DR SULLE AFUNGUKA || HUU NDIO UKWELI WA PETE YA NABII SULLEYMAN KATIKA KUYAONGOZA MAJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 92

  • @mpagazeheramadhan4407
    @mpagazeheramadhan4407 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah sheh wambiye wenye
    Hawajafahamu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna ushahidi wa hizo fimbo za nabii Shuaib
    Na sisi leo hatufati sheria za manabii walio tangulia bali sisi ni kufuata sheria za nabii Muhamad tu

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Alhadulilahi hiyo ni elimu mashallah kubwa Allahu akuzidishie

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya 90% ya gumzo la Dr. Sulle Halitoki kutoka Quruani au Sunna Sahihi, anatoa kutoka ISRAILIYAT. إسرائيليات yani kutoka vijitabu vinavyo chota stories from Jewish Heritage, wanachuoni wengi wanaviangalia hivi vitabu kama ni Vyanzo visivyoaminika. Na Quruani haikuongea kabisa kama Mwenyezi Mungu alimpa Nabii Sulaiman Pete ya ajabu anayo iyongea Dr Sulle,kwa sababu yeye anatumia Pete kudanganya wateja wake yakuwa ina Siri ya matibabu na kufunguwa rizki na huo ni ushirikina, kwa hio watazamaji jitahadharini anayo sema Sulle. Shehe Shafii alisema mara moja kwenye channel yake kama madai ya Sulle kuhusu utumiaji wa Majini na Pete si sahihi na yakuwa Mashehe walimwita Sulle kwenye kikao kusudi wamuhoji kwa haya anayo yasema lakini Sulle alikataa kuonyesha kama msimamo wake hauna hoja. Nitawateremshia aya za Quruani zinazo onyesha Ufalme wa Nabii Sulaiman aliyo mpa Allah Subhanahu wa Taala, mtaona kama Pete haikutajwa, Someni : Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. --as_Saba' 12 Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu. --an_naml 17 Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. --Saad 40. PETE haikutajwa.

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 7 หลายเดือนก่อน +6

    Me dr sule nakuelewa na hao wengi miongoni km ww wanajua sema wao wanatka kuficha hya mambo ili watu wasije wakapondokea huko kiujinga pc na elimu wakaungia kwenye shirki lkn kw wale wasomi hya mambo ypo na unaweza kufanya pasi na kumshirikisha allah kw maana vitu vyote vimedhalilishwa kw mwanaadamu tunatakiwa tuvitumie kw haqi pac na dhulma,kw anaekupinga eidha hajui na km anajua hajakuelewa na km kakuelewa ni ujeuri tu apinge ili ajulikane.watu wasone na kla mtu abwebwee ktk fani yake ahakikishe tu acvuke mipaka ya allah.

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 7 หลายเดือนก่อน

      Wapi Aya kwa Quran au Hadithi za mtume unaruhusiwa? Usomi unayoongelea ni nje ya Quran na hadith. A true muslim only follows what's in Quran wa Sunnah.

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 หลายเดือนก่อน

      @@nubianqueen6700 unaruhusiwa kufanya Nini?cjakuekewa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni zero brain 🧠 katika uislamu.

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 หลายเดือนก่อน

      @@mohdkhatib223 ww uliye active brain,kusoma na kuelewa hujishughulishi kz yko ni kusikiliza kw sheikh wko alfu wapinga PC na kusoma unabkia na ubishi,usisome kila kitu Ila soma sna na utajua mengi acha ubishi na kejeli pasi na elimu

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 7 หลายเดือนก่อน

      @@taurehassan7399 kushirikiana na majini kwa njia ya "halal"?

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy 7 หลายเดือนก่อน

    Hi tv sas nayo inaenda kupotea ci miaka mingu mungu hafichi mnafiki ushirikin wawaz kuishi vitu na kuvitegemea

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 7 หลายเดือนก่อน

    Yohana 14
    6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @AbbubakarHamad-nu1ug
    @AbbubakarHamad-nu1ug 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh naomba kuuliza uchawi nin kilugha na kisheria

  • @AthumaniRajabu-pu7ch
    @AthumaniRajabu-pu7ch 7 หลายเดือนก่อน

    Ww unaweza kutengeneza

  • @xenioribra3765
    @xenioribra3765 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampe maisha maref huyu jamaaa.....thamani yake tunaijua wachache...

