RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025
  • RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"
    Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amemuhakikishia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa miradi yote inayotakiwa kutekelezwa ndani ya mkoa wake itakamilika ndani ya muda kwa sababu yeye sio mtu wa utani na atakayethubutu kumuangusha atamchukulia hatua kali.
    RC Mwanri ameyasema hayo katika jukwaa la Biashara na Uwekezaji lililofanyika mkoani humo na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Majaliwa, ambapo pia amemuomba kutimiza ahadi za serikali katika kuendeleza ujenzi wa viwanda mkoani humo.
    #RCMWANRI #WAZIRIMKUUMAJALIWA
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK

ความคิดเห็น •

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 6 ปีที่แล้ว +230

    Mh. mkuu wa Mkoa MUNGU akutuze Kwa Jina La Yesu Kristo, yote uliyo Nena kuhusu maendeleo MUNGU akatimiza kwa Jina La Yesu Kristo wote tuseme Amen

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 6 ปีที่แล้ว +240

    Kama na Wewe Unamkubali Mh. Agrey Mzee wa fyekelea ndani tugonge like hapa twende Sawia

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 6 ปีที่แล้ว +30

    UMETUWAKILISHA vyema wazee. Tumezoea kuona wakuu wa mikoa vijana
    Hongera saaaaaaaana Comrade Mwanri.👏👏👏👏👍👍👍

  • @riphathpeterson6364
    @riphathpeterson6364 6 ปีที่แล้ว +25

    Sincerly speaking tuache wivu Jamaa anijitaidi sana and also he is a good speaker so much hauchoki kumsikia full wisdom good RC Mwanri

  • @stellahmajala7697
    @stellahmajala7697 6 ปีที่แล้ว +20

    Duh! Nampenda Sana mkuu wa mkoa huu lugha anayotumia it's so nice ucheshi na pia anajua jinsi ya kuishi na watu wa aina zote najivunia kuzaliwa Tabora

  • @magehkihwele8274
    @magehkihwele8274 6 ปีที่แล้ว +49

    Kuna utajiri wakunukia humu lakini kuna umasikin wa kunuka ahahahaaaaahaaa mkuu wa mkoa Tabora Nakupenda sana M/mungu azidi kukuweka😍😍😘

    • @lilianlema3107
      @lilianlema3107 6 ปีที่แล้ว

      Huyu ni mtumishi wa Mungu ana hekima ya Mungu haweki watu ndani hovyo kama wakuu wa mikoa wengine.

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 6 ปีที่แล้ว +34

    fantastic ,adorable ,awesome speech ..Shakamoo Adri Mwanri

  • @sophyeliah954
    @sophyeliah954 6 ปีที่แล้ว +117

    Ukiwa na lengo utapata mipango ukiwa na mipango utapata mikakati ukiwa na mikakat utapata mbinu ukiwa na mbinu utapata ushindi... Nmempenda nimeipenda!!!!

  • @aloysrugazia
    @aloysrugazia 6 ปีที่แล้ว +19

    Hotuba nzuri. Angetoa hotuba hii kwenye medani za kimataifa natumai ingepata heshima kubwa. Imejaa mizaa, imeelimisha imetoa taswira ya kitaifa, historia adimu ambayo wengi hawaifahamu lakini pia mtoa hotuba Mhe. Aggrey ameongea sio kama mtu bali kama taasisi. Aggrey hana ushamba wa uongozi wala taabu yoyote katika kuwanyenyekea viongozi wake wa juu na siyo kwa unafki wala uoga bali kama sehemu ya kudhihirisha uongozi bora. Hotuba hii inapaswa kutazamwa na viongozi wa kisiasa na wanafunzi wa siasa nchini. Aggrey ni mwanasiasa hodari.

