MSIGWA AFICHUA MADUDU YALIYOGUBIKA UCHAGUZI KANDA YA NYASA ''SIJARIDHISHWA NIMEKATA RUFAA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 296

  • @raymondthomas3960
    @raymondthomas3960 หลายเดือนก่อน +11

    Wew msigwa hicho chama ni Cha mbowe siyo Cha umma.jindanganyeeee

    • @mshikamanojames7610
      @mshikamanojames7610 หลายเดือนก่อน +1

      Ccm ni ya nani

    • @user-md7sd3hk6l
      @user-md7sd3hk6l หลายเดือนก่อน

      ccm ya nani hau yako mwezetu hunae toa maiti muimbili bule hau ccm yako kwa vile kodi ya majengo ukatwi au kwenu umeme ukatiki katiki jibu iyo kwanza yapo mengi tokea huulu

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf หลายเดือนก่อน +7

    YALEEE YALE ALOSEMA MHE RAIS DKT SAMIA KWAMBA NDANI YA CHADEMA HAKUKALIKI KUNAWAKA MOTO 🔥🔥🔥,WAO WENYEWE HAWAELEWANI HATA WAKIPEWA SERIKALI WATAUNDA CHAMA CHENGINE. (🇹🇿C🇹🇿C🇹🇿M) OYEEEEEEEEEE.

    • @geofreykasinda1895
      @geofreykasinda1895 หลายเดือนก่อน +1

      Hata ccm moto unawaka maana Kila mtu anamasilai yake binafsi

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk หลายเดือนก่อน

      Ccm mlichomfanyia Ndugae hameoni mnayaona tu ya Chadema!

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

      Kumoto!

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

      ​@@IsayaSosolo-nx8zkNdugai alijiuzulu sasa tatizo ni nini

  • @frenktarimo4703
    @frenktarimo4703 หลายเดือนก่อน +14

    Msigwa wewe ni mchungaji acha hasira hayoo ni mambo ya ndani ungeongea kwenye vikao vywa ndani acha ushamba

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน +2

      Sio ushamba Tanzania inatakiwa iwe na mgombea huru ili tuachane na Hawa manyangau wa chadema na ccm shenzi kabisa hawa

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

      Yeye si mjumbe wa kikao chochote sasa hivi na barua zake kasema hazijibiwi

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 หลายเดือนก่อน

      Uhuru umekuwa ushamba au wewe ndio mshamba

    • @davidmalisa8043
      @davidmalisa8043 หลายเดือนก่อน

      Hamna mtu hapa

    • @nelsonshillah6618
      @nelsonshillah6618 หลายเดือนก่อน

      Ninajua ni kwann unafurahia hiki​@@warakawayohana2896

  • @user-fs5jc4it7i
    @user-fs5jc4it7i หลายเดือนก่อน +11

    Hivi ungeshinda ungeongea hayo?? Umefeli sana.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli hakukuwa na ulazima kufanya uchaguzi kabla ya Njombe kufanya uchaguzi.

    • @stanleymosses8260
      @stanleymosses8260 หลายเดือนก่อน +1

      Katiba inasema ngazi ya chini ikifika 50% ngazi ya juu unaweza kufanya uchaguzi bila shinda

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola หลายเดือนก่อน +4

    Mh msigwa tunakuamini sana Kwa hekima na busara,pia sugu ni kiongozi mzuri sana na mwenye ushawishi kubwa.
    Hivyo tusiwape wapinzani faida ,tuanzie hapa maisha yaendelee.

  • @user-fs5jc4it7i
    @user-fs5jc4it7i หลายเดือนก่อน +7

    Mpaka hapo Msigwa una shida,, siasa inahitaji uvumilivu. Jijenge na wewe subiri miaka yake iishe,,na wewe tengeneza mikakati,, ili ushinde. Huo ni uchu wa madaraka. Na hapo ndo mnapo onesha kwamba hamuwezi kuendesha nchi.