    • @Imrani-g9o
      @Imrani-g9o 7 หลายเดือนก่อน

      Una muombea kafiri ane mzulia Mungu uongo na mtume wake. huyu labda ni jini la ummati SULEYMAN kwa Nini asipate dalili kwe Hadith sahihi anakimbili Manabii,
      HAO NINYUMAT ZILIZOPITA WALA HATUTO HUSISHWA KWENYE MÀSUALA YAO,
      Pumbavi nyie mnae danganya wasikilizaji kasomeni kwa akili ya dini yenu nakhera yenu mtafaidika kuliko kupakia mambo ya wenzenu.

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hili tapeli kabisa
      Na dini halija soma
      Hili tapeli na shirikina
      Itakuwa kwa sasa hana namna ya kutapeli kupitia michango ya waislam sasa ameamua kutangaza uchawi wazi

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน

      Visa vya nabii Sulaiman vyote vya uongo
      Mtume hawezi kupoteza unabi wake na ukashikwa na shetani

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

      Yani kwa mujibu wa Sule unabii unachezewa
      Hili jinga kweli
      Unabii ni wahyi na sio Pete
      Kwahiyo kwa visa hivi nabii alipokonywa unabii wake kwa siku 40
      Sulle kasome dini acha ujinga

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

      Angalia upumbavu wa sule eti mke wa nabii hawezi kuchezewa lakini unabii unachezewa na majini
      Sule mwislamu kweli?

  • @HakizimanaJeandieu-dy7cx
    @HakizimanaJeandieu-dy7cx 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekh

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya 90% ya gumzo la Dr. Sulle Halitoki kutoka Quruani au Sunna Sahihi, anatoa kutoka ISRAILIYAT. إسرائيليات yani kutoka vijitabu vinavyo chota stories from Jewish Heritage, wanachuoni wengi wanaviangalia hivi vitabu kama ni Vyanzo visivyoaminika. Na Quruani haikuongea kabisa kama Mwenyezi Mungu alimpa Nabii Sulaiman Pete ya ajabu anayo iyongea Dr Sulle,kwa sababu yeye anatumia Pete kudanganya wateja wake yakuwa ina Siri ya matibabu na kufunguwa rizki na huo ni ushirikina, kwa hio watazamaji jitahadharini anayo sema Sulle. Shehe Shafii alisema mara moja kwenye channel yake kama madai ya Sulle kuhusu utumiaji wa Majini na Pete si sahihi na yakuwa Mashehe walimwita Sulle kwenye kikao kusudi wamuhoji kwa haya anayo yasema lakini Sulle alikataa kuonyesha kama msimamo wake hauna hoja. Nitawateremshia aya za Quruani zinazo onyesha Ufalme wa Nabii Sulaiman aliyo mpa Allah Subhanahu wa Taala, mtaona kama Pete haikutajwa, Someni : Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. --as_Saba' 12 Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu. --an_naml 17 Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. --Saad 40. PETE haikutajwa.

  • @HakizimanaJumapili-k3e
    @HakizimanaJumapili-k3e 7 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khayra

  • @abuuzakariyalibumba6303
    @abuuzakariyalibumba6303 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sharia za waliotangulia hazituhusu LABDA ziendane na Sharia zetu

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww km elimu Yako ni ya kusikiliza kw masheikh hujapekuwa vitabu vya kusoma usiropoke,tulia au nenda kaulize kw hao unaowaskiliza

  • @ZuwenaIssa-z1b
    @ZuwenaIssa-z1b 25 วันที่ผ่านมา

    Napataje namba zako

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dr sule anamaarifa mengi sana ndio maana anajua vitu vingi sana mashaallaa. Na kawaida mtu anayejua vitu vingi hupingwa na watu wasio jifunza na kujua anavyovijua mwenzao. Vijana tusomeni gogo huwezi kupata kila kitu.