  • @arfaxadmangowi9691
    @arfaxadmangowi9691 6 ปีที่แล้ว +38

    Safi sana, wapigishe mchakamchaka mpaka wahitimu, na Roho Mt akuongezee neema, upendo, nguvu na kibali, ili ukamilishe kazi uliyotwa na Mungu hapo Tabora

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 6 ปีที่แล้ว +99

    Huyu jamaa ni very intelligent

    • @eventelias3566
      @eventelias3566 6 ปีที่แล้ว +2

      Kaiza Mulinda ya hali ya juu

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +27

    Huyu mzee namfuatilia kila nikiweka bando gonga like Kama naww nihivo

  • @isibingotv2206
    @isibingotv2206 6 ปีที่แล้ว +51

    He is good person , only time will tell

  • @nyamitmm1227
    @nyamitmm1227 6 ปีที่แล้ว +429

    Kama unanipenda tabora na mkuu wa mkoa wa tabora wake like

    • @musatbobius5472
      @musatbobius5472 6 ปีที่แล้ว +5

      Tabora mmepata jembe la ukweli mkimchoka tunamuomba Mbeya

    • @nakimvungi4221
      @nakimvungi4221 6 ปีที่แล้ว +4

      Hongera mkuu wa mkoa

    • @musatbobius5472
      @musatbobius5472 6 ปีที่แล้ว +2

      Mkuu kura ya ndiooooo kwako😁😁😁😁😁😁

    • @ibrahimmaganga3429
      @ibrahimmaganga3429 6 ปีที่แล้ว +2

      Naipnda ila cmpendi mbunge wangu zd

    • @ibrahimmaganga3429
      @ibrahimmaganga3429 6 ปีที่แล้ว

      @@musatbobius5472 ohoho hatutaki

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 6 ปีที่แล้ว +149

    Hata Kama were siyo mtabora Kama Mimi...ila unamkubali mzee wa fyekelea mbali. Gonga like usipite kimya

  • @allyianbgoya5163
    @allyianbgoya5163 6 ปีที่แล้ว +8

    Najivunia Tabora mkoa wangu na mkuu wetu wa mkoa. Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Tabora na mungu mmbariki RC aggrey Mwanri kuongoza na kuwaongoza Tabora. Amiin

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 ปีที่แล้ว +12

    Kiongozi wa kiroho katika utumishi wa Serikali huyu. Hekima na busara na maarifa mengi yako katika kinywa chake na ni energetic. Anayo haiba ya uongozi. Hongera kwake. Anaitendea haki nafasi yake na kuzidi....

  • @hasheembishopgaulige4803
    @hasheembishopgaulige4803 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ambariki Baba huyu amejaa hekima kubwa mno ahsante tunashukuru Tabora mmepata mkuu wa mkoa anayewaza mema sijuu ya tabora tu bari Tanzania nzima

  • @edisonkayaman8851
    @edisonkayaman8851 6 ปีที่แล้ว +80

    Una maalifa sana yakuelewesha jamii ya watu ambao elim ya nindogo MUNGU akujalie ufanikiwa na wana nchi wako

  • @acreymwanisenga9549
    @acreymwanisenga9549 6 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja sana mkuu wa mkoa wetu,mungu akupe maisha marefu,Kama na naww unampenda gonga like

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Tabora ni sehemu iliyobeba historia kubwa sana hapa Tanzania. Leo hii Tabora iko kama Toronto Canada. Hii kauli imenijaza furaha sana.. Nakupenda mzee wangu Aggrey Mwanry, ww sio mkuu wa mkoa wa Tabora pekee yake, ww ni mkuu wa mikoa yote ya Tanzania. Mungu akutie nguvu ktk kazi zako...akuangazie nuru za uso wake. Amen.

  • @jacksonpeter4931
    @jacksonpeter4931 6 ปีที่แล้ว +84

    Huyu Mzee nampenda Sana tuko safi mno.

  • @pamahujusaid4397
    @pamahujusaid4397 6 ปีที่แล้ว +2

    kiongozi ambaye kwasasa anapendwa na watu wate na pia anafuatiliwa sana,kwani huchuki kumsikiliza ,pia anamaneno ya kutia moyo na busara na utani kiasi.kweli nampenda mno mno.Rais amepata jembe sana .mungu mbariki Aggrey mwanri na familia yake umpe maisha marefu na umjaze roho wako amuongoze katika kazi zake za kila siku .AMEN

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 ปีที่แล้ว +112

    RC Bora Tanzania 2018 no comment!