    • @IddyMustapha-tj4du
      @IddyMustapha-tj4du หลายเดือนก่อน

      Ndugu wewe ni CCM ungekuwa chadema ungeleta oja il chadema waungane kumpambana na CCM ila Kwa hii oja yako ni ishara unafrahia kwamba chadema isambalatike upinzan upotee

    • @IddyMustapha-tj4du
      @IddyMustapha-tj4du หลายเดือนก่อน

      Sii oja ya kujenga

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn หลายเดือนก่อน +4

    Pole Sana kaka Sugu Ana uwezo yeye kazi yake ni kusema masela masela na mane no mengi si mtendaji

    • @rumishamariki6747
      @rumishamariki6747 หลายเดือนก่อน +1

      😮

    • @samwelkavwanga4491
      @samwelkavwanga4491 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndo ukweli.msigwa ndo kiongoz

    • @dabigregory3221
      @dabigregory3221 หลายเดือนก่อน +2

      Anatembelea ustar wa muziki ila uongozi bado

    • @zingachaula
      @zingachaula หลายเดือนก่อน

      Pumzika twende sugu moto chin, sugu moto chini

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu anatumiwa na ccm njaa mbaya sana mambo ya siri ya chama unatoa hadharani ili iweje acha njaa

    • @LuciaAgustino-pt5mg
      @LuciaAgustino-pt5mg หลายเดือนก่อน

      Tunachagua mutu muzoevu wakazi

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน

      Huyu hatumiwi hata na ccm ametoa ushahidi wa kimantic Hawa chadema wanazingua ccm pia wanazingua Hawa wote hawatufai

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wewe ulitaka azulumiwe asisemi

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 หลายเดือนก่อน +8

    Kwani mpaka uje kwenye vyombo vya habr kwani usizungumzie katika vikao vyenu

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

      Kama unaandika barua hazijibiwi na si.mjumbe wa kikao chochote sasa akalalamimie wapi

    • @dabigregory3221
      @dabigregory3221 หลายเดือนก่อน

      Kwani uchaguzi ulifanyika sirin? Acha wivu bwege we

    • @mshikamanojames7610
      @mshikamanojames7610 หลายเดือนก่อน

      Nini maana ya democracy mahakama ya mwisho ni wanachama

  • @MosesKamba-tk3lp
    @MosesKamba-tk3lp หลายเดือนก่อน +9

    Ukiona hivyo ujue utakiwi Kila siku wwe,pumzika kaka msigwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน +3

    Mbowe achana na msigwa jamani msirudie uchaguzi mnatuchanganya. Sasa unayaambia mafisiyemu yakusaidie nini

  • @neddon5822
    @neddon5822 หลายเดือนก่อน +3

    Kusema walio kuwa wanakuunga mkono wakashinda apo unaonesha shinda ndugu msigwa. Inamaana CDM mnaweka viongozi Kwa kigezo cha kuunga mkono MTU fulan apo CCM Bora itawale milele hamna namna Kwa kweli

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyekiti Taifa - Freeman Mbowe - chagga
    Mkurugenzi wa Mawasiliano- John Mrema- chagga
    ,,,,,we unadhani kuna nini hapo?

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 หลายเดือนก่อน

      Ndo sababu Said Kubenea na Patrobas Katambi na wengine wengi walihama.

    • @modernfarming5938
      @modernfarming5938 หลายเดือนก่อน

      Mnatuonesha ni jinsi gani hamtoshi kulipngoza taifa

    • @davidmalisa8043
      @davidmalisa8043 หลายเดือนก่อน

      Chagas politicians

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe nyie wenyewe chama chenu hakitendi haki halafu bado mnailaumu na kuikosoa CCM. Bora niendelee kuipenda chali chali maiki

  • @AsifiweChaula-sq8bw
    @AsifiweChaula-sq8bw หลายเดือนก่อน

    Ushauli wangu kwako mtumishi wa mungu, msigwa ,wewe ni mtumishi wa mungu,achana na hayo, huwezi just mungu ana mpango gani na we Kwa ajili ya kumtumikia yeye, wewe tumika madhabahuni tu

  • @christophersimoni1434
    @christophersimoni1434 หลายเดือนก่อน +9

    umeshindwa tu Mzee 😅😅😅😅😅

    • @QualityRaRaRa
      @QualityRaRaRa หลายเดือนก่อน

      Vi chekesho

    • @QualityRaRaRa
      @QualityRaRaRa หลายเดือนก่อน

      🎉😢😮😮😮😮😅😅😊😅😅

  • @WinfridaCreitus-bf3zn
    @WinfridaCreitus-bf3zn หลายเดือนก่อน +3

    Msigwa kulikua hakuna haja yakufanya press hii. Jipime kama vipi wewe nenda ccm bana maana unaonekana lengo lako si jema we kama vipi nenda.

