"Mawazo" Sehemu Ya 41 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @Laizer3
    @Laizer3 7 หลายเดือนก่อน

    Sawasaw dkt

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 9 หลายเดือนก่อน +1

    kama mwanamke alishatumwa, zamani mwanamke hakuruhusiwa kupanda madhabahuni ila leo hii kwenye dini ya kikristu ila baadhi ya mashehebu mwanamke anakuwa hadi askofu mkuu wa kanisa!! je hilo ni sawa ? au ni ukengeufu? ila dini ya kiislamu je ndo iko sahihi? maan mwanamke hapandi madhabahuni.

  • @T-Fellow
    @T-Fellow 9 หลายเดือนก่อน

    Dah! Nibala nakufatilia sana Mkuu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 9 หลายเดือนก่อน +1

    🎉❤Asante Chomoza pongezi kwa Dr Elly. Nimejifunza

  • @mabadamabada8631
    @mabadamabada8631 9 หลายเดือนก่อน +1

    Daktari, Umepiga Nondo Zimeingia.

  • @NangomanMangaya-uh1kr
    @NangomanMangaya-uh1kr 9 หลายเดือนก่อน +1

    This is the Law of Universe,thank you Dr.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu ni Mwalimu Mkuu! Be blessed..!

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Dr Elie Mungu akutunze baba .

  • @geoffreyluvanda7801
    @geoffreyluvanda7801 9 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri sasa. Sasa vipi kama mwanzo wa mahusiano Wenu haukuwa vizuri ulianza naye mahusiano kwa kuvutiwa na umbo Lake na mmeshazaanaye watoto na mnaishi wote ila mwanzo wa husiano yenu nitamaa sio upendo wa kweri unashauri vipi Doctor

  • @user-be9jt4fd2k
    @user-be9jt4fd2k 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo nilivoelewa mimi ni kwamba Dunia imefikia hapa ilipo kwasababu Mwanamke hajasimama kwenye nafasi yake sawasawa kama mlinzi ndomana shetani anatawala familia na Jamii kirahisi au bado sijaelewa msaada

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa uwepo wako. MUNGU AENDELEE KUKUPA MAFUNUO, TUNABARIKIWA.

  • @evangelistrobinsongospel
    @evangelistrobinsongospel 9 หลายเดือนก่อน

    Amen ....Mafundisho yako Yana nibariki sana .....

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana yote ....Mubarikiwe sana

  • @lionewstv6333
    @lionewstv6333 9 หลายเดือนก่อน

    ❤Ahsante Dr. Ellie

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dr. Eli ubarikiwe sana. Nakuomba umshirikishe pia kijana Evans kama unavyomshirikisha Bro Jimmy kwa kumtazama kumgeukia n.k najua unajua uwepo wake na unamuheshimu . Mbarikiwe sana

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 9 หลายเดือนก่อน

      Jambo Hilo hata mie nililiona kitambo.... Nadhan love ni kitu natural sio kwamba anamchukia bali, natural interest haipo!

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 9 หลายเดือนก่อน

      Tendency kubwa ya Dr ni sam, lakini probably amemjua sam kupitia Jimmy but still nasisitiza haina shida coz hata YESU alimpenda Zaid Yohane kati ya 12 apostles 😂😂😂

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 9 หลายเดือนก่อน

      @@johnmligo6966 Nashukuru kama nawe umeliona hilo. Sema inakata sana. Dr nimsomi sana na nina uhakika anajua kbs skills za kuongea na mtu zaidi ya mmoja. Ni kama vile mwalimu anapokuwa darasani ni lzm ashirikishe watoto wengi kadri awezavyo ili kuleta hamasa kwa watoto kujifunza . Hapa hatakiwi kumpenda au kutompenda na nina Imani anampenda tu vizuri.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 9 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe mwenye ujumbe; asante sana❤

  • @neemalaizer1385
    @neemalaizer1385 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Dr Elly naendelea kujifunza mengi

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa doctor

  • @alexkiswi5218
    @alexkiswi5218 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @user-io6ue1bl7x
    @user-io6ue1bl7x 9 หลายเดือนก่อน

    let us know how a woman failed spiritually kindly.

  • @NangomanMangaya-uh1kr
    @NangomanMangaya-uh1kr 9 หลายเดือนก่อน +2

    This is the Law of Universe,thank you Dr.