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 6 ปีที่แล้ว +1

    I do appreciate you Mh Mwanri ,, unajua kujenga hoja kiukweli hebu waamshe wana Tabora kiuchumi wanyanyuke...

  • @thomasenockgogomoka6056
    @thomasenockgogomoka6056 6 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mku wa mkoa @Agrey Mwami kazi yako ni nzuri unajua shida za mkoa wako na namna ya kutatua kero za mkoa wako. Unafanya kazi kwa manufaa ya maendelea ya mkoo wako, wewe uko tofauti sna na wakuu wengine wa mikoa.Mungu akubari sna

  • @kelvinmathias7357
    @kelvinmathias7357 6 ปีที่แล้ว +17

    Hongera Rc Agrey Mwanri Mungu akibariki na akutimizie haja na hitaji la Moyo wako

    • @saidabdallah3764
      @saidabdallah3764 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana mwanri unafanya kazi nzuri sana hongera sana

  • @humphreymahenge7455
    @humphreymahenge7455 6 ปีที่แล้ว +14

    Daah Mungu akupe maisha marefu..maana Mungu kakupa hekima, busara na maarifa..hongera mkuu.

  • @danielmbumila24
    @danielmbumila24 6 ปีที่แล้ว +47

    Kama umeaona akicheka Mkuu wa mkoa😂😂 konga like hapa

    • @magekiria4716
      @magekiria4716 5 ปีที่แล้ว +1

      upo vizuri mkuu mungu akulinde

  • @kiptookomen4127
    @kiptookomen4127 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania ya Viwanda ndiyo hii.
    Inchi inanyooka BAM BAM!!
    Lengo
    V
    Mpango
    V
    Mkakati
    V
    Mbinu
    V
    Ushindi
    V
    BAM BAM!!
    Mkuu wa Mkoa Mwanri Chapa Kazi. 👍👍👍👍

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanri ni mkuu wa mkoa anaeimudu kazi yake nakupa big up sana mzee chapa kazi kwa sana tu mkuu

  • @e.kabendera
    @e.kabendera 6 ปีที่แล้ว +8

    Kwa Mara ya kwanza katika serikali ya Magufuli naona MTU mwenye HEKIMA na busara katika uongozi wake , kiongozi ni yule ambae akitokea watu humfurahia na si kumnunia . Mwanri yuko vizuri kwakweli !

  • @johnbruno1043
    @johnbruno1043 6 ปีที่แล้ว +97

    umoja wa wasoma koment tanzania(uwakota)tunamkubali agrey

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu RC wa Tabora no mfano wa kuigwa na viongozi wengine ktk taifa hili,ana kipaji cha kuelimisha wananchi na kuwashawishi kushiriki ktk shughuli za maendeleo ya mkoa.Hongera sna Mwanry.

  • @miriamulameck826
    @miriamulameck826 4 ปีที่แล้ว

    Mungu mkuu na amubariki kwa kazi nzuri mheshimiwa aggrey mwanri na aendelee kumpa maisha marefu

  • @hagaieliya7942
    @hagaieliya7942 6 ปีที่แล้ว +3

    Niliwahi kuwa nae tukizindua jengo la hospital ya polisi lilojengwa na the pool of Siloam Church tulikesha wote daah anampenda MUNGU kuliko jambo lingine, MUNGU BABA ambariki sana,

  • @lissochacha5218
    @lissochacha5218 5 ปีที่แล้ว +10

    Huyu jamaa anafaa kuwa rais gonga like kama jibu ni ndio

  • @matheihaule8586
    @matheihaule8586 6 ปีที่แล้ว +111

    huyu ajekuwa wazili mkuu au rais yuko vizur sana

    • @janethjustin5256
      @janethjustin5256 5 ปีที่แล้ว +3

      Mimi pia namuombea hivyo awe waziri mwisho wake awe Rais kabisa safiii

    • @imamuhemedi4387
      @imamuhemedi4387 5 ปีที่แล้ว +1

      MATHEI HAULE

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaani huyu mie nampenda aje kua Rais akimaliza Magufuli, yuko poa sana tena ni mzalendo

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rehemaibrahim8475 ha ha haaaa

  • @abdallahrunwa1886
    @abdallahrunwa1886 6 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa nami mwananchi wa hapa Buseresere nakupongeza sana uko vizuri viongozi wa sampuri yako ndiyo wanaohitajika katika serikali yetu ya Awamu ya tano hongera wana Tabora mmepata mkuu wa mkoa JEMBE...!

