MZEE MAKAMBA AMVAA BASHIRU / AMWAGIA SIFA SAMIA, AMTAJA MAGUFULI "Walimuita BULLDOZA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • MZEE MAKAMBA AMVAA BASHIRU / AMWAGIA SIFA SAMIA, AMTAJA MAGUFULI "Walimuita BULLDOZA"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 510

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 ปีที่แล้ว +21

    Anaeona huyo mzee amezeeka vibaya , weka like hapa,

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว +12

    We mzee acha kujipendekeza kwa ajili ya uteuzi wa familia yako! Usitusemee watz acha watz wenyewe waseme! 😭😭😭😭Ungejua moyo unavotuuma kwa kuondolewa Magufuli kimagumashi Mungu anakuona kenge ww!

    • @fulgencemark7640
      @fulgencemark7640 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mzee aliwahi kusema Magufuli ni sawasawa na Yohana mbatizaji na atatubatiza kwa moto Anayetumia moto dhidi ya watu wa mungu ni ibilisi tu Nukta. Leo mzee wetu amesema Ccm ni zawadi tuliyopewa na mungu.Hivi nyakati zile anadukuliwa hiyo mungu alikuwalikizo?Mzee wetu asisahahu kuwa nchi hii ni yetu sote na hati miliki yake wanayo wananchi wake na kamwe sio chama cha siasa k.m CDM,CUF ,UDP n k.hapana vyama vitakuja na kuondoka lini ni swala LA wakati tu ,kwani wakoloni walikuwa wanatupaka mafuta LA hasha,walitufanya walivyofanya kwa zaidi ya miaka 500.Tuombeane her I na tujiamini kwamba hakuna mtanzania nambari moja na mbili.wote sisi ni ndugu na tuko sawa na Tanzania ni yetu site hamna mwenye xaidi ya hapo tofsuti na kipsto ambacho hakijawshi kilinganisho cha utu tangia kuumbwa kwa dunia hii.Na hlil linakubalika kwa mungu wetu nfio sababu sada/zaka jazina daraja kwake kwamba aliyetoa milioni ni zaidi ya aliyetoa mia moja kutokana kipato chake.

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +14

    Mama Samia Anawafaa matajiri na watu nyie kikundi cha watu 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭🤝🤝🤝

    • @happinesskaaya5913
      @happinesskaaya5913 ปีที่แล้ว

      Ajiria wapi mnaongea tu.

    • @aproniadotto2521
      @aproniadotto2521 ปีที่แล้ว

      Kuna tatizo ya domokrasia mufanye maboresho pia rushwa inatembea sana

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +16

    Mama Samia mambo ya hayati Magufuli yote ameyaharibu

  • @ramahmdoe2660
    @ramahmdoe2660 ปีที่แล้ว +8

    nyinyi wanafiki sana mumetulia jpm mulaaniwe

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 ปีที่แล้ว

      Acha ndg yangu tupambanie family zetu Hawa jamaa cyo wtu vo

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 ปีที่แล้ว +6

    MZEE OVYO.
    CC TUTAAMUA 2025. WATZ TUMEICHOKA CCM

  • @meryandrew6902
    @meryandrew6902 ปีที่แล้ว +9

    Anakufaa ww

  • @kelvinmboya5846
    @kelvinmboya5846 ปีที่แล้ว +8

    Mzee nilikuwa namkubali lkn sio mkweli

  • @jacksongabriel4693
    @jacksongabriel4693 ปีที่แล้ว +7

    We mzee zeka sarama. Sio kusifia vyauongoo

  • @chemelemakoye621
    @chemelemakoye621 ปีที่แล้ว +2

    uyu mzee hana jipya pia wanajisumbua tu sababu siku zote cha ovyo ni ovyo tu ata mkisifie vip.

