'TUMEANZA KUOGOPA KUSEMA UKWELI'-Dk. BASHIRU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 221

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว +15

    Umeongea points tupu tena za ukweli. Uko vizuri baba. Mungu awe pamoja nawe baba

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe toka kitambo, keep it up Dr. Bashiru, MTANGULIZE MUNGU MBELE.

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 ปีที่แล้ว +20

    Tuna Imani na wewe bashiru piga kazi mwamba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 ปีที่แล้ว

      Mbn hukusema mulipoharibu Uchaguzi 2020 kuteka watu kupiga watu risasi kutupwa watu katika vipolo Bahraini kunyanganya watu pesa zao kwa nguvu Mnafiki mkubwa Kazi choyo unadhani kua Wewe ndio uliostahiki kua Raisi ht bado Utaadhirika tu

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +13

    Nimeamini kuwa kweli huyu ni Daktari wa Elimu PhD. Big up Father.

  • @salehemapesa8934
    @salehemapesa8934 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupe maisha marefuuuuu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante san asante san kiyongoz wetu kwa mafundisho yako yazuri kwa taifa retu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe na atazidi kuimarisha afya yako

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว +2

    Maneno ya zahabu hutuyasikii sasa niugalagajatu munguakupe maishamalefu bashilu

  • @ccmzanzibar
    @ccmzanzibar 6 ปีที่แล้ว +13

    Safi katibu mkuu wetu sema ukweli na usiishie hapo tuendelee mbele tutabadilika tu

  • @jacksonpetem5798
    @jacksonpetem5798 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu akubariki kwa kusema,Ukweli.wengine wanaogopa kusema,ukweli .wakihofia kupoteza.ugali

  • @victorjoseph115
    @victorjoseph115 6 ปีที่แล้ว +12

    hakika,tunahitaji viongoz wasio na hofu katika kueleza wajibu wa serikali na sio kupotosha wananchi : upo vizuri katibu chapa kazi

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Mzee wetu bashiru ally kakurwa nimekulewa sanaa

  • @jumanassor5913
    @jumanassor5913 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana magufuli wa pli

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 6 ปีที่แล้ว +6

    Fact Dr. Bashiru

  • @GMShifo
    @GMShifo 6 ปีที่แล้ว +10

    This guy his amazing

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +6

    Sauti Ya Nyerere pure 😢😢😢

  • @doriskanyenda3978
    @doriskanyenda3978 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba huyu hapa Sasa 🔥🔥🔥

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +6

    Kumbuka anae ongea ni mtu mwenye PhD holder 👏👏👏👏👏🙏🙏😃😃😄

  • @expert5898
    @expert5898 ปีที่แล้ว +3

    Nilidhani ni ya kipindi hiki! Ningeshangaa Millard Ayo kuipost

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 ปีที่แล้ว

    Umeongea vzr sana mchangiaji hongera

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +4

    Point Mkuu wangu

  • @isayasangija8587
    @isayasangija8587 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu sana Tena yenye ushindi baba

  • @georgemwapela1654
    @georgemwapela1654 ปีที่แล้ว +1

    Tulianza kuogopa kusema ukweli tangu Awamu ya nne.Its true"You Can't Cut the Hands which feeds you"Tutaendelea kuona mengi sana,Maana hata Wasomi tuliowategemea huko nyuma kwamba ndio wa kutuonesha NJIA,wamekuwa wapotoshaji wakubwa...Mungu Ibariki Tanzania.

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 ปีที่แล้ว +1

    Hapa alionekana Anasema sawa juzi kasema kaonekana Mbaya

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว +2

    Ila dunia haitaki watu kama ninyi siku hizi

  • @edwinmwita9800
    @edwinmwita9800 6 ปีที่แล้ว +7

    Unafaa saaaana dr bashiru

  • @jumamsalaba9277
    @jumamsalaba9277 ปีที่แล้ว +1

    Good nice

  • @vladiminlenin8883
    @vladiminlenin8883 ปีที่แล้ว +1

    Msema kweli ni mpenzi was mungu

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana katibu wangu nyumbu tatizo vichwa maji hawaelewi a wala be

    • @josephmazuma8332
      @josephmazuma8332 6 ปีที่แล้ว

      Sio kweli na kusheerekea baada ya ushindi wa chama fulani sisi yetu macho tu mtuurumie nasi tukatafute mkate wa kila cku yatosha nchi tawaleni tu by Mtzee

  • @maulidally6804
    @maulidally6804 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana bashiru maana unaongea ukweli na uhalisia ungegombea 2025 mkuu

  • @jumanassor5913
    @jumanassor5913 ปีที่แล้ว +4

    Unanifanya niwe na Imani na ww bashiru

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kijana wetu msomi wa kweli, walaji wa Inchi watanzania wanajitia kukutukana, usitishike sisi tunakupenda wewe.

