Muhtasari: Ayubu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ayubu, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Kitabu cha Ayubu kinachunguza swali gumu la uhusiano wa Mungu na kuteseka kwa mwanadamu, na kinatualika kuamini na kutegemea hekima na sifa za Mungu.
    #BibleProject #Biblia #Ayubu
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @Watchtower77
    @Watchtower77 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri, maelezo murwa ya Ayubu. Asanteni👏

  • @erictendon2231
    @erictendon2231 ปีที่แล้ว

    our class in Amukura, Kenya, is meditating the book of Job because of this amazing teaching ressource!!! thanks!!!