Yeye hahitaji kuwa na vyeti ni ufuatiliaji tu kwa wataalamu. Unapokuwa mtaalamu ni mhimu kuwa na uthibitisho wa utaalamu. RC yuko sawa si unaona akina Bashite walikuwa na mashaka na vyeti lakini kwa nafasi yake alifanya kazi kubwa iliyopelekea kuanzishwa kwa kamisheni ya kudhibiti na kupambana na madawa ya kukevya hapa nchini. So si kila nafasi ina hitaji usomee ila kama ni utaalamu ni mhimu. Huoni kama ni madudu kwa vifaa kuwa na miaka mitano alafu wananchi wanasafiri mbali kufata huduma.
@@sadockchengula5542 kwa hiyo hapo anapuyanga tu maana hao watumishi hawajathibishwa wizarani? Mkuu wa mkoa ndiyo amepewa mandate ya kuwakagua vyeti vyao huu ni uvivu mkubwa wa kufikiri kufokewa na wachungaji was mbuzi kwenye vituo kazi serikalini nk
Machine zimekaa 4 years bila kuwashwa Wala kuwa tested Wala kuwa commissioned Hizo Ni lazima zitakuwa zimepitwa na technology na hivyo kuwa obsolete hata Kama Ni mpya
Huo ndio uelewa wa wanyonge hapa Bongo Mimi siyo mnyonge wa kuunga mkono mawazo mgando kama haya ya RC kama huyu hiyo ni kazi ya kitaalam inafanyika kwa utaratibu wake
Sio watanzania tu bali ni wafrika wote aliyeturoga aliifa na alituachia laana kubwa tunasema utumwa uliisha tulipo pata uhuru lakini utumwa wa akili bado umekidhiri katika akila za wafrika.lazima kufatwa kama watoto ili watu wazima wafanye kazi ni aibu kubwa sana.
Tuwe wawazi, kazi ya udaktari ni ngumu sana wapendwa, mkuu kwa kweli watu wanapokosa itabidi waadhibishwe ila kwa madaktari kazi yao ni ngumu sana si rahisi kama tunavofikilia, case kama ni ngumu ni lazima itolewe rufaa ila iking'ang'aniwa kituoni akifa itakua deni, mi nadhani tujalibu kuheshimu madaktari, ila wanapokosea lazima waadhibishwe
Kumbe waganga wengine ni chenga. Vifaa serikali inaleta halafu havifanyi kazi na kila siku wagonjwa wengi rufaa hamtoi hadi vifo vinatokea. Kweli ni halali mkuu wa mkoa akusukumie ndani.
Hi nchi inataka watu km Hawa wanamamuzi ya kizalendo sana nchi hii wapo wachache sana yupo makonda alikuepo mzee makamba magufuli mzee baba kasimu majaliwa japo nisiseme nitakamatwa
Vyeti sio tatizo Cheti na uwezo wa kufanya kazi ni vitu 2 tofauti, Kupata GPA kubwa sio kwamba ndio mtu anauwezo mkubwa wa kufanya kazi. Vyeti wanavyo ila ni kufanya kazi hawawezi na mishahara wanataka
Jmn turudi huku ktk utendaji, hongera Mwanri ulifanya kazi yako vzr
Kabisa mkuu
Viongozi wa hivi ndo kweli wazalendo. Anaongea na anachukizwa na kukwama kwa huduma from heart
Km unasoma comments km Mimi gonga likes
Mkuu wa mkoa. I salute you . Wewe ni mchapa kazi na watetea wanyonge. Karibu kwetu Kenya utondolee wazembe kazini. Hongera...
Siasa za kipumbavu serikali haijaajiri wataalamu wa kutosha halafu unalazimisha watu wafanya operesheni
Alie sikia simple question na expressed question anipe like zangu jmn 😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
A straight forward question
Kama umeona waliounga mstari wakimsikiliza RC tupia like hapa
Kweli kabisa hao ni wapuuzi
big up mkuu wa mkoa wa toroto nakukubali sana kwa kazi yako unayofanya MUNGU akulinde kwa kazi yako
Amiin
Kuomba vyeti vyao ni sawa sawa haiwezekani miaka minne vifaa vimekaa tu pumbavu zao kabisa kongole kwako RC
Uko sahihi mzee miaka minne daah
Huyu jamaa alitakiwa awepo kwenye baraza la mawazri maana yupo imara sana
Wapatikane wakuu wa mikoa wengine 10 tu kama huyu,kuongeza na Raisi wetu,tutaenda mbele.Hongera sana mkuu.
