Amina mpendws wangu ni mm kabisa watu wameharibu kazi na mahusiano yangu nipo nahangaika namshukuru mungu kunionyesha marduk zangu Naomba mungu anipe moyo wa subra na moyo wa uvumilivu
BWANA akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu, Amen. Ni kweli Innocent ,hatupo salama adui anatuwinda kila sekunde ,kila saa tusimame vizuri mno na kwa moyo wa dhati na huyu Mungu, tusiposimama na huyu Mungu ,tukamweka pembeni tumekwisha.ushuda wa hili Somo ninao. 🙏🙏
Eeh Mungu nisaidie kukaa uweponi mwako maana Kuna vitu vizuri, ninakopita ww wajua Imani yangu kwako ipo siku nitakuwa salama kutoka kwenye nguvu za Giza, naamini Nuru yang'aa gizani Wala Giza halikuiweza
Pastor praise God..Kuna swali tu naomba unisaidie sababu nimeota Mara mbili nikianika manguo Mara ya Tatu nikapata wengine wakiosha Manguo nisaidie inamaanisha..
Napokea nyota angu ilikua imeimbiwa nairudisha kwajina la yesu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen mungu atupiganiye
Amene
Ndiyo mungu atusadiye
Amina mtumishi,Nashukuru kwa maombi haya yamenifungua Sana
Bwana Mungu naomba niwaone na niwajue maadui zangu
Napata nguvu kila nikickiliza neno lko.Mungu wa mbingun akubalik sn
Aah munguangu yan nim umenisemea mungu nisaidie
Mungu pigana nae alie nizurumu pesa yangu
Amen hayo ndio nnayoyapitia naomba mungu anisaidie
🙏🙏🙏 Mungu ndo amekuleta kutufindisha uzima huu barikiwa sana
Niliona madui after this prayer 🙏 🙌
Amen mungu akuinue zaidi
Amen Amen and Amen
Napokea pesa zangu zilizopotea katika jina LA yesu kristo
Napokea mzee wangu Jose makao mwelu arudi kwa boma,,kupitia kwa hii maombi mtoto wangu Mathew fundi arudi nyumbani
Amin amin amin amin amin 🙏🙏
Amen uniyombeye nikomalendaniyakrisito
Mungu pambana na adui zangu
Eee. YESU pigana nao wanao pigana nami
Maadui zangu washindwe in Jesus name
Amen, mtumishi
mwenyezi mungu ampe mke wangu mapacha👏👏👏👏
Pigana na adul zangu kwajina la yesu🔥🔥🔥🔥
Amina mpendws wangu ni mm kabisa watu wameharibu kazi na mahusiano yangu nipo nahangaika namshukuru mungu kunionyesha marduk zangu Naomba mungu anipe moyo wa subra na moyo wa uvumilivu
Mwenyezi Mungu Akuzidishie ujuzi Wakutufundisha Hayo yako Kwangu
Amen🙏
Pastor hayo ndio nayopitia maishan mwangu
Mungu nisaidie sana
Kila jambo linaharibika
Ee Yesu nisaidie sana
Ameni 🙏
Asante Yesu kwa hili somo...barikiwa pastor ukweli tunajiuza na hatujui...twaomba neema Mungu wetu. Amen Amen Lord Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Njia zote zinazopitisha magonjwa kwenye ulimwengu wa roho njia zote naziba kwa Jina la Yesu vikao vinavyofanyika zidi yangu vivunjike
Amen in jesus name
Amina mtumishi
Mungu atusaidie kujua siri za Mungu 🙏🙏🙏
Amen papamunguakubariki amen
Amen Mtumishi Barikiwa Sana
amen
Asante sana mtumishi wa mungu ... thanks God
BWANA akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu, Amen. Ni kweli Innocent ,hatupo salama adui anatuwinda kila sekunde ,kila saa tusimame vizuri mno na kwa moyo wa dhati na huyu Mungu, tusiposimama na huyu Mungu ,tukamweka pembeni tumekwisha.ushuda wa hili Somo ninao. 🙏🙏