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 ปีที่แล้ว +2

    Asante ukweli unaongea daima

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 ปีที่แล้ว +1

    Mh bongo bhana

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 ปีที่แล้ว +2

    Namwona Bashiri kuwa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,2025

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +8

    Tuko pamoja na wewe mzee

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 6 ปีที่แล้ว +14

    Unafaa kuwa katibu mkuu

  • @emmanuellawrence2434
    @emmanuellawrence2434 ปีที่แล้ว +1

    Hii chuma ikija kugombea urais kura yangu ipo...

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 ปีที่แล้ว +1

    Sema baba nchi imekuwa shamba la Bibi tunaongozwa na familia moja

  • @ayangaotacho2057
    @ayangaotacho2057 6 ปีที่แล้ว +16

    Dk Bashiru we ni mkweli na unaeleweka kwa wa tz wachache ,Bali usikate tamaa endelea adi mwisho

    • @BedroomTvKe
      @BedroomTvKe 6 ปีที่แล้ว

      Kasema kweli kabisa tena bila kuwaogopa

    • @adrophwilliam3225
      @adrophwilliam3225 ปีที่แล้ว

      @@BedroomTvKe Mwambie aseme tena hivohivo tuona kama jeuri anayo

  • @maikovineventscompany1180
    @maikovineventscompany1180 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe utaishi milele

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 ปีที่แล้ว

    Kama unamkulali Bashiru kubwa Raisi wa Tanzania naombeni like zenu tafadhali

  • @frankmalema5350
    @frankmalema5350 ปีที่แล้ว

    Uko vyema sana kiongozi kama ingekuwa unapewa tu kwa kweli tungekupa

  • @fackazizi2170
    @fackazizi2170 ปีที่แล้ว

    Watu kama hawa vichwaa hawatakiwi kusema kweli bashiru uniquee

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 ปีที่แล้ว

    Bashiru uko sawa lakini Hayo ungeyasema ndani ya CCM yenyewe kwanza mkajadiliane ,mkosoane,mtumbuane ndani ya chama ndipo uje kwa waandishi wa habari na hadharani kwa wananchi, saris have chama ndani ya chama,siyo ukichambue na kukisoa 'hadharani'. Hapo hujafanya kazi Bali kukivuruga.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye Dr. Bashiru

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mwenyez MUNGU aenderee kukuongoza vyema katimbu mkuu

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 6 ปีที่แล้ว +15

    kumbe Tanzania tuna vjana wenye akili hvii jmn..?? tuwatumie kwa kwel

  • @daudjileka3643
    @daudjileka3643 ปีที่แล้ว +1

    Ongea watumbue

  • @kaizachief4912
    @kaizachief4912 ปีที่แล้ว

    Kumbeh tuna wasomi wazur2 Sema uhoga umetuzid.

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 ปีที่แล้ว

    Sema baba sema usiogope vibaraka semaaaaa

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzoni ulikuwa wapi usiegemee upande ule unajambo lako

  • @saidikagisa9782
    @saidikagisa9782 ปีที่แล้ว +1

    I salute you bashiru

    • @simbasaid1337
      @simbasaid1337 ปีที่แล้ว

      Mbona watu waliokufa ulikuwa kimya

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja bashiru

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 ปีที่แล้ว

    Akili kubwaaaaaaaa congrats

  • @festoobadia7364
    @festoobadia7364 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana mkubwa nipo na wewe don't bother no matter what Elim yako inawatoa jasho

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว +4

    Yah ni kweli tupu.

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 ปีที่แล้ว

    Ur a doctor

  • @veromichael779
    @veromichael779 ปีที่แล้ว

    Bashiruuu oyeeee

  • @aminbakari5443
    @aminbakari5443 ปีที่แล้ว +1

    Tupatie hotuba zaidi za bashiru ili tujikumbushe bashiru halisi ni nani. Ukizipanga hutuba zake za kabla hajawa kiongozi katika chana na wakati akiwa kiongizi na sasa ili tujue je bashiru ni yuleyule au anabadilika kulingana na majira?

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 6 ปีที่แล้ว

    Uko sawa sn
    Ila tupeni katiba Mpya na wasakeni wasiojulikana

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว

    A rebirth of Mwl Julius K Nyerere..

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 ปีที่แล้ว

    Piga kazi Dr

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtendaji mzuri

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว

    I see Julius Nyerere in him.. Ama kweli Dr John Magufuli alikuwa na maono

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว +1

    kumbe uyu jamaaa mZalendo kwee ndo likua na maneno aya

  • @wandibaitonge8832
    @wandibaitonge8832 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 ปีที่แล้ว

    Unaakilisanaa

  • @tugesyegemwakatumbula8125
    @tugesyegemwakatumbula8125 6 ปีที่แล้ว +1

    sawaaa

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 ปีที่แล้ว

    huyu Bashiru mm ndonamtambua ndio Karibu MKUU haowengine siwajui mm

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba huyu hapa

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Mwendo huohuo BABA ,kaza buti .Safi sana

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 ปีที่แล้ว

    Waone hii clipu ya 4years

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว

    Rais wetu mtalajiwa

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 6 ปีที่แล้ว +2

    Semaaa katibuuu waelewesheee waelewee

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 6 ปีที่แล้ว

    Ccm ya magufuli
    Ni the best of Africa ni Tasisi imara

  • @bonawalewale9921
    @bonawalewale9921 ปีที่แล้ว

    Have you been walking the talk really? Better repent for real, but anyway thanks for patriotic accountability message.

  • @jumamwingi6993
    @jumamwingi6993 6 ปีที่แล้ว +4

    Kama nakuelewa hivi ila endelea kunishawishi ili nipige kura 2020 nikifika lakini

    • @BedroomTvKe
      @BedroomTvKe 6 ปีที่แล้ว

      Huyu ndo msema kweli tena bila kuwagopa

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว +1

    Jiwe walilolikataa waashi

  • @wolinet1
    @wolinet1 ปีที่แล้ว

    ETI ANA KOSOA KIPINDI HIKI , KUMBE KITAMBO NI MWANA HARAKATI TUKO PAMOJA Dr.

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 6 ปีที่แล้ว +10

    Usipingane na ukweli kwamba kuna hofu huu ni ukweli, wewe kama unasema hakuna hofu ni wewe mwenyewe sio wote bwana mkubwa kwani penye ukweli uongo hujitenga

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 ปีที่แล้ว

    👍👍

  • @stephanomchenya6344
    @stephanomchenya6344 6 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa

  • @hassanmakamba7166
    @hassanmakamba7166 6 ปีที่แล้ว +1

    political is like debate bse no one agree what other do, so that is how problem start bt if we come together and build our nation without consider if this is leader is Chadema,CCM or Chauma....

  • @iddymbogowogo7317
    @iddymbogowogo7317 ปีที่แล้ว

    Tunakuitaji sana 2025

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 ปีที่แล้ว +1

    Waisome namba hao. Hatuogopi wengine tumekuwa sugu. Tuna siku moja tu, ya kufa!! Polisi wafanye kazi bila upendeleo.

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtu anatufaa

  • @loshipangoipa5810
    @loshipangoipa5810 ปีที่แล้ว

    👏👏🏼👏🏼👏🏼👏👏👏

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa. Doctor Bashiru wewe ni Putin wa Tanzania semaukweli kama MH. Magufuli

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 ปีที่แล้ว

    Ana Jambo lake Udaktari upo ndani yake ,,hii ndo elimu halisi.

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 ปีที่แล้ว

    Congratulations 👏👏👏👏👏

  • @frankmpinga3295
    @frankmpinga3295 6 ปีที่แล้ว

    Safi Bashiru

  • @yusuphpaulwaryoba8316
    @yusuphpaulwaryoba8316 ปีที่แล้ว

    Bakia kua mkweli ndugu yangu

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 ปีที่แล้ว

    Nini conclusion sasa ?

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 ปีที่แล้ว

    Pumbavu tu huyu angalia Anavyoongea Utadhani Nchi ni Mali yake. Jina kama JIWE

  • @eliudambokile1081
    @eliudambokile1081 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @sylvestermjunijr8033
    @sylvestermjunijr8033 6 ปีที่แล้ว +1

    2namtaka #MO Dewj...
    #BRING BACK OUR MO...

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว +1

      Sylvester MjuniJr ninauhakika baba yako humjui umekuwa kwa malezi ya mama yako,na mama yako yawezekana ni shangingi wa mtaa,katibu mkuu wa chama anamambo yake ya kufanya wewe unaleta mambo ya Mo msenge wewe

    • @sylvestermjunijr8033
      @sylvestermjunijr8033 6 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanmirambo5671 axant kwakun2kana ndug...
      Ila mie ckuwa na maana ya kumkaxhfu katbu we2, LA haxha..
      Ila nlkuwa namaana ka wapo wabaya ktk 2kio LA utekwaj kwa #MO bac wawajbxhwe haraka na hapatkane..

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 6 ปีที่แล้ว +8

    Manyumbu watakuelewatu. Wanajifanya wagumu kuelewa. Wataufyata tu.

    • @BedroomTvKe
      @BedroomTvKe 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @BedroomTvKe
      @BedroomTvKe 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @barakambamba3376
    @barakambamba3376 ปีที่แล้ว

    Hivyo ndivyo mlivyotuogopesha na mwendazake

    • @hamisimussa5238
      @hamisimussa5238 ปีที่แล้ว

      Umekosa point kunya kalale nchi ishakiwa mavi

  • @cosmas2740
    @cosmas2740 ปีที่แล้ว

    Ukisema ukweli jiandae kikwelikeli.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Ulisema ukweli wakati ule sasa wanakuhukumu nini wakati huu kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi soma katiba ya ccm