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya 90% ya gumzo la Dr. Sulle Halitoki kutoka Quruani au Sunna Sahihi, anatoa kutoka ISRAILIYAT. إسرائيليات yani kutoka vijitabu vinavyo chota stories from Jewish Heritage, wanachuoni wengi wanaviangalia hivi vitabu kama ni Vyanzo visivyoaminika. Na Quruani haikuongea kabisa kama Mwenyezi Mungu alimpa Nabii Sulaiman Pete ya ajabu anayo iyongea Dr Sulle,kwa sababu yeye anatumia Pete kudanganya wateja wake yakuwa ina Siri ya matibabu na kufunguwa rizki na huo ni ushirikina, kwa hio watazamaji jitahadharini anayo sema Sulle. Shehe Shafii alisema mara moja kwenye channel yake kama madai ya Sulle kuhusu utumiaji wa Majini na Pete si sahihi na yakuwa Mashehe walimwita Sulle kwenye kikao kusudi wamuhoji kwa haya anayo yasema lakini Sulle alikataa kuonyesha kama msimamo wake hauna hoja. Nitawateremshia aya za Quruani zinazo onyesha Ufalme wa Nabii Sulaiman aliyo mpa Allah Subhanahu wa Taala, mtaona kama Pete haikutajwa, Someni : Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. --as_Saba' 12 Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu. --an_naml 17 Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. --Saad 40. PETE haikutajwa.

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uzushi Nani kasema Pete ilikuwa na herufi saba?
    Kwanza suala la Pete ya Suleiaman ni uzushi hakuna ushahidi huo wa Pete ya Sulaian

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah dokta sule nimekuelewa sana, achana na wambea wambea wasiokua na taaluma hakuna wanachokijua elimu ni bahari kubwa sana

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya 90% ya gumzo la Dr. Sulle Halitoki kutoka Quruani au Sunna Sahihi, anatoa kutoka ISRAILIYAT. إسرائيليات yani kutoka vijitabu vinavyo chota stories from Jewish Heritage, wanachuoni wengi wanaviangalia hivi vitabu kama ni Vyanzo visivyoaminika. Na Quruani haikuongea kabisa kama Mwenyezi Mungu alimpa Nabii Sulaiman Pete ya ajabu anayo iyongea Dr Sulle,kwa sababu yeye anatumia Pete kudanganya wateja wake yakuwa ina Siri ya matibabu na kufunguwa rizki na huo ni ushirikina, kwa hio watazamaji jitahadharini anayo sema Sulle. Shehe Shafii alisema mara moja kwenye channel yake kama madai ya Sulle kuhusu utumiaji wa Majini na Pete si sahihi na yakuwa Mashehe walimwita Sulle kwenye kikao kusudi wamuhoji kwa haya anayo yasema lakini Sulle alikataa kuonyesha kama msimamo wake hauna hoja. Nitawateremshia aya za Quruani zinazo onyesha Ufalme wa Nabii Sulaiman aliyo mpa Allah Subhanahu wa Taala, mtaona kama Pete haikutajwa, Someni : Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. --as_Saba' 12 Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu. --an_naml 17 Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. --Saad 40. PETE haikutajwa.

  • @myself4128
    @myself4128 7 หลายเดือนก่อน

    Hadithi za Uongo Na ukweli alizokuja nazo Muhammad😂😂😂😂 Eti pete ya sulleiman,

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umechenganya baina ya kisa cha nabii Shuab na Saleh juu ya zamu za unywaji maji baina ya watu na wanyam

  • @MukulasiKapela
    @MukulasiKapela 7 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna kma sule mashehe wengine wanaona wivu au km anajuwa bc atakiwezake wajuwe

    • @Imrani-g9o
      @Imrani-g9o 7 หลายเดือนก่อน

      Leteni dalili kua Mitume Muhammad alifuga majini Kuna watu wachache wataingia
      (Sisi ni umma Bora yaani ummati MUHAMMAD vipi nyie hamuelewi? Wajinga nyie makufar na mushirk )
      Hao Manabii wange kuwepo zama hizi wasingekua na njia nyingine isopokuwa kumfuata Mitume MUHAMMAD koo fahamuni kuwa hizo fimbo,Pete,nguvu za mejeshi, na utajiri wange usalimsha apa kwenye ubora uliotimia)