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน +1

      Jamaa wa hovyo, mpaka press kulalamika?

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 หลายเดือนก่อน +3

    Kwendra bna

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow หลายเดือนก่อน +5

    Chadema mnafeli sana yan mnatuchanganya sana

    • @user-df5mj2ft4w
      @user-df5mj2ft4w หลายเดือนก่อน +1

      Ad naon aibu

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน

      Sasa wanakuchanganya nini hiki chama kina majungu sana sana, hapa hakuna chama cha siasa ila ni chama cha upigaji tu wakati kinaendelea hivi kinapata posho na zuruku na pesa za kuendeshea uchaguzi zote hizo hula wenyewe si pesa kidogo na ndio maana wanapokosa huja uraiani kutia huruma kuogopesha chao kiwaite kiwapoze, sijawahi kuona katika maisha yangu chama ch siasa kwa mkupuo kupoteza wabunge 19 kwa wakati mmoja, lakini tusisahau kuwa hata zito kagwe alitokea chadema na aliondoka kwa sababu hihii ya upindishaji wa katiba za chadema, je wanawezaje kupewa nchi watu hawa wenyewe hawaelewani wanazidiana maarifa huvunja katiba zao za chama je wataweza kuzingatia katiba ya nchi?

  • @raymondthomas3960
    @raymondthomas3960 หลายเดือนก่อน +4

    Hamia ccm huko imekulq kwako wajanja walishaga hama huko wako ccm wanakula Bata

  • @user-qn3el8nu7n
    @user-qn3el8nu7n หลายเดือนก่อน +3

    Ivi ww msigwa unaakili kweli? Umeona uwenyekiti wa kanda ndio dili acha ujinga unatuaibisha c umuache aongoze nayeye unaaibisha chama kura 2 inakutoa imani hufai uongozi wewe

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe watu wanapenda sana posho na kutembelea V8, wakishindwa tu inakuwa nongwa. Wacha inyeshe tuone matobo .na 2025 ikulu mtapasikia tu.

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

      Kwa vurugu hizo kwenye uchaguzi hata mimi ningesema. Lakini kila wakati wa uchaguzi Chadema lazima Mbowe afanye mazingaombwe. Ni nini hii!

  • @frenkabdalla5884
    @frenkabdalla5884 หลายเดือนก่อน +4

    Baba mchungaji vumiria ndio mambo yadunia

  • @wokovumwazembe3505
    @wokovumwazembe3505 หลายเดือนก่อน +2

    Ila chadema imebeba wasaliti wengi sana umeshindwa tu kwenye uchaguzi wa kanda daa unatia aibu mbona chadema alikupa ubunge duu pia we ni ccm ni muda tu ulisha jichora muda tama mbaya na uchungaji ndo bas

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน +4

    Pumbavu mkubwa wewe kumbe ndo hilivyo aise watu walisema wewe ninyoka aise.siulisema majibu yote utakubal.leo unaongea nini sasa mtu mzima hovyo.mmtapigwa zaid ya miaka hile.

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j หลายเดือนก่อน +2

    Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it against your own people. (Quran 4:135)

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 หลายเดือนก่อน +4

    Brother msigwa mwkti hashindwagi ni mafya kaambali na watoto ngoma ngumu nduguyangu,,,,muulize zito kabwe heeeee!

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 หลายเดือนก่อน +3

    Sema kwenye ule mdaharo sugu alijieleza vizur .ila msigwa alionyesha kupanic kwenye majibu yake

  • @asnalimtv7690
    @asnalimtv7690 หลายเดือนก่อน +2

    Fanyani kazi acheni utapeli na kujieleza Sana mmezowea kula kirahisi et Sasa hv mambo yanakuwa magum unatushirikisha kufa kivyako mjomba

  • @SalumChema
    @SalumChema หลายเดือนก่อน +4

    Nenda.ccm.usianze.kuchafua.chama.nendazako.kumbeunalalamukanini

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe usikate rufaa bora nakushauri ukae pembeni wacha kukipigania chama au rudi ccm watakupokea wewe jembe

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni jembe aje tu CCM tutampokea

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa ww miaka 7 bado hujatosheka tuu siasa raha yake ushinde tuu ukishindwa unaanza kumtafuta mchaw

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani mnatuaibisha sana ndg Mh msigwa achana na hii nafasi inawezekana timu haikutaki tulia utapata ubunge maisha yasonge mi naamini ww ni bora kuliko mpinzani wako lkn achana na hyo migogoro

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 หลายเดือนก่อน +1

      Ubunge atampa nani?

