I can only imagine this guy as president of Kenya for a year.....for nothing but restoration of discipline and accountability in the civil service! Big up RC Mwanri for your exemplary service to the people of Tabora, awesome servant people of Tz.
Bravo Mh Rc, " nimepita kwenye Kamati ya siasa nimepitia a substantive report, sitaki conspiracy, mnazunguka zunguka ku-Conspire". Very suggestive reasons hii ndio aina ya viongozi tunaowataka hamuonei mtu.
Jamani eeh !! Kama huwezi kufanya kazi ya kutumwa tumwa, fanya kazi ya kujituma mwenyewe, hakuna atakayekubugudhi ukila mtaji atakaye adhirika ni wewe mwenyewe !! Kazi ya utumishi ni kujituma kweli na sio usubiri mpaka utumikishwe !
Safi sanaaa mkuuu mm niko Pemba ila nakukubali sanaa tena sanaaa weww na mh Ayoub Mahmood mkuuu wa mkoa waa kusinii Unguja safi saaanaaa kmataaa haaaooo
TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA BIRA RIBA WALA THAMANA CHANIKA MVUTI MIL 1.5 MPAKA MIL 4 MBEZI MPIGI MAGOHE BEI MIL 5 MPAKA MIL 10 MBEZI MAKABE BEI MIL 12 MPAKA MIL 20 #EPUKANA NA MADALALI KUTANA NA MMILIKI HALALI NIKUKOPESHE VIWANJA #CONTACT #0658399990 #0682871678 #0742111170
Anaependa uyu jamaa ajekuwa rais agonge like tujuane
Chriss Jmunga 😂😂😂😂😂 yani apa kazi tu
Chriss Jmunga daah uyu noma sana hahahahahahaha
Tatizo mchaga atarudisha ndugu zake kwa system
nimekupenda bure muheshimiwa...
@@msowanelson5452 huo Sasa ukabila unaleta
I can only imagine this guy as president of Kenya for a year.....for nothing but restoration of discipline and accountability in the civil service! Big up RC Mwanri for your exemplary service to the people of Tabora, awesome servant people of Tz.
Napenda saana Viongoz wa tanzania wanavo simamia kazi Zao from 🇨🇩🇨🇩
Huyu ni mzee wa SITE he is good leader 👏✍️
Bravo Mh Rc, " nimepita kwenye Kamati ya siasa nimepitia a substantive report, sitaki conspiracy, mnazunguka zunguka ku-Conspire". Very suggestive reasons hii ndio aina ya viongozi tunaowataka hamuonei mtu.
R I P Magu ulituletea majembe pumzika mzee wetu
Eeeeeeeeeeiii!!! This is my business baasi.., gonga like kama unampongeza muheshimiwa kwa kazi nzuri anayoifanya👍👍💪👊🇹🇿 currently 🇧🇭
Hata huyo mkuu wa wilaya,anatakiwa awekwe ndani,anaonekana na yeye yumo kwenye sakata hilo
Duh siopoa
SimaZetu
Azammax
Mambo
Kama umesikia nitabadilika sura ya sura hap gonga like!😜😜😜
Anasema abadilishe sura wakat sura ishabadilika tayarii jamani
Kweli kabisa Mkuu kazi ya Doctor ni kutibu watu siyo kujenga kisima.
Malipo hewa tumbua hao watu. Km unamkubali Mkuu wa Mkoa gonga like
Wanaomkubali Rc Mwanri Like Twende Sawa.
Kama unampenda na umeelewa gonga like
Hatari
Sana
Jamani wasaidizi wengine wa muheshimiwa Rais mumuige huyu Rc ili tusongembele
Nakubal
Heey This is my business you listen what am saying, waache wizi polojo nyingi watu mnakula hela za wananchi. Asante sana kwa kazi nzuri
😹😹😹😹😹😹😹😹anaecheka kama mimi huko alipo aje hapa nimwone🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahahaha 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣
Mm
Haya Ni mambo serious sana sio hata yakufurahi watendaji weng ndo tabia zao
Fyekelea mbali sukuma ndani👏👏👏👏👏
Nimekubari, piga kaz mheshim
Hahahahaha huyu jamaa magu ypo nyuma
Kama umesikia Namgongaa gonga like
Mbona kipande kifup Au picha linaendelea 😆😆
Shaban Kapona 😁😁😁
Namgonga
Hatari sana
Mshua hafai
If the Kenyan leadership was all like this we would now be light years away from our messes!