  • @DadeDade-vu9ve
    @DadeDade-vu9ve 6 หลายเดือนก่อน

    Takbir

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya 90% ya gumzo la Dr. Sulle Halitoki kutoka Quruani au Sunna Sahihi, anatoa kutoka ISRAILIYAT. إسرائيليات yani kutoka vijitabu vinavyo chota stories from Jewish Heritage, wanachuoni wengi wanaviangalia hivi vitabu kama ni Vyanzo visivyoaminika. Na Quruani haikuongea kabisa kama Mwenyezi Mungu alimpa Nabii Sulaiman Pete ya ajabu anayo iyongea Dr Sulle,kwa sababu yeye anatumia Pete kudanganya wateja wake yakuwa ina Siri ya matibabu na kufunguwa rizki na huo ni ushirikina, kwa hio watazamaji jitahadharini anayo sema Sulle. Shehe Shafii alisema mara moja kwenye channel yake kama madai ya Sulle kuhusu utumiaji wa Majini na Pete si sahihi na yakuwa Mashehe walimwita Sulle kwenye kikao kusudi wamuhoji kwa haya anayo yasema lakini Sulle alikataa kuonyesha kama msimamo wake hauna hoja. Nitawateremshia aya za Quruani zinazo onyesha Ufalme wa Nabii Sulaiman aliyo mpa Allah Subhanahu wa Taala, mtaona kama Pete haikutajwa, Someni : Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. --as_Saba' 12 Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu. --an_naml 17 Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. --Saad 40. PETE haikutajwa.

  • @IssaMraja-kr3qi
    @IssaMraja-kr3qi 7 หลายเดือนก่อน

    Doctor Sule yuko sawa jamani,hawa mashekhe wanaomwita mshirikina ni wivu tu unaowasumbua

  • @lenoxabel3618
    @lenoxabel3618 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh unastori sana yani Hadi raha

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mshirikina kabisa
    Je mtume alifanya dua au tiba za kuandika andika hizo herufi?

  • @theophilusmogaka7701
    @theophilusmogaka7701 7 หลายเดือนก่อน

    Waislam na uchawi jamani njooni kwa yesu mkapate kuokolewa

  • @LukmanMohd-kn3iq
    @LukmanMohd-kn3iq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi ni ummati Muhammad si ummati nabii suleiman.tupe dalili ktk qur'aan au hadithi kuwa yafaa kuwa na pete ya mvuto au kufuga majini. Tupe dalili? Ww ni mshirikina. Na mwenye kupoteza watu.

    • @yusufmod1437
      @yusufmod1437 7 หลายเดือนก่อน

      Haifai shekhe wangu kukosoa mtu mwenye ilimu kukuzidi so heshima n jambo la muhimu

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y 7 หลายเดือนก่อน

      Usimtukane mtu kw uchache wa elimu na upeo mfupi wa tafakuri yko uliyonayo ndg yng , kila kitu Mungu alichokileta dujiani kina nguvu ndani yke na kina matumiz yke ispokua matumiz yko ndio yanayoweza kubatilisha haki, elimu hii ya giza ilishushwa kule kusini mwa iraq babel na kuwafundisha waliotaka kujua lkn wakausia namna ya matumizi lkn mashetani/waovu ndio wakakufuru kw kwa kuwafundisha watu uchawi / kw hiyo maana yke waliitumia hii elimu vibaya .

    • @sulaimanunda
      @sulaimanunda 7 หลายเดือนก่อน

      hakuna cha eti watu waache matusi hapa... ukweli ni kuwa huyu sule ni mshirikina kwa kile alicho kidhihirisha yy mwenyewe bila kusingiziwa... lau asingekuwa anawalazimisha watu wachukulie kuwa hiki anacho kifunza kuwa ni ukweli basi watu wasingemfuatilia

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y 7 หลายเดือนก่อน

      Ck zote hua kuna waumini af kuna vichaa wa imani sasa km utakua ktk kundi la vichaa wa imani bac sawa endelea

  • @dulleyjuma842
    @dulleyjuma842 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuwa na petee mzee. Wapi wameandika alikuwa na peteee au alihitaji kuwa na pete kuwaendesha majini???