    • @leonnyntandu4324
      @leonnyntandu4324 หลายเดือนก่อน

      Kwann tunalilia katiba mpya ingali kwenye Chama kuna makandokando na hamna haki kwann itumike nguvu kubwa kuzima kauli za mhe msigwa na si kusimamia haki na ukweli kama ni hvyo basi na mwenyekiti nae apishe wengine

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 หลายเดือนก่อน

      Ameibiwa kura lazma alalamike

  • @kasungastephen9693
    @kasungastephen9693 หลายเดือนก่อน +4

    Chadema wote vibaka tuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie Wenyeviti wote wa siku nyingi mtoke hata Mbowe atoke

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน +3

    Msigwa unajiharibia ungetulia tu mbona gimbi mwenzio gimbi. Ametulia kwa kuzidiwa kula 1 una nia ovu

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน

      Ingekuwa ni wewe ungekubali ungeacha kulalamika yaani we unataka azulumiwe akae kimya hivi we una akili kweli

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro หลายเดือนก่อน +3

    Mnapo ambiwa Chadema ni chama cha wahuni na mtaendelea kihuni ndio muongoze nchi sitakuwa nchi ya kihuni tu

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 หลายเดือนก่อน

      Hata CCM kuna wahuni kibao au kamuulize Balozi Polepole

    • @davidmalisa8043
      @davidmalisa8043 หลายเดือนก่อน

      Mbowe lema mrema

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 หลายเดือนก่อน +3

    Hata kama ni kweli, hii ni hatari kwa chama chetu,
    .Vita ya Panzi.

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s หลายเดือนก่อน +3

    Viongozi wa ngazi za juu naombeni shughulikeni na hili haraka sana jamani

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน +7

    Hapana pumzika hawakutaki

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du หลายเดือนก่อน +3

    Msigombane jaman muungane mshikamane kuiondoa CCM

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน

      Watasubiri sana kuiondoa chama cha mama, wenyewe wanaondoana kwa majungu je watakuwa na nguvu ya kuiroa ccm? Ikiwa wenyewe wanavunja katiba za chama walizozingu, nchi za wenzetu wametuacha sana kwa kugawa uraisi kwa chama chochote chenye kura za kueleweka

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂YAN SAIZ CCM WAKIWA CHENYETA MSITUAMBIE ET MMEIBIWA KURA MAKE NYIE WENYEWE MMESHA ONYESHA UDHAIFU

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd หลายเดือนก่อน +2

    MNAAIBISHANA MBELE ZA WATU MNGEHANGAIKA NDANI YA CHAMA YAAN NDANI TU MNAGOMBANA HIVYO HAMJAPEWA NCHI

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน

      Nani wa kutoa nchi? Nchi haipewi inapiganiwa. Ijue tofauti.

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n หลายเดือนก่อน +3

    Muda wa kuludisha kadi unaanza sasa.

  • @user-ru1yk6tc7w
    @user-ru1yk6tc7w หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe na nyie mnaibiana pole baba

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hata na kwenye chama nako kuna vigisu vigisu kama wanavyowambia CCM sasa wakweli wepi kwenye kupiga kura CCM au vyama vyengine mana huyu analia sana kafanyiwa vigisu Tanzania hakuna siasa kuna wapiga hela tu hawa wote ukiona kiongozi analia sana ujuwe ni wapiga hela tu.

  • @hancemapunda2708
    @hancemapunda2708 หลายเดือนก่อน +3

    Duh! Chama cha Democrasia!??

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg หลายเดือนก่อน +3

    Mlimuua magufuli tulia msumali ukuingie vizuri

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน +3

    Heti ni mchungaji.jinga mno unasema nini sasa hapa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la wana siasa wetu wa Tanzania siyo wafanya biashara wao wanategemea mshahara kwenye uongozi, sasa akikosa cheo tu basi anahama chama. Kule anakohamia anatafuta cheo apate mshahara. Ndiyo maana nchi zetu zinakwama , wanasiasa wananunuliwa tu .
    Ukitaka kuwa mwana siasa bora mwenye msimamo usitegemee mshahara wa cheo. Wekeza kiuchumi.