Shouldn’t leadership be in the hands of the PEOPLE?
Watu kama hawa ndo tunataka, sio unakuwa Kiongozi halafu hufualitii mambo. Gonga like twende pamoja
Aliesikia Mkuu wa Wilaya akiambiwa eeee this is my business gonga like
🤣🤣🤣
Wapi hukuelewa sasa.
Tz people n passionate manze!!!! Napenda this guy, hakuna mchezo kwa kazi
Eeeeh this is my business you listen to what I’m saying 😂
Kama umeskia hiyo gonga like twende sawa vijana 😂😂
i like this he is so funny and serious
Haha
ndo ma boss wa africa ndio maana hatusongi mbele
Huyu jamaa akiwa Rais naona atakuwa zaidi ya Jpm kwa huu moto sio wa kawaida🤣🤣😱😱😱
😂😂😂😂
Si Mchezo Jamaaa Na Gubu Kishenzi
Ana Swaga Za Kuwa Mwalimu Mkuuu Wa Sec
duh kwa kweli...ila kesha stafu uRC. sasa sijui atakuwa mbunge au?
Ndo inatakiwa iwe hivyo
Hey!! this is my business😂😂😂hakuna kuongea mtu hapa I like it😂
Hatar
Jamaa anatisha
Very serious regional commissioner
That man is supposed to be our president after president Dr John pombe magufuri
Safi sana arusha tunakukumbuka kwa kazi nzuri rc mwari karibu arusha mkuu
the spirit of the late pombe magufuli is on this guy....hongera
Mungu akupe maisha marefu mzeeeee
Asante baba wewe ni chaguo sahii kwa baba magufuli
"Anafanya kazi nzuri sana uyu AGRREY MWANIRI"
Huyu ndie msaidizi nguli wa Mh Rais .... Safi sana Tabora juu👏👏👏👏
Big up brother , we need leaders like you
Nakukubali Mheshimiwa na kazi iendelee.hakuna kubembelezana wakati hela inapotea kila kukicha 👍👍👍
Huu mkutano wa kwangu hapa sitaki kuona mtu anazungukazunguka nyenyua cm uone😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Nakugonga🤣🤣
Nicko Tv mmmmmmmm,nakufa jaman
😆😆😆 Namgonga,
Hili dingi iposiku litachinja mtu wallahi😆😆
Hahahahaaaa
Umeona kk
🙉
Hahahaaa atanyonga mtu asee
Tena sana 🤣🤣🤣
Full respect mzee was Toronto
The best RC in tz akunaga mpeni ubunge tabora msituangushe 100%
hataa kamaa nilikuwaa naangalia video nyinginee,nitaacha na kuplay video yakeeee comedy wangu🤣🤣🤣🤣🤣
yan ww ndo mimi naham kil siku tuletewe vdeo zakee jahahahahahahah
A serious comedian...ever
He is a brilliant comedian hapo anasukuma ndani
Haaaaaa
100% na nusu
Kama unamkubal na kumuombea aje kua mrithi wa baba etu maguful like tujuaneee👊
Amne Idd hahahaaaaa
Huuuuui Tanzania 🇹🇿 mmebarikiwa kweli hawa viongozi wakifika tu wanainchi tumepona.
Katika watumishi wote mkuu wa mkoa wa Tabora anafanya vzr aclimia 100
Oooooooooyes
Kuna yule wa Simiyu nae ni bonge moja la mtendaji aisee
@@kijangapeter5135 hakika
Muze asante Sana , that’s what should be done in every single African country
So we can move forward.
