Nimegundua waTz wengi wanapenda na kuzuzuliwa na mambo ya vituko na kipuzi.....Wanashabikia sana usanii kuliko mambo ya kimsingi maishani kama Elimu na utandawazi ! Abiria chungeni mizigo yenu !
@@HabibaNgonyani-d2g wewe ndio inashida nikicheka nisipocheka inakuhusu nini? Hebu tuliza utoko na UTI sugu huko!! Hii comment haikua yako ama wewe ni Wasafi? Shenz kinuka mkojo wewe!!!! Hebu tuliza mshono....au ni fumage Kwa mshono tena!!! Ibilisi kasoro mkia!!!! Kinyago wa mwembe tayari
Kama unamkubal dereva mkongwe gonga like hapa 🔥🔥
Story zinafurahisha na kufundisha at the same time ......
Dah! Mzee yuko funny sana 🤣🤣🤣
Ndiooo
Umenikumbusha sana taqwa ase🙏🔥
Huwa namuelewa sana huyu dereva mkongwe
Baba levo Bila Adelaide studio utahishi VIP unampenda sana
Noma sana dereva
Dereva mkongwe amenikumbusha kwetu Songea bana. Maeneo ya Igawisenga, Kifanya, Wino, Lilondo , Madaba nk.Dereva mkongwe amezunguka sana. Na Mimi pia nchi hii nimetembea sio kitoto, Kasumulu, Tunduma, Lusumo, Sirari, Horohoro, Namanga , Kiranje ranje, Mangaka, nakapanya, Masumbwe, Nyakanazi nk kote nimefika huko. Kwahiyo nikimsikilazaga ananipa burudani sana.
Mimi nampenda sana dereva mkongwe❤❤❤🎉🎉🎉baba🎉🎉🎉❤❤❤nassibu❤❤❤🎉🎉🎉
Namwelewa Sana deleva mwenzangu tunapata tabu Sana
Noma sana
Baba levo anacheekaaaa😂😂😂
Nakupend mim ni munyarwanda nkupenda san
😂😂😂😂😂😂Mkongweeeeeee.mimi hapa kutoka 254 nimecheka 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 ako angu uyo😂😂😂❤
Nakwambia dereva mkogwe atawakauche ❤❤❤nacheko
Huyu baba ana kitu mjue lamata amuangalie😂😂😂😂
Big up mzee nimependa story zako👏👏
Huyu jamaa angepata nafasi cheka tu ingekuwa poa sana
Wambie bro! Tarfa zifike kwa wenyewe!
😂😂😂😂😂Lala nayo baba nakuamini hahahaha ha dah ilikuwa bonge moja ya INTERVIEW 😂
Mzee ana stori huyu, lazima ni mzaliwa coast kenya
uko vizuri daddy
Mkongwe nakupenda lala nayo
wasafi wangempa kazi
Namuaminia sana , dereva mkogwe, , Mimi pia Niko katika hio sekta ya udereva
🎉😂😂 yaani nimefurahi sana leo
😂😂😂😂HUYU MZEE ANAONGELEA VITU VYA KWELI KAMA UTANI😂😂😂😂
Daah! Kweli kazi.
Ahahaha Dereva mkongwe,mimi na mkubali sana
Hatari sana kk
Nakuelewa sana dereva
Dah unafulaisha sana faza
Oyaaa akipita songea aniambie nimuone jamaa anachekesha
Anaongea balaa huyu 😅 nilipandaga coster woi anaongea huyo 😂
Mozambique ujawai enda?
Huyu baba nampenda huyu jamani ukikaa nae utavunjika mbavu
Eti ela ya dereva ata pikpik ununui 😅😅
😂😂 mungu awatie nguvu jaman
Mkongwee✊
Lala nayo babu nakuaminiii
Namkubalii sanaa
😂😂😂hyu mzee jau sana
MaDereva wa Gari za mizigo ni mwanajeshi ni wanajeshi wasiotambulika
Hiyo ndo Songea,ukija uwe umejipanga na umeaga kwenu.🤣🤣🤣🤣🤣
Sema unachekesha pia we mzee.😂😂😂😂
Nimegundua waTz wengi wanapenda na kuzuzuliwa na mambo ya vituko na kipuzi.....Wanashabikia sana usanii kuliko mambo ya kimsingi maishani kama Elimu na utandawazi ! Abiria chungeni mizigo yenu !