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 หลายเดือนก่อน

    Wellcome to our Chama cha wananchi Ccm.

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa mchezo mchafu, mm nilisema toka ile siku wanajinadi Msigwa yupo vizuri ila kwa namna wajumbe wanavyomuhoji unaona kabisa hatoboi. Halafu watu wasikariri kila mtu akijitokeza kulalamika anavikwa vazi la usaliti, sio sawa sikilizeni hoja zilizopelekea mtu ajitokeze hadharani then mtapima au ikitolewa taarifa ya chama mtapima. Mtakuwa mnapoteza viongozi wazuri kila mara kwa kuimbiwa neno usaliti. Ktk siasa hakuna chama chochote duniani ambacho ni kisafi asilimia mia hivyo jifunzeni kusikiliza watu na sio kuwavisha ubaya.

  • @abrahamnyagawa1304
    @abrahamnyagawa1304 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa msigwa,tulia na chama chako,mjenge chama.heshima yako ni kubwa,acha kulalamika,nafasi na muda bado sana kwako,just bush it,and empower the management of your party.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub หลายเดือนก่อน

    Uongozi wa chadema tupeni jibu ya hili,chama kinachafuka sana,Lisu alisema kuna pesa ya rushwa imeingia ndani ya uchaguzi na chama hamjajibu tukiyaunganisha haya tunaona kunashida kubwa kwenye chama

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc หลายเดือนก่อน +2

    Ulisema sumae hafai Sasa zamu yako

  • @zimboj5278
    @zimboj5278 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu msaliti tulisha mjua akae pembeni aende CCM wanao mtumia

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 หลายเดือนก่อน

      Sugu mpambe wa Mama Samia pamoja mbowe. Acha ujinga lisu alisema hela ya mama hiyo inafanya kazi.

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 หลายเดือนก่อน

    Maslahi mapana ya CHEDEMA yakuelekeze kukubali matokeo ili amani na utulivu ( ambavyo ni mtaji wa maendeleo ya maono ya chama) iendelee. Kama wewe ni kiongozi wa watu, na Mungu anataka uendelee, Yeye Mungu na sio wewe atakuweka. Sijui undani zaidi, lakini Msigwa unajulikana na watanzania ni kiongozi shupavu, mwadilifu. But of late umekuwa unatoweka kwenye scene kidogo kidogo hadi ni kama hauko tena. Sawa unachotafuta ni vurugu za ki ccm ndani ya chadema.

  • @josephgoliama8068
    @josephgoliama8068 หลายเดือนก่อน +2

    Kama nyinyi ni chama cha Democrasia na maendeleo halafu ndani yenu hakuna demokrasia basi inatia shaka, kama ndani yenu hakuna haki maana yake CCM itaendelea kutawala nasikitika sana kwa dhuluma uliyofanyiwa Mheshimiwa Msigwa

    • @martinsimtenda5990
      @martinsimtenda5990 หลายเดือนก่อน

      Unataka nini?uchaguzi umekwisha umetumikia nafasi hiyo kwa miaka 7 inatosha mwenzako aendelee

    • @martinsimtenda5990
      @martinsimtenda5990 หลายเดือนก่อน +1

      Uliongeza wapiga kura ila hawakukupigia kura

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน

      Unamwaminije Msigwa

  • @wokovumwazembe3505
    @wokovumwazembe3505 หลายเดือนก่อน +2

    Na utadondoka tena subiri na huna jipya

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +2

    Haki ndio misingi ya utu.kama umeona kweli kuna taratibu zimevunjwa una haki ya kukata rufaa .Tanzania ya sasa hatutaki wana siasa wanaotumia mbinu chafu katika kujipatia kura.

  • @BlessMwangosi-mz8dw
    @BlessMwangosi-mz8dw หลายเดือนก่อน +2

    Achakujichafuamzee

  • @godsson5954
    @godsson5954 หลายเดือนก่อน +1

    KARIBU CCM

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale 12 วันที่ผ่านมา

    Hadi wew umeingia kwenye kumi nanane za ccm!!! Mhh ccm ni hatar wanambinu kibao. ..ila Kwa mchungaji kurubuniwa ni aibu kubwa...acha tamaa tumikia taifa la mungu Kwa ngazi yoyote utakayoipata,,,acha kujidharirisha.

