''BAADA YA MZEE KIKWETE KUINGIA KURA ZETU ZILIANZA KUPOROMOKA, CHAMA KILIPATA MSUKOSUKO'' BASHIRU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2020

ความคิดเห็น • 62

  • @user-gm6un2ie5l
    @user-gm6un2ie5l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Anayetizama hiii 2024 like yako tafadhal

  • @bakuzasimon6193
    @bakuzasimon6193 ปีที่แล้ว +1

    Ukifanya vizuri unakumbukwa hongera Dr Bashiru

  • @manuelhealth100channel7
    @manuelhealth100channel7 4 ปีที่แล้ว +4

    Bashiru umenena iliyokweli na ni kweli kabisa kwa sasa watu tuna matumaini na viongozi wa serikari

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว +1

    Msema ukweli siku zote hua anamaadui wengi Sana mungu akutangulie jembe la magufuri

  • @kassembotz1421
    @kassembotz1421 3 ปีที่แล้ว +2

    Huo ndo ukweli!!!!!!
    Huo ndo ukweli
    Huo ndo ukweli
    Huo ndo ukweli
    Huo ndo ukweli
    JPM pumzika kwa amini
    💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @pastorycharles1253
    @pastorycharles1253 4 หลายเดือนก่อน

    Dr Bashiru Ally kakurwa akili kubwa sana

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 4 ปีที่แล้ว +2

    Bila kusema hivi chama hakiendi lazima watanzania waambiwe ukwel kuwa majangili walikuwa wengi mno ccm na magu ndo kidume uyu mzee na karibu wak bashiru

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 ปีที่แล้ว

    Wewe ni muumini wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Hayati Magufuli hutapendwa na baadhi ya Wanasiasa kutokana na ucha Mungu wako. Jemadari na Shujaa usiyeogopa kusema ukweli Mungu Akubariki.

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Allah Kareem

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwer katbu umeongea kwer ccm mrikuwa mnazingua Sana sima kwasasa mnajielewa mnaleta maendeleo ya kwer pongezi zake rais wangu jpm mungu akurinde na wa sio penda maendeleo ya tz

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli utabaki kileleni siku zote awamu ya 234 ni za mifisadi na familia zao ila hii awamu yatano5 inatuonyesha live jinsi Tanzania yetu ilivyokuwa inachezewa na kufisadiwa mchana na usiku mwaka hadi mwaka watoto akina mama wajawazito wengi walifariki kutokana na unyama na uzandiki tena waliokuwa wanafanya hivyo ni watumishi waliokuwa serikalini

    • @fredybuha2872
      @fredybuha2872 4 ปีที่แล้ว

      Huuu unafiki kitu kibaya Sana ivi huyu ndio Dk kweli Tanzania wasomu hewa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Acha umbumbumbu wewe!!!

  • @stevencherdiel9522
    @stevencherdiel9522 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni kweli tulipoteza kabisa matumaini.

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 4 ปีที่แล้ว

    Bashiru Ally Kakurwa Dr.(PHD) 100%

  • @dhulkfryshaffih2371
    @dhulkfryshaffih2371 2 ปีที่แล้ว

    Vep kwa Sasa mzee wangu Hali ikoje

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmm haya maneno mmmm

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 8 หลายเดือนก่อน

    Na sasa ivi sasaivi akuna kula ccm ila kuna mabavu watu tulivyo na ali mbaya bado tuchague ccm tumewachoka

  • @yasinhemed2498
    @yasinhemed2498 4 ปีที่แล้ว +3

    kila serikali iliyopita ilikua na mazuri yake na makosa yake toka awamu ya kwanza hata hii baada ya kumaliza itaonekana hivyohivyo

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndio mana kikwete jana akakushukia, hahaha

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 8 หลายเดือนก่อน

    Ndivyo itakavyokuwa 2025 wanainchi hatuipendi ccm mifumko ya bei kra mfanya biashara anapandisha bei atakavyo serikal inaangaria tuu tumerudi kure kure

  • @laulianmeneja2079
    @laulianmeneja2079 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo kikwete hanamaana na mkapa

  • @allysudi2986
    @allysudi2986 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapa naona ccm mbili kutokea maana haya maneno ya Dr bashiru sio kipindi chake

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 ปีที่แล้ว

    Wameshasahauuu

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mabadiliko kumbe ni MAGUFULI na siyo umoja wa ccm manake watu ni wale wale Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaongeaga kwa fact ..kweli wewe mwalimu tena msomi

  • @ghbussiness8750
    @ghbussiness8750 4 ปีที่แล้ว +3

    Sioh yakuongea public

    • @zikirination6769
      @zikirination6769 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaongelewa chumban sio

    • @abduliddy7432
      @abduliddy7432 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna cha matumaini, maisha yamekuwa magumu sana na sijui kwa nin tuwaoga watu wanafanya mambo wanavyo taka wao. Halafu unasema tuna matumaini hii sio kweli kabisa.............

