Yesu

  • @evansmahate
    @evansmahate ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe nasi

  • @MarieMakiwa-f9j
    @MarieMakiwa-f9j 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Yesu Kristo katika maisha ya nyu

  • @anarosenicodem5913
    @anarosenicodem5913 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @DiannaJumanne-de1kk
    @DiannaJumanne-de1kk 8 วันที่ผ่านมา

    Tunarudisha kwa jina la yesu🙏🙏🙏

  • @user-gh8rr6mj2x
    @user-gh8rr6mj2x 2 หลายเดือนก่อน

    Amen,Amen,,naregesha,Kwa,iman

  • @annahmukai7775
    @annahmukai7775 ปีที่แล้ว +1

    Amen kwa jina la yesu

    • @lameckmnanka9330
      @lameckmnanka9330 ปีที่แล้ว

      Namm nimo nahitaji vitu yvagu viliyoibiwa viludi ktk jinalayesu

  • @sethnyoka6362
    @sethnyoka6362 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi.neno lako taa yangu

  • @lidiamsumeno1815
    @lidiamsumeno1815 ปีที่แล้ว +1

    Viludishwe kwa jina la yesu aliye hai

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 2 หลายเดือนก่อน

    Mari zangu ziludi , utajili wangu uludi biashara yangu uludi , ndoa yangu uludi familia yangu uludi mtaj wangu uludi kwa jina la yesu

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 ปีที่แล้ว +3

    Kwa Jina La Yesu Mwenyezi Mungu Atu-fu guest

  • @user-zo8hx3bl5h
    @user-zo8hx3bl5h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kila kilichobebwa kwenye maisha yangu kuanzia nikiwa mdogo narudisha kwa jina la Yesu

  • @eunicekathambi1900
    @eunicekathambi1900 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏 in Jesus name

  • @wahidakisingo3588
    @wahidakisingo3588 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU wewe ndio UNAETENDA,,,kwa Jina la Yesu kristo Turejeshee kila kilichotekwa,,,kila kilichotekwa kila kituuuu ,,,TUREJESHEE Jehovah🙏

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 ปีที่แล้ว

    Nirudishiwe hela yangu yote iliyochukuliwa katika jina la YESU ameni

  • @anarosenicodem5913
    @anarosenicodem5913 ปีที่แล้ว

    Uchumi wetu kwa jina la Yesu pia ufahamu wa mwanangu

  • @JudithNafuna-b7g
    @JudithNafuna-b7g ปีที่แล้ว

    Narudisha kwa jina rayesu 🙏🙏🔥🔥🔥

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 6 หลายเดือนก่อน

    Mali na fedha zangu zirudi kwa jina la Yesu Kristo- amina

  • @stivohwawexh5709
    @stivohwawexh5709 10 หลายเดือนก่อน

    Amen jina la mungu lipewe sifa

  • @frankzagalino9687
    @frankzagalino9687 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa maelekezo Yako na maombi

  • @FridahFridahcent-qk8hw
    @FridahFridahcent-qk8hw ปีที่แล้ว

    Amen, vinarudishwa vyote kwa mamlaka ya JINA LA YESU

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa kunikomboa

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว +2

    Narudisha kila kilichoibiwa na adui narudisha uzazi watoto wangu kwa jina la Yesu
    Baraka zangu
    Magereza yote ya kiroho achia hatima yangu narudisha ktk jina la Yesu Ameni 🙏🙏🙏

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว +2

    Chochote arichochukua adui
    Narudisha kwa jina la Yesu
    Popote nilipofungwa iwe na ukoo wa Damas karimanzila huko kwenye ukoo wa magdarena Bruno natoka kwenye magereza ya kichawi ktk jina la Yesu kristor Ameni 🙏

  • @frankzagalino9687
    @frankzagalino9687 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen ninaota sana cm yangu imeibiwa

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen God bless you so much

  • @anjelinadayos4387
    @anjelinadayos4387 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba nirudishie kila changu ambacho adui ameiba katika jina la yesu

  • @damarisnthenya3121
    @damarisnthenya3121 วันที่ผ่านมา

    Naomba uregesho

  • @mkurugenzi5545
    @mkurugenzi5545 ปีที่แล้ว

    Narudisha Biashara zangu katika Jina la YESU,ndoa yangu nairudisha, afya yangu nairudisha katika Jina la YESU, nyota yangu nairudisha katika Jina la YESU, mafanikio yangu ya kiroho, kiuchumi, kiakili na kiufahamu nayarudisha katika Jina la YESU