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 ปีที่แล้ว +6

    "Mama Samia Ni Raisi bora kwa sababu kamrudishia uwaziri mwanangu January "Yusuph Makamba

  • @renatusmatungwa2508
    @renatusmatungwa2508 ปีที่แล้ว +7

    Kweli nimeamini sio kila mzee ana busara wala akili

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 ปีที่แล้ว +5

    Anawafaa ninyi kwa vile amewarudisha watoto wenu kwenye system ,na amewaachia ulaji sasa hivi

  • @sadickkinye2449
    @sadickkinye2449 ปีที่แล้ว +14

    Njaaa inakusumbua we mzee

  • @salama1113
    @salama1113 ปีที่แล้ว +8

    R. I. P. Jpm

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 ปีที่แล้ว +8

    Sema SAMIA amewafaa MAFISADI

  • @idimbezi8379
    @idimbezi8379 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee anakula bure msimsikilize wametuibia sana huyu mzee hafai watanzania hawawez muelewa huyu mZee anakula bure abapenda sifa ni zawad yako wewe mzee kwakua unakula bure

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 ปีที่แล้ว +5

    We mzee acha ujinga kama unamtaka ni ww sisi hatumtaki hata bure 😂

  • @OmanOman-bl1ij
    @OmanOman-bl1ij ปีที่แล้ว +6

    Haoo ndio wachawi walio bakia nchi hii

    • @rashidmontana480
      @rashidmontana480 ปีที่แล้ว

      Umenifurahisha sana kk amin hawa ndo wanga wenyewe

  • @nickkakumbi9567
    @nickkakumbi9567 ปีที่แล้ว +4

    Makamba fala kabisa wewe..nani amekwambia kwamba Samia anatufaa!?..

  • @OmmyDigha
    @OmmyDigha 10 หลายเดือนก่อน +2

    Msambaa tu ww usitumie maandiko ya Allah kwnye ujinga

  • @sengengemangae3698
    @sengengemangae3698 ปีที่แล้ว +5

    Wapumbavu wako wengi sana nchi hii

  • @reganuisso1256
    @reganuisso1256 ปีที่แล้ว +5

    Kwendraaaàaaa..

  • @sabbob574
    @sabbob574 ปีที่แล้ว +4

    Mzee anakula Asali sasa.

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 ปีที่แล้ว +4

    We mzee acha unafiki njaa zitakuuwa

  • @yusuphrevocatus8555
    @yusuphrevocatus8555 ปีที่แล้ว +4

    Muwe mnahoji watu wenye akili timamu siyo wazee akiri mgando

  • @yangaebiasal3237
    @yangaebiasal3237 ปีที่แล้ว +3

    Kwakwer tumbo duuh mtu mzima unawatoto wapo serikalin lkn bado unachumia tumbo kwer miaka 80

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว +4

    Nizawadi yako siyo sisi Tena chukua mtu wako mjiga wewe mzee

  • @eliawilson1314
    @eliawilson1314 ปีที่แล้ว +4

    Kwa sababu mwanao wazili

  • @johnmangaga4949
    @johnmangaga4949 ปีที่แล้ว +4

    Kina sera nzuri kweli LAKINI Kwa Sasa kinanuka rushwa!; Wewe mzee teteeni ulaji wenu TU!;

  • @maryfonga2200
    @maryfonga2200 ปีที่แล้ว +3

    Chefuuuuuuuuuuu, unamsifia kwakuwa mnagawana asali huku wananchi Hali ya maisha ni duni

  • @emanhokilinda326
    @emanhokilinda326 ปีที่แล้ว +5

    Hayo ni maneno ya walamba asali😂😂😂

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 ปีที่แล้ว +3

    Mzee tunataka mapinduz ya kiuchumii atutaki political propaganda...tumekwama na chama chenu kime tukwamishaa

  • @faisalhassam3721
    @faisalhassam3721 ปีที่แล้ว +3

    Mzee mimi binafsi sikukubali mpaka ardhi inageuka.

