MWANRI KAWASHA MOTO MZEE KAONEWA "COME ON MEN, BABU TULIA NITAKULINDA, AGIZA VYOMBO KAMATA WOTE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 421

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 4 ปีที่แล้ว +195

    Nakukubaali Mkuu waMkoa Tabora One' Good- hebu gonga LIKE kama unamkubali huyu Mutu.

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 4 ปีที่แล้ว +77

    Kama magufuri angepata viongozi 20 kama hawa dah tungefika mbali sana nakupenda sana mwanri unafanya kazi bila kuangalia sura safi sana mungu akupe nguvu na uhai ili upewe majukumu makubwa zaidi ya hayo ili ututete wanyonge

  • @florianarchard9451
    @florianarchard9451 4 ปีที่แล้ว +61

    Uyu mzeee bhana ni hatarii kanyoooosha maelezo briefly and clear but simple zaid sana message understood and accepted

    • @salimsaidjr.3894
      @salimsaidjr.3894 4 ปีที่แล้ว

      King Rc tabora Mwenye ezimungu akujaalie Afya umri ili uzidi kututetea

    • @lothmoses8439
      @lothmoses8439 4 ปีที่แล้ว

      Comeooooòooooòooon

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mkuu wa mkoa anapandwaga na pumzi sana ila nimependa ana imigine feeling za maumivu wanayoyapata watu wa chini,, , very finee RC MWANRI👏👏👏👏👏

  • @isakaally3641
    @isakaally3641 4 ปีที่แล้ว +45

    Mwanri nakutabiria uwaziri wa mambo ya ndani ktk jina la Yesu pokea!

  • @beachgizaarea5370
    @beachgizaarea5370 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkuu wa mkoa wa tabora mungu akulinde napenda sana kazi yako nakupenda sana mungu akupe uhai mrefu

  • @lucymacha9578
    @lucymacha9578 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante baba kwa kazi nzuri

  • @buthaymaahmad557
    @buthaymaahmad557 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nimejaa roho mtakatifu lkn roho anisamehe mmeniudhi Sana 😂😂💪

  • @sadockalfred6750
    @sadockalfred6750 4 ปีที่แล้ว +26

    Yaan huyu kiongoz nampenda kwa hekima na busara zake anavyozitumia kwenye uongoz wake bila kumwonea mtu yeyote aise nakuombea kwa Mungu akupandishe zaidi ya hapo

  • @simionmaregesi9738
    @simionmaregesi9738 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana mkuu wa mkoa . Itakuwa vizuri kama mara hii ataletwa mkoa wa mara atunyooshe maan hakuna kinachofanyika uk

  • @saidinalmsofethatsgoodwaya6454
    @saidinalmsofethatsgoodwaya6454 4 ปีที่แล้ว +3

    Front line kutatua kero za wananchi!Good job! My Mwanri tutakumiss Sana'a umewabadilisha Sana'a mind set za wanatabora!

  • @jumaaiddy6933
    @jumaaiddy6933 4 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu mwanri Tabora, wewe ni zao bora sana la Rais Magufuli unafanya kazi nzuri sana sana mikoa.yote ingekuwa hivi nchi yetu ingezidi kuwa nzuri sana aisee,Rais muangalie sana huyu mkuu

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendanga bure unajua kazi yako unajali mwanaiji wa chini babu tulia uyu mkuu wa mkoa ni jembe 💘🔥🔥💪💫

  • @libanjama8154
    @libanjama8154 4 ปีที่แล้ว +50

    African people they, need leaders like this,

  • @OmanOman-gp7xm
    @OmanOman-gp7xm 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi mkuu tanzania tunatakiwa tupelekwe ivyo hongera mungekuwa kama kumi inchi ingehendelea

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 4 ปีที่แล้ว +15

    Hii ndiyo maana tunampenda sana Mhe. Rais John Pombe Magufuli. Je, tunadhani kwamba nje ya uwepo wa Mhe. JPM wanyonge hawa wangesikilizwa. Tanzania tuliishafika mahali pa kila mwenye ndevu kugeuka baba wa familia. Asante Mungu kwa kutujalia uongozi unaojali maisha ya wanyonge. Mimi suala la nani sijui yupi kapotea kwangu si tatizo kubwa. Maana ya usalama wa nchi ni pana, na ndiyo maana inapojitokeza mtu anataka kutuharibia usalama wa nchi, hekima na busara zinapaswa kutuongoza kumharibu yeye ili kusalimisha maisha ya wengi. Vinginevyo napongeza sana juhudi zinazofanywa kuhakikisha Tanzania inafanyika ya Watanzania badala ya kufanyika ya akina fulani tu.

