MAOMBI YA KUOMBA KIBALI / NYOTA, MAOMBI YA KUONDOA ROHO YA KUKATALIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 100

  • @lovenessmbatta3124
    @lovenessmbatta3124 4 หลายเดือนก่อน +3

    Napokea kibali Kila eneo kwenye biashara kwenye ndoa yangu kwenye familia yangu na kwenye jamii pia Kwa jina la YESU

    • @fatumasultan4315
      @fatumasultan4315 2 หลายเดือนก่อน

      Napokea kibali kaka atakapo simama mahakamani asikilizwe na kushinda kesi yake by mary dominick.

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 21 วันที่ผ่านมา

    Amen napokea kibari katika kazi yangu biashara na kibari cha kukbaliwa na bosi wangu niendelee kufanya kazi kwake

  • @ADESANDREA
    @ADESANDREA 4 วันที่ผ่านมา

    Ee Bwana naomba kibali changu kirudishwe Kwa jina la yesu aminaa

  • @joycesariki519
    @joycesariki519 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kibali changu kirudishwe katika jina la yesu

  • @NeemaRajabu-t9y
    @NeemaRajabu-t9y หลายเดือนก่อน

    Naitwa Neema nipo Omani kila ninachofany hakiend Eemungu naomba kibari juu ya mambo yangu yote ninayo Fanya Kwa jina la YESU Amen🙏🙏

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt 22 วันที่ผ่านมา

    Amen napokea kibali cha yesu ndani yangu

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 27 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu anilejeshee kibari kwa mume wangu martin tuweze kufunga ndoa

  • @japhetielias4320
    @japhetielias4320 หลายเดือนก่อน

    Kwa majina naitwa japhe elias Napokea kibali kwenye maisha yangu kibali kwenye afya yangu kwenye Elimu yangu kwa jina la yesu

  • @RachaelMnyaka
    @RachaelMnyaka 11 วันที่ผ่านมา

    Amen naomba katika jina la yesu

  • @dafrosaEdward
    @dafrosaEdward หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwenye Kila eneo la maisha yangu kwa jina la YESU

  • @doreenemmanuel9800
    @doreenemmanuel9800 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mtumishi wa Mungu naomba kibali kutoka kwa Mungu kila eneo la maisha Yangu biashara Yangu na kila eneo Mungu wangu.

    • @dorismatias5170
      @dorismatias5170 4 หลายเดือนก่อน

      Amina mtumishi munguakafungue nyumba zangu kwa Jina LA yesu

    • @dorismatias5170
      @dorismatias5170 4 หลายเดือนก่อน

      Amina mtumishi wamungu akabariki kazi za mikono yetu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Elisha athuma mfuru Niko mwanza naomba maobezi ya kibali Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @WafulaKhisa-ko2qn
    @WafulaKhisa-ko2qn 3 หลายเดือนก่อน

    Amen baba naomba Kabali ya ndoa

  • @gasperyuster8423
    @gasperyuster8423 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu mwenyezi nakuomba kibali mbele zako nami nikumbukwe kwenye ongezeko la Mshahara peeke yangu siwe bila wewe naomba kibali baba .

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema nimepokea kwa Jina la Yesu
    Ubarikiwe Sana

  • @user-mj3zp5ht3b
    @user-mj3zp5ht3b 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nisa hidi ye apo kwa ma ombi. yakibali. Mm ni Ann. lnga ni ko sa udia mm ni mukenya Amen,🙏🏻🙏🙏🏻

  • @fridamnyuki-bt2yu
    @fridamnyuki-bt2yu 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba kibali ktk kazi ulionihitia naomba kibali

  • @marthandomba6664
    @marthandomba6664 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana nana maombi haya yamemgusa mtoto wangu Thomas Menradi kwa jina la yesu

  • @user-of1jk8ov2t
    @user-of1jk8ov2t 4 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali Kwa Jina la Yesu🙏🙏

  • @MelisaJamesy-je6fw
    @MelisaJamesy-je6fw 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @TeresiaWabuko
    @TeresiaWabuko 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mtoto wangu ange akaitue kazi

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 8 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea kibali changu kwa jina la yesu napokea kila kilicho changu kwa maombi haya amen