  • @sengengemangae3698
    @sengengemangae3698 ปีที่แล้ว +4

    Mzee acha kuona watu hawana akili hujaenda shule peke yako

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri ปีที่แล้ว +4

    Mzee umeshiba huna lolote😅

  • @patrickmfundiri8669
    @patrickmfundiri8669 ปีที่แล้ว +3

    Tuweke sawa unaongee sana wanaosema mama kaupiga mwingi bashiru kasema ndio wanao iba huku wanamsifia mama ni kama machawa kelele nyingi sasa wewe mzee unaongea tu

  • @benjaminntwale1325
    @benjaminntwale1325 ปีที่แล้ว +3

    Habari ya tumbo hiyo, njaa ni mbaya nyie

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 ปีที่แล้ว +3

    Turiwamini wazee sasa wanaturudisha nyuma kwakweri

  • @iskariotikiyoyo7839
    @iskariotikiyoyo7839 ปีที่แล้ว +3

    Wewe mzee acha kumushilikisha MUNGU mambo yako ya ajabuajabuhayo!

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 ปีที่แล้ว +3

    Ujinga mtupu, huyu na ye ni chawa Tu. Jina la uncle Magu limebaki kama nambo ya Africa.

  • @elgardihali4386
    @elgardihali4386 ปีที่แล้ว +5

    Ovyo

  • @jamirually893
    @jamirually893 ปีที่แล้ว +4

    mafisad wanapeana vyeo

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 ปีที่แล้ว +3

    Mzee usitafute kuwafunga watu usifananishe mfano wa mtume na mwanmke hakuna mfano mte mwanamke

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว

      Hahaa, Eti mtume aliulizwa ni nani aliye Bora, mtume akajibu M'bora wenu ni yule anaesaidia watu,...hahahaa'...!...Mzee Anachomekea Sana

  • @maikobruno341
    @maikobruno341 ปีที่แล้ว +3

    We mzee ukaege kimya tu unatutia kichefuchefu

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 ปีที่แล้ว +3

    Mungu kwa nini hawa wazee usiwapende zaidi?

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 ปีที่แล้ว +3

    Kwa vile mtoto wako ni waziri

  • @berthatz
    @berthatz ปีที่แล้ว +4

    Mzee Makamba muogope Mungu..Anakufaa wewe na January

  • @jackmsuya6842
    @jackmsuya6842 ปีที่แล้ว +3

    Kwasabab mwanao kateuliwa uwaziri

  • @ayubumwambola589
    @ayubumwambola589 ปีที่แล้ว +2

    Mpenda cheo mzee huyo hana lolote ana laana huyo,anampigia debe mtoto wake makamba huyo ,fisadi huyo

  • @nurumwenkale3387
    @nurumwenkale3387 ปีที่แล้ว +3

    Huna lolote Mzee fisadi mkubwa ww na mwanao

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +2

    Baba Makamba.... Wakati wako wa kuongea ulishapita.... Unatuchafulia chama chetu Kwa sifa Yako mbaya.... Maneno mengi SI wakati wake.... Mama kuwa makini na huyu... Siasa za wakati wao SI za wakati huu...iwe heri Kwa Tz

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 ปีที่แล้ว +3

    Kaupiga mwingi kwenu lakini sio kwa wanyonge walala hoi, Anazidi kuteketea tu.

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee kashiba pesa lakini ipo siku watanzania wataamka wote

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 ปีที่แล้ว +3

    Mwanae waziri huyuu atampondaje raisi wazee wenzake wamerudishwa madarakani atampondaje.😔😔😔😔

  • @Abuu180
    @Abuu180 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee anataka mwanae aje kuwa raisi ndoto ambayo itokaa ije kutokea, time ishafika watanzania wanahitaji mabadiliko integrity matters during this time.

  • @teteniwery758
    @teteniwery758 ปีที่แล้ว +4

    Ukali tu kwa vyombo vya habari ....kuuficha maovu ya chama cha mapinduzi ccm

    • @zmwailugula892
      @zmwailugula892 ปีที่แล้ว

      Tusitende dhambi bure ,wazee wa hivi hawana faida kwenye taifa

  • @bilalabas9636
    @bilalabas9636 ปีที่แล้ว +5

    Mafisadi wakubwa hao wazee mnasifia hewa kaupiga mwingi kitu gan kwasbb yanashibisha matumbo Yao basi kazi kusifia tu ila ukwel ni kwamba hata ukimaliza mtot mdogo anaelewa system nzima ya uongozi uliopo sasa ni uozo mtupu

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 ปีที่แล้ว +2

    Mzee makamba unalamba Asali mmetuweza mmempoteza mzarendo wakwelimnatamba sasaulivyata Mkula

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว +4

    Nataman hivi vizee vinafki vife vote mxiuuuw.