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 4 ปีที่แล้ว

      Hatujawai skia, mwenye hera zake ndo alikua na ruksa ya kuishi peke, wengine ni kupigwa mapanga hivo kama mifugo

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu mzee anafanya kazi vzr sana sio mkuu wangu mpenda sifa makondee

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 4 ปีที่แล้ว +8

    Mzee Mwanri oyeeeeeee. Oyeeeee....! I ❤ you mpenzi. 😁

  • @nasrangayenda1853
    @nasrangayenda1853 4 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana endelea kusimamia haki baba mungu azidi kukupa nguvu na afya njema RC

  • @sengeremaxleo9295
    @sengeremaxleo9295 4 ปีที่แล้ว +22

    We need more leaders like this man

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂Katapembe Katapembe katakatakata dondosha chiniii🤣🤣🙌🙌wacha kabisa iyo kituuu

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke mzee naomba nafasi yko hii ungekua cheo chajuu nchi hii adi raha bonge la kiongoziii god bless u...!!!!!

  • @shufaaiddi1050
    @shufaaiddi1050 4 ปีที่แล้ว +1

    Mi Mwanri namkubali mia. Kwa mia. Good job

  • @jambostaamringa9490
    @jambostaamringa9490 4 ปีที่แล้ว +12

    Uyu mzee kaeleza alivo maliza ujumbe umesha fika anataka kusema sema anajua Sana kujieleza na uyu mkuu wa mkoa ndo atakua mkuu wa mkoa bora kbsa 🙏🏾

  • @emmanuelmosha3107
    @emmanuelmosha3107 4 ปีที่แล้ว +4

    I like this man kwa kweli anapiga kazi. MUNGU azidi kumpa hekima

  • @ivanymtaki3585
    @ivanymtaki3585 4 ปีที่แล้ว +21

    Kama umewaona jamaa wameshikilia bango lisianguke weka like

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 ปีที่แล้ว +4

    Yupo vizuri kazi nzuri hongera mkuu

  • @paiwanjara3502
    @paiwanjara3502 4 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali mkuu big up natamani ungekuwa mkuu wa mkoa wa dsm

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mkuu nimefarijika nautendaji wakoo

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana tutakumiss tu

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm kazi yng kukata pembe wale wote wanaoota pembe!! Hongera sn RC Mwanri

  • @sharonke7442
    @sharonke7442 4 ปีที่แล้ว +8

    This man is leader and a comedian too😂😂😂ningekuwa mtanzania ningempa kura zote

  • @barakamakabara3557
    @barakamakabara3557 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee wa Tolonto kazi njemaa mkuu.... Mungu mwema atakuwa pamoja nawe!

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama samia mrudishe huyu mtu mchapa kazi sana huyu!!.watu kama hawa hawatakiwi kukaa hv hv taifa linawaitajii

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 ปีที่แล้ว

    Mh Mwanri, clips zako nazifuatilia sana. Nimeenda Tabora juzi kweli Toronto yako inapendeza sana!

  • @mkapaliberatus2774
    @mkapaliberatus2774 4 ปีที่แล้ว +1

    Isee mwanry namkubal sana mzee anachaoa kaz

  • @mohammedshaaban9509
    @mohammedshaaban9509 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ndio RC bora kwangu katika serikali ya awamu ya tano
    Aggrey mwanri🙏🙏

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 4 ปีที่แล้ว +13

    Tbr kweli mmelamba dume
    Nampenda sana huyu jamaa🙏🏻🙏🏻

  • @paulmaziku240
    @paulmaziku240 4 ปีที่แล้ว +30

    Aliyesikia..."kaa hapo hapo..mpigieni makofi..!
    Gonga like twende pamoja...!

    • @hassansaid9925
      @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀nimecheka sana

    • @paulmaziku240
      @paulmaziku240 4 ปีที่แล้ว

      @@hassansaid9925
      RC Mwanri anamikwara sana..

    • @hassansaid9925
      @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว

      @@paulmaziku240 tena saaaana ila nampenda anapiga kazi kwakweli

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya mpoki na joti ni huyu mzeee aiseee dahh hahahahahahahahahaha

  • @mohamedirajabu7405
    @mohamedirajabu7405 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali mkuu wa mkoa wa tabora sana natamani Aje Dar es salaam mkuu wa mkoa wa Dar Aende tabora

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +39

    Mzee anapga kaz kichizi, come on meeeeen

  • @jumandutu2275
    @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahaaa sio sir huyu baba huwa ananitoa stress na misemo yake 😂😂😂 come on men'

  • @abdulmembe2349
    @abdulmembe2349 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba angu mwanri juwa fika mwanao na enjoy uwepo wako Sana baba angu hahahaha noma

  • @chibothedon567
    @chibothedon567 4 ปีที่แล้ว +25

    sukuma ndan
    aisee nampenda sana agrei kwa uongoz wake

  • @meddy_upette9511
    @meddy_upette9511 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁 sema polisi kanifurahisha sana kanywea ile mbaya

  • @samuelfilmessimon4046
    @samuelfilmessimon4046 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba hongera sana kwa kutetea wanyonge

  • @sweetbertvahaye1482
    @sweetbertvahaye1482 4 ปีที่แล้ว +1

    My Role model....

