Appreciate saana kiongozi mkuu wa mkoa tabora na pia heshima kwako Millard ayo kwa habari zako naelimika kuptia katka vipind vyako pia na burudika salute saana Millard ayo
Nadhani tunaweza kumchukulia kama comedian flani hivi! Yuko siriaz na kazi na anamaanisha anachokifanya tena kwa ujumbe wa kirafiki, lkn ni ujumbe unaowalenga wanyonge ambao hawajitambui! Hii kazi hata ustawi wa jamii baadhi yao hawazi kutupatia japo ndo wajibu wao. Hongera sana Mh. Rc Tabora. Kwa maoni yangu wewe ni kiongozi unajitambua na kujua mahitaji ya jamii unayoisimamia. Mungu akulinde wakati unatimiza majukumu yako!
@@godlistenswai8955 yaani huyu Mwanri angekuwa mwalimu wanafunzi wangefaulu sana maana anambinu za hali ya juu kwa kufikisha ujumbe yaani ni kiongozi bora nampa 100 %
Huyu ni Mwalimu wa maisha zaidi ya kuwa mkuu wa mkoa.anachoongea ni zaidi ya elimu kwa familia zetu.ni wengi tunakosea! binafsi nashukuru kwa elimu hii uliyonipa mheshimiwa Mwanri.
@@hassanisadiki824 vile tuna mpenda tutaingia hata na zaidi ya izo mahana hakika hatufunza mengi kwanza ukiwa kiongozi unatakiwa uwe mtu tu wakawaida unongea kulingana na hasa matokeo halisi hanamengi mazuri ya kua kiongozi na kuingwa upenda kuva usika wake akiwa kazini kama mwanainji ujisusa thamni na kukaha kama wanaiji wake hakika kukiwa kama hawa kumi tazania itakua ulaya
Half Dada Adela hv zile simuliz zako ulizokuwa hukzsimulia enz zile za mwaka 2009 in passion fm kila weekend...nmezmis sana hem fanya huz upload in you tube ili tupate mafunzo maana dah nlikuwa nakufatilia sana...
33. Nabii ndiye anakuja baada ya nabii na Hosea 12:14 inasema: "Kwa nabii, Bwana alipandisha Israeli kutoka Misri, na kwa nabii alilinda Israeli ". Na hata katika historia ya Kanisa, baada ya nabii Polycarpe kuuawa katika mwaka 167, Kanisa ilipata nabii mwingine. Na hakuna hata mahali moja katika historia yote ambamo inaonyeshwa wanafunzi wa Polycarpe wakiongelea kumbukumbu za zamani. Na hakuna yeyote aliyeweza kuja na kuwaambia watu wamwamini Polycarpe mfu kama wanavyofanya leo wayahudi, waislamu na wakristo. Yesu awe Mungu au la, Musa awe nabii wa kweli au wa uongo, Muhammad awe nabii wa kweli au wa uongo, siyo ya maana, hainiangalie. Yote waliyotimiza, ilikuwa kwa ajili ya watu wa wakati wao. Musa hakuunda uyahudi, Yesu Kristo hakuunda ukristo, na Muhammad hakuunda uislamu. #PKPCHANNELTV #ProphetKacouPhilippe
Njeery Salum aliwahi kuwa DC hapo arusha 1995 na baadae alienda kuwa mbunge wa hai ndipo alifanya juhudi za kupata wilaya ya siha akawa wa siha mungu amjalie akaifufue tabora iliokuwa imeanza kufa
WANANCHI MUKISHAELEWA MUFANYIE KAZI 1_walevi ni washenzi : Wanaolewa waache tabia hiyo hakuna nchi iliyoendelea kwa pombe 2_Mukitafuta mali pamoja basi mukae chini tena muipangilie jinsi ya kuitumia 3_Tahadharini na waganga kazi yao ni kupiga hela tu. 4_Wekezeni ktk maendeleo na kujizidishia kipato 5_Watoto endapo huwashughulikii sio mali yako
Jamani huyu mkuu wa mkoa tusipo mpa like zake tutakuwa hatumtendei haki tuanze mimi
Appreciate saana kiongozi mkuu wa mkoa tabora na pia heshima kwako Millard ayo kwa habari zako naelimika kuptia katka vipind vyako pia na burudika salute saana Millard ayo
Huyu ndio kiongoz ambaye mfano kwa wengine , Hongera sana
Shikaa mooo baba
Ali Arkam mambo bambamb
Mzee nampenda sana, hlf huyu mzee anaupendo wa ukweli juu ya watu anaowaongoza. Mungu akubariki sana.