I appreciate, Kweli magufuli anawatendaji wanoendana na speed yake na wanamwelewa
Hongereni sana viongozi, JEMBE Angry Mwari
It is useless. Elimu ni shida. Wizara imetumia mamilioni ya fedha kununua equipments lakini wafanyakazi wake hawana uwezo.
@@babanicole815 kwa hiyo ungekuwa wewe ungefanya mini hapo halafu anaomba vyeti vyao na yeye aoneshe vyake dawa ya moto in moto shit
Yeye hahitaji kuwa na vyeti ni ufuatiliaji tu kwa wataalamu. Unapokuwa mtaalamu ni mhimu kuwa na uthibitisho wa utaalamu. RC yuko sawa si unaona akina Bashite walikuwa na mashaka na vyeti lakini kwa nafasi yake alifanya kazi kubwa iliyopelekea kuanzishwa kwa kamisheni ya kudhibiti na kupambana na madawa ya kukevya hapa nchini. So si kila nafasi ina hitaji usomee ila kama ni utaalamu ni mhimu. Huoni kama ni madudu kwa vifaa kuwa na miaka mitano alafu wananchi wanasafiri mbali kufata huduma.
@@sadockchengula5542 kwa hiyo hapo anapuyanga tu maana hao watumishi hawajathibishwa wizarani? Mkuu wa mkoa ndiyo amepewa mandate ya kuwakagua vyeti vyao huu ni uvivu mkubwa wa kufikiri kufokewa na wachungaji was mbuzi kwenye vituo kazi serikalini nk
Enzi za magu Mambo yalikuwa safiiiiiiiiii sana
We acha tu
Nakukubali sanaaaa mweshimiwa mkuu wa mkoa. 🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥
Ni Kweli mkuu waambie hao wanazingua
Alufu hulela hulela😂😂😂😂 ,, ambaye kaipata hyo Gonga like
Eeeh 4years that is to long ,autority is a charity hongera mzee kwa job nzuri
Jamaaa at best kwelii hongera sanaa na asante sanaa hapa ni kazi tu
Mamaa SAMIA MIMI MTANZANIA MWANACCM HUYU MZEE MRUDISHE KWENYE SYSTEM
Bonge la kiongozi yani unatufaa mbeya mh rais tuletee mbeya
KAMA UPO TAYARI KUPIMWA TEZI DUME HAPO GONGA LIKE NIWASHE MASHINE 😂😂😂😂
Mzee kikwete aliwaletea machine safi
🤣🤣🤣🤣🤣
"😁😁Mganga mkuu wa mkoa weka mguu chini" Gonga like kama umesikia
😂😂
Km umesikia zima hiyo gonga like
Safi sana kiongozi mungu azidi kkupa nguvu uchape kazi💪
Duh..! Vyombo vipya,havifanyi kazi. Jenereta mpya,hatuna umeme.!? Hiyo ndiyo Bongo.
Hatariii sana
😢😢😢😢 duu bongo jaman hiv shida nin kama watu hawana uwezo wa kuoparet kwanin wawang'ang'anie .aiza wawaletee xpat kuwatrain tu
Wale wa Toronto tujuane
Torontoooooo hoyeeeeee
I am right here from Toronto . Najivuniya kuwa Burundian-Tanzanian-Canadian
P1
Mwanri Nikboko aise
Tunafanya Operesheni Hapa hapa Ole wako Afe mtu Hapa kwa Uzembe out
😂😂😂😂
😀😀😀😀
😅😅😅
Bado kuna watu wanavichwa vigumu serikalini na hawataki kuwa wabunifu. Machine zimeletwa miaka 4 hajawahi kufanya kazi. Daaah.
Utawala bora hautumii amri za kuwandamiza.watu.kwa hiyo.watumie.hela.zao mifukoni kuendesha hospitali tuachane na uonevu huu tuthukumiwa siku kiama
Ila huyu mama dr anajua kujibu maswali nimempenda anajua namna kujibu maswali strategically
Aliesikia alfulela, hadithi za Esopo...gonga like
❤🔥🔥🔥
Kama umesikia Out gonga like hapa
Rafiki angu magu ulimtoa wapi huyu hongera sana
😂😂😂Muheshimiwa wakienda kuuza viazi uwape na sare zao tuwajue 😂😂😂
😂😂😂
Machine zimekaa 4 years bila kuwashwa Wala kuwa tested Wala kuwa commissioned
Hizo Ni lazima zitakuwa zimepitwa na technology na hivyo kuwa obsolete hata Kama Ni mpya
😅😅😅😅😅 we kiboko asee
Respect sana kwa mkuu wa Mkoa Tabora enzi hizo...Aggrey Mwanri.