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 ปีที่แล้ว +2

    Usitusemee anakufaa ww nafamiliayako zawadi yetu ilikua JPM ...alf wezeee jua kufa kupo izozote mbwembwe

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 ปีที่แล้ว +3

    Lazima utatumia nguvu nyingi.kwa sababu

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 ปีที่แล้ว +4

    Bwanaeee hiii nchi bana

  • @florinjoseph2504
    @florinjoseph2504 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzee akapumzike tu hana jipya

  • @hamisiwandi3769
    @hamisiwandi3769 ปีที่แล้ว +2

    Lazima usifie si ni wale wale nasafarii hiii mwanao hachukui tena jimbo la bumbuli mafisadi wakubwa mko kwamaslahi yenu mwanao amewafanyia nini watu wa jimbo lake????

  • @isihakamazengo5981
    @isihakamazengo5981 ปีที่แล้ว +1

    Sema amana yako ww na ccm wenzio hata mumkoshe vp ss walala hoi tume mkata hatufai ss peleken mbele upuuz wenu majiz wakubwa hatumtakiiiiiiiii huyo mama samia wenu kwendraa

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 ปีที่แล้ว +2

    Wee mzee acha kuongeelea watanzania samia anawatesa wananchi yy umnaosifia wote ni mafisaidi tumechoka

  • @saidiselemani2481
    @saidiselemani2481 ปีที่แล้ว +3

    Ww mzee kura posho tuu

  • @amanmtindi
    @amanmtindi ปีที่แล้ว +3

    Ukisoma tu komenti unajua

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +2

    Kinywa cha Mze kinanuka ila hakisemi uongo mmmmmmm hivi msemo unamashika kweli apa ?

  • @saeedally268
    @saeedally268 ปีที่แล้ว +2

    Hawa mafisadi ipo siku yao huyu makamba baba mtoto fisadi jueni watanzania walio wengi bado tupo timu magufuli japo hayupo lakini tupo nae kiroho

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 ปีที่แล้ว +2

    Hovyooooooo huyu Mzee, utakufa vibaya acha kumhusisha Mungu na chama kilichozeeka

  • @pstshadrackmasagi9455
    @pstshadrackmasagi9455 ปีที่แล้ว +4

    Aisee jamani hakika kuna wakati mwanadamu anafikiria maisha haya yapo kila siku'namshukuru Mungu kwamba tulikuja uchi tutarudi uchi nchi hii msema ukweli hatakiwi ila muongo husifiwa na kupewa fursa kama huyu mzee makamba lazima autetee uovu kwasababu mwanae yuko kwenye keki kuleni kunyweni furahini pigeni makofi na vigelegele lakini hakuna atakaye ishi miaka miambili ila Mungu ni wa milele mtamkuta ametulia anawasubilia kwenye mahakama awahukumu vizuri

    • @raychelrecho8143
      @raychelrecho8143 ปีที่แล้ว +1

      appreciate on you my brother ( big brain)

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 ปีที่แล้ว +3

    Mzee ACHA UONGO,2025 ni patashika,nakuombea uhai Mzee Makamba ili ushuhudie Tanzania mpya.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Mama anapita, anamaliza urithi na kumi juu. Subiri uwe hai uje uone.

    • @deusdebitkowa9657
      @deusdebitkowa9657 ปีที่แล้ว

      @@Sheba4651 kwani mtaani kwako wananzengo wanasemaje? Uliza majirani zako popote ulipo nchini utapata majibu Abdu. Tujiandae upinzani kuchukua nchi au CCM iibe uchaguzi wa Rais na kuanzisha serikali mseto.