  • @revocutuswillibard6854
    @revocutuswillibard6854 4 ปีที่แล้ว +22

    Mi nasomaga comment kwanza
    😂😂😂😂

  • @peterkaombwe6251
    @peterkaombwe6251 ปีที่แล้ว +3

    Mama tunakuomba mtulidishie mwanly wetu tabora aendelee kuinyosha na kuipiga msasa

  • @isayakalafya5865
    @isayakalafya5865 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde na akupe maisha marefu

  • @kimambomedia7766
    @kimambomedia7766 4 ปีที่แล้ว +19

    Ayo nakukubali sana habari zako ni za kweli na za haraka by Kimambo kibo ubungo

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +25

    Mzee umeelezea vizuri 💪💪💪

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Sana baba yani wanafugaji wanaboa

  • @ramadhanikibenga6317
    @ramadhanikibenga6317 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa Toronto very good

  • @ahmedathman1624
    @ahmedathman1624 2 ปีที่แล้ว +1

    This is man does what magu did during his time...

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +58

    Mzee anajua kujieleza

  • @methewmigodela4211
    @methewmigodela4211 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awalinde viongozi kama Hawa hakika ni wazarendo sana people needed by JPM

  • @charlesnyabori7669
    @charlesnyabori7669 4 ปีที่แล้ว +13

    Kuna mtu kala bango nani kaona😂😂😂😂dah had wameniaribia concentration

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 2 ปีที่แล้ว

    YES TRUE ,THATS GOOD 👍, HESHIMA NAOVR ETC YANI UTU NA P9A ASANTE BW.MKOA DOLEE!

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uko sawa nakukubali Allwah akupe nguvu

  • @ahmadjuma3816
    @ahmadjuma3816 4 ปีที่แล้ว +10

    Babu leo kafukuwa makaburi ,acha kabisa hiyo kitu sukuma ndani

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 4 ปีที่แล้ว +7

    Duuh muheshimwa hongela kwakusaidia wanyonge

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana Mama kwa kurudisha

  • @cleofasnyoni3836
    @cleofasnyoni3836 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwanri Mwanri nkukubl sana unafundsha kitu fln

  • @saidbabu9198
    @saidbabu9198 4 ปีที่แล้ว +3

    Rais wetu kila uteuzi wako mwingi wa viongozi wa hii awamu kweli mkono wa Mungu upo nawe. Wengi wamekuwa chaguo lenye imani kwa watu.Mungu azidi kukupa mwelekeo ambao unatumia kuwapata hawa viongozi wenye dhati ya kweli, kweli intai faraja Toka nimezaliwa kuona ukweli wa viongozi kufanya kazi nikweli.Mungu awe nanyi na sisi sote.

  • @abdulimalikhamadi1078
    @abdulimalikhamadi1078 4 ปีที่แล้ว +17

    Mkuu wa mkoa nimekuelewa leo vizur sana juz kwenye ujenzi nilifrah sana

  • @eugenmgaya6623
    @eugenmgaya6623 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mkuu wa mkoa !

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว +31

    Kaa hapo hapo, pigeni makofi 😂😂😂😂😂

    • @kingcopper_tz
      @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃kamata sukuma ndani 😃😃😃

    • @angelgerald1561
      @angelgerald1561 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @rukiamohammed5031
      @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣Nimecheka kwa nguvu

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 4 ปีที่แล้ว

      hhhhhh

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว +32

    Kumekuchaaaaa🤣🤣🤣😂😂😂
    Kumekuchaaaa🚶🏿‍♀🚶🏿‍♀🚶🏿‍♀🚶🏿‍♀kwl uongoz huu wa awamu ya tano nauvulia kofia na viatu pia acha nipekue tu 😂😂😂

    • @seremalatznaaustralia1462
      @seremalatznaaustralia1462 4 ปีที่แล้ว +2

      😁😁😁😁😁 khaaa aisee ata mimi napekua nawewe wai. Ni shida watu hawahemi.