  • @Mgema001
    @Mgema001 หลายเดือนก่อน +2

    Uongozi mdogo hivi unaleta kelele vipi tukiwapa nchi, aah wapi hakuna nchi tutakayowapa

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน +1

      Unawapa nchi we ni nani

    • @Mgema001
      @Mgema001 หลายเดือนก่อน

      @@adeltuszakumuha9618 mwananchi wa Tanzania kenge wewe

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 หลายเดือนก่อน +2

    Swali?
    Kwa Mfano:
    Je?, Rufaa yako ikikubaliwa na CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) na Chama kikaamuru Uchaguzi Urudiwe tena na kisha Uchaguzi Ukarudiwa na Matokeo Yake Wewe ndiye Ukatangazwa Mshindi SUGU A.k.a Mtu wa Vurugu Atakubali kunyamaza kwa Kupokwa Ushindi wake ambao tayari anao Mkononi sasa hivi.
    Devide And Rule.....

    • @user-td3xz9ej7r
      @user-td3xz9ej7r หลายเดือนก่อน

      Mangi tulia dozi iingie

  • @user-zg1hd6no9v
    @user-zg1hd6no9v หลายเดือนก่อน

    Hapa kweli,,,Aisee nimemuelewa msigwa.... Hii nichombo ya fundi IQ kubwa....

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 หลายเดือนก่อน +1

    duh! Pole sana wameamua kukunyonga kavukavu😊😊

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 หลายเดือนก่อน

    Nimesema mara nyingi kuwa kama kuna chama kinachoongoza kwa rafu wakati wa uchaguzi wa ndani chadema wanaongoza. Yale wanayoilalamikia ccm yooote yapo ndani ya chadema na hiyo yote ni katika mkakati wa kulinda uwenyekiti wa Mbowe. Kamuuize mwenzako Mwambe alichokutana nacho.Hiki ni chama cha mtu na wengine mnawasindikiza tuu.

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 หลายเดือนก่อน +2

    Hili jembe jembe kweli pambania haki yako

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n หลายเดือนก่อน

    Kialisia sugu ana watu wengi kuliko msigwa, sugu anatembea na vijana wengie hao masela kumbuka sugu mwaka 2008 pale mbeya watu walivichoma matail balablan kwa kaul zake hzohzo za masela masema ndo aliwastopisha watu wasifanye vurugu

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน

    Bro uko vizuri sana kwa hoja nakushauri tu chadema sio sehemu sahihi kwako, nenda Chama cha mama ukafanye kazi mkuu huko hakuna majungu ukizingua unawekwa pembeni kwa muda ukajifunze, pale hakuna alieweka hela wala atakaesema muhasisi au alikihangikia chama ni kazi tu.

    • @abrahamnyagawa1304
      @abrahamnyagawa1304 หลายเดือนก่อน

      Wewe huijui ccm,acha kumpotosha mzee msigwa,huyo ni ngome yetu ndani ya chadema.

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson หลายเดือนก่อน

    Can you guys truly be our leaders? Kweli chama pinzani cha kweli kitatoka CCM.

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 หลายเดือนก่อน

    Point

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeanza ujinga na ndio kazi yenu ,eti makamanda huku hata kisu hamna

  • @Mgema001
    @Mgema001 หลายเดือนก่อน +2

    Hadi kunguru anamzomea msingwa😂😂😂

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 หลายเดือนก่อน +1

    Pole msigwa huyu sugu anabebwa na ndugu zake kina mbilinyi katika Kanda ya kusini mwa Tanzania wamezaliana sana .Ila ni ndugu yako uwe mpole tu msigwa na mbilinyi si ukoo mmoja nyie?

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 หลายเดือนก่อน

    Tanzania itachukua miaka mingi kwa chama cha upinzani kuiondosha c.c.m. CHADEMA msijidanganye bila ya kushirikiana na vyama vyengine vya upinzani hamuwezi kushinda. Tatizo CHADEMA inavidharau vyama vyengine vya upinzani.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน +2

    Unajichekesha nini sasa.