Unapongeza mtu hajasoma hapo alikuwa tuition unamuona hapo anaelewa mini?
Huo ndio uelewa wa wanyonge hapa Bongo Mimi siyo mnyonge wa kuunga mkono mawazo mgando kama haya ya RC kama huyu hiyo ni kazi ya kitaalam inafanyika kwa utaratibu wake
Ni kwerr mkuu. Hongera sana
Yani natamani siku huyu mkuu achukue nchi naona tutakaa vzur sana
Aliyeturoga watanzania!!!. Mungu anamuona, miaka minne vifaa vipo bench
Sio watanzania tu bali ni wafrika wote aliyeturoga aliifa na alituachia laana kubwa tunasema utumwa uliisha tulipo pata uhuru lakini utumwa wa akili bado umekidhiri katika akila za wafrika.lazima kufatwa kama watoto ili watu wazima wafanye kazi ni aibu kubwa sana.
Oooooooyes I congratulating you Region Mwanly
😀😀😀Hizi ndo hadith za Alfu Lela Ulela
Ekaya za abunuasi elsopoo 😁😁😁😁
Nakubalii mzeee babaa mungu akusaidieee
Ongela sanauu ndiye utumishi sahh kabisa
Sawa kabisa mhe Mwanri huu ni uzembe mkubwa sana mashine kukaa miaka minne bila kafanya kazi
Inawezekana wagonjwa wa operation hawakuwepo sasa madactari wafanyeje?
safi sana Mh. utendaji wako ni wa kukumbukwa
Kama uko hapa na huez endesha hiz mashine outiiiii🤣🤣🤣
ccm hii tumeipenda kiukweli maana r.c mwanri hana mchezo kwenye awamu hii ya j.p.m
Hao hawajui kuzitumia😃😃. Atoe veti uone madudu hapo😂😂
Safi Sana nimeipenda
Mashine miaka minne tangu zije wangapi wamekufa kwa kukosa huduma hiyo hili tatizo
Nampenda sana ❤
Ole wako mtu afe sasa nae anakwendaaaaaa safi sana mkuu nakupenda sana fukuza wote wanaofanana na ao
Wafanyakazi wa Tanzania ni wengi wao ni wazito sana sijui ni kwa nini
Kama umesiki neno vihiyo gonga like hapa😂😂😂
Daaah huyuu mzeee namkumbuka sanaaa nataman one day awe rais tuwasomeshe ramani Kwanza tuwapime sutii 😂
Tuwe wawazi, kazi ya udaktari ni ngumu sana wapendwa, mkuu kwa kweli watu wanapokosa itabidi waadhibishwe ila kwa madaktari kazi yao ni ngumu sana si rahisi kama tunavofikilia, case kama ni ngumu ni lazima itolewe rufaa ila iking'ang'aniwa kituoni akifa itakua deni, mi nadhani tujalibu kuheshimu madaktari, ila wanapokosea lazima waadhibishwe
Mkuu wa mkoa safi sana, huyu awe waziri.
Alishawahi kuwa wazili wa.elimu
Dàaah kweli wamebanwaaaa
Namkubali Sana Magufuli na watendaji wake
Tutakuelewa tu mzee mkubwa! Tunajifanyaje hatukuelewi kumbe tumejaa urasimu tu!!
Hahahaaaa
Ngombea uraisi babaa nakukubari sana Mimi
Da! Mkowapi jamani ,mbpna mmelala? Hamtaki kujifunza jamani
Kama ulichukua cheti muhimbiri hauko compentent !! tupishe na ole wako mgonjwa afeeee😂😂😂😂😂😂
Dah 4 yrs machine ziko idle kwel .. afu msigwa anasimama bungeni serious et watu wasifatiliwe wakae ofcn...
Mh. Hapo hakuna wasomi, hvi hawa watanzania wamelogwa nn lakin mpka waje wazungu kuvifanyiakazi
Hongera sana kiongozii
Kam huna tatizo utakaa mkao ufanane na tatizo ulilonalo😂😂😂😂
😂😂😂
😁😁😄😄😃 ilaa daah. Miaka mi4 kwelii?? Alieturoga
Wakuu wa mikoa wengine mbona kimyaaaaa, mnanini?