Nadhani tunaweza kumchukulia kama comedian flani hivi! Yuko siriaz na kazi na anamaanisha anachokifanya tena kwa ujumbe wa kirafiki, lkn ni ujumbe unaowalenga wanyonge ambao hawajitambui! Hii kazi hata ustawi wa jamii baadhi yao hawazi kutupatia japo ndo wajibu wao. Hongera sana Mh. Rc Tabora. Kwa maoni yangu wewe ni kiongozi unajitambua na kujua mahitaji ya jamii unayoisimamia. Mungu akulinde wakati unatimiza majukumu yako!
Nakukubali sana Mzee Mwanri,,endelea kupiga kazi mkuu we admire you sir!!
Kaongea point sana watoto ndo hazina ya muhimu ni wa Jamhuri kweli ayseee👏👏👏👏👏
YAAN HUYU MKUU UTADHANI NDO MKUU WA MIKOA YOTE. Jamaa anatema facts
Huyu ndo kiongozi bora mungu akulinde
Ww Mzee unayoongea yote mazima halafu ulivokiongozi mzuri 💯💯 huongelei siasa zile zakichama wewe unaonelea siasa ya kuielewesha jamii
Kweli kiongozi.Okoa familia jameni.Asante .Mkenya from london.pongezi.
Hengera sana MKUU wetu from morogoro tz
kwel hawasikii wapashe
Safi sana Mwanri kwa kujali wananchi wako , hongera sana
Anapiga nguchu hahaaa
@@godlistenswai8955 yaani huyu Mwanri angekuwa mwalimu wanafunzi wangefaulu sana maana anambinu za hali ya juu kwa kufikisha ujumbe yaani ni kiongozi bora nampa 100 %
@@faridamkesso97 namuelewaga sanaaa
Mheshimiwa RC..karibu Kiambu, Kenya...hapa wanatoa lock asubuhi..ndo aweze kuona ( sic!)..ulevi ni ushenzi.
Safi sana mkuu wa mkoa nakuunga mkono chukua hatua wanaume na wanawake pia hawatunzi watoto ni kweri kabisa
huwa nakukubar sana
Pombe yenye darubini..walevi hawana maana kaabisa..nashangaa serikali zetu zimengangania bangi tu..Mwanri for president
Yaani sijui huyu baba alikuwa wapi!!!asante Mh raisi kumteua huyu !!!anasema u kweli japo anatuchekesha,Mungu akubariki sanaaaaaaa!!!
Huyu ni Mwalimu wa maisha zaidi ya kuwa mkuu wa mkoa.anachoongea ni zaidi ya elimu kwa familia zetu.ni wengi tunakosea!
binafsi nashukuru kwa elimu hii uliyonipa mheshimiwa Mwanri.
Uteuzi wako umetukuka baba...Maneno yako ni hazina kubwa sana kwa atakayeyatafakari na kuyafanyia kazi...Mungu akubariki
Hakuna mkuu mkoa anaefanya kazi bora bila visasi kama huyuuuuu adumu mi aka yote
Kabla cjafunga hii taarifa nikiangalia kichwa cha habar tu Nacheka, uyu Baba ni jembe 😂😂😂😂
*Hiyo pombe ina darubini??*
Saumu Hassan anaigiza au anachekesha
Bam bam tutoo tunatembe tutako
jembe kama ww huyo
Uyu mzeee namkubali sana like nying kwako
UNAONGEA BUSARA SANA I LOVE YOUR INTERACTION WITH THE PEOPLE JAMII IKUZDISHIE
Nampenda san,mkuu wa mkoa wa TABORA kwa sabau ana wafanya watu kuwa ACTIVE WAKATI WOTE
Aa namkubal san piga kaz mzee
❤❤watoto hawawezi kula kipolo😂😂 nakupenda san babaangu naangqlia 2023
Mzee nakuelewaga sana....
Mlevi n kama mshenzi flanii HV.
Yup
zoo
hongera mkuu wa mkoa wa tabora
safi Sana MKUU Mungu akubariki sanAaa
Asante sana Mkuu wa mkoa genious
Dahhh yaan mkuu itabidi nihame tanga nije tabora kuanzisha makazi kwa ajili ya kasi yko ya maendeleo nimeipenda sana
Mkuu una Kipaji cha UONGOZI. Hongera sana.
Wewe ndo baba Wa mkoa kweli kweli!
