"Mawazo" Sehemu Ya 2 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

ความคิดเห็น • 50

  • @lameckjohn3257
    @lameckjohn3257 ปีที่แล้ว +6

    Ukweli ni mmoja, njia ni nyingi.....mara nyingi sana nimekuwa najua vitu pasipo kuweka impression in my mind, cant believe all you've said today I knew them for the past 3 years.......surely be blessedly

  • @samuelbahizire761
    @samuelbahizire761 ปีที่แล้ว +6

    Le grand maître DR ELIE you are a blessing to générations
    Keeping you in my prayers

  • @witnekidoti6160
    @witnekidoti6160 ปีที่แล้ว +1

    asante sana kwa somo zuri sana najifunza mengi kutoka kwako

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 ปีที่แล้ว +3

    Thank you Daddy ❤️ you

  • @neemasimba927
    @neemasimba927 ปีที่แล้ว +2

    My all time teacher...Dr.Ellie !!stay blessed always team chomoza.

  • @rehemaelibariki9222
    @rehemaelibariki9222 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde Dr Ellie wewe ni mwalimu mwenye maarifa mapana nimepona mengi kupitia masomo haya.

  • @josephkarabhona3538
    @josephkarabhona3538 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Doctor. Tunaomba utumie zaidi kiswaili.

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 ปีที่แล้ว +2

    Happy 2023 Dr. Elie and Chomoza team. You have been a blessing in my life. Looking good Dr. Elie in that clean-cut suit. May God continue to bless you all for your service. Asanteni sana.

  • @documentariestvshow
    @documentariestvshow ปีที่แล้ว +2

    Hili Somo ni nyeti, watu tunasikiliza kwanza hatukimbilii kusoma comments. Mungu awabariki wafuatiliaji wote na team chomoza🙏.

  • @poliamgunda
    @poliamgunda ปีที่แล้ว +1

    Naendelea kujifunza nawashukuru chomoza kwa kuendelea kutuletea Dr Ellie

  • @egidekalume1085
    @egidekalume1085 ปีที่แล้ว +1

    Merci pour le message docta.on est richement béni

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 ปีที่แล้ว +2

    Happy New year Team chomoza heri na baraka kwetu sote . Somo la leo ni nyeti sana itabidi nirudi mara yapili kusikiliza , shukran sana mubarikiwe

  • @thomasl.6079
    @thomasl.6079 ปีที่แล้ว +4

    After reading "road to reality" Reading Deepak Chopra, dr joe dispenza , I getting what dr is talking about...

    • @mleusatoshi3278
      @mleusatoshi3278 ปีที่แล้ว

      sure dr. Joe and Elie...

    • @TAASISI
      @TAASISI ปีที่แล้ว

      Please mention the outhers of each book I want to read them too

  • @brown24photography
    @brown24photography ปีที่แล้ว

    Dr Elie Mungu akubariki nimejifunza vitu vingi sana Asante

  • @subirajohn8298
    @subirajohn8298 ปีที่แล้ว

    Dr. Akili kubwa sana. Mungu akubariki

  • @johnfubusa1598
    @johnfubusa1598 ปีที่แล้ว

    Mungu awape mahitaji ya mioyo yenu na balaka zote mnatubaliki sana

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana, Godbless all team chomoza,ningeshauri katika somo hili Kama doctor anaweza kuwa na michoro,aelekeze kwa njia ya mchoro ingekuwa poa sana

  • @happystevemaganga1873
    @happystevemaganga1873 ปีที่แล้ว +2

    Suti inampendeza sana Dr.👔👨‍⚖️

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 ปีที่แล้ว

    I love you God bless you Team chomoza, am blessed

  • @veenahr7683
    @veenahr7683 ปีที่แล้ว +1

    Happy New Year Dr.Ellie na wenzako studioni🙏🙏✨✨✨✨✨

  • @brown8558
    @brown8558 ปีที่แล้ว

    Thank you Dr. Ellie and Chomoza Team.