  • @calistustitus4566
    @calistustitus4566 ปีที่แล้ว +2

    Sisi watanzania Nini ujinga wewe wewe na familia yako Toka zako uko na mtoto wako mwizi mkubwa wewe?

  • @dickisoniryoba3989
    @dickisoniryoba3989 ปีที่แล้ว +4

    Unafiki utawauwa .???

  • @plasuccompanyltd8602
    @plasuccompanyltd8602 ปีที่แล้ว +3

    Yaan mzee unaongea pumba tupu, Amna kitu

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 ปีที่แล้ว +2

    Analamba asali anaongea nini huyu Mzee naliona giza zito katika nchi yetu ukweli unaongea daima RIP Magufuli

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 ปีที่แล้ว +1

    Majambazi tu nyie na huyo mama hakuna kinachotembea sawa kwa sasa everything has been ruined

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว +3

    Mgosi kalime viazi

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 ปีที่แล้ว +3

    Huyu makamba ni mnafiki tu akafie mbele

  • @idimbezi8379
    @idimbezi8379 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania hii tunawatu wa ajabu hovyo

  • @ramadhanchonya9497
    @ramadhanchonya9497 ปีที่แล้ว +3

    Lazima atetee ugali wa mtoto wake

  • @petermagoye5482
    @petermagoye5482 ปีที่แล้ว +2

    Mnatumia nguvu nyingi sana,,, Mungu atawatoa kimya kimya maana mmezidi kuwaonea na kuiba rasilimali za tz

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 ปีที่แล้ว +4

    STUPID KABISAAA

  • @privamushi2512
    @privamushi2512 ปีที่แล้ว +3

    Wee Mzee usipendwe kutukanwa una uhakika gani kama unatufaa sisi wa Tanzania achaga ukuda we Mzee na ccm yako ya ufisadi

  • @5flashesfilms394
    @5flashesfilms394 ปีที่แล้ว +2

    Wazee acheni unafki,nyie wazee inchi iyo sio yenu ni yawatanzania na sio inchi ya ccm...nyie mmerogwa au la???mbona mnaishi kinafki

  • @mikembobulashi3685
    @mikembobulashi3685 ปีที่แล้ว +2

    Nan kamwambia anafaa kwa watanzania ndo unawasemea watanzania nchi hii inawazee wa ajabu sana

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 ปีที่แล้ว +3

    Mzee sio zawadi usituzingue zawadi gani

  • @idimbezi8379
    @idimbezi8379 ปีที่แล้ว +3

    Huyu anapiga sound ili mwanae kapewa uwazir wanakula kodi zetu

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 ปีที่แล้ว +3

    Anakufaa ww cy wananchi

  • @khmhipoliti2338
    @khmhipoliti2338 ปีที่แล้ว +3

    Anakufaa wewe na kuku wako

  • @johnmangaga4949
    @johnmangaga4949 ปีที่แล้ว +2

    Samia ANAUPIGA mwingi!; Sawa LAKINI wateule wake wanaupiga mwingi zaidi' kujaza mifuko Yao;! Kila mama anapokopa;' nenepeni TU Kwa kuthulumu jasho la wanyonge!;

  • @alexlazoro3530
    @alexlazoro3530 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee hivyo kabisa hafai

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 ปีที่แล้ว +2

    Lazim usifiee kipindii cha magu njaa iliwajaa. Mlikosa pakupumulia.

  • @alfredmwasandele6922
    @alfredmwasandele6922 ปีที่แล้ว +3

    Simutaki huyu mze

  • @abbasjuma9400
    @abbasjuma9400 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa hovyo kabsa

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 ปีที่แล้ว +2

    Mzee umeulizwa maswali na muandishi unamgombeza una panic...tunategemea hekma kuliko jazba

    • @omariramadhan4813
      @omariramadhan4813 ปีที่แล้ว

      Mzee mwanao ni waziri apo lazima upige kelele, akitoka utanuna tu

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op ปีที่แล้ว +3

    Wewe huna jipya, pumzika👎

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 ปีที่แล้ว +2

    Wakati wa Magu ulifiata,Leo unaropoka utakavyo haya bwana.