Asante baba pigs kazi shuka nao Moja kwa moja
Injinia soma iyo safi sana uko vizuri mzee
Hiki kipande cha mama unafungua au ni ingie nao nan anipe jamani😂😂😂😂😂😂
😂😂😂mwanri mbavu zangu, we ni kiongozi safi Sana, maendeleo ya taifa yanaanzia ngazi ya familia
Lioba Joseph mungu amjalie maisha mazur
,
😂😂😂wakenya tunakupendanga sana tu una chekesha but ni kweli
yuko poa and real
@@franklusangulo4156 like you see😂
Bx tutaandaa shooo huko Kenya ili mumuone vzr lkn kiingilio ni 2000ksh
@@hassanisadiki824 vile tuna mpenda tutaingia hata na zaidi ya izo mahana hakika hatufunza mengi kwanza ukiwa kiongozi unatakiwa uwe mtu tu wakawaida unongea kulingana na hasa matokeo halisi hanamengi mazuri ya kua kiongozi na kuingwa upenda kuva usika wake akiwa kazini kama mwanainji ujisusa thamni na kukaha kama wanaiji wake hakika kukiwa kama hawa kumi tazania itakua ulaya
oi natafuta mke mkenya hasa kutoka mombasa nimekuchek upo poa sana
Daaah kweli huongei uwongo ni kweli kabisa hasa rombo ulevi umekithiri na hakuna kinachoendelea
Mkuu wa Mkoa kiboko kabisa.
Kiboko huyu jamaa
Huyu mulimtoa wapi??...tunataka watu kama huyu bwana kila mji
Half Dada Adela hv zile simuliz zako ulizokuwa hukzsimulia enz zile za mwaka 2009 in passion fm kila weekend...nmezmis sana hem fanya huz upload in you tube ili tupate mafunzo maana dah nlikuwa nakufatilia sana...
Ntumie namba yako au ntafute 0654033141
Kikwel mm nakupenda sana mze safi sana kanzi njema
Angekaa T.R.A...kma kiongoz Mkuu...Ingekuwa saf sana...hak ingeonekana...
Tunapenda unavo ongea Mungu akubark katika uongoz wako mkuu wa mkoaa
nakukubali sana mkuu wangu was mkoa natamani uongoze tabora miaka 800000000000000
😅😅😅😅duh lakini huyu baba ni mwema..tutako twa watt inje inje😭😭😭
🤣🤣😂😂😂
Hahahahaaa yan hapo nimeangua kicheko kam kichaa 😂😂😂😂😂😂
Salute kwako mkuuuuuuuu
Duh Tabora mmepata kitu na Box Nawaonea wivu
Hahahaba
Nakufaaaaa, kufa.
Wee, wee, wee, nyamaza kabisaaa usiniambie maneno hayo😂😂😂
Mkuu unanipa matumaini ya uongozi bora ktk nchi hii mm naomba mkuu wa nchi akupeleke tamisemi ili hzo juhud uzifanye nchi nzima mungu akubariki sana
Mama Ana mlango unafungua au niingie nao? Pombe hio
😂😂
Vitales Mgenge hahahahah
Nakufaaa. Kufaa Hahahahaha tabora yetu ya Toronto. Big up
Mh salute kwako
Big up Sana unajua kunifanya nicheke niwapo na hasira
Walevi ni washenziii ( Hapa nakuunga mkono)..😂😂
namkubar xn
Mlevi ni Mtu Hana maana Gonga like.
Mke wa mganga ni mnene utafikili behewa 😂😂😂😂😂😂
Mkuu
Saluti
Kwako
Wewe ni kiongozi wa kweli.