  • @omaryrajab7371
    @omaryrajab7371 6 หลายเดือนก่อน

    She upo sahihi ao wanawazuoni wengine awasemi khaq

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na nyinyi Masjid Mtoro msitie aibu, achanani nae huyo mshirikina. Masjid Mtoro ni msikiti mkubwa na wenye historia lakini post zenu ni aibu katika uislamu.

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 7 หลายเดือนก่อน

      Achana nachuki soma sule kafafanunu vizuri alakini unaonekana umeja propaganda sio elimu kwa mwenye akili timamu kaelewa

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 7 หลายเดือนก่อน

      Shukran! My thoughts exactly. Nilikua nawafuatilia lakini hii imenifanya niwe na mashaka.

    • @salimofficial1263
      @salimofficial1263 7 หลายเดือนก่อน

      Huu ni Ukosefu wa ilmu sahihi. Tafsiri ya Quran ya hayo matukio ipo tofauti na maelezo ya Sule.

    • @Daifar100
      @Daifar100 7 หลายเดือนก่อน

      Masjid mtoro na Sule ndio hao hao usishangae wao kupost utopolo

    • @abdallahmoussa614
      @abdallahmoussa614 7 หลายเดือนก่อน

      Tahadharini na shirki alafu ziko aina nyingi ya shirki . alafu unakuta mtu anaunga mko eti huyu Sule yuko sahihi ? Dni ya Uislam inakwenda na dalili hayo mambo ya Pete za mvuto mara majini hayafayi kuyatumiya kwakutaka mali n.k...

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 7 หลายเดือนก่อน

    Uchawi wa majine uko kwa waislamu.Hii hamuwezi kataa

  • @HakizimanaJumapili-k3e
    @HakizimanaJumapili-k3e 7 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali nijaliye mwanafunzi wako

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 7 หลายเดือนก่อน

    Unasema kweli lakini wanaojuwa hawataki wasiojuwa wasijuwe.

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 หลายเดือนก่อน

    sasa we mtume unazingua sule izo rizki zunakusumbua

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 7 หลายเดือนก่อน

    Sule ni KUHANI.....MSHIRIKINA......ACHA UONGO WEWE HATA KAMA UNA NJAAA HATUTUKANI UISLAM....PIA NI USHAMBA ....NA UJAHIL

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 7 หลายเดือนก่อน

    Hana ishu huyu. Mshirikina tu sheikh gani anatumia majini au pete

  • @HakizimanaJumapili-k3e
    @HakizimanaJumapili-k3e 7 หลายเดือนก่อน

    Ila mimi ni mrundi

  • @HakizimanaJumapili-k3e
    @HakizimanaJumapili-k3e 7 หลายเดือนก่อน

    Nafaidka kwa faida unazo towa

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน +1

    Fattaahu sio kufungua
    Ni mwenye kufungua
    Hujui kiarabu
    Pia kutamka unakosea baina ya ح na ه
    We tapeli tu

  • @nyawendacyprian8174
    @nyawendacyprian8174 7 หลายเดือนก่อน

    Binafsi namuunga mkono huyu mwamba,anaelimu kubwa

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 7 หลายเดือนก่อน

    Unasema kweli lakini wanaojuwa hawataki wengine wajuwe kwasababu wataerevyuka na hilo ndilo hawalitaki.lakini wao wajuwa unayoyasema lakini hawataki wajuwe.

  • @hajimdudu
    @hajimdudu 7 หลายเดือนก่อน

    Na Mimi nataka Pete ya bahati

    • @salimofficial1263
      @salimofficial1263 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna pete ya bahati. Hio ni shirki. Bahati mbaya au mzuri inatoka kwa Allah, hio ni nguzo ya sita , "wabil qadari khairihi wa sharrihi minallahi Taala"
      Mwenye kutegemea pete kwa bahati ame ingia katika mlango wa shirki .

    • @salimofficial1263
      @salimofficial1263 7 หลายเดือนก่อน

      Kuamini Qadar ni Nguzo ya sita katika nguzo za iman ambazo Rasul sallallahu alaih wasallam ametubainishia

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 7 หลายเดือนก่อน

      Mkuu Bahati ipo Kwa Mungu pekee
      Siyo Pete Yohana 14