  • @EmmaSekakai
    @EmmaSekakai 2 หลายเดือนก่อน

    Mafanikio yangu yarudishwe kwa jina la yesu

  • @suzzymussa89
    @suzzymussa89 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungaji kwa naombi mazuri hubaikiwe sana tumepokea

  • @sophiahalfani1870
    @sophiahalfani1870 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndoa yangu na Mari zangu zirudishwe kwa jina la yesu

  • @MnyabiGang
    @MnyabiGang 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU naomba niludishiwe vyote kwa jina LA yesu kristo

  • @NaZ1-o5k
    @NaZ1-o5k 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen in Jesus mighty name 🙏

  • @HanceKyomo
    @HanceKyomo 5 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @LydiaKomelilubunga-dq4fg
    @LydiaKomelilubunga-dq4fg ปีที่แล้ว

    Amen😭🤲

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x ปีที่แล้ว

    Mungu naomba anirudishie ambayo nilioibiwa

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina

  • @sally2014
    @sally2014 2 ปีที่แล้ว +3

    Chochote kile nilichopoteza au kunyanganywa virudishwe kwa jina la Yesu Kristo Amina Amina asante Yesu Kristo. Mungu akubariki zaidi Mtumishi wa Mungu kwa maombi

  • @Leilamichu
    @Leilamichu ปีที่แล้ว +1

    Vyangu vyote nakejesha kwa damu ya yesu

  • @blandinathomas4519
    @blandinathomas4519 ปีที่แล้ว +1

    Chochote kilichoibiwa au kutekwa kunarejeshwa kwa jina la yesu Kristu mwana wa Mungu aliye haii

  • @ChristianOmberto-kr8jz
    @ChristianOmberto-kr8jz ปีที่แล้ว +1

    Ila tunashukuru kwa maombi ambayo mumeendeleya kruombeya

  • @judithenock2640
    @judithenock2640 ปีที่แล้ว +1

    Ndoto za kujiona kwenye mapango na mapori na matope na kwenye makaburi na majeneza na mashimooo yanitapokeeeeeeee kwa radi ya Moto wa roho mtakatifuuu

  • @ChantalSebutiri
    @ChantalSebutiri 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwamaombi mungu akubariki🎉🎉

  • @WitnessMwinuka
    @WitnessMwinuka 6 หลายเดือนก่อน

    Uchumi wangu ulioibiwa kwenye ndoto ya Leo hii,pochi yangu iliyopotea kule msituni katika ulimwengu wa roho ,natamka kwa Mamlaka ya Jina la Yesu vikarudi vyooooote.Amen🙏

  • @augustinanemes1353
    @augustinanemes1353 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @ElineLema-v2b
    @ElineLema-v2b 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anisaidie vitu nyangu virudi

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 ปีที่แล้ว +1

    Amena mtumishi umekua msaada sana kwetu Yesu akutunze

  • @roselinewambura8264
    @roselinewambura8264 11 หลายเดือนก่อน

    Mahusiano yangu yarudishwe Kwa Jina la Yesu kristo na Kwa damu ya yesu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 11 หลายเดือนก่อน

    Naludisha kila kilichoibiwa na adui kwa jina la yesu

  • @evelynenduwimana-rt8it
    @evelynenduwimana-rt8it 4 หลายเดือนก่อน

    Vilivyo vyangu virudishwe katika jina la YESU CHRISTO wanazaleth

  • @j3st660
    @j3st660 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atuinue kwenye hii vita kwa damu ya yesu maria na joris tupone hawa maadui kupitia maombi haya tumepona kwa imani mungu tudaidie na kizazi chetu aminaaaa🙌🙌🙌👏

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen asante sana Mungu akubariki mtumishi na akuinue kiwango chengine cha juu

  • @mishikazungu8028
    @mishikazungu8028 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba kukanirudishia kilicho potea

  • @alexyzer5633
    @alexyzer5633 ปีที่แล้ว +1

    Amen nakupokea vitu vyote nilivyopoteza wafadhili Baraka na kibali cha kusafiri ikawe sehemu ya Maisha yangu katika Jina la yesu