  • @user-iy2fs7kr3u
    @user-iy2fs7kr3u 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu kubariki

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi na ubarikiwe mahali ulipo

  • @Angel-rx7pg
    @Angel-rx7pg 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anirejeshee kibali kwenye maisha yangu pia kibal cha ndoa Ramia awe mume wangu sahii

  • @YustaThomasNachilima
    @YustaThomasNachilima 4 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa sana mtumishi

  • @josephinamuganda1855
    @josephinamuganda1855 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Pastor Ndelwa, haya maombi yananigusa sana, Bwana Yesu asifiwe sana.🙏🙏🙏

    • @ADESANDREA
      @ADESANDREA 3 หลายเดือนก่อน

      Ameni napokea kibali Cha mafanikio yangu kwanzia Sasa mungu ni muweza yote🙏🙏🤫

  • @user-xu5jd8eh9x
    @user-xu5jd8eh9x 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi ssante owsmaombi

  • @user-ko1nb4sd8l
    @user-ko1nb4sd8l 8 วันที่ผ่านมา

    Amen and Amen 🙏 🙌

  • @eunicekimaro9646
    @eunicekimaro9646 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwa damu ya Yesu Kristu..

  • @BarekeTumaini
    @BarekeTumaini หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali katika safari yangu Mimi nafamilia yangu

  • @CHRISTINAJUMA-z8x
    @CHRISTINAJUMA-z8x หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali changu ee mungu nisaidie Naenda kupokea kibali changu

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali Kwa Kila ninachokifanya kikangae kazi biashara yangu ndoa yangu kazi ya watoto wangu. Shule mungu ukaonekane naomba wateja kwenye kazi yangu upendo nyota yangu ikangae

  • @catherinemagori595
    @catherinemagori595 4 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu baba naomba kibali nijenge.nipate biashara kubwa Kwa uwezi wa mungu

  • @AnnEmanuel-f8d
    @AnnEmanuel-f8d 6 วันที่ผ่านมา

    Sina aman roho aitak Kaz pia nawaza mme wangu tunagombana Kila siku nakimbia kwetu yangu nizae mtot nae mapenz yameisha akilala na mm kimoja alala mpka leo amesema ukweli kuwa aliziki na mm mpka anatoka inje mungu nisaidie

  • @LamlathAmdani
    @LamlathAmdani 3 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali chana biashara na kazi yangu ya opital na familia yangu na ndoa mungu napokea kibali kutoka kwako

  • @TullaGodwin
    @TullaGodwin 3 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea kibali cha mafanikio kuanzia sasa

  • @agathakatumba4228
    @agathakatumba4228 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi nimepokea kwa jina la yesu

  • @roseoscar1687
    @roseoscar1687 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali mungu nipatiwe visa ya kwenda denmark

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba maobezi ya kibali Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏

  • @loreamusanga7145
    @loreamusanga7145 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen and amen 💖💖💖💖💖

  • @kachiraeliya837
    @kachiraeliya837 3 หลายเดือนก่อน

    Leo naomba nipokee kibali cha kufaulu vizuri mitihani yangu niliyomaliza jana Tarehe 22/05/2024,,
    Napokea kibali kwa ndoa yangu,napokea kibali cha watoto wangu,,napokea kibali cha masomo yangu,,napokea kibali cha wazazi wangu,,napokea kibali cha kuaminika na walimu wangu,,napokea kibali cha nyota yangu,, napokea kibali cha biashara,,,napokea kibali cha kukubalika ktk jamii

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @UpendoEmanuel-cu5zu
    @UpendoEmanuel-cu5zu 4 หลายเดือนก่อน

    Nmepokea kwa damu ya yesu kristo

  • @FlavianaNgugo
    @FlavianaNgugo 5 หลายเดือนก่อน

    I receive in JESUS name

  • @jescaokido5580
    @jescaokido5580 9 หลายเดือนก่อน +1

    I receive

  • @neemamustafa
    @neemamustafa ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 7 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na maombi haya 🙏🙏

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @blaciachiunga8271
    @blaciachiunga8271 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali changukirejeshwe kwa jina la Yesu Kristo

  • @user-sf5dw3jr3g
    @user-sf5dw3jr3g 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwa jina last Yesu

