"Mawazo" Sehemu Ya 60 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2024
- Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
TH-cam : th-cam.com/users/ChomozaTV?su...
#ChomozaTv#2024 - บันเทิง
Adui haonekani. Mpinzani anayeonesha kasoro zako .Wenye maono wanaonekana.Adui ni nani? ni lini ? ni kipi?Upinzani huisha bali uadui ni milele .Adui ni yule anayekuwekea vikwazo ili usipite. Uadui ni sirini.Mpinzani anajifunuwa kwako ,adui anajificha. Wanaokuinuwa hasa ni wanaokusema vibaya. Adui anayepinga haki ni upendeleo,ambao huleta ubinafsi na kuikosa furaha. ❤❤❤❤❤🎉 Asante Chomoza pongezi kwa Dr Elly Nimejifunza.
Asante sana Dr Ellie,, mbarikiwe sana TEAM chomoza
Asante sana Dr kweli adui hasa ni ujinga
Tupo pamoja hapa ustadh juma from daraja bovu zanzibar
🙏
Asante team chomoza, God bless you
Hii ni kweli kabisa
Hivi Kwa nn chomoza haipo live TH-cam
Mubarikiwe sana
Ndugu za ngu sehemu ya 61
Asante dr
Dr Elli unasema kwamba baya hutembea na njema je bange wema wake ni upi maana watu wanaona mabaya tu
MWALIMU NAOMBA UFUNDISHE MADA YA CHIMBUKO LA PAGANISM