Zitto Kabwe kasema anaheshimu maamuzi yaliyotolewa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2013
  • Siku moja baada ya chama cha Demokrasia na maendeleo- Chadema kuwavua nyadhifa zote za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu wake Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili kufuatia tuhuma za kukihujumu chama hicho Mh. Zitto amesema ataendelea kuwa mwanachama mtiifu na atayaheshimu maamuzi yaliyotolewa ili kukiimarisha chama hicho.

ความคิดเห็น • 1