MOYO WA SHUKRANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Yesu anawaambia wale wakoma (10) wakajionyeshe kwa makuhani lakini hawaambii warudi kwake baada ya kujionyesha kwa makuhani.Yesu anapombariki mtu HADAI chochote "in return" kutoka kwa huyo mtu, isipokua ANAKUPIMA kwa hicho alichokubariki nacho, Je utarudi kumshukuru?
    Sio tu kwa habari ya Mungu, hata kwa watu|mtu jifunze kurudi na kushukuru ambaye amehusika na kukuvusha sehemu kwenye maisha yako, wengine wanakupa kidogo kwanza kukupima kabla hawajakupa kikubwa.
    Ni lazima kujifunza kutunza mahusiano na Mungu, lakini pia na watu|mtu aliyekusaidia.
    #PastorSunbella#Moyo#WaShukrani

ความคิดเห็น • 8

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @joycekariuki46
    @joycekariuki46 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee bwana mungu wa majeshi nalinua jina lako juu ya majina yote kaa Nami mfalme pia nawatumishi wako bwana halleluhya

  • @irenebidaz9071
    @irenebidaz9071 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏👏 kweli kabisaaaa moyo wa shukurani ndio unaompendeza Mungu

  • @joshuagama6846
    @joshuagama6846 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sn mchngaj Sunbella kyando kwa Somo zuri

  • @ezekielluhas3351
    @ezekielluhas3351 3 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu kwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi 🙌

  • @kingdomsingers2213
    @kingdomsingers2213 2 ปีที่แล้ว +1

    Something I got pst

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 3 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa