MAOMBI YA KUHARIBU MIPAKA YA ADUI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
- Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Asante Yesu Amen glory to God
Amen
Ameen ameen🙏🙏🙏
Napenda Sana maombi na kufunga
Amen amen 🙏
Ameni baba mchungaji Mungu akubariki
Amen ,Asante sana
Ameee barikiwa baba 🙏🙏🙏
Amen ❤
Ameeen mtumishii
Mungu wangu nifungue katika manzikila makumu ya kifamilia
mungu awe nasi kila maali tuendapo amina
Amin
Ameni 🙏
Nikweli Sana Sana mtumishi wamngu o my God , God bless you mtumishi ameen ameen 🙏🙏 nimeguswa Sana Sana mtumishi
Ameen Ameen bwana yesu akubarik🙏🏻
Aaaamen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Am
ubarikiwe mtumishi
amen
Amen mtew mwenye hamsaidiani no need ya kuwa na yy
Ameen
AMEEN🙏🙏
Napokea Mume Pesa smen
Mtumishi nyumbani kwetu washina 4 bila Nadia,nashukuru mungu kwajili siri Bibilia kutoka jana na futilia
Ameen Ameen Ameen 🙏....ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
Amina mungu akubaliki Sana
Aminaaa
Amen Asante sana mungu akubariki
Amen ni mebalikiwa mtumishi wa Mungu
Mtumishi in mm nsomba niombee kwa mungu
Ameeeeen🙏🙏🙏🙏 YESU Kristo akutunze pia mtumishi wa Mungu 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏amina mtumishi wa mungu
Amen 🙏🙌 amen 💖
Amen mtumishi
Ubalikiwe mtumishi wa mungu naamini Kila vilivyo zuia masomo yangu, ndoa, biashara yangu leo yanakwenda kuachia kwa damu ya yesu kristo wa Nazareth Alie hai
Ameen Nangoa mipaka yote aliyeniekea adui
Mmmmmm jaman naomba msaada kwa mungu
Amen be blessed man of God🙏🙏
Asante Sana kwa.maneno mazuri hakika maamuzi ya maisha yangu ninayo Mimi, jamani Mimi natamani kufunga Ila Niko uarabuni joto.ni Kali na natakiwa nifanye kazi sijui nifanyeje
Mungu anaona nia yako, kwa nia mtu hukubaliwa
Amen 🙏🙌 amen ✊
Ameeen Mungu akutunze mtumishi
Ubarikiwe sana
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙌🙌🙏👍✊🙏✍️
Ameni
Ee Mungu mwaka huu nikumbuke na mimi🙏🙏
Asante mungu, mtumishi najiungamanisha ktk madhabahu ya Siri za biblia ktk jina la yesu kristo
Amina naomba uniodoree hofu ninaya
Sylvia oooh yesu😭n mm baba nguvu za Giza zanizuiya sana mungu nisaidie ziwe bila wewe bwana🙏
V mashauri mungu akutumie mwenye kusikia asikie
Munguu wa mbinguni tusaidie adui asije akatumezaaa......
Thanks. God
Mimi naona kama ni wakati umefika nikujue ewe Mungu,🙏 ,na Ile maombi nimeomba saana na sipati jibu Mungu naomba unikumbuke
Asante sana mtumishi
Amen ☺️😋😊
Yes tutajenga nyumba na tutaishi🙏be blessed the man of God 🙏
Ameeeeeeeen napokeya jina la yesu kristo
Ameen napokea nyota yngu kung'aa kwa jina Yesu christo
Amina nainuka sasa mungu ndie faraja yangu
Asante mtumishi wa Mungu kwa kunijenga kiimani
amen
Amen jina la Bwana libarikiwe
Amen asante sana mtumishi wa mungu
Ameeen
Katika Jina LA yesu Kristo Amina
Ameen🙏
Amen amen 🙏 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana na Mungu muchungaji utukufu wake Mungu ukawe juu yako
Nikweli.mtumishi.mm.najitahd
Sana.nafanya.kazi.lakini.hera.
Inaisha.sion.matokeo.najiungamanisha.nahayo.maombi.naamini.ntafunguliwa.ubalikiwe.....aminaaaa
Basi ni mufananishe na nini ao na nani Mungu muumba. Anastaili. Amen, Amen.. ubarikiwe shuja wa Mungu
Tuko pamoja
MUNGU uni funguwe katika vifungo vyote ikiwa vya jamaa....wala vya maadui 🙏 Roho mutakatifu wa MUNGU uni ongoze siku zote.
Mimi ni Jean Louis KAMALA KIHWERE Niko dereva kwenye Musala Mwekundu..wa DRC🇨🇩
Amina unaongeza maisha yangu
Napokea mtu sahihi kwenye maisha yangu Ameni 🙏
Me am happy because of this pray
Mungu naomba Mume mwema naiman ntampata kwako Nipe mtu sahihi ambae amebeba hatima yangu katika jina la Yesu
Ameni asante kwa neno lenye nguvu
Ubarikiwe mtumushi wa Mungu
Hallelujah barikiwa sana mtumishi wa Bwana hakika iko faida kwenye mazabahu hii ya Siri za biblia
AMEN 🙏 🙏
Ameni amenii 🙏🙏 mungu azid kukutumia unafugua ufahamu wangu pakubwa .... asante mungu
Ameeeen!
Nisaidie mtumishi Nyota yaku imefungwa
Amin Amin amina
Ameen ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu.
Amina tuko pamoja, powerful gospel
Amen 🙏🏻🙏🏻
Amen IJN 🙏🙏🙏
Napokeaaaaa
Amina.🙏
Yesu nisaidie nivuke walipo nizuia nisienderee miaka mingi
Mungu wangu nifungue vyatosha
Amina,Mungu anisaidie anipe nguvu yakupunguza ubizi nawatu
kweli mtumishi niombee
Naomba wanangu wafunguliwe,wanadhulumiwa,wanaonewa.kweli Mungu amlete aliyekusudiwa kwetu
Bwana nakuomba ukaimarishe mahusiano yangu nikapate kufikia ndoa takatifu
A powerful msg we appreciate, ameen
Nkweli kufanya kazi na hatuoni mafanikio eeeeh mungu tusadie
Akwajina la YeSu najiungamanisha Namadhabahuin Hapa
Iyo ujumbe ni yangu kapisa
mchongaji kama unaniona mimi mtumish
Natoka kwenye mipaka yote ya adui niliyowekewa
Mm nikona shinda ya kazi na ndoa