    • @namlessnamless1207
      @namlessnamless1207 4 ปีที่แล้ว

      @@abduliddy7432 Fanya kazi acha mayowe !

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 3 ปีที่แล้ว +1

    JPM WE MISS YOU

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 ปีที่แล้ว

    Sadakta

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Dr, umechemka ,,,,"eti wakati kikwete anaingia kura zetu zikaanza kuporomoka" kauli hii sikweli, ukweli ni kwamba kikwete alishinda kwa zaidi ya asilimia 80 kwa muhula wa kwanza, lkn muhula wa pili ndio ndio zilishuka!!! Asipotoshe!!!!

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว +1

      Awamu ya kwanza ya kikwete alipokea kwa mzee Mkapa, kw hiyo hiyo 80% ni kazi mkapa.

    • @user-fp9ye4vv3y
      @user-fp9ye4vv3y 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@josephlorri431Umemjibu vizuri

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 ปีที่แล้ว

    Pumbavu sana Huyu, Sasa Kikwete alipata 60% za Halali. Ninyi Si Mnapora hiyo ni asilimia 0%

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 4 ปีที่แล้ว +2

      SASA WEWE SI CHADEMA, MAMBO YA CCM YANAKUHUSU NINI?? FISADI LOWASSA MUMEMLAMBA MATAKO NA KAWAKIMBIA !!

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 2 ปีที่แล้ว

      Yes it's true kikwete alipata za halali lkn marehemu mpk nyingine ziliwekwa kwenye mifuko

  • @michaelngaliga1802
    @michaelngaliga1802 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni hisia za watu kazjuaje na wakat kasema mwenyewe matumain hayapimikii??😁😁😁

  • @dastanmjema2815
    @dastanmjema2815 4 ปีที่แล้ว

    Hivi mara kikwete aamue kuingia na magufuli 2020 labda panaweza pakatupa picha gano?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Weeeee Jk anatisha wewe!! yule jamaa ni Master of politics,,,,anashinda mchana kweupe!!!

  • @malindaramadhani9271
    @malindaramadhani9271 3 ปีที่แล้ว

    Heeeeeh ndio nini

  • @shukurunzenzule5963
    @shukurunzenzule5963 4 ปีที่แล้ว

    hata saahizi ni yaleyale watu wanaogopa intelejencia inamaana wewe hujuwi hilo umebaki kujipendekeza kalagabao

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +1

    na waandika makaratasi kwa makatibu wilayani nao wachunguze wafukuze pia madreva wachunguze wafkuze wananikera ccm oyeee

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi tumerudi kule kule

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว

    Vipi wewe ulipowafyeka wabunge 70 wa CCM na kuwapigia simu kwa kuwatisha?

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 4 ปีที่แล้ว

    Hata sasa ndio imekuwa mbaya zaidi. Lamda mtumie nguvu ya polis. Ila kama mtatumia alali hataona majimbo mengi sana.

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว

    katibu wewe hujagundua bado tatizo waratibu wa mabolozi wilayani wabovu wafukuze wananikera

  • @mainguburemo6186
    @mainguburemo6186 ปีที่แล้ว

    Tumerudi huko huko tulikotoka

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 4 ปีที่แล้ว

    Swadakta mkuu
    Matumaini ya wanyonge yanaonekana

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 4 ปีที่แล้ว

    Hv sasahv Tiba ni bure?

  • @jozeytv8357
    @jozeytv8357 4 ปีที่แล้ว +3

    We ulijuaje vya ccm akati ulikuwa CUF

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania na CCM ya sasa inaongozwa na watu siriaz. hawatabasamu maana ukimchekea kima utavuna mabua. Hawa ndio wanaotakiwa. namfahamu Dk. Bashiru alikuwa tutor wangu somo la DS pale UDSM. Siriaz hivi hivi. Kaza buti baba kima bado wengi nchi hii

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Bashiru hapo umeongopa , itakumbukwa kikwete mwaka 2005 alichaguliwa kwa zaidi ya 80%

    • @user-fp9ye4vv3y
      @user-fp9ye4vv3y 8 หลายเดือนก่อน

      Unajua kwa nini kasema 2010?
      Kura za 2005 za kikwete ni matokeo ya kazi ya mkapa na kura za 2010 ndio ya kikwete,kura za 2015 za Jpm ni matokeo ya kazi ya kikwete na kura za 2020 za Jpm ni matokeo ya kazi yake.

  • @gockoomzawa3389
    @gockoomzawa3389 4 ปีที่แล้ว +1

    siasa mchezo mchafu ....

  • @leonardsebunga7187
    @leonardsebunga7187 7 หลายเดือนก่อน

    Mwl aliwahi kusema chama legelege huzaa serikali regerege,inafaa kujitafakari kwa sasa.

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 4 ปีที่แล้ว

    Wekeni uchaguz huru muone hahahahaha

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 4 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli kabisa