  • @seniemmanuel763
    @seniemmanuel763 6 ปีที่แล้ว +2

    najivunia sana kuwa mkuu wa mkoa mtendaji na mchapa kazi, TABORA stands up

  • @musatbobius5472
    @musatbobius5472 6 ปีที่แล้ว +23

    Ktk maisha yang sijawai ona Rc km huyu,Mungu Kwanza jinsi ya kufikisha ujumbe kwa jamii Ni wa ainayake Mungu akubariki nakuombea

  • @musatbobius5472
    @musatbobius5472 6 ปีที่แล้ว +2

    Wanatakiwa km Hawa Kila mkoa,ndio tutaenda kwa spidi Kali lkn tusipomtanguliza Mungu Mambo hayataenda ,Mambo mengine bila Mungu na maombi tusahau kubadilika,huku mbey nguvu nyingi saan badala ya hekima km Agrey,natamani kuhamia tabora

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 6 ปีที่แล้ว +25

    Yani Wewe Mkuu Wa Kwanza Naona Uko Na Busala Wengine Yeye Kaz Kuiponda Serikali Unafikili Kama Yeye Kazaliwa Ulaya Badala Ya kutumia Elimu Yake Kutoa Mawazo Ya Kujenga Wao Wakiwazacho Kubomoa Tu AKili Zao Mbovu Kweli Wewe Mfano Kwa Wapiga Kelele

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakuinua Mpaka dunia ishangae...piga kazi Baba unakubalika sana

  • @semenimtoka1121
    @semenimtoka1121 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kama kunge kuwa na mkuu wa mikoa yote tanzania chin ya waziri mkuu bas 2nge mchagua huyu aisee maguful ongera una wachapakaz kwel kwel gonga like kwake

  • @amcmwanza1217
    @amcmwanza1217 5 ปีที่แล้ว +3

    Kqma unaona uyu mkuu yuko sawa gonga like APA ilinijue

  • @estherngowi3690
    @estherngowi3690 6 ปีที่แล้ว +55

    Hakuna mchagga mjinga akilini. watu wenye akili lazma wafanye vitu vyenye akili. Gonga like bas kama tunaenda sawa!!

  • @bonifacemohono3486
    @bonifacemohono3486 6 ปีที่แล้ว +70

    Uyo bwana anafaa kuwa kiongoz mkuu serikalini ili aissidie Tz nxima kwel ataibadilisha nchi

    • @dr.johnsonnyamohanga585
      @dr.johnsonnyamohanga585 6 ปีที่แล้ว +1

      Hakika ukigombea uraisi Hakuna wakukupinga Mkuu una pita bila kupingwa, Mungu abariki kazi ya mikono yako!

    • @kambangwachanneltv8166
      @kambangwachanneltv8166 6 ปีที่แล้ว +1

      Alishawahi kuwa naibu waziri wa tamisemi awamu iliopita

    • @mwaramikibuga1314
      @mwaramikibuga1314 6 ปีที่แล้ว +1

      Kati ya watu ninaowakubali mmoja wapo ni wewe,, kwa kweli ni muwazi sana

    • @gracioussteven7953
      @gracioussteven7953 6 ปีที่แล้ว +1

      @@kambangwachanneltv8166 na mambo yake yalikua hivi hivi

  • @mohamedsaidmohamed8664
    @mohamedsaidmohamed8664 6 ปีที่แล้ว +3

    Mzee Hodari kwa kuongea .....salute RC 🙌🙌🙌💯

  • @issasalim7688
    @issasalim7688 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee Hachoshi ku msikiliza hakika Nimepata bahati yakushudia Mkuu wa mkoa Bora kabisa Kutokea Tz 🇹🇿