I love this guy, huu ni wizii
Hela zimeibiwa hapa gonga like
Dah namkumkumbuka baba yangu Mr mkazi, mungu na amrehemu
“Substantive report sitaki conspiracy hapa” aaaa RC umeuaaaa
Mwambaaaa
Nakukubali mkuu wa mkoa wa Tabora unajituma sana
Sana asee
Huyu mzee ni Raid wangu,ananikumbusha magufuli dah!namkubali sana!
Tanzania leaders wako sawa, we support your work
Huyu mzee nitamkumbuka sana Agrey Mwanri ningeshukuru kama Mtwara tungepata mtu kama huyu
Wanamchokoza wenyewe😁😁😁😁
Agnes Vintan kwakweli huku ni kumchokoza baba wa watu
Wanamchokoza kweli kabisa
...aacha waisome nambaa eeh!
Agnes Vintan 😀😀😀😀😀😀
Happy baton jamani mmemchokoza wenyewe huyo
Mungu akusimamie ktk kazi zako amin🙋♂️
Mkuu uko vizuri sana Mungu akuongoze ktk harakati zako zote safi sana
Heeeeey this is my busness 😆 huyu mheshimiwa kiboko wllah
That's good coz vitu vngne vnakera sn
RC Wengine watanzania nzima ebu fanyeni kama uyu Mzee alivyo kuwa anafanya namkubaliiii sana
Mungu tuletee kiongozi kama huyu huku Kenya.
He deserve to be a President 2025.
Mh Henry tunaitaji uje dar es salaam tunaomba rais magufuli akulete dar
Na kweli maana Dar ujanja ujanja mwingi maneno mengi kazi hazifanyiki
Kabisa... Mawazo yenu ni mawazo yangu... Akija Dar huyu mzee watu wapenda vyepesi vyepesi watajinyea
Akija dar atapoa uyooo
Mm nataka awe waziri mkuu
Jamani eeh !! Kama huwezi kufanya kazi ya kutumwa tumwa, fanya kazi ya kujituma mwenyewe, hakuna atakayekubugudhi ukila mtaji atakaye adhirika ni wewe mwenyewe !! Kazi ya utumishi ni kujituma kweli na sio usubiri mpaka utumikishwe !
Mmmmm haswaaaa
Nimekusoma
Nimependa sana maneno yako aisee
Ila mzee alkua sawa sana aisee nlitaman angeweza hamishiwa mikoa mingine aichangamshe iwe sawa
Mzee namuelewa yupo makin sana ad raha mwenyenz mungu amtye nguvu
Hahahahaha nitakugonga
Uyu muheshimiwa aje dar jaman kazi nxuri we love you
True!
Wagonge wote walokula pesa....mzee...unaspeed ya 4G mzee I like that
Huyu baba huwa ananipa raha sanaaaaa😂😂
Anakupa nini???????.
Tupo zanzibar hongera sana rc mwanri tunakupat vyema
You are right,let them be attentive to the quetstions.they fear,thank you mzee.
I wish my president could be like this man,oh my God.
Mwanri, Sabay, na Hepi are the best RCs aki
Plus makonda
DC Mungu akujalie
Safi sanaaa mkuuu mm niko Pemba ila nakukubali sanaa tena sanaaa weww na mh Ayoub Mahmood mkuuu wa mkoa waa kusinii Unguja safi saaanaaa kmataaa haaaooo
Umemlipa nani 🙏🙏🙏🙏
Shkamoo mkuu wa mkoa
pigakazi
Tatizo Mnamchanganya wenyewe’ Tumieni fedha vizuri ‘ atawazingua huyo mzee...!