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa be culm

  • @kasungastephen9693
    @kasungastephen9693 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe dedema wote vibaka kuanzia Leo tudili tuu na CCM

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 หลายเดือนก่อน

    Sumaye wakati anaondoka chadema na kurudi CCM alisema wazi hiki chama ni tatizo sasa si hayo!!!
    Na pia Samia naye aliona kuna shida akasema wao wenyewe ndani ya chadema kunawaka moto.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน +1

    kumbe Peneza hupo sahihi

  • @justinesima2221
    @justinesima2221 หลายเดือนก่อน

    Kama ndani ya chama mnalumbana vip kuhusu uchaguzi wa nchi unafeli, acha tuwaamini CCM

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 หลายเดือนก่อน

    Je, Chadema kweli wako tayari kukabiliana na ccm kama bado wanafanya hayo

  • @jamesmwandepu9613
    @jamesmwandepu9613 หลายเดือนก่อน

    Msigwa anazeeka vibaya. Katiba inasema mshindi lazima awe na zaidi ya 50% na sio 50.0% . Tatizo lako Msigwa unatamaa sana na uongozi, hakupaswa kuwa ropo ropo kiasi hicho. Lakini pia anatuaminisha kuwa yeye aliandaa team yake ya ushindi lakini ukweli ni kwamba hata hao anaowasema kuwa walikuwa ni wa kwake amejuaje na ana uhakika kiasi gani??

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 หลายเดือนก่อน +1

    Umeishiwa posho za bungeni hukufanya na wewe mikakati umekuwa bwege kweli mbona unataka madaraka kwa nguvu ulikuwa unawaibia au unalipwa mshahara huko

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 หลายเดือนก่อน +2

    Kaa huko huko hatukuitaji huku

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s หลายเดือนก่อน +2

    CHAGA PARTY WEWE NI MUHEHE

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

    Unaondolewa chamani brother welcom ccm

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 หลายเดือนก่อน

    Yani ukichunguza sana ukielewasana wazungu wameleta hayamambo yasiasa,kwafaidayao yani siasa nikitu kinachochonganisha watu wengi hasa viongozi wenyewafuasiwengi,pia pesanayo huhusiswa nakuhalibu uelekeo wawapendahaki ,siasa nikitu ambacho ukiwa muelewa haitakiwi nchiyetu kuongozwa na wanasiasa nibola iongozwe na watemi wa makabilayetu mana huenda watnganyika wakapata haki kwamfumo huu ccm inambinu nyingi zakubomoa vyama vidogo

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

    Kaka rufaa yako haitasikilizwa niliona hata kwenye mdahalo ulikuwa unakandamizwa snaaa njoo ccm msigwa nakuekewa sana kwenye medari za siasa

  • @josephgoliama8068
    @josephgoliama8068 หลายเดือนก่อน +1

    Msingwa nakuunga mkono kama watakuzingua waachie chama chao, unaweza kutimiza malengo yako ya kisiasa bila hata hao chadema

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 หลายเดือนก่อน

    Watu wengi humu wapumbavu. Lisu alisema kuna hela za Mama Samia zinafanya kazi Sugu mbowe kati ya wanufaika wakubwa. Swali la muhimu je anayosema ni kweli? Jiulizeni kwanini katika viongozi wakuu wa chadema lisu ndio anafanya mikutano?

  • @user-nr3ym2ku6y
    @user-nr3ym2ku6y หลายเดือนก่อน +2

    Mwanasheria njoo ufafanue lisu

  • @Twalibmringo-tz3ed
    @Twalibmringo-tz3ed หลายเดือนก่อน +1

    Kimeiva sasa ni kupakua watu wale!nani mpishi hatujali tunaangalia mpakuaji.

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango หลายเดือนก่อน

    Mh MSIGWA unahaki kulalama! Mhehe hawezi kuwa chini ya Mkinga au mbena au mpangwa! Ingawa Ukabila ni Sumu kubwa! Angalia ukubwa wa mafanikio! Achana na hayo matokeo kuna Nafasi kubwa umeandaliwa na Mungu mwenyewe( Biblia,Kitabu cha Isaya 41:10 na Yeremia 1:4-10)

  • @PatrickKalinga-xm8ke
    @PatrickKalinga-xm8ke หลายเดือนก่อน

    Mm binafsi nakupenda ilakwauchaguzu mliofanya akapita sugu bolawewe utulie tu hiyondoo busala.

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf หลายเดือนก่อน +2

    Pia matatizo yenu yanahitaji katiba tengenezeni katiba yenu Kwanza kabda ya kutaka katiba mpya tanzania

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 หลายเดือนก่อน

    Haya sasa mtu unaongoza miaka 7 na bado mnasema democracy ipo mweeeee