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana, alikuwa mbunge wangu wa siha, alitufanyia makubwa sana siha, safi sanaaaaa

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 4 ปีที่แล้ว +1

    Duhu hili jembe kwelikweli mungu akuoe maisha siku moja uwe wsziri

  • @maryosward1879
    @maryosward1879 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani viongozi wa awamu ya tano naomba mungu awatunze mzidi kufanya kazi kwa moyo kwa ajili ya nchi yetu

  • @tharisilamacha6359
    @tharisilamacha6359 6 ปีที่แล้ว +1

    wakuu Wa mikoa ndio huyu sio hawa wanaopiga siasa asante Baba kwa kuwa umemweka Mungu mbele utaweza na kufikia malengo.

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa jicho la tatu ni .mtumishi wa Mungu huyu ktk serikali

  • @cosmasdaud3463
    @cosmasdaud3463 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa kaonewa kuwa mkuu wa mkoa
    Nicomedian mzur Baraa
    Gonga like kwa comedian

  • @sawanjema4889
    @sawanjema4889 6 ปีที่แล้ว +33

    safi sana mkuu,kwa kunena na neno LA mungu pia ubarikiwe

    • @rachelpaul188
      @rachelpaul188 6 ปีที่แล้ว

      Yaani kwa mara ya kwanza kumuona anaongea anacheka

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akubariki sana mh mkuu wa mkoa wa tabora uko vzr sana unaona mbali sana nimeamini kweli unaufunuo wa mwnyz mungu

  • @geriadsuku8167
    @geriadsuku8167 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanyooshe mkuuu naomba 2020 muheshimiwa rais akuhamishie mkoa wa kigoma iliutunyoshee mkoa wetu tuko nyuma sana mkuuuu.

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 6 ปีที่แล้ว +16

    Hpa Makonda hafiki hata nusu. Huyu jmaa hatar Saab,

  • @gracejulius5000
    @gracejulius5000 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh jaman mzee yupo vzr,tabora wakimtumia vzr na kumsikiliza ase watatoboa,ana mawazo kibao ya maendeleo,tabora isipobadilika sasa sjuiii asee,huyu sio kiongozi wa ofisini ni kiongozi wa watu

  • @mohafishaal4190
    @mohafishaal4190 3 ปีที่แล้ว +1

    Rc mwanri ni mtu ya kazi kuchapa hongera sana

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 6 ปีที่แล้ว +70

    Jamaaa ana flow without kusoma kwenye karatasi......yuko vyemaaa

  • @ramsonrabison8612
    @ramsonrabison8612 6 ปีที่แล้ว +25

    yahani hukiona hii suraa basi jua hutaongeza siku za kuishi kivyovyote vile yahani hii sura ni ya kubembelezea watoto lazima ucheke hee mungu msaidie haya kwako mwalimu kashasha hunazungumziaje hii.

    • @braysonlema3623
      @braysonlema3623 6 ปีที่แล้ว +1

      Ramson Rabison mwalim kashahsha tumpe wizara ya michezo tukacheze kombe la dunia 2020

    • @bonifaceitilima5871
      @bonifaceitilima5871 6 ปีที่แล้ว

      Big up mkuu

  • @gabrieladam491
    @gabrieladam491 5 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaah umetisha Baba Fyekelea ndani maendeleo ya Tabora

  • @elizabethdismas7660
    @elizabethdismas7660 4 ปีที่แล้ว +1

    Naweka MB kwa ajili ya kuangalia Huyu mzee tu. Weka like tujuane

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Hakika nitakuombea hata mimi, mkuu wa mkoa wa Tabora Mungu awe pamoja na ww, utayaweza yote haya katika jina la Yesu Kristo, Amen. Usiwe na wasiwasi wala hofu kwasababu Yesu Kristo ni ngome kwetu sisi wana wake. Neno la Mungu ktk kitabu cha Isaya 41:10..inasema usiogope kwamaana mi niko pamoja nawe, usifadhaike kwamaana mimi ni Mungu wako, nitakutia nguvu, naam nitakusaidia naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. Mungu aibariki neno lake. Amen.