Hongera sana kiongoz
Akitumbuliwa huyu nahama Tanzania! 😀
Hahah kwenye kuingia na mlango hapo baba Anna acha t niamke nkufungulie😂😂😂😂
Chapa kazi mzee baba
Wachagga wajanja Tanzania
1.Rc Aggrey mwanri
2.George mushi kimboka
daaah mzee agree tutakuona wp tenaaa aaah sukumandani
Ninakukubari sana mzee kwakweli Ongera ninatamani na mimi niwe kama Kiongozi kama wew aisee safi sana
safi sana mkuu wa mkoa
Somo linaingia! Mwanri kiongozi safii
Natakapicha
Kama umesikia bam bam gonga like
umeongea point mzee. pombe inamaliza matatizo kwa mda tu, ukiamka j tatu unakuta majukumu yapo palepale yanakusubiri
Gooder sana Mkuu
Ameongea point sana walevi kweli ni washenziiii
33. Nabii ndiye anakuja baada ya nabii na Hosea 12:14 inasema: "Kwa nabii, Bwana alipandisha Israeli kutoka Misri, na kwa nabii alilinda Israeli ". Na hata katika historia ya Kanisa, baada ya nabii Polycarpe kuuawa katika mwaka 167, Kanisa ilipata nabii mwingine. Na hakuna hata mahali moja katika historia yote ambamo inaonyeshwa wanafunzi wa Polycarpe wakiongelea kumbukumbu za zamani. Na hakuna yeyote aliyeweza kuja na kuwaambia watu wamwamini Polycarpe mfu kama wanavyofanya leo wayahudi, waislamu na wakristo. Yesu awe Mungu au la, Musa awe nabii wa kweli au wa uongo, Muhammad awe nabii wa kweli au wa uongo, siyo ya maana, hainiangalie. Yote waliyotimiza, ilikuwa kwa ajili ya watu wa wakati wao. Musa hakuunda uyahudi, Yesu Kristo hakuunda ukristo, na Muhammad hakuunda uislamu.
#PKPCHANNELTV
#ProphetKacouPhilippe
Hakika Unafaa kuwa mwalimu
jamanii naomba awe mkuu wamkoa arusha
Uyu anafaa mikowa yote
Weeeeeee aje Mbeya huyu
Njeery Salum
aliwahi kuwa DC hapo arusha 1995 na baadae alienda kuwa mbunge wa hai ndipo alifanya juhudi za kupata wilaya ya siha akawa wa siha mungu amjalie akaifufue tabora iliokuwa imeanza kufa
Me pia natamani ingependeza
Njeery Salum we toka hapa, nyie c mnae mrixho gambo sjui?
God Bless you. you are hero
Daaaah nchi imekosa furaha inateseeka na tozo watu kama hawa saiz hawapo
kweli kabisa tabora na mwanza waongoza kwa ulevi hawajali familia zao alafu wakorofi sana
huwa Nafurahi Sana napo mskia
Hata baba angu alikuwa hivyo mheshimiwa Rc mwari hasa rombo jamn wanawake wanateseka sanaaa
mm kama mm Bora uwe raisi wa Tz
😂😂😂😂Hatari sana wagaga mmeipata hiyo
sukuma ndani wooote
No.1 on trending RC.......
Njoo Kenya mzee tukupe urais.
Nakubana kama clamp taaap 😂😂😂
Ni kweli kabisa hata rombo wapooo
Your My Best RC for sure 😘😘😘
Mzee una point
WANANCHI MUKISHAELEWA MUFANYIE KAZI
1_walevi ni washenzi : Wanaolewa waache tabia hiyo hakuna nchi iliyoendelea kwa pombe
2_Mukitafuta mali pamoja basi mukae chini tena muipangilie jinsi ya kuitumia
3_Tahadharini na waganga kazi yao ni kupiga hela tu.
4_Wekezeni ktk maendeleo na kujizidishia kipato
5_Watoto endapo huwashughulikii sio mali yako
Uposawa mkuu nakukubali kaza sana
Safi sana Mwaniri🤣🤣🤣🤣
Huyundo Kiongozi wa nchi tunae mhitaji hataakiwa raisi nitampa kuraaaa
hahahhahahahaha🤣🤣🤣🤣aiseenomna Sana mke WA mganga mnene Kama behewa
😁😁😁😂😂😂pombe ina darubini ? hahahaaa.
😂😂😂😂 anahamia Taboraaa.... kule anakuta mabinti km 8.... anakamata Mmoja kap
Huyu jamaa namkubali sana tunaweza tukapikwa chungu kimoja tukaiva
😂😂😂😂😂oyee baba mkwe Mwanri
Dah huyu Rc Mashallab..kawasemea wakina mama jaman..maana ndio yanayoendelea ktk jamii yetu ucomedian lkn msg inafika...ila anachekesha sana 😂😂😂
Weee weeee Weee
Nyamaza kabisa hahahahaaaaaaaa watoto wajamhur
Kabisa unaweza
Nakukamata kama cremp na kufaaa nakwambia kufaaaa😂😂😂😂😂
kweli pombe inadarubini?😀😀😀
safi sana mweshimiwa
Mmmh!!!! Respect 2u RC
Nakufaaaaaa .....kufa
Duh hio last statement" mnenene kama behewa" 😂😂😂😂😂😂
Aiseee nimecheka saaaaanaa 😂😂😂😂😂😂😂😂