Mkogwe uyo sio poa anatisha 😮😮😮
Oi iyo sehem anayoisema sio pow apo hata mia hutok nayo😂😂
That was very nice😂😂😂😂❤
Sawa bana 😂😂
Hata sijategemea kama nitamkuta huku huyu mzee dereva mkongwe
Cheka tuu Kuna mtu wenu huku🤣🤣
Mzee kumbe anapitaga hapa
Baba levo unapendaaaaa
Yaaan anaongea yeye mkavu.....huku mbavu hatuna😂😂😂😂😂😂
Watz wizi ni asili yetu
Eti una kabisa
Dereva mkongwe
Leo baba levo kapata kiboko ake
Mzee ana balaaa 😂😂
Wee mkongwe, Mungu anakuonaa! Hiyo misalaba iliochongwa na na nani? 😂😂😂
Ivi ni Howo au Hoho nipewe jibu jmn
Hii T-shirt ipoje jamani au mimi ndo mshamba😂
Lala nayo 😂😂😂😂😂
🔥🔥
Mpeni shavu mkongwe
Et babu lala nayoo asa ulalie wapiii😂😂😂
😂😂😂😂
@@baloz8974 lala nayo ad kuzim🤣🤣🤣
Ujakosea 😂😂😂
Howo
❤
Lala nayoo
Master
Kuchochola 😂😂😂😂😂
Dereva mkonhwe namkubali sana
😂😂😂 #tellaaxistz
Huyu kizee ana hadithi za abunuasi, uwongo kweli ameujaza kila kona. Mkenya nimesafiri kwingi huku anako ongelea na ni rongo tupu hizi.
huyu mzee ni hatari anakipaji tukiachana na udereva
Mzee mpen muda zaid aseee naon kipind kifup
🎉
Dereva chale ,haf mchimvi 😅
Ni howo
Dereva mkongwe wewe nakukubali
mzee uyu ananikosha mnoo aisee😂
acha ufala baba levo nani anapiga nyoka
Yaani nimecheka vibaya mni! Alafu mie sio mrahisi wa kucheka hua...ila huyu dereva amenikosha
Sasa kinachokufanya usiwe mrahisi wa kucheka kitu gani???bac itakua una shida ww......
@@HabibaNgonyani-d2g wewe ndio inashida nikicheka nisipocheka inakuhusu nini? Hebu tuliza utoko na UTI sugu huko!! Hii comment haikua yako ama wewe ni Wasafi? Shenz kinuka mkojo wewe!!!! Hebu tuliza mshono....au ni fumage Kwa mshono tena!!! Ibilisi kasoro mkia!!!! Kinyago wa mwembe tayari
Funny
Dereva huyu ni nooma sana
mkongweeeee
Baba levo amekutana na kiboko yake
Yupo poa kiukweli.
mshamba tu huyu mzee wala hana ukongwe wa kihiivyo..
Acha roho mbaya bhn
Udereva wa kujihami
Nawew ushaiba mafuta??
Tafadhali mtu aniambie jina la zile mabasuli yalitumwa kuwachukua Burundi 😅😅😅
Yukovizuri
Huyu afurahishi Bali anaponda madereva baada chansi kama hii kutetea madereva wenzake kwamadereva atumwelewi kabisa vioja anavyovitowa
Mwambaaaa huyo
Huyo Mzee Niki mkuta tanga anakunywa
Kateshi Dareda Babati hiyo, Kuna down inaitwa Sigino kabla hujafika Njia panda ya Dodoma bonga huko
Híyó bàlaàà
Mbona fupi