  • @masoudymichael1434
    @masoudymichael1434 6 ปีที่แล้ว +19

    Hongera tabora sisi mkoa wetu anapambana tu na upinzani kila kukicha

  • @jafarsalum8656
    @jafarsalum8656 6 ปีที่แล้ว +4

    cjaona hata comments mbaya zinazomhusu mzee huyu
    hakika ni mfano mzur sana mzee umetisha

  • @mawazomacleanmwangobola6806
    @mawazomacleanmwangobola6806 5 ปีที่แล้ว +8

    Nje ya ukuu wa mkoa kazi zingine anazoweza kuzifanya ni
    1.kuhubiri
    2.kuigiza(comedy)

    • @muhamedyabdal9541
      @muhamedyabdal9541 4 ปีที่แล้ว

      Mkuu wa MKOA wa tbr tuko vzr na niseme anakipaji cha kuongea vzr kama Mwl. Nyerere. Hicho ni kipaji.

  • @michaelmuriithi6808
    @michaelmuriithi6808 6 ปีที่แล้ว +8

    I envy Tabora..The RC has his province at heart..he is a true leader..a leader with a vision for his people...he is concise..he is God fearing, he loathes corruption, he respects authority, he is a TRUE leader...God bless you RC

    • @mailacamillius
      @mailacamillius 6 ปีที่แล้ว

      Umeandika maneno mazuri, lakini hukuwa na sababu ya kuandika kiingereza. Speech Ipo kwa Kiswahili, hakuna haja ya ku-andika kwa Kiingereza

    • @mzadomwongozo3671
      @mzadomwongozo3671 6 ปีที่แล้ว

      True bila kusahau mkuu ni rafiki, ukibahatika kukutananaye face to face naamini utanielewa zaidi.

  • @sawanjema4889
    @sawanjema4889 6 ปีที่แล้ว +64

    kwa mtazamo wangu naona ukuu wa mkoa haumtoshi ila angekuwa waziri wa nchi,mfano michezo tungecheza hata kombe LA dunia

    • @emmanuelkapaya1131
      @emmanuelkapaya1131 6 ปีที่แล้ว +1

      Kabixa

    • @relaxmedia4934
      @relaxmedia4934 6 ปีที่แล้ว +2

      Yaah awe WAZR wa michezo huyu ni zaidi ya jpm yaan kamzd jpm ubabe pia busara

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

      Sawa Njema 😂 😂 Msanii Huyu

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว +1

      😂 😂 😂 siha walipata hasara kubwa kumkosa mwamri Kuwa mbunge Wao

    • @daniiboaa9337
      @daniiboaa9337 6 ปีที่แล้ว

      Umezariwa Lin? Google CV yake

  • @acrestv3377
    @acrestv3377 6 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri mkuu tunakuheshimu sana mkuu wetu wa mkoa wa tabora

  • @onesmosteven5673
    @onesmosteven5673 6 ปีที่แล้ว +35

    Mzee nakukubali sana mh agry mwandri wewe kwanza ni mbunifu unatumia hekima kweli apo ni toronto

  • @emanuelmwakarata9721
    @emanuelmwakarata9721 6 ปีที่แล้ว

    Uyu mkuu wa mkoa yuko vizuri sana mungu ampe maisha matefu

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mkuu anakipaji cha uongozi, nakubali Sana Sukuma ndani

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 6 ปีที่แล้ว +48

    Rc wa Toronto oyeeeere

  • @omarisukari7760
    @omarisukari7760 6 ปีที่แล้ว +36

    Your the best hongera Mheshimiwa

  • @mustafakubri1924
    @mustafakubri1924 4 ปีที่แล้ว +1

    Anavyoongea hasomi kwenye karatasi lakini hatoki kwenye njia,ni speech ambayo imeenda bachelor!! anaekubal flow hii twende sawa

