Hii ndio Serikali tunayohitaji watanzania.Hakuna manyanyaso,mwenye haki anatendewa haki.Asante Rais Dr JPM kwa kuonyesha dira kwa watendaji wa Serikali.Mungu akubariki Rais wetu,awabariki DC na RC kwa kutenda haki.
😂😂😂😂Mwenyekiti wa kijiji anakunywa maji ili kulainisha koo, anaujua mziki wa RC mwanri si wakitoto kwenye kuuliza maswali hasa pale unapokuwa ushavulunda 😊
kudadeki, hawa sindio viongozi bhan aseee mungu atawapigania
sana ktk uongoz wenu
Hii ndio Serikali tunayohitaji watanzania.Hakuna manyanyaso,mwenye haki anatendewa haki.Asante Rais Dr JPM kwa kuonyesha dira kwa watendaji wa Serikali.Mungu akubariki Rais wetu,awabariki DC na RC kwa kutenda haki.
upo vizur rc mungu akubakuki coz unawatetea wanyonge
Kama umemuona mwenyekiti anashushia maji gonga like.
🤣🤣🤣🤣
😀😀
boniphace tabu hahahah we noma
😂😂😂
boniphace tabu anatakiwa awekwe ndani huyu mwenyekit mpumbav kabsa eti walichukuwa viwanja kumi kwajili yamaendeleo mama akabaki naviwili hahahaa
maamuz mazur sanaa rc tbr nakukubali sana mzee wangu...
kama unamkubali mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa gonga like hapa
Huyu mzee ni mtetezi wa wanyonge na mfanya kazi bora. Ni mtendaji sn anamsaidia raisi ipasavyo.
Dah kwel nmemuona 🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂
Mwamvua Ulled sisoni
Ilitakiwa uwe naibu wazr TAMISEMI hakika Mwanir🌹🌹🌹🌹🌺💐🌷
Hakika huyu jamaa anajua uongozi mungu amuongoze
Sitaki kusikia viwanja 10 vyote virudishwe mnasema aaaaaaaah kabsa tuelewane hapa cyo kufanya vtukibabe vngnevyo sukuma ndani
Huyo mama anaesinzia Sukuma ndani mkuu hayuko makini na kikao
Labda ajisikii vizuri
😁😁😁😁😁
😂😂
hahahaa hayuko makini kwel
Alie mwona mama kachapa usingizi 😂 😂 😂 😂 like hapa
Im not from Tanzania but this is why i love Tanzania with a passion
huyu mkuu wa mkoa Mungu ampe maisha marefu
Looh viwanja kumi 🤔🤔🤔mwenyekiti hata kama ni ww ungetoa
Haswaaa mkuu wa mkoa uko sahihi sana inakuaje uchukue viwanja kumi vyote halafu unatumia ubabe???
Jamani wakuu wa mikoa wengine jifunzeni kazi kutoka kwa huyu mzee,tunataka inchi nzima iwe hivi hapa kazi tu.
Mko vizuri Sana wakuu
Ubarikiwe ndugu Mwanri
Kama unamkubali rc mwaniri gonga like
😂😂😂😂😂 wee aaaah ama zangu ama zao
Haya ndio maamuzi ya kiongozi mwenye kujali maslahi ya jamii yake
Hii ndiyo haki MUNGU AWABARIKI viongozi waadirifu Kama ninyi
Kazi kweli kweli!!!!!
Naomba mwendelezo jmn maana hii Habari ni nzuri Sana kuisikiliza
Mwenyekiti zarau zimemjaa sana hata sura yake inaonyesha
Vinginevyo sukuma ndani
Ndio walivyo majeuli sana na majeuli hatari hawasamini laia wao
Sukuma ndani
😂😂😂😂Mwenyekiti wa kijiji anakunywa maji ili kulainisha koo, anaujua mziki wa RC mwanri si wakitoto kwenye kuuliza maswali hasa pale unapokuwa ushavulunda 😊
AMA ZAKO AMA ZANGU SUKUMA NDANI.
Ahsante sana mkuu
nimekuelewa mzee baba
Tuko pamoja mkuu wa mkoa nakukubali sana natamani unge kuwa tanga
yan nataman awe wa kwetu tanga anyooshe maana kumeoza tu sio maendereo mikoa mingine inamaendereo
Uko vizuri Mkuu was mkoa Tabora
Jamani sukuma ndani no no no ubabe by low tengua kila kitu 🙏🙏🙏
Mh, maguful tupe huyu MWANRI SINGIDA, kwa MAENDELEO zaid, hongera yako, TABORA TORONTO
Big up mkuu wa mkoa natamani ungekuja songwe yangekiona cha moto
Aje Tanga kuna uhitaji wa huduma hii
Huyu Mwanri angelepekw Dar il akasukume maendeleo ya Jiji mbele,Bashite kapwaya
Nksimama itakua shughuli hapa😂😂
I wish ungekuwa RC wa Mbeya
viongozi kama mwari ndio tunao wataka
Kama umesikia mwambie hajiandae mwenye kiti akapatwa na kiu akashushia na maji like
Uyu mwenyekiti alisikia katajwa jina kwanza kanywa maji hahah kaona hii ya moto leo😂😂
Kamata Sukuma ndani #aggreyvoice
Njooo mbeyaa mkuu
Hicho kijiji kinaitwa cha kupokonya?