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว +1

      Tena tabora ni hatar sana

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣angali miba isikuchome miguuni

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว +2

      ili jembe kweli

    • @julytito3891
      @julytito3891 4 ปีที่แล้ว +1

      @@noxlosingida2369 😅😅😅sawaa

  • @bienvemwami6768
    @bienvemwami6768 4 ปีที่แล้ว +6

    bring this man to goma (Drc) he is the best

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 4 ปีที่แล้ว +16

    Engineer ngapi hapo soma Mita. Sukuma ndani🤣🤣hao

  • @vivarealrapper4344
    @vivarealrapper4344 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzee ameuwasha moto vizur sana

  • @Thuon_
    @Thuon_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana huyu jogoo.

  • @shabanidigalu566
    @shabanidigalu566 4 ปีที่แล้ว

    Next prime minister

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 4 ปีที่แล้ว

    Good hakuna kuangalia ujinga lazma Kila mtu aishi kwa Uhuru bila kuoneana hakuna mtu mweny nguvu

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 4 ปีที่แล้ว

    Baaah Mzee Mwanri ww urudi tuu nyumbani siha au mkuu akuchague urudi K/manjaro unyooshe huu mkoa na maendeleo yawepo kama kipindi ulichokuwa parliamentary,Sanya Naibil ngaritati kidire mpaka leo hakuna lami Mungu akuongoze baba mkuu wa mkoa

  • @lulually5209
    @lulually5209 3 ปีที่แล้ว +1

    Come on men 😄😄😄 nimecheka kwa sauti huyo ndio mh mwanri wataisoma namba shenzi kabisa

  • @shedrackjohn5934
    @shedrackjohn5934 3 ปีที่แล้ว +2

    You have any other questions

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 ปีที่แล้ว

    Asante. Wawekwe ndanii haswaa ni wauwaji haoo

  • @mirzah117
    @mirzah117 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ambariki huyu mzee mwanri

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi kazi yangu kama kuna mtu anaota pembe nakata kata pembe zote naweka chini afu nione😀😀😀😀😀😀

  • @jacobmbogella9027
    @jacobmbogella9027 4 ปีที่แล้ว +5

    Aliye ona bango limedondoka twende wote hapa

  • @geembwana6189
    @geembwana6189 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia ningeomba kama mimi mwana inchi wako mwema mrudishe huyu Mzee kwenye uwongozi tafadhari 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @isayakalafya5865
    @isayakalafya5865 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unamuombea mema kiongozi huyu like

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 4 ปีที่แล้ว +19

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kata pembe. Mumehongwa shingap daaa kuzaa laha jaman. Mama ako kawaletea wananchi zawad kutoka kwa Mungu

  • @chiefog1343
    @chiefog1343 4 ปีที่แล้ว

    Pigaaaa kaziii mzee sukumaaa ote ndaniii😁😁😁

  • @rukiamike4440
    @rukiamike4440 4 ปีที่แล้ว +2

    Kata pembe kata pembe🙈😂😂

  • @elizabethdismas7660
    @elizabethdismas7660 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nimempenda Sana Huyu kiongoza kWA kutetea mkoa wake na Watu wake,

  • @anonymouse3993
    @anonymouse3993 2 ปีที่แล้ว

    Nice mwar

  • @harounplaurent8359
    @harounplaurent8359 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 mtendaji katenda nini 😂 ila huyu mama ndo angekua anamjibu #chuma sijui2😅😅😅😅

  • @SidatyMuuh
    @SidatyMuuh 6 หลายเดือนก่อน

    Eee come on man😂😂

  • @vivarealrapper4344
    @vivarealrapper4344 4 ปีที่แล้ว +30

    Sukuma ndani

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 ปีที่แล้ว +1

    Jembeee namkubali sana uyu mzee

  • @naymakitchen5933
    @naymakitchen5933 4 ปีที่แล้ว +7

    Nmependa akipiga makofi 😂😂😂aje tanga jmn huyu DC😂😂😂

  • @sweetestgospelmelodies5723
    @sweetestgospelmelodies5723 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hapa leo nimekuja roho mtakatifu sasa hapa roho mtakatifu anisamehe ahahah mzee chapa kazi

  • @muasewamukadogo1846
    @muasewamukadogo1846 2 ปีที่แล้ว

    Dah huyu mwanli angeendelea dah safi sana

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +22

    4:27 si mnasikia wananchi wanapiga makofi? Maana ake watu WANAOLEWA hapa 😂

  • @xerxespersian1384
    @xerxespersian1384 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaani mtu ameshambuliwa
    Alafu mshambuliwa kalazwa nyie mnatoa dhamana
    Daaaaaa RC UMEONGEA UKWELI
    SASA CJUI HAWA WANAOPEWA UONGOZI CJUI WANABAHATI GANI

  • @maulidhamad3659
    @maulidhamad3659 4 ปีที่แล้ว +15

    Camon mana 😂😂😂