  • @pichabapa2201
    @pichabapa2201 6 ปีที่แล้ว +1

    mwenzake yupo anakimbizana na Fiesta. Hongera zako Mhe.RC

  • @wilsonnyabagaka2265
    @wilsonnyabagaka2265 6 ปีที่แล้ว +8

    Mzee mwenye busara na hekima zilizotukuka bigup, sichokag kuskliz speech zako aise

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 6 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali Sana huyu baba,kwangu Mimi ni mkuu wa Mkoa Bora kwa sasa..Big up Sana mzee Agrey..unastahili kuwa Mkuu wa mkoa

  • @castormbiliz2973
    @castormbiliz2973 6 ปีที่แล้ว +2

    penda sana rc wangu gonga like kama we mnyamwezi og

  • @andrewkimaro7717
    @andrewkimaro7717 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu mzee kiukweli Mungu ambariki sana ana hekima ya hali ya juu na anajua anafanya nini na kwa wakati gani...

  • @thobiasgodfrey9687
    @thobiasgodfrey9687 6 ปีที่แล้ว +1

    Best RC nchi nzima more than .....konda

  • @ezrommkambati2948
    @ezrommkambati2948 6 ปีที่แล้ว +6

    Nakukubali sana mkuu wa mkoa wa Tabora, mambo ni bam bam

  • @erickpaul9999
    @erickpaul9999 6 ปีที่แล้ว +3

    Jamn huyu baba Mungu amlinde.. Amina!

  • @publicadvisor6952
    @publicadvisor6952 6 ปีที่แล้ว +76

    UONGOZI NIKIPAJI NA SIO WOTE WENYE HIKI KIPAJI

  • @leonardp.bundala6989
    @leonardp.bundala6989 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze uwe na maisha marefu pia mafanikio mema

  • @tinamuller6942
    @tinamuller6942 6 ปีที่แล้ว +8

    Wana Tabora km kwa juhudi hii ya mkuu wa mkoa tutashindwa kuendelea but tutakuwa tunamatizo yakujitakia maana Tabora wamezaliwa watu wenye akili. Pamoja tujenge Tabora yetu.

  • @leopodyagusti9658
    @leopodyagusti9658 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ilibdi awee *Comedian* tena serious comed.. kwa *Anaebisha afanye kama anajikuna afuu aone* 😂😂😂😂😂

  • @vanrojaz8773
    @vanrojaz8773 5 ปีที่แล้ว +1

    tunaotoka toronto..gonga like hp

  • @thewellministry9008
    @thewellministry9008 6 ปีที่แล้ว +2

    Ukimweka.Mungu mbele my brother utatoboa tu!

  • @innocentleon989
    @innocentleon989 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh ni wa pekee sana mungu akubariki baba yangu

  • @gastonkaiza3758
    @gastonkaiza3758 6 ปีที่แล้ว +16

    Wew ni mtumish wa Mungu alafu wew unatakiwa uwe wazir wa elim

  • @ibrahimmaganga3429
    @ibrahimmaganga3429 6 ปีที่แล้ว +5

    Kiukweli mmmmmmmh mungu humuongezea kweli kwenye hekima huongezewa hkima

  • @odranslayo3298
    @odranslayo3298 6 ปีที่แล้ว +110

    huyu Mkuu wamkoa anatumia sana hakma kuelimisha jamii

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vzr bb,hamia shinyanga.

  • @bekarpaul
    @bekarpaul 6 ปีที่แล้ว +18

    Rais magufuli huyu anapaswa kuwa ktk balaza lako la mawaziri na km ukimpa wizara ya kilimo na mifugo basi jua utakuwa umepata jembe ambalo halitokuangusha

  • @tominowino
    @tominowino 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mara ya kwanza nimetumia data yangu nliyolipia kumsikiliza Mkuu wa mkoa usio wangu kwa dk. 19.
    He is smart.

    • @timothymgopa2740
      @timothymgopa2740 6 ปีที่แล้ว +1

      sijawahi kuspend data yangu kusikiliza RC period,this guy is good