Amen❤
Ameeeen🎉🎉🎉🎉
Ameeni nikweli mtumishi
Amén 😭😭😭😭😭😭😭naumia kwao sababu ni kama ni mm nimekua naongelewa mungu rengesha mausiano yangu in Jesus name amen 🙏🙏🙏
Navunja njia za adui katika maisha yangu Kwa damu ya yesu Mimi ni mtu mpya siyo yule wa zamn tena
Najiona ni mimi kabisa Ee mungu naomba unisaidie 🙏
Ee Mungu naomba unisaidie kwenye hiki kipindi kigumu ninachokipitia
😢😢nimefikwa kuzungukwa mambo yangu
Glória deus amém
I loveeeee your spritual teachinggg be blesssed man of God
Eeh Mungu nisaidie kukaa uweponi mwako maana Kuna vitu vizuri, ninakopita ww wajua Imani yangu kwako ipo siku nitakuwa salama kutoka kwenye nguvu za Giza, naamini Nuru yang'aa gizani Wala Giza halikuiweza
Oii pasta waombee watoto wangu
Mtumishi niombee changamoto katika mahusiano
Mungu anisaidie
Mungu simama nami pamoja na familia yangu 🙏🙏
Niukweli Mungu atusaidie 🙏🙏🙏🙏
Amen mungu usimame nami
Asante mtumishi wa mungu hata mm nijiuliza maisha yangu jinsi inavyioendelea
❤❤amen
Nimekuelewa sana pastor
Ameen God is good ❤💯🙏🙏🙏
YESU.sifiwe.nakufataga.sana.nina.furahia.unisaidie.namawombi.kwa.juu.saa.moya.nrarabira.kuwomba.nashikwa.na.usingizi.munisayidie.kuniombeya
Asante
Amina sana nashukulu kwa mafundisho
Nakuelewa
Ameen
Pastor praise God..Kuna swali tu naomba unisaidie sababu nimeota Mara mbili nikianika manguo Mara ya Tatu nikapata wengine wakiosha Manguo nisaidie inamaanisha..
Napokea afya yangu
Amen amen thank you JESUS 🙏🙏nifundishe kunyamaza YESU wangu
Ubarikiwe xana utokapo na uingiapo pastor
Amen amen.nina Ramani sana kuwatambua Kwa Jina la yesu.mungu afungue macho YA Rohoni Na masikio YA Rohoni ili n weze kuwaona Na kwatambuwa.
Amen barikiwa kw ajili y kutundisha neno laMungu❤🎉
Baba mume. wangu ananitesa analala nje anakunywa pombe nakulala huko
You are part of my blessing
Glory to God
amen. asante yesu sifa kwa yesu.
asante sna mtumishi wa mungu.
Amen Mtumishi unayo zungumza ndo ninayo pitia uniombee Mtumishi 🙏🙏🙏
Ameen ameeen kabsa mtumishi wa MUNGU utunze na MUNGU❤❤🙏🙏🙏🙏
Amen Amen Pastor 🙏🙏
Katika jina la yesu naharibu nguvu za kichawi kwajina la yesu christo🔥🔥🔥🔥🔥
Nakata mnyororo unaopokea matatizo kwenye familia yangu
Ndiyo nikweli
Amen Mtumishi wa Mungu🙏
Baba pigana nao wanao pigana mimi
Amen 🙌🙌
Be blessed,the man of GOD
Amen god is good 🙏🙏
Emeeeen
It's true man of God
AMEN 🙏🙏
Amen,Lord🙏🙏♥️
Ameeeeeen
Ameen ameeen
🙏🙏
Baba Mbona ni mm sijawahi kufurahi katika mausino mateso kujiludia naitwa Catherine Gabone
Hi pole wewe ni dada angu Mimi naitwa Etropia Gabone wa karagwe
Nikweli mtumshi hata Mimi tatizo langu linajirudia
Amen ameeen 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🧎♂️🧎♂️🧎♂️
Anastanzia luvanga natakanifunguliwe nammi matatizo lakuachwa nakiuchumi nifunguliw
Baba pia mm napia pagum kila nikipata mchumba hatutimiz malengo naomba uniombee naitwa estr.
Bwana Mungu naomba niwaone na niwajue maadui zangu
Eee. YESU pigana nao wanao pigana nami
Amen
Amina mtumishi
Amen 🙌🙏🙏🙏🙏