  • @T-Fellow
    @T-Fellow ปีที่แล้ว

    Nakubali Dr. Elie

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 ปีที่แล้ว

    Asante baba, Heri ya mwaka mpya nanyi, nafamili pia

  • @nancynoellacryson5271
    @nancynoellacryson5271 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana Asante Dr Ellie

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 ปีที่แล้ว

    Nilikumiss dokta heri ya mwaka mpya pia. Nakupenda

  • @msnkuli6089
    @msnkuli6089 ปีที่แล้ว

    Dr Elie kaulambia ❤

  • @MbawalaJr
    @MbawalaJr 2 วันที่ผ่านมา

    Dr mimi nimebaki na swalii naomba ufafanuzi kwamba Mungu aliumba watu wawili mwanaume na mwanamke, badae akaumba mwili yaan mwili mmoja ambamo umecontain mwana mke na mwanaume kisha Mungu akawapulizia pumzi ya uhai ili mwili ule uwe na nafs hai. sasa Kuna wale watu wawil wale waliumbwa separately apo mechanism inakaaje walivalishwa ile miili au inakuaje

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa Dr Ellie kuna wakati mtu anahisi pumzi imepungua kabisa mwilini wakati anatembea

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 ปีที่แล้ว

    andika vitabu doctaa😍😍

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa Dr Ellie uhai unatokea nje ya mwili tukisoma 1 king 8:10 and it came to pass when the priests were come out of the holy place that the cloud filled the house of the Lord mfano wewe Dr Ellie maana ya Dr Ellie ni Dr yenye mfano wa Mungu (noble), cloud na star tv maana yake ni cloud yenye star ambayo yana mfano wa Mungu ,ITV maana yake ni international yenye television ambayo yenye mfano wa Mungu ,Efm maana yake ni electronic yenye fm ambayo ni mfano wa Mungu

  • @anneeklund8433
    @anneeklund8433 ปีที่แล้ว

    💕💕💕

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    ❤️

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 ปีที่แล้ว

    Huyu baba ajengewe sanamu

  • @EdmondMosi
    @EdmondMosi ปีที่แล้ว

    Nawafuatilia sako kwa bako

  • @hamisiramadhani9217
    @hamisiramadhani9217 ปีที่แล้ว

    Sauti ipochini sana

  • @faustinemanota1198
    @faustinemanota1198 ปีที่แล้ว

    Naam

    • @neirahaule7830
      @neirahaule7830 ปีที่แล้ว +3

      Please,itakuwa vyema zaidi kama Elimu hii itawekwa katika vitabu.Kwani hii ni Elimu adimu sana

    • @faustinemanota1198
      @faustinemanota1198 ปีที่แล้ว

      Sahihi

  • @mohammedikidwaka9013
    @mohammedikidwaka9013 ปีที่แล้ว +1

    Naomba dokta Heri anisaidie philosophical reason why wengi tukiomba tunaangalia juu. Ata yy mara nyingi akiomba anaangalia juu. Kwani mungu yupo juu? Kama yupo juu kwann tunazikwa chini ya ardhi.

    • @amanihoya8334
      @amanihoya8334 ปีที่แล้ว

      juu utazikwa kwenye mti siutadondoka ndugu?kwanini ukiugua kichwa unakunywa dawa nakeenda tumboni nahatunywi kichwani?

    • @ElizabethLizzysingano
      @ElizabethLizzysingano ปีที่แล้ว +1

      Huu ni mfumo tulietewa na dini lakini kiuhalisia mungu hayuko juu mungu ni chanzo cha kila kitu maana yangu ni kwamba mungu hayupo sehemu kma tunavyodhani bali yupo kwenye kila kitu kilichopo duniani ( mungu ni roho ) anaye experience kwenye kila kitu

  • @silverman6930
    @silverman6930 ปีที่แล้ว

    Dr you never aged my guy 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🙏