Mama samia mpe sehemu huyu mwamba ana fanya kazi kwa juhudi
Akina mama msituangushe jamani.mkipewa nafasi mzitendee haki.
Kama kuna vihio 😂😂😂😂
vyeti.!!! ?some times ndo tatizo la kuajiriwa ..!
W
Kumbe waganga wengine ni chenga. Vifaa serikali inaleta halafu havifanyi kazi na kila siku wagonjwa wengi rufaa hamtoi hadi vifo vinatokea. Kweli ni halali mkuu wa mkoa akusukumie ndani.
Hapo sawa mkuu watu wasidanganye na pia wamuangushe Rais Kama hawawezi KAZI Basi wapishe Rc uko sawa
Tupeni mheshimiwa aje Kenya awe raisi wetu jamani...
Saidah licious 254 you’ve Mr Matiang’i in Kenya, That’ Guy can change Kenya if chance is given to him .
Magufuli au mwanri
@@batusimajogoro610 wote ingependeza
Na sisi je!😳😳
@@esterkiyabo1329 😀😀
Dah hakika nimekumis Sana. Mwanri sukuma ndan aiseee ipo siku mama Samia atakurudisha madarakan usukume watu ndan
Aibu kwa wasomi jaman hiv hata hawa wanyamwezi wa Sikonge vipi jamani na ndio hao waliobahatikaga na Baloz wa kwanza baada ya Uhuru jman.
Hili jembe jembe lingefaa pale kitengo cha afya ingependeza Sana maana anaspidi ya 4G Safi mkuu
Mh. Wewe bora kuliko wakuu wote mikoa hongera sana unastahili kuwa mkuu wa mkoa wa Dar. Big up Mwaniri
Nakupenda sana we mzee
Mimi napendekeza uyu bwana achukue nafasi pale magu atakapo maliza mudawake namkubali sana
Dah hii Hospitali ya Nyumbani kabisa kijijini kwetu, najisikia faraja sana kuona Waheshimiwa sikuizi wanafika hadi vijijini.
Huyu akiwa mwalimu wako zero inakuhusu😂😂😂
😂😂😂
aisee huyu jamaa namkubali sanaa
Km huna vyetu twambiye mapema ukauze viazi speed 120
Baba we konki zaidi ya master
Safi sana, watanzania wanatoka hivyo
Toronto IPO juuu!!
Ole wake mtu afee hapaa, u declear mapemaaaa😂😂😂
Inasikitisha sana.wananchi wanakosa uduma vifaa vimefungiwa chumbani.watu hawajielewi kwakweli
Rais wetu yuko safi ndio maana watendaji wake safi
Hi nchi inataka watu km Hawa wanamamuzi ya kizalendo sana nchi hii wapo wachache sana yupo makonda alikuepo mzee makamba magufuli mzee baba kasimu majaliwa japo nisiseme nitakamatwa
Hongera sana mkuu wa mkowa
🤣🤣🤣😂namkubal can mze mwanry
Sema baba madaktari hewa waende kupumzika
Rc nakutabiria kuwa raisi wa tz miaka ijayo watakoma
Huyu jamaa anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani..
Umeona eee
Vyeti sio tatizo Cheti na uwezo wa kufanya kazi ni vitu 2 tofauti, Kupata GPA kubwa sio kwamba ndio mtu anauwezo mkubwa wa kufanya kazi. Vyeti wanavyo ila ni kufanya kazi hawawezi na mishahara wanataka
Nilishasema Magufuli ni ugonjwa unaoambukiza Magu heyeeeeee mpaka ashindwe mwenyewe
Ha ha ha haaaaaaa tena ugonjwa mbaya sana
Haki tukiwa naviongonzi kama hawa nchi yetu itasonga bele
Kaz kuandikia watu wanajazana muhimbili referal, machine zpo et hamna wataalam watu wanamaliza degree za udaktari wanaambiwa kaz hamna inakuja kweli?!
😄😄😄Safi sana mkuu wa mkoa...Mguu pande
Huyu mheshimiwa namkinari sana. Anafaa kuwa Rais wa Nchi hii, ningeomba jamani aombwe agombee urais, huyu Mama hafai kuwa Rais
2022 sukuma ndani jenereta iko hapa sitaki kusikia habari za umeme😁😁🔩
😂😂😂😂😂😂😂
@@jacquilinenoah949 😁😁😁🔩
Ila bado.ulikuwa kiongoz bora mpaka sasa
Jembe rakazi ligine hiliapa mbadara ya j p m tuta kukumbuka kuwamengi Sana magufuli mungu yupamoja nawe