  • @AsanteKubonya
    @AsanteKubonya 6 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏

  • @tausimwinuka
    @tausimwinuka 9 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru 🙏 sana

  • @user-gx2cs6yi5e
    @user-gx2cs6yi5e หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @jacklinembithe2951
    @jacklinembithe2951 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Amen

  • @brigittekitandala5486
    @brigittekitandala5486 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @davidson9684
    @davidson9684 ปีที่แล้ว

    Amen mungu akubariki

  • @mercylineAwino-p1t
    @mercylineAwino-p1t หลายเดือนก่อน

    I received it

  • @sylviamkanyikakenya624
    @sylviamkanyikakenya624 ปีที่แล้ว

    Amen asante Sana mtumishi Mungu akubariki,naamini Mungu anarudisha kila kilichoibiwa

  • @anastaciamwangangi1488
    @anastaciamwangangi1488 ปีที่แล้ว +1

    I receive in Jesus name Ameeen

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwa jina la yesu 🙏

  • @user-ey1bv7qt1h
    @user-ey1bv7qt1h 4 หลายเดือนก่อน

    AMEEEEN❤❤🎉🎉🎉❤❤

  • @rosenanjirawesonga2030
    @rosenanjirawesonga2030 ปีที่แล้ว

    Amen pastor

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 10 หลายเดือนก่อน

    Amina na AMINA kubwaa

  • @janetbarasa3984
    @janetbarasa3984 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @YustinaKapinga
    @YustinaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeshapokea. Kibali. Cha kuzidiwa na. Wateja kwenye. Biashara. Yangu

  • @ZulfaAlly-qu2nn
    @ZulfaAlly-qu2nn 5 วันที่ผ่านมา

    Nimepokea kibali na nyota yang

  • @HareneKipande
    @HareneKipande หลายเดือนก่อน

    Eee Munguwang nakuomba unisaidie nipate kibali naniwe nyota

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 9 หลายเดือนก่อน

    ameee napokea pesa zangu napokea kulipea maden yote

  • @AdelphinaMwiko-do8ne
    @AdelphinaMwiko-do8ne 9 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Adelphina mamba Kigali cha kazi

  • @MarthaGeoffrey
    @MarthaGeoffrey 10 หลายเดือนก่อน

    Maombezi ya kibari

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 6 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba kibali chandoa, kibali chakukubaliwa, kibali chabiashara.

  • @bethstanford9840
    @bethstanford9840 7 หลายเดือนก่อน

    Jana nimefatilia maombi acha Leo nimefunguliwa na nitaendelea had kieleweke

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali kwenye kaz na nyota yangu ingae

  • @user-kf4kb5kd6f
    @user-kf4kb5kd6f ปีที่แล้ว

    Ameen Napokea kibari cha mafanikio ya maisha yako

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 10 หลายเดือนก่อน

    I receive inJesus name

  • @claudinemuhimpundu7940
    @claudinemuhimpundu7940 ปีที่แล้ว

    Amennn

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 9 หลายเดือนก่อน

    napokea kulipwa pesa zangu

  • @MarthaGeoffrey
    @MarthaGeoffrey 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombi ya kukataa mambo ya majirani

  • @user-hr9xw8gc3d
    @user-hr9xw8gc3d 9 หลายเดือนก่อน

    Amiina

  • @HildaSonga
    @HildaSonga ปีที่แล้ว

    Salome

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali cha kupanda cheo kazini kwa damu yako ya thamani

  • @HildaSonga
    @HildaSonga ปีที่แล้ว

    😂Amina napokea

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe kibali kazin kwangu kwa wagen

  • @HildaSonga
    @HildaSonga ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pasts

  • @davidson9684
    @davidson9684 ปีที่แล้ว

    Amen mungu akubariki

  • @MariamJulius-lv9cs
    @MariamJulius-lv9cs 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @breakingnewstz8396
    @breakingnewstz8396 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @TeresiaWabuko
    @TeresiaWabuko 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @nonomarrina1437
    @nonomarrina1437 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-jg9se1cu5z
    @user-jg9se1cu5z ปีที่แล้ว

    Amen

  • @manuellanitanga3825
    @manuellanitanga3825 11 หลายเดือนก่อน

    Amen