Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Sisi ambao tuna mwili tupo na medium yaani tupo katikati kwa sababu ya kudalishana.Watu wengi tunashida ya hilo kwa sababu hatuna medium sio fedha kama tunavyoitafuta bali tunatakiwa kutafuta vitu vinavyoendana na fedha kama medium kwaajili ya kubadilishana vitu mbalimbali.Fedha inapita kama medium na sio kwamba itakaa tu vile tunavyoiona,kumbuka fedha sio mbaya bali ni upendo utakao kaa ndani ya iyo fedha yaani kupenda fedha.
    #ChomozaTv #DrElie #MwangaWaAkili

ความคิดเห็น • 23

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 4 ปีที่แล้ว +2

    Good work,Kazi nzuri Hekima nzuri,maarifa mazuri,Busara nzuri kipindi kizuri.

  • @kelvinwilliam2273
    @kelvinwilliam2273 4 ปีที่แล้ว +4

    My sincerely appreciation to team chomoza and special thanks to Dr. Elie, I pray Heavenly God to grant you many years! You are a blessing.

  • @AsteriaMontgomery
    @AsteriaMontgomery หลายเดือนก่อน

    Asante dr

  • @kaiemujaya7697
    @kaiemujaya7697 4 ปีที่แล้ว +3

    Dr. Ahsante tena kwa kuendelea kutumika.
    Somo la leo limekuwa kubwa sana kwangu, bado naendelea kutafakari labda wiki ijayo nitafungua uelewa zaidi.
    MUNGU akubariki.

  • @vipajimediastar7556
    @vipajimediastar7556 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Dr eli umehuska kutumika kuwa mfunguzi wa mambo mengi yaliyo fichika

  • @AsteriaMontgomery
    @AsteriaMontgomery หลายเดือนก่อน

    No ya Dr nnamaswali kwake

  • @raphaelkita6737
    @raphaelkita6737 4 ปีที่แล้ว +1

    Wisdom

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana thank you time chomoza

  • @alexeliud3454
    @alexeliud3454 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabark timu chomoza

  • @raymondprosper7790
    @raymondprosper7790 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli huwa mnani gusa sana chomoza mungu awabariki sana jamani # dr elie shikamoo baba.

  • @godwinwolfgang4722
    @godwinwolfgang4722 4 ปีที่แล้ว +1

    Real dr. Uko vizuri
    Be blessed

  • @monicamaulus3443
    @monicamaulus3443 4 ปีที่แล้ว

    Team chomoza na Dr Elly kazi yenu ni njema, Mungu azidi kuwabariki. Dr Elly naomba ufafanuzi zaidi nawezaje kujua kipaji changu?

  • @paschalbudeba9599
    @paschalbudeba9599 4 ปีที่แล้ว

    kipindi kinacho nipa hamasa ya maisha mungu awe nanyi sana

  • @emmanuelmayombo6188
    @emmanuelmayombo6188 4 ปีที่แล้ว

    Kazi inakwenda vizuri sana nawashukuru sana

  • @agreytarimo5449
    @agreytarimo5449 4 ปีที่แล้ว

    Namuelewa sana Dr..... Mbarikiwe

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 ปีที่แล้ว

    Masomo haya kila uchao najifunza sana, leo umenilenga Mimi, thank Dr . God bless you.

  • @magesagodfrey4049
    @magesagodfrey4049 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @truesuccessstorymedia4058
    @truesuccessstorymedia4058 4 ปีที่แล้ว

    Thanks doc

  • @bethuelnyudike6461
    @bethuelnyudike6461 4 ปีที่แล้ว

    Iko poa. Nazidi imarika katika kuishi na binadamu wenzangu

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 4 ปีที่แล้ว

    nataka kuonana na dr jamani

  • @allyiyombe1692
    @allyiyombe1692 4 ปีที่แล้ว

    Saf

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 4 ปีที่แล้ว

    kipindi changu bora na sijawai panga kukikosa