Ntamgonga mtu hapa 😳
Mtetezi wa Wana nchii, This is serious progressive leader
Tabora sikonge Hiyo Njia yngu Kubwa San Hy Miss you Sana apo
CCM hoyeeee I ❤️YOU Tanzania 🇹🇿
Nani amesikia nakupiga chini apaapa gong like apa
strong leader ingawa huwaga anaonekana kama comedian. nahisi yeye anamuelewa vizuri muheshimiwa raisi si hao wengine wanaofanya maigizo kila kukicha
Akitoka magufuri tumuweke huyu jamaaaa🤣🤣🤣Yani naona anaweza kuiongoza nchi😂😂😂
Umeonaaa eeeh atatugonga hatari
Hayo nimawazo yako siyo yawa Tz akitoka Magufuli tutamuweka JOSHUA KIMARO wa morogoro
@@wilsonkimaro6375 Nimawazoyako nawewe siyo yawa tz
@@wilsonkimaro6375 huyo mruguru wako lamda akuongoze wewe
@@amiriramadhan7753 hahahahahahaaa Hakunaga Mluguru anaitwa Kimaro
Nimemkubalii mwshimiwaaaaa💯💯💯💯💯🤸🤸🤸
Huyu mzee, mimi ningekuwa Rais, huyu ningemfanya awe WAZIRI MKUU....
Mwamri ni mzalendo kweliiii
I love him very much!!
🤣🤣😂😂huyu jamaa ipo siku atanyongaaa mtu nasemaaa 😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa, yupo seriously huyu mzee
Hahahahahahahahaha!!, huyu jamaa akiwa Rais atanyonga mtu
Kongole kwa mkuu was mka mwandri ni kioo cha wakuu was mikoa yote kwa utendaji kazi wake big up sana huyu ni magufuli was tabora Hannibal
Yaniii watu wiziii sanaa wallah milion.mo0
Tumerudi kuwagonga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasimamizi mbona mnatesa viongozi wetu Mambo gani haya
Nilifungua hii video nicheke nimeishia kusikitika. Huu ni unyang'anyi wa mchana asee.
unyang'anyi wavip
😁😁
Ao wote sukuma ndani
CONGRATULATIONS FATHER
Kazi nzuri Sana baba
this guy needs to be the president of Tanzania
Zunguuka uoone 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥💪💪💪
TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA BIRA RIBA WALA THAMANA
CHANIKA MVUTI MIL 1.5 MPAKA MIL 4
MBEZI MPIGI MAGOHE BEI MIL 5 MPAKA MIL 10
MBEZI MAKABE BEI MIL 12 MPAKA MIL 20
#EPUKANA NA MADALALI KUTANA NA MMILIKI HALALI NIKUKOPESHE VIWANJA
#CONTACT
#0658399990
#0682871678
#0742111170
Huyu ndo mkuu wa mkoa wa toronto noma sana mboka #unyamwezini juu juu
🤣🤣🤣🤣🙄 Kama unapenda comedy ya huyu mkuu wa mkoa karibu na subscribe channel yangu ujifunze vitu vya asili
hii sio comedy,the dude is always dead serious!
@@errydeo8865 🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣
@@errydeo8865kabisa sio comedy watu wanakula pesa za jamii bila huruma
..huyu MTU yuko serious! Hujui maana ya comedy!!
..watu wanaelekea kulala lock up,uchunguzi unaanza,wakionekana wameiba kweli mahakamani ..kisha jela..unasemaje comedy little idiot!
Kama umecheka Kama mie gonga like
Uyu Mzee mi ningekuwa msaidizi wake angenifunga maana ningekuwa nacheka kila wakati akiongea sasa angejua na mzalau
Ungegongwa
Aliye sikia mzee akisema namgonga like
Nilimmiss sana mwanri 😅😅😅😅😃
Huyu aje kua rais hana tofaut namzee magu💥💥💥🔥ila tyu hela asizbane😂😂
Kweli kabisa, miaka mitano ya mwisho ya rais maguful awe waziri mkuu huyu
😂😂😂😂😂😂😂😂hatare balaaa I salute u sir.nyanyua cmu kama wewe ni ndume
Salute kwako mkuu wa mkoa wa Tabora
Huo mkwara una gharama kuliko hela iliyoliwa!!!
😁😁😁
🤣🤣🤣
Hela zimeibiwa hapa,hela zimeibiwa hapa😂😂 baba nampenda huyu hata siwezi kuelezea
Wimbo *CHUKI* msanii *PLATFORM*
th-cam.com/video/AMCo3Q1txQA/w-d-xo.html Naomba sapoti yako baraka zako ubarikiwe sana.❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ #GODAKUBLESS