Sukuma ndan hao matapeli
We baba unatisha sana nakukubali sana dha
Huyo mwenykit wa chama gan mbona anadharau sana unapewa maagizo afu anatabasamu viatu havimtoshi hata kdg .
Kama umesikia duh vyote ivyo gonga like
Baada ya magufuli ni huyu mwanri no discussion.god saidia hili litokee.
Joesph Justine kuna jembe Lukuvi umemsahau
Kibaoo kitageuka hapaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Alieona mkuu wa wilaya ni mzuri nani
Ama zangu ama zao ee bwana ee aseee napenda sana kukusikiluza baba
apo sawa nakubal mkuuuuuuu
Kwanza usimwambie mkuu wa wilaya akusikiliza kibao kitageuka hapa😁😁🔩2022
uyu ndio kiongozi bora anatetea haki ya mnyonge
HUYU JAMAA NAMTANI SANA WAMLETE SHINYANGA ETY
Safi sana RC
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN DAHAAA HESHIMA
Kama umesikia ama zangu ama zao gongs like👌
ndio tatizo hawa viongozi wakijj kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu masuala ya uongozi
Mwanri ybarikiwe
Nakuaminia mkuu maana uyo mwenye kiti njaa kalii......?
HUYU JAMAA NAMTANI SANA WAMLETE SHINYANGA
Sukuma ndan
Huyu RC tunamuitaji MARA
Mnamuhitaji na nani
Chacha Magoti hujaelewa au
Malima anawatosha acha aendelee kuwalima ni jembe
boniphace tabu duhhh
Millad umeanza kumfatilia uy mda sana nakubal
Jamaa anapiga kazi
baba njoo tanga were jembe
Agrey mwari🔥🔥
Mungu akubariki mkuu wa mkoa
Hiyo Kali sna
Mwenye kiti anashushia maji Mana kaz a ndogo
Ama zangu ama zao no nooo
bigup rs mwanir
wewee inatakiwa huyu jamaa baaada ya magu tumpe huyu jamaaa anafaa sana kuwa rais wa jamhuri
Nikisimama hap itakua balaaaaa
😂😂
Tanzanian inahitaji viongozi kama hawa, tumechoka na viongozi makanjanja.
Mwanri wanyooshe matapeli hao
Mwambie ajiandae kieeehhh
safi sana arudishe
hujawai kukosea baba tetea wanyonge
Asant mkuu umeunguruma
Haswa huyo alielala sukuma ndani mkuu hayuko makini
Hk ni Tabora njoo Morogoro viwanja vyangu nilipimiwa lilikuwa shamba hapo awali na nilipewa muongozo kuwa ni Mji na haitakuwa tena mshamba
Kama umemwona mama kasinzia
Gonga5
Maji maji joto Tabora nime gonga like 👆🙏
Mkuuu wa wilaya na mkuu wa mkoa chupa na kizibo hongereni saanaa kutetea wanyonge that's sprit of magufuri
Kibao kitageuka hapa halafu nikiamka itakuwa shughuli
Sukuma ndani
Yani kati ya kumi na mbili wakachukua kumi Daaah?
Ikaja grader ikapitishwa barabara ndani ya baadhi ya viwanja na nimelipa tena hela nipimiwe eneo upya wakati nilishalipa awali hilo eneo na ramani ipo
Eeh bana eeh
Skuma ndani huyo mbabeee
Tusianze kuendesha halmashauri kibabe hapa😂😂
Kazi ipo
mwanriiiii kiboko yaoooo!!!!
Wakuu kama Hawa wako wapi siku hizi.
👏👏👏👏👏👏👏👏👍
Nani ako na Number ya DC tafathari
,😂😂mwanri
Nimetenguaaaaaa...hahahaha ...aa ...hee
Hahhahaha wanyonge awamu hii ya maguful tunapata hakizetu
Asaaa ww munyonge
"Kibao kitageuka hapa halafu nikisimama itakuwa shughuli..."
Wisdo Muta
Na mpaka leo hii kazi ya upimaji bado toka 2018 December na hela nimeshatoa tuna karibia mwaka 1 hii ndiyo Morogoro
Mama huyo njaa2 inamsumbua sukuma ndani
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Ama zangu ama zao😆😆😆