USTADHI SHAFII AWAKA MOTO SHEIK MBOGO KUNOGEWA NA MAJINI MPAKA KUSEMA ANAMFUATA NABII SULEIMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
  • USTADHI SHAFII TULIKAA NA NAE NA KUPATA WASAA WA KUPEWA ELIMU KUHUSU MANABII WA KUWAFATA NA WA KUWAAMINI BILA KUPOTOKA WALA KUPOTOSHA

ความคิดเห็น • 27

  • @CosmasMachungwa
    @CosmasMachungwa 27 วันที่ผ่านมา

    Shafii mwenyezi mungu akuzidishie Elimu na fahamu

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

    Imani ya kweli jamani ni Yesu Kristo tu. Huo udanganyifu mtajuta milele

  • @user-rk1cp5qs9d
    @user-rk1cp5qs9d 17 วันที่ผ่านมา

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh🙏🙏🙏🌹

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 หลายเดือนก่อน

    Mashallah sheikh points

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

    Wamepita sawa je maneno ya mungu yanapita? Mitume wakipita hila maneno ya mungu hayapiti

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

    mungu wa kislamu amrshindwa kutetea watu wake gaza wanakufa kama sisimizi😭

    • @salisali3738
      @salisali3738 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo ww hutakufa sababu haupo gaza

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

      @@salisali3738 Mimi sifi

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p 25 วันที่ผ่านมา

      "Kullu nafsi dhaaikatul mauti wainnamaa tuwafauna ujuurakum yauma l-kiaama famanzuhzih Ani nnaari waudkhila ljannat fakad faaza wamalhaatu ldunia illaa mataul lghurur". Kila nafsi itaonja mauti na Kila Mmoja wenu ataulizwa kwa alichokifanya basi atakaepushwa na moto na kuingizwa peponi huyo amefuzu na sichochote haya maisha ya dunnia ispokuwa ni upumbavu tu.

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or หลายเดือนก่อน

    Kusiana jambo lakuwafuata mitume iliyopita mitume s-a-w amesema kumwambia Omar R-A lau hakika Musa A-S yuhai namukamfuata yeye mukania😢cha Mimi mungalipotea

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 หลายเดือนก่อน

    Yeye alikua mtume kwa hiyo alipewa miujiza

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB หลายเดือนก่อน

    Hhhhhh uyo mtume wakuogea na majini 😅😅😅😅 achana na dini ya dunia

  • @Abdulracheed
    @Abdulracheed หลายเดือนก่อน

    Short cat, ni kwamba unapomfata Muhammad basi utakuwa umefuata manabii wote

  • @BekhaChambaly
    @BekhaChambaly หลายเดือนก่อน

    Walimu kama hawa wamebaki wachache sana Alllah akuhifadhi shekh 💎💎

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 หลายเดือนก่อน

    Mbona Muhammad alioa Aisha akiwa mtoto wa miaka sita. Kwanini nyinyi hamuowi watoto kama yeye?

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kweli hamfanyi kila kitu ambacho manabii wengine walifanya mnamfuata muddy 😂 lakini Ibrahim hakumbaka mtoto wa miaka sita ila muddy kambaka mtoto wa miaka sita hii inakaaje kwenu au halali 😂 fanyeni basi 😂

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  หลายเดือนก่อน

      @@Benjathekingofficialtv una andiko linalosema hivyo?? Kutoka kitabu chochote!!

    • @Benjathekingofficialtv
      @Benjathekingofficialtv หลายเดือนก่อน

      @@SIMULIZIZONE sasa cha kufanya wew uliza hao ambao unaowaoji kisha wabishe mtume wao alimbaka mtoto wa miaka 6 kisha Nije na andiko . Na ukimaliza unaimbie wew unawake wangap wa miaka 6

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 หลายเดือนก่อน

    Ni kama sisi wakristo tunavyomfuata Kristo Yesu, vivo hivyo waislamu wa kweli wanatakiwa kumfuata mtume tu na si vinginevyo, hapo nimekukubali sheikh.....!!!sema masheikh wote duniani hawatakubaliana na ww, maana hizo taratibu za majini zinafanywa na masheikh wakubwa sanaaaa na wanatumia quraan hiyo hiyo kuwanga.

    • @user13375
      @user13375 หลายเดือนก่อน

      Wakimfuata mtume hawatakwepa majini, maana ndo aliwasilimisha majini.

  • @user13375
    @user13375 หลายเดือนก่อน

    Kama unamfuata mtume basi na wewe uwe unawasomea quran majini,maana yeyea aliwasomea quran majini wakaamini.

    • @user-xw5tf6xi4z
      @user-xw5tf6xi4z 24 วันที่ผ่านมา

      Lakini hiyo Mtume kuwazomea majin qur an ilikua ni maalum kwa mtume sio kila mtu shekh hana hiyo nafasi

  • @Anza_tz
    @Anza_tz หลายเดือนก่อน

    Swali langu kwako sheikh kati ya Ibrahim na Mohamed nani alikua wa kwanza kuishi mila ya uislam...na kama ibrahim ndyo alianza basi hata Mohamed na yeye amejifunza uislam kwa ibrahim

    • @chaco1466
      @chaco1466 หลายเดือนก่อน

      Point 🤜

    • @walterngowi5835
      @walterngowi5835 หลายเดือนก่อน

      Muhammad s.a.w ndio muislam wa kwanza kuamriwa na Allah asilimu wa pil ni make wke bi Hadija wa tatu ni Majin Ibrahim hakuwi kuwa Muislam hio ni Kwa mujibu wa Quran

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

      Huu Udanganyifu wenu Ibrahim alikua muislamu munautoa wapi? Hii dini ilianza mwaka,610 baada ya Kristo.
      Haingii akilini Ibrahim Isaka na Yakobo hawakuawa na dini yoyote Bali Ni kizazi Mungu alikichagua akaingia nao agano.

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

    Mapambo wanavaa wanawake je wewe