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏🙏🙏🔥🔥

  • @annnjeri4121
    @annnjeri4121 5 หลายเดือนก่อน

    Ndoa yangu irundi in the name of the Farther the Son and the Holy spirit

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 ปีที่แล้ว +1

    Amen ♥️ 🙏 ♥️

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa mungu

  • @anastanciaomusula3738
    @anastanciaomusula3738 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina hujakosea unasema ukweli ni vingi ambavyo adui ametunyang'anya. Asante kwa maombi barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @janewaweru8210
    @janewaweru8210 ปีที่แล้ว +1

    Katika jina la Yesu Kristo Amen 🙏

  • @deborahmtweve8569
    @deborahmtweve8569 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🙏🙏🙏

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 ปีที่แล้ว +2

    Amen IJN 🙏🙏🙏

  • @nevaadelini2561
    @nevaadelini2561 ปีที่แล้ว +1

    Asante,Mungu,kwangu,najua,nilivyo,nyanganywa,na,madui zangu,vinarudishwa,kwa,jina,Yesu,kristo

  • @josetomasnyangu3021
    @josetomasnyangu3021 ปีที่แล้ว +1

    AMINA kila changu kilichoibiwa virudishwe leo kwa jina la Yesu

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Ameeeen

  • @carorubi3179
    @carorubi3179 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 Amen 🙏🙏 nafarjika sana nkisikia neno lamungu nashukru 🙏🙏 kwaku nibadilisha

  • @invisibletv633
    @invisibletv633 ปีที่แล้ว +1

    Nyota yangu na kipawa changu virudishe kwa jina la Yesu Kristo

  • @elizabethmgimba
    @elizabethmgimba ปีที่แล้ว +1

    Kill kilicho ibiwa kwenye maisha yangu naomba virudi na mipaka yote naing,oa mipaka yote ambayo imewekwa kwenye maisha yangu naniwe huru Alie niwekea mipaka asguse maisha yangu kilakitu changu

  • @harrietmukhemba7680
    @harrietmukhemba7680 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Asante mutumushi hakika ni nkweli ubarikiwe sana

  • @perisriziki2299
    @perisriziki2299 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana kwa maombi haya naamini nimefunguliwa kwa jina la yesu

  • @petybeny8260
    @petybeny8260 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina napokea

  • @queensamweli9398
    @queensamweli9398 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mchungaji Kwa maombi mazurii

  • @judithenock2640
    @judithenock2640 ปีที่แล้ว +1

    Vyote vilivyotekwa na adui chochote nilichoibiwa na adui virudi kwa jina la Yesu kristo biashara yangu nyota yangu Afya yangu rudiiiiii kwa damu ya Yesu

  • @christinasimtowe
    @christinasimtowe 3 หลายเดือนก่อน

    Ninaenda kurudisha vilivyo vyangu kwa jina la yesu kristu

  • @akilidaniellusingu2018
    @akilidaniellusingu2018 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikumbuke kwenye maombi ya kufunguliwa. Jina langu Danieli Imani Lusingu. UBARIKIWE

  • @puritykimeu4400
    @puritykimeu4400 6 หลายเดือนก่อน

    Nataka urejesho Kwa chochote changu kilikuwa n nzege siku ya Leo,Kwa kutumia damu ya yesu Kristo

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mtumishi AMEN 🙏🙏

  • @maryminja2013
    @maryminja2013 ปีที่แล้ว +1

    kilavifungo nilivyo fungwa vikatike katikajina layesu na rejesha uchumi wangu nanyota yangu navingine vilivo ibiwa kwajina layesu kritu

  • @anneakinyi4916
    @anneakinyi4916 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Yesu kwa ukombozi 🙏🏽walionifungia nami nimewafungia katika jina la Yesu....Amina

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 ปีที่แล้ว +1

    Amen maombi hayo yamenigusa kabisa , ubarikiwe

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym 4 หลายเดือนก่อน

    Amen, Ameeeen!
    Narudusha kila changu kilichoibiwa katika Jina la Yesu Kristo

  • @wallenmaulisa-me4ik
    @wallenmaulisa-me4ik ปีที่แล้ว +1

    Virudishwe vyote vilivyo ibiwa kwa jina la yesu kristo

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